bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 102| kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa
2 5, 110| mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu! ~~~~~~
3 6, 7 | Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. ~~~~~~
4 7, 116| wakawatia khofu, na wakaleta uchawi mkubwa. ~~~~~~
5 10, 76 | walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri. ~~~~~~
6 10, 77 | Haki ilipo kujieni? Huu ni uchawi? Na wachawi hawafanikiwi! ~~~~~~
7 10, 81 | Musa alisema: Mliyo leta ni uchawi. Hakika Mwenyezi Mungu haitengenezi
8 11, 7 | husema: Hayakuwa haya ila ni uchawi uliyo wazi. ~~~~~~
9 20, 57 | kututoa katika nchi yetu kwa uchawi wako? ~~~~~~
10 20, 58 | sisi hakika tutakueletea uchawi kama huo. Basi weka miadi
11 20, 63 | kukutoeni katika nchi yenu kwa uchawi wao, na waondoe mila zenu
12 20, 66 | zikaonekana mbele yake, kwa uchawi wao, kuwa zinapiga mbio. ~~~~~~
13 20, 71 | wenu aliye kufundisheni uchawi. Basi kwa yakini nitakukateni
14 20, 73 | atusamehe makosa yetu na uchawi ulio tulazimisha kuufanya.
15 21 | wakisema kuwa hii Qur'ani ni uchawi, na pengine kuwa ni mashairi,
16 21, 3 | kama nyinyi! Mnauwendea uchawi hali nanyi mnaona? ~~~~~~
17 26, 35 | kukutoeni katika nchi yenu kwa uchawi wake. Basi mna shauri gani? ~~~~~~
18 26, 49 | mkubwa wenu aliye kufunzeni uchawi. Basi mtakuja jua! Nitakata
19 27, 13 | kuonyesha, wakasema: Huu ni uchawi dhaahiri. ~~~~~~
20 28, 36 | Haya si chochote ila ni uchawi ulio zuliwa. Na hatukuyasikia
21 34 | ni uzushi ulio tungwa, na uchawi dhaahiri! Na pia walidai
22 34, 43 | Haya si chochote ila ni uchawi ulio dhaahiri. ~~~~~~
23 37, 15 | Haya si chochote ila ni uchawi tu ulio dhaahiri. ~~~~~~
24 43, 30 | wafikia Haki wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa. ~~~~~~
25 46, 7 | haki inapo wajia: Huu ni uchawi dhaahiri. ~~~~~~
26 52, 15 | 15. Je! Huu ni uchawi, au hamwoni tu? ~~~~~~
27 54, 2 | hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea. ~~~~~~
28 61, 6 | zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri! ~~~~~~
29 74, 24 | Haya si chochote ila ni uchawi ulio nukuliwa. ~~~~~~
|