bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | kwa wenye kushika Imani na uadilifu, sio kwa watu wa kufuru
2 2 | kuwa ndani yake mna haki na uadilifu na maslaha ya waja. ~KWA
3 2, 282| mwandishi aandike baina yenu kwa uadilifu, wala mwandishi asikatae
4 2, 282| aandikishe mlinzi wake kwa uadilifu. Na mshuhudishe mashahidi
5 3, 18 | ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye
6 4, 3 | kuwa hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnao wapenda
7 4, 3 | mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale
8 4, 58 | baina ya watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika haya anayo kuwaidhini
9 4, 127| mwasimamie mayatima kwa uadilifu. Na kheri yoyote mnayo fanya
10 4, 129| Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia.
11 4, 135| Kuweni wenye kusimamisha uadilifu, mtowao ushahidi kwa ajili
12 4, 135| matamanio, mkaacha kufanya uadilifu. Na mkiupotoa au mkajitenga
13 5 | imeelezwa kutakikana kufanya uadilifu na adui. Na Sura hii imeashiria
14 5, 8 | kusikupelekeeni kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo
15 5, 8 | kutofanya uadilifu. Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu
16 5, 42 | basi hukumu baina yao kwa uadilifu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda
17 6 | vipimo na mizani, kutimiza uadilifu, kutekeleza ahadi, kuwatendea
18 6, 115| Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha
19 6, 152| timizeni vipimo na mizani kwa uadilifu. Sisi hatumkalifishi mtu
20 6, 152| wake. Na msemapo semeni kwa uadilifu ingawa ni jamaa. Na ahadi
21 7, 29 | Mola Mlezi wangu ameamrisha uadilifu, na mumuelekeze nyuso zenu
22 7, 159| haki na kwa haki wanafanya uadilifu. ~~~~~~
23 7, 181| Haki, na kwayo wanafanya uadilifu. ~~~~~~
24 10, 4 | ataurejesha ili awalipe kwa uadilifu wale walio amini na wakatenda
25 10, 47 | walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa. ~~~~~~
26 10, 54 | patahukumiwa baina yao kwa uadilifu, nao hawatadhulumiwa. ~~~~~~
27 11, 85 | Timizeni vipimo na mizani kwa uadilifu wala msiwakhini watu vitu
28 16 | matakwa ya Uislamu kuleta uadilifu, na kuunganisha udugu kwa
29 16, 76 | sawa na yule anaye amrisha uadilifu, naye yuko juu ya Njia Iliyo
30 16, 90 | Mungu anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa;
31 21, 47 | Nasi tutaweka mizani za uadilifu kwa Siku ya Kiyama. Basi
32 23 | watahisabiwa, na watafanyiwa uadilifu. Tena Sura inakhitimisha
33 33, 5 | baba zao, maana huo ndio uadilifu zaidi mbele ya Mwenyezi
34 42 | ipatikane Haki, na uthibiti uadilifu. Na Sura hii imekusanya
35 42, 15 | Na nimeamrishwa nifanye uadilifu baina yenu. Mwenyezi Mungu
36 49, 8 | likirudi basi yapatanisheni kwa uadilifu. Na hukumuni kwa haki. Hakika
37 57 | vitendo, ili watu wasimamishe uadilifu. Kisha Aya ikakhitimisha
38 57, 25 | Mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye
39 60, 8 | hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni
40 60, 8 | Mungu huwapenda wafanyao uadilifu. ~~~~~~
|