bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | yapasa kuchagua kheri kuliko shari, na kukhiari lilio bora
2 2, 137| atakutosheni kukukingeni na shari yao, na Yeye ndiye Msikizi,
3 2, 216| huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu
4 3, 28 | kwa ajili ya kujilinda na shari zao. Na Mwenyezi Mungu anakuhadharisheni
5 3, 120| huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri
6 3, 180| kheri yao. Bali hiyo ni shari kwao. Watafungwa kongwa
7 10, 11 | wafanyia watu haraka kuwaletea shari kama wanavyo jihimizia kuletewa
8 10, 49 | Sijimilikii nafsi yangu shari wala kheri ila apendavyo
9 12 | na wakiunda njama zao za shari kumuundia ndugu yao kwa
10 15 | mpambano huo baina ya kheri na shari mpaka imalizike dunia. Kisha
11 15 | dunia. Kisha tena malipo ya shari Siku ya Kiyama, na malipo
12 17, 11 | 11. Na mwanaadamu huomba shari kama vile aombavyo kheri,
13 17, 83 | kujitenga kando. Na inapo mgusa shari hukata tamaa. ~~~~~~
14 21, 35 | tunakujaribuni kwa mtihani wa shari na kheri. Na kwetu Sisi
15 24, 11 | miongoni mwenu. Msifikiri ni shari kwenu, bali hiyo ni kheri
16 41 | akalinganisha baina ya kheri na shari: "Wema haulingani na uovu". ~
17 41 | huipuuza Haki, na ikimgusa tu shari anakuwa na madua marefu
18 41, 49 | za kheri, na inapo mpata shari, mara huvunjika moyo akakata
19 41, 51 | kujitenga upande, na inapo mgusa shari, huwa na madua marefu marefu. ~~~~~~
20 57 | msibu mtu ikiwa kheri au shari kimeandikwa katika Kitabu
21 70, 20 | 20. Inapo mgusa shari hupapatika. ~~~~~~
22 72, 10 | hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi
23 74 | kwa zinavyo chuma kheri au shari, na ikaeleza hali ya watu
24 76, 7 | na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana, ~~~~~~
25 76, 11 | Mwenyezi Mungu atawalinda na shari ya siku hiyo, na atawakutanisha
26 89 | kuwajaribu waja wake kwa kheri na shari, na kwamba kupa kwake na
27 90, 19 | Ishara zetu, hao ndio watu wa shari wa kushotoni. ~~~~~~
28 113 | ulinzi kwake kujilinda na shari ya kila mwenye shari, ya
29 113 | na shari ya kila mwenye shari, ya viumbe vyake, na shari
30 113 | shari, ya viumbe vyake, na shari za usiku linapo ingia giza,
31 113 | hawezi kujikinga nayo, na shari za mafisadi wanao pita kuharibu
32 113 | yalio baina ya watu, na shari za hasidi anaye tamani kuondoa
33 113, 2 | 2. Na shari ya alivyo viumba, ~~~~~~
34 113, 3 | 3. Na shari ya giza la usiku liingiapo, ~~~~~~
35 113, 4 | 4. Na shari ya wanao pulizia mafundoni, ~~~~~~
36 113, 5 | 5. Na shari ya hasidi anapo husudu. ~~~~~~~~~~~~
37 114 | amwombe ulinzi kumkinga na shari kubwa zinazo washinda watu
38 114 | wanayo katazwa. ~Hiyo ndiyo shari ya wasiwasi wa Shetani,
39 114, 4 | 4. Na shari ya wasiwasi wa Shetani,
|