bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | na kula mali ya watu kwa dhulma, na kisasi, na vita, na
2 2 | sio kwa watu wa kufuru na dhulma, na kwamba Imani ya Dini
3 4, 10 | kula mali ya mayatima kwa dhulma, hapana shaka yoyote wanakula
4 4, 20 | chochote. Je, mtachukua kwa dhulma na kosa lilio wazi? ~~~~~~
5 4, 29 | Msiliane mali yenu kwa dhulma, isipo kuwa iwe biashara
6 4, 112| na kosa, basi amejitwika dhulma na dhambi iliyo wazi. ~~~~~~
7 4, 153| Wakapigwa na radi kwa hiyo dhulma yao. Kisha wakamchukua ndama
8 4, 160| 160. Basi kwa dhulma yao Mayahudi tuliwaharimishia
9 4, 161| kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi tumewaandalia makafiri
10 5, 39 | mwenye kutubia baada ya dhulma yake, na akatengenea, basi
11 6, 82 | hawakuchanganya imani yao na dhulma - hao ndio watakao pata
12 6, 131| wa kuiangamiza miji kwa dhulma, hali wenyewe wameghafilika. ~~~~~~
13 10, 90 | askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. Hata Firauni alipo
14 11, 117| Mlezi wa kuihiliki miji kwa dhulma tu na hali watu wake ni
15 16, 61 | wachukulia watu kwa mujibu wa dhulma zao, basi asingeli mwacha
16 16, 90 | anakataza uchafu, na uovu, na dhulma. Anakuwaidhini ili mpate
17 20, 111| ameharibikiwa mwenye kubeba dhulma. ~~~~~~
18 22, 25 | kufanya upotofu humo kwa dhulma, basi tutamwonjesha adhabu
19 25, 4 | Hakika hawa wamekuja na dhulma na uwongo. ~~~~~~
20 27, 14 | 14. Na wakazikataa kwa dhulma na kujivuna, na hali ya
21 28, 76 | Musa, lakini aliwafanyia dhulma. Na tulimpa khazina ambazo
22 31, 13 | ushirikina bila ya shaka ni dhulma iliyo kubwa. ~~~~~~
23 33, 58 | bila ya shaka wamebeba dhulma kubwa na dhambi zilio dhaahiri. ~~~~~~
24 40, 17 | kwa iliyo chuma. Hapana dhulma leo. Hakika Mwenyezi Mungu
25 53, 22 | 22. Huo ni mgawanyo wa dhulma! ~~~~~~
|