Sura, verse
1 2, 60 | mbili; kila kabila ikajua mahali pake pa kunywea. Tukawaambia:
2 2, 265| kama mfano wa bustani iliyo mahali pa juu, ikaifikia mvua kubwa
3 3, 154| walio andikiwa kufa, wakenda mahali pao pa kuangukia wafe.(Haya
4 3, 197| yatakuwa Jahannamu. Na ni mahali pabaya mno pa kupumzikia. ~~~~~~
5 4, 20 | mkitaka kubadilisha mke mahali pa mke, na hali mmoja wao
6 4, 31 | madogo, na tutakuingizeni mahali patukufu. ~~~~~~
7 5, 60 | Shet'ani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi
8 7, 160| mbili, na kila watu wakajua mahali pao pa kunywea. Na tukawafunika
9 9, 120| Mwenyezi Mungu, wala hawendi mahali panapo waghadhibisha makafiri,
10 10, 28 | walio shirikisha: Simameni mahali penu nyinyi na wale mlio
11 16, 112| ikiufikia kwa nafasi kutoka kila mahali. Lakini ukazikufuru neema
12 19, 16 | alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki; ~~~~~~
13 19, 22 | na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. ~~~~~~
14 20, 58 | tusiivunje sisi wala wewe, mahali patapo kuwa sawa. ~~~~~~
15 23, 50 | tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka penye utulivu
16 25, 12 | Ule Moto ukiwaona tangu mahali mbali wao watasikia hasira
17 25, 13 | Na watakapo tupwa humo mahali dhiki, hali wamefungwa,
18 25, 24 | watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe nzuri. ~~~~~~
19 25, 34 | Jahannamu, hao watakuwa na mahali pabaya, ndio wenye kuipotea
20 27, 61 | yule aliye ifanya ardhi mahali pa kutua, na akajaalia ndani
21 34, 53 | maneno ya ghaibu kutoka mahali mbali. ~~~~~~
22 37, 164| hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu. ~~~~~~
23 44, 51 | wachamngu watakuwa katika mahali pa amani, ~~~~~~
24 45, 34 | mkutano wa siku yenu hii; na mahali penu ni Motoni, wala hamna
25 47, 19 | Na Mwenyezi Mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi,
26 47, 19 | pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa kukaa. ~~~~~~
27 59, 2 | Mwenyezi Mungu aliwafikia kwa mahali wasipo patazamia, na akatia
28 68, 44 | Tutawavutia kidogo kidogo kwa mahali wasipo pajua. ~~~~~~
29 77, 21 | 21. Kisha tukayaweka mahali pa utulivu madhubuti? ~~~~~~
|