bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | mas-ala ya kutoa sadaka na Zaka, riba, biashara, kuandikiana
2 2, 43 | Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao
3 2, 83 | na shikeni Sala, na toeni Zaka. Kisha mkageuka isipo kuwa
4 2, 110| Na shikeni Sala na toeni Zaka; na kheri mtakazo jitangulizia
5 2, 177| anashika Sala, na akatoa Zaka, na wanao timiza ahadi yao
6 2, 277| wakashika Sala na wakatoa Zaka, wao watapata ujira wao
7 4, 77 | na mshike Sala na mtoe Zaka. Na walipo amrishwa kupigana,
8 4, 162| wanao shika Sala, na wakatoa Zaka, na wanao muamini Mwenyezi
9 5, 12 | nanyi. Mkisali, na mkatoa Zaka, na mkawaamini Mitume wangu,
10 5, 55 | ambao hushika Sala na hutoa Zaka nao wananyenyekea. ~~~~~~
11 7, 156| wanao mchamngu, na wanao toa Zaka, na wale ambao wanaziamini
12 9, 5 | wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika
13 9, 11 | wakashika Sala na wakatoa Zaka, basi ni ndugu zenu katika
14 9, 18 | wakashika Sala, na wakatoa Zaka, na wala hawamchi ila Mwenyezi
15 9, 71 | na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu
16 19, 31 | niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, ~~~~~~
17 19, 55 | akiwaamrisha watu wake Sala na Zaka, na alikuwa mbele ya Mola
18 21, 73 | na washike Sala, na watoe Zaka; na walikuwa wanatuabudu
19 22 | Sura ikahimiza Sala, na Zaka, na Ibada, na Jihadi, bila
20 22, 41 | husimamisha Sala, na wakatoa Zaka, na wakaamrisha mema, na
21 22, 78 | Basi shikeni Sala na toeni Zaka na shikamaneni na Mwenyezi
22 23, 4 | 4. Na ambao wanatoa Zaka, ~~~~~~
23 24, 37 | na kushika Sala, na kutoa Zaka. Wanaikhofu Siku ambayo
24 24, 56 | Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mtume, ili mpate
25 27, 3 | wanashika Sala, na wanatoa Zaka, na Akhera wana yakini nayo. ~~~~~~
26 30 | ikaharimisha riba, na ikalazimisha Zaka, na ikahimiza kuwafanyia
27 30, 39 | Lakini mnacho kitoa kwa Zaka kwa kutaka radhi ya Mwenyezi
28 31, 4 | Wanao shika Sala, na wanatoa Zaka, nao wana yakini na Akhera. ~~~~~~
29 33, 33 | Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mwenyezi Mungu
30 41, 7 | 7. Ambao hawatoi Zaka na wanaikataa Akhera. ~~~~~~
31 58, 13 | basi shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mwenyezi Mungu
32 73 | na akawaamrisha Sala, na Zaka, na Sadaka, na Kuomba maghfira. ~
33 73, 20 | na mshike Sala, na toeni Zaka, na mkopesheni Mwenyezi
34 98, 5 | na washike Sala, na watoe Zaka. Na hiyo ndiyo Dini madhubuti. ~~~~~~
|