bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 189| kuziingia nyumba kwa nyuma. Bali mwema ni mwenye kuchamngu. Na
2 2, 245| mkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema ili amzidishie mzidisho
3 3, 38 | Nipe kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia
4 3, 136| yake. Humo watadumu, na mwema mno ujira wa watendao. ~~~~~~
5 4, 59 | zaidi na ndiyo yenye mwisho mwema. ~~~~~~
6 4, 85 | Mwenye kusaidia msaada mwema ana fungu lake katika hayo,
7 4, 125| Mwenyezi Mungu, naye akawa mwema, na anafuata mila ya Ibrahim
8 5, 12 | mkamkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, hapana shaka nitakufutieni
9 5, 50 | Kijahiliya? Na nani aliye mwema zaidi katika kuhukumu kuliko
10 7, 189| wao: Kama ukitupa mwana mwema tutakuwa katika wanao shukuru. ~~~~~~
11 7, 190| 190. Basi anapo wapa mwana mwema, wanamfanyia washirikina
12 8, 40 | ndiye Mola wenu, ni Mola Mwema na Msaidizi Mwema. ~~~~~~
13 8, 40 | ni Mola Mwema na Msaidizi Mwema. ~~~~~~
14 11, 46 | ahali zako. Mwendo wake si mwema. Basi usiniombe jambo usio
15 16, 120| Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi
16 17, 80 | Mlezi! Niingize muingizo mwema, na unitoe kutoka kwema.
17 18 | hadithi ya Musa pamoja na Mja Mwema aliye pewa ilimu kutokana
18 18, 77 | unataka kuanguka, (yule mja mwema) akausimamisha. (Musa) akasema:
19 18, 82 | baba yao alikuwa ni mtu mwema. Basi Mola wako Mlezi alitaka
20 19, 14 | 14. Na akawa mwema kwa wazazi wake, wala hakuwa
21 19, 76 | wako Mlezi na yana mwisho mwema. ~~~~~~
22 20, 132| tunakuruzuku. Na mwisho mwema ni kwa mchamngu. ~~~~~~
23 28, 37 | nani atakaye kuwa na mwisho mwema wa makaazi. Hakika wenye
24 28, 83 | wala ufisadi. Na mwisho mwema ni wa wachamngu. ~~~~~~
25 29, 58 | mito, wakidumu humo. Ni mwema ulioje huo ujira wa watendao, ~~~~~~
26 36, 11 | mbashirie huyo msamaha na ujira mwema. ~~~~~~
27 38, 30 | tukamtunukia Suleiman. Alikuwa mja mwema. Na hakika alikuwa mwingi
28 40, 38 | nitakuongozeni njia ya uwongozi mwema. ~~~~~~
29 52, 28 | Yeye tu. Hakika Yeye ndiye Mwema Mwenye kurehemu. ~~~~~~
30 53 | muovu kwa uovu wake, na mwema kwa wema wake. Naye ndiye
31 57, 11 | mkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, ili amrudishie mardufu,
32 57, 18 | wakamkopesha Mwenyezi Mungu mkopo mwema, watazidishiwa mardufu na
33 73, 20 | mkopesheni Mwenyezi Mungu mkopo mwema. Na kheri yoyote mnayo itanguliza
|