bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 236| kadiri awezavyo na mwenye dhiki kadiri awezavyo - maliwaza
2 3, 134| wasaa na wanapo kuwa na dhiki, na wanajizuia ghadhabu,
3 3, 153| Mwenyezi Mungu akakupeni dhiki juu ya dhiki, ili msisikitike
4 3, 153| Mungu akakupeni dhiki juu ya dhiki, ili msisikitike kwa yaliyo
5 3, 154| 154. Kisha baada ya dhiki alikuteremshieni utulivu -
6 4, 90 | wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana
7 6, 42 | kisha tukazitia katika dhiki na mashaka ili zipate kunyenyekea. ~~~~~~
8 6, 125| hukifanya kifua chake kina dhiki, kimebana, kama kwamba anapanda
9 7, 2 | teremshwa kwako - basi isiwe dhiki kifuani kwako kwa ajili
10 9, 25 | haukukufaeni kitu. Na ardhi ikawa dhiki kwenu juu ya upana wake.
11 9, 117| walio mfuata katika saa ya dhiki, pale baada ya kukaribia
12 9, 118| nyuma hata dunia wakaiona dhiki juu ya ukunjufu wake, na
13 11, 12 | kwako, na kifua kitaona dhiki kwa hayo, kwa sababu wanasema:
14 11, 77 | aliwahuzunukia na akawaonea dhiki. Akasema: Hii leo ni siku
15 15, 97 | wewe kifua chako kinaona dhiki kwa hayo wayasemayo. ~~~~~~
16 16, 127| usiwahuzunikie; wala usiwe katika dhiki kwa hila wanazo zifanya. ~~~~~~
17 20, 40 | nasi tukakuokoa katika dhiki, na tukakujaribu kwa majaribio
18 20, 124| yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku ya Kiyama tutamfufua
19 21, 88 | na tukamwokoa kutokana na dhiki. Na hivyo ndivyo tunavyo
20 22 | kwa watu wake, kwa kutaja dhiki na mateso yaliyo wapata
21 25, 13 | watakapo tupwa humo mahali dhiki, hali wamefungwa, wataomba
22 26, 13 | 13. Na kifua changu kina dhiki, na ulimi wangu haukunjuki
23 27, 62 | anapo mwomba, na akaiondoa dhiki, na akakufanyeni warithi
24 27, 70 | usiwahuzunukie wala usiwe katika dhiki kwa sababu ya hila zao wanazo
25 29, 33 | ajili yao, na moyo uliona dhiki kwa ajili yao. Wakasema:
26 33, 50 | yao ya kulia. Ili isiwe dhiki kwao. Na Mwenyezi Mungu
27 37, 115| na watu wao kutokana na dhiki kubwa. ~~~~~~
28 38 | wapate kuacha inadi na kuleta dhiki, na ili kumpa moyo Mtume
29 65, 7 | ya wasaa wake, na mwenye dhiki atoe katika alicho mpa Mwenyezi
30 65, 7 | Mungu atajaalia baada ya dhiki faraji. ~~~~~~
31 94 | kuambatisha mepesi na mazito, dhiki na faraji, na zikamtaka
|