bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | watende mema naye akajisahau mwenyewe; na ya kwamba yapasa kuchagua
2 2 | analipwa kwa vitendo vyake mwenyewe si kwa vitendo vya mwenginewe,
3 2, 158| kuvizunguka. Na anaye jitendea mwenyewe kheri basi bila ya shaka
4 2, 255| ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni
5 2, 282| mnyonge au hawezi kuandikisha mwenyewe, basi aandikishe mlinzi
6 3, 93 | alicho jizuilia Israili mwenyewe kabla haijateremshwa Taurati.
7 4, 111| basi ameichumia nafsi yake mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi,
8 5 | ikamkataza Muumini kujiharimishia mwenyewe vitu vizuri, na ikabainisha
9 5, 72 | Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili!
10 6, 104| anaye ona ni kwa faida yake mwenyewe, na anaye pofuka basi ni
11 11, 43 | Mungu ila aliye mrehemu mwenyewe. Na wimbi likawatenganisha,
12 12, 54 | Mleteni kwangu, awe wangu mwenyewe khasa. Basi alipo msemeza
13 13 | huyu, basi Mwenyezi Mungu Mwenyewe anashuhudia ukweli wake,
14 17, 15 | anapotea kwa khasara yake mwenyewe. Wala habebi mbebaji mzigo
15 18, 43 | ya Mwenyezi Mungu, wala mwenyewe hakuweza kujisaidia. ~~~~~~
16 20, 132| wako kusali, na uendelee mwenyewe kwa hayo. Sisi hatukuombi
17 30, 44 | ukafiri wake utakuwa juu yake mwenyewe, na anaye tenda mema, basi
18 33, 50 | mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe
19 33, 50 | mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa. Ni
20 34, 50 | kwa kudhuru nafsi yangu mwenyewe. Na ikiwa nimeongoka, basi
21 35, 43 | vitimbi viovu havimsibu ila mwenyewe aliye vifanya. Hebu hawangojei
22 36, 47 | angependa angeli walisha mwenyewe? Nyinyi hammo ila katika
23 40, 28 | uwongo wake ni juu yake mwenyewe, na akiwa mkweli yatakufikieni
24 41, 46 | tenda mema basi anajitendea mwenyewe nafsi yake, na mwenye kutenda
25 45, 15 | kutenda uovu ni juu yake mwenyewe. Kisha mtarudishwa kwa Mola
26 46, 8 | 8. Au wanasema: Ameizua mwenyewe! Sema: Ikiwa nimeizua mimi,
27 47 | katika hayo basi anajidhuru mwenyewe, na kwamba kuacha kufuata
28 47, 4 | Mwenyezi Mungu angeli washinda mwenyewe, lakini haya ni kwa sababu
29 47, 38 | basi anajifanyia ubakhili mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu si mhitaji,
30 50, 25 | Sikumpoteza mimi, bali yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wa
31 53, 39 | hatapata mtu ila aliyo yafanya mwenyewe? ~~~~~~
32 55, 27 | 27. Na atabakia Mwenyewe Mola wako Mlezi Mwenye utukufu
33 59, 23 | amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu,
34 66 | dhamana kwa vitendo vyake mwenyewe.~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU
35 67, 4 | nadhari yako itakurejea mwenyewe hali ya kuwa imehizika nayo
36 75, 28 | 28. Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko
37 83 | kali kwa huyo anaye jipimia mwenyewe sawa na akampimia mtu mwingine
38 100, 7 | 7. Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi
|