bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 196| wanyama. Na mtakapo kuwa salama, basi mwenye kujistarehesha
2 4, 91 | wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu
3 4, 91 | wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa
4 4, 91 | nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao,
5 5, 16 | radhi yake katika njia za salama, na huwatoa katika giza
6 6, 127| Hao watapata nyumba ya salama kwa Mola Mlezi wao. Naye
7 8 | vita, na kupasa kuelekea salama na amani ikiwa maadui wanaelekea
8 8 | maadui wanaelekea kutaka salama. Na Sura hii tukufu inamalizikia
9 9 | watendea Waumini wakati wa salama na vita. ~Katika Sura hii
10 10, 10 | Na maamkio yao humo ni "Salama". Na mwisho wa wito wao
11 11, 48 | Ikasemwa: Ewe Nuhu! Shuka kwa salama itokayo kwetu, na baraka
12 11, 69 | bishara njema, wakasema: Salama! Naye akasema: Salama! Hakukaa
13 11, 69 | wakasema: Salama! Naye akasema: Salama! Hakukaa ila mara akaleta
14 15, 46 | Wataambiwa:) Ingieni kwa salama na amani. ~~~~~~
15 15, 52 | ingia kwake na wakasema: Salama! Yeye akasema: Hakika sisi
16 19, 62 | hawatasikia upuuzi, ila Salama tu. Na watapata humo riziki
17 21, 69 | Ewe moto! Kuwa baridi na salama kwa Ibrahim! ~~~~~~
18 25, 63 | wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama! ~~~~~~
19 26, 146| 146. Je! Mtaachwa salama usalimina katika haya yaliyopo
20 33, 44 | kukutana naye yatakuwa: Salama! Na amewaandalia malipo
21 34, 37 | walio yafanya. Nao watakuwa salama katika maghorofa. ~~~~~~
22 36, 58 | 58. "Salama!" Hiyo ndiyo kauli itokayo
23 37, 79 | 79. Iwe salama kwa Nuhu ulimwenguni kote! ~~~~~~
24 37, 109| 109. Iwe salama kwa Ibrahim! ~~~~~~
25 37, 120| 120. Iwe salama kwa Musa na Haruni! ~~~~~~
26 37, 130| 130. Iwe salama kwa Ilyas. ~~~~~~
27 43, 89 | wasamehe, na uwambie maneno ya salama. Watakuja jua. ~~~~~~~~~~~~
28 50, 32 | Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku ya daima
29 51, 25 | Walipo ingia kwake wakasema: Salama! Na yeye akasema: Salama!
30 51, 25 | Salama! Na yeye akasema: Salama! Nyinyi ni watu nisio kujueni. ~~~~~~
31 56, 26 | 26. Isipo kuwa maneno ya Salama, Salama. ~~~~~~
32 56, 26 | Isipo kuwa maneno ya Salama, Salama. ~~~~~~
33 59, 23 | Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye
34 67, 16 | 16. Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni
35 67, 17 | 17. Au mnadhani mko salama kwa alioko juu ya kuwa Yeye
|