bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 96 | lau angeli pewa umri wa miaka elfu. Wala hayo ya kuzidishiwa
2 2, 233| wawanyonyeshe watoto wao miaka miwili kaamili kwa anaye
3 2, 259| Mungu alimfisha yeye muda wa miaka mia. Kisha akamfufua. Akamuuliza:
4 2, 259| Akamwambia: Bali umekaa miaka mia wewe. Hebu angalia chakula
5 5, 26 | wameharimishiwa muda wa miaka arubaini, watakuwa wakitanga-tanga
6 9 | wa tisa wa Hijra, yaani miaka tisa baada ya Mtume s.a.
7 10, 5 | vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu
8 12, 42 | Basi Yusuf akakaa gerezani miaka kadhaa. ~~~~~~
9 12, 47 | 47. Akasema: Mtalima miaka saba kwa juhudi. Mtacho
10 12, 48 | 48. Kisha itakuja baadaye miaka saba ya shida itakayo kula
11 17, 12 | na mpate kujua idadi ya miaka na hisabu. Na kila kitu
12 18 | katika pango lao muda wa miaka mia tatu na tena wakazidishiwa
13 18, 11 | humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa. ~~~~~~
14 18, 25 | walikaa katika pango lao miaka mia tatu, na wakazidisha
15 20, 40 | majaribio mengi. Ukakaa miaka kwa watu wa Madyana. Kisha
16 22, 47 | Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi. ~~~~~~
17 23, 112| katika ardhi kwa hisabu ya miaka? ~~~~~~
18 26, 18 | ukakaa kwetu katika umri wako miaka mingi? ~~~~~~
19 26, 205| kama tukiwastarehesha kwa miaka, ~~~~~~
20 28, 27 | hawa wawili kwa kunitumikia miaka minane. Ukitimiza kumi,
21 29, 14 | watu wake, na akakaa nao miaka elfu kasoro miaka khamsini.
22 29, 14 | akakaa nao miaka elfu kasoro miaka khamsini. Basi tufani liliwachukua,
23 30, 4 | 4. Katika miaka michache. Amri ni ya Mwenyezi
24 31, 14 | kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): Nishukuru
25 32, 5 | siku ambayo kipimo chake ni miaka elfu kwa mnavyo hisabu nyinyi. ~~~~~~
26 46, 15 | uzima wake, na akafikilia miaka arubaini, husema: Mola wangu
27 70, 4 | siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu! ~~~~~~
|