Sura, verse
1 2, 60 | fimbo yako. Mara zikatimbuka chemchem kumi na mbili; kila kabila
2 7, 160| yako. Mara zikatibuka humo chemchem kumi na mbili, na kila watu
3 15, 45 | watakuwa katika Mabustani na chemchem. ~~~~~~
4 17, 90 | Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika ardhi hii. ~~~~~~
5 23, 50 | palipo inuka penye utulivu na chemchem za maji. ~~~~~~
6 26, 57 | tukawatoa katika mabustani na chemchem, ~~~~~~
7 26, 134| 134. Na mabustani na chemchem. ~~~~~~
8 26, 147| 147. Katika mabustani, na chemchem? ~~~~~~
9 34, 12 | mmoja. Na tukamyayushia chemchem ya shaba. Na katika majini
10 36, 34 | mizabibu, na tukatimbua chemchem ndani yake, ~~~~~~
11 37, 45 | kikombe chenye kinywaji cha chemchem ~~~~~~
12 39, 21 | Kisha akayapitisha kwenye chemchem katika ardhi, kisha kwa
13 44, 25 | 25. Mabustani mangapi, na chemchem ngapi waliziacha! ~~~~~~
14 44, 52 | 52. Katika mabustani na chemchem, ~~~~~~
15 51, 15 | watakuwa katika Mabustani na chemchem. ~~~~~~
16 54, 12 | Na tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo
17 55, 50 | 50. Ndani yake zimo chemchem mbili zinazo pita. ~~~~~~
18 55, 66 | 66. Na chemchem mbili zinazo furika. ~~~~~~
19 56, 18 | bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi. ~~~~~~
20 76, 6 | 6. Ni chemchem watakao inywa waja wa Mwenyezi
21 76, 18 | 18. Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil. ~~~~~~
22 77, 41 | watakuwa katika vivuli na chemchem, ~~~~~~
23 83, 28 | 28. Chemchem watakayo inywa walio kurubishwa. ~~~~~~
24 88, 5 | 5. Zikinyweshwa kutoka chemchem inayo chemka. ~~~~~~
25 88, 12 | 12. Humo imo chemchem inayo miminika. ~~~~~~
|