Sura, verse
1 2, 49 | Firauni walio kupeni adhabu mbaya, wakiwachinja wana wenu
2 2, 191| kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala
3 2, 217| Mwenyezi Mungu. Na fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala
4 4, 22 | uchafu na uchukizo na ni njia mbaya. ~~~~~~
5 4, 38 | rafiki yake, basi ana rafiki mbaya mno. ~~~~~~
6 7, 58 | Mola Mlezi wake. Na ardhi mbaya haitoi ila mimea michache,
7 7, 165| walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya
8 7, 167| watawaadhibu kwa adhabu mbaya mpaka Siku ya Kiyama. Hakika
9 9, 73 | Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya. ~~~~~~
10 12, 77 | Nyinyi mko katika hali mbaya zaidi, na Mwenyezi Mungu
11 13, 18 | kujikombolea! Hao watapata hisabu mbaya kabisa, na makao yao ni
12 13, 21 | yaungwe, na wanaikhofu hisabu mbaya. ~~~~~~
13 13, 25 | laana, na watapata Nyumba mbaya. ~~~~~~
14 14, 6 | Firauni walio kupeni adhabu mbaya kabisa, wakiwachinja wenenu
15 16, 70 | wanao rudishwa kwenye umri mbaya kabisa, hata akawa asijue
16 17, 32 | Hakika huo ni uchafu na njia mbaya. ~~~~~~
17 19, 4 | Mlezi, sikuwa mwenye bahati mbaya kwa kukuomba Wewe. ~~~~~~
18 25, 40 | nchi ilio teremshiwa mvua mbaya. Basi, je, hawakuwa wakiiona?
19 27, 5 | Hao ndio watapata adhabu mbaya kabisa, na hao katika Akhera
20 29, 4 | kwamba watatushinda? Hukumu mbaya hiyo wanayo hukumu. ~~~~~~
21 31, 19 | yako. Hakika katika sauti mbaya zote bila ya shaka iliyo
22 34, 5 | watashinda, hao watapata adhabu mbaya yenye uchungu. ~~~~~~
23 35, 8 | aliye pambiwa a'mali zake mbaya na akaziona ni njema - basi
24 37, 177| uwanjani kwao, itakuwa asubuhi mbaya kwa walio onywa. ~~~~~~
25 39, 24 | anapambana kwa uso wake na adhabu mbaya kabisa Siku ya Kiyama (ni
26 39, 47 | kujikomboa katika adhabu mbaya hiyo Siku ya Kiyama. Na
27 40, 45 | walizo zifanya. Na adhabu mbaya itawazunguka watu wa Firauni. ~~~~~~
28 45, 21 | na kufa kwao? Ni hukumu mbaya wanayo ihukumu! ~~~~~~
29 48, 6 | mdhania Mwenyezi Mungu dhana mbaya. Utawafikia mgeuko mbaya,
30 48, 6 | mbaya. Utawafikia mgeuko mbaya, na Mwenyezi Mungu awakasirikie,
31 48, 12 | zenu, na mkadhania dhana mbaya, na mkawa watu wanao angamia. ~~~~~~
|