bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | Mwenyezi Mungu kwa kupata radhi zake, na wale walio kasirikiwa,
2 2 | kuwa Waislamu hawatokuwa radhi na Waislamu mpaka Waislamu
3 2, 120| 120. Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka
4 2, 207| huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi
5 2, 265| toa mali zao kwa kuitafuta radhi ya Mwenyezi Mungu na kuzipa
6 3, 15 | walio takaswa, na wanazo radhi za Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi
7 4, 4 | kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke
8 4, 114| kufanya hayo kwa kutaka radhi ya Mwenyezi Mungu, basi
9 5, 2 | Takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za Mola wao Mlezi. Na mkisha
10 5, 16 | huwaongoa wenye kufuata radhi yake katika njia za salama,
11 5, 119| Mwenyezi Mungu amewawia radhi, nao wawe radhi naye. Huku
12 5, 119| amewawia radhi, nao wawe radhi naye. Huku ndiko kufuzu
13 6, 52 | asubuhi na jioni kwa kutaka radhi yake. Si juu yako hisabu
14 9, 21 | rehema zitokazo kwake, na radhi, na Bustani ambazo humo
15 9, 72 | katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa
16 9, 96 | 96. Wanakuapieni ili muwe radhi nao. Basi hata mkiwa radhi
17 9, 96 | radhi nao. Basi hata mkiwa radhi nao nyiye, Mwenyezi Mungu
18 9, 96 | nyiye, Mwenyezi Mungu hawi radhi na watu wapotofu. ~~~~~~
19 9, 109| kumcha Mwenyezi Mungu na radhi zake ni bora au mwenye kuweka
20 13, 22 | ambao husubiri kwa kutaka radhi ya Mola wao Mlezi, na wakashika
21 16, 84 | wala hawataachiliwa kutaka radhi. ~~~~~~
22 18, 28 | jioni, hali ya kuwa wanataka radhi yake. Wala macho yako yasiwaruke
23 30, 38 | Hayo ni kheri kwa watakao radhi ya Mwenyezi Mungu. Na hao
24 30, 39 | kitoa kwa Zaka kwa kutaka radhi ya Mwenyezi Mungu, basi
25 33, 51 | wala wasihuzunike, na wawe radhi juu ya kile unacho wapa
26 39 | wakimshukuru, Yeye huwa radhi nao, na wala hawaridhii
27 41, 24 | maskani yao. Na wakiomba radhi hawakubaliwi. ~~~~~~
28 48, 18 | hakika Mwenyezi Mungu amewapa radhi Waumini walipo fungamana
29 48, 29 | kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama
30 57, 20 | kutoka kwa Mwenyezi Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote
31 57, 27 | hatukuwaandikia hayo, ila kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu. Lakini
32 58, 22 | daima. Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na wao wawe radhi naye.
33 58, 22 | awe radhi nao, na wao wawe radhi naye. Hao ndio Hizbullahi,
34 59, 8 | kutoka kwa Mwenyezi Mungu na radhi zake, na wanamsaidia Mwenyezi
35 60, 1 | katika Njia yangu na kutafuta radhi yangu, mnafanya urafiki
36 88 | furaha kwa namna ya rehema na radhi zilizo andaliwa kwa ajili
37 88, 9 | 9. Zitakuwa radhi kwa juhudi yao, ~~~~~~
38 92, 20 | 20. Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye
39 98, 8 | milele. Mwenyezi Mungu yu radhi nao, na wao waradhi naye.
|