bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 6, 100| wamemfanyia Mwenyezi Mungu majini kuwa washirika wake, na
2 6, 128| awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua
3 6, 130| 130. Enyi makundi ya majini na watu! Je, hawakukujieni
4 7, 38 | zilizo pita kabla yenu za majini na watu. Kila utakapo ingia
5 7, 179| Na tumeiumbia Jahannamu majini wengi na watu. Wana nyoyo,
6 11, 119| kweli nitaijaza Jahannam kwa majini na watu pamoja. ~~~~~~
7 15, 27 | 27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto
8 17 | umuujiza wa Qur'ani, kushindwa majini na watu kuleta mfano wake.
9 17, 88 | Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano wa hii
10 18, 50 | Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola
11 27 | Sulaiman, na kukusanyika majini, na watu, na ndege kwa ajili
12 27, 17 | Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo
13 27, 39 | Akasema: Afriti, katika majini: Mimi nitakuletea kabla
14 32, 13 | Jahannamu kwa wote hawa, majini na watu. ~~~~~~
15 34 | akamtawalisha Sulaiman na akawafanya majini wamtumikie, wakafanya kama
16 34, 12 | chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya
17 34, 14 | fimbo yake. Na alipo anguka majini walitambua lau kuwa wangeli
18 34, 41 | wao walikuwa wakiwaabudu majini; wengi wao wakiwaamini hao. ~~~~~~
19 37 | kukhusiana baina yake na majini. Mwenyezi Mungu Ametakasika
20 37, 158| ya nasaba baina yake na majini; na majini wamekwisha jua
21 37, 158| baina yake na majini; na majini wamekwisha jua bila ya shaka
22 41 | walio tupoteza miongoni mwa majini na watu ili tuwaweke chini
23 41, 25 | kabla yao, miongoni mwa majini na watu. Hakika hao wamekuwa
24 41, 29 | walio tupoteza miongoni mwa majini na watu ili tuwaweke chini
25 46 | imeelezea kisa cha baadhi ya majini waliyo isikia , wakaambizana
26 46, 18 | pita kabla yao miongoni mwa majini na watu. Hakika hao wamekuwa
27 46, 29 | wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'
28 51 | ndio makusudi ya kuumbwa majini na watu. Na Sura imekhitimisha
29 51, 56 | 56. Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi. ~~~~~~
30 55 | wake juu ya wanaadamu na majini katika mbingu na ardhi. ~
31 55, 15 | 15. Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto. ~~~~~~
32 55, 33 | 33. Enyi makundi ya majini na watu! Mkiweza kupenya
33 72 | funuliwa yeye kwa wahyi, kwamba majini wameisikiliza Qur'ani na
34 72 | kumwendea Mwenyezi Mungu, na majini kumzunguka Mtume, na ikaeleza
35 72, 1 | kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema:
36 72, 5 | Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi
37 114, 6 | 6. Kutokana na majini na wanaadamu. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
|