bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 83 | Mungu; na muwafanyie wema wazazi na jamaa na mayatima na
2 2, 180| mali -- afanye wasia kwa wazazi wake na jamaa zake kwa namna
3 2, 215| mnayo itoa ni kwa ajili ya wazazi na jamaa na mayatima na
4 2, 233| 233. Na wazazi wanawake wawanyonyeshe watoto
5 3, 6 | kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana
6 4, 7 | sehemu katika wanayo yaacha wazazi na jamaa walio karibia.
7 4, 7 | sehemu katika waliyo yaacha wazazi na jamaa walio karibia.
8 4, 11 | basi fungu lake ni nusu. Na wazazi wake wawili, kila mmoja
9 4, 11 | mtoto. Akiwa hana mtoto, na wazazi wake wawili wamekuwa ndio
10 4, 12 | rithiwa hana mtoto wala wazazi, lakini anaye ndugu mume
11 4, 33 | warithi katika waliyo yaacha wazazi wawili na jamaa. Na mlio
12 4, 36 | chochote. Na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima
13 4, 135| ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu. Akiwa
14 6 | kutekeleza ahadi, kuwatendea wema wazazi, na kukataza kuwazika watoto
15 6, 151| msimshirikishe Yeye na chochote. Na wazazi wenu wafanyieni wema. Wala
16 7, 27 | kukufitinini kama alivyo watoa wazazi wenu Peponi, akawavua nguo
17 12, 99 | kwa Yusuf aliwakumbatia wazazi wake na akasema: Ingieni
18 12, 100| 100. Na akawapandisha wazazi wake kwenye kiti cha enzi.
19 14, 41 | wetu! Unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, na Waumini,
20 17 | zikaja Aya za kutukuzwa wazazi, baba na mama, na hali ya
21 17, 23 | msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema.
22 18, 80 | 80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini.
23 19, 14 | 14. Na akawa mwema kwa wazazi wake, wala hakuwa jabari
24 27, 19 | uliyo nineemesha mimi na wazazi wangu, na nipate kutenda
25 29 | Na binaadamu ameusiwa kwa wazazi wake pamoja na amri ya jihadi,
26 29, 8 | mwanaadamu kuwafanyia wema wazazi wake. Na ikiwa watakushikilia
27 31 | changanyika na mausio ya mtu na wazazi wake. Na ikaeleza mambo
28 31, 14 | 14. Na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili. Mama yake ameichukua
29 31, 14 | Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwangu Mimi ndiyo
30 46 | washughulikie kuwafanyia wema wazazi wawili, na kuzitunza haki
31 46, 15 | mwanaadamu awatendee wema wazazi wake wawili. Mama yake amechukua
32 46, 15 | ulizo nineemesha mimi na wazazi wangu, na nitende mema unayo
33 46, 17 | 17. Na ambaye amewafyonya wazazi wake na akawaambia: Ati
34 46, 17 | pita kabla yangu! Na hao wazazi humwomba msaada Mwenyezi
35 71, 28 | Mlezi! Nighufirie mimi na wazazi wangu, na kila aliye ingia
|