bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 224| la Mwenyezi Mungu katika viapo vyenu kuwa ni kisingizio
2 2, 225| Mwenyezi Mungu hakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi. Bali anakushikeni
3 3, 77 | ahadi ya Mwenyezi Mungu na viapo vyao thamani ndogo, hao
4 5, 53 | wale walio apa ukomo wa viapo vyao kuwa wao wa pamoja
5 5, 89 | Mungu hatakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi, lakini
6 5, 89 | tatu. Hii ndiyo kafara ya viapo vyenu mnapo apa. Na hifadhini
7 5, 108| wataogopa visije vikaletwa viapo vingine baada ya viapo vyao.
8 5, 108| vikaletwa viapo vingine baada ya viapo vyao. Na mcheni Mwenyezi
9 6, 109| Mwenyezi Mungu kwa ukomo wa viapo vyao, kuwa ikiwafikia Ishara
10 9, 12 | 12. Na wakivunja viapo vyao baada ya kuahidi kwao,
11 9, 12 | ukafiri. Hakika hao hawana viapo vya kweli. Huenda (kwa hayo)
12 9, 13 | hamtapigana na watu walio vunja viapo vyao na wakawa na hamu ya
13 16, 38 | Mwenyezi Mungu ukomo wa viapo vyao kwamba Mwenyezi Mungu
14 16, 91 | mnapo ahidi, wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha,
15 16, 92 | ukawa mgumu. Mnavifanya viapo vyenu kuwa ni njia ya kudanganyana
16 16, 94 | 94. Wala msifanye viapo vyenu ni njia ya kudanganyana
17 58, 16 | 16. Wamefanya viapo vyao ni ngao, na wakaipinga
18 63, 2 | 2. Wamevifanya viapo vyao ni kinga, na wao wakajizuia
19 66, 2 | kakupeni Sharia ya kufungua viapo vyenu, na Mwenyezi Mungu
20 68, 39 | 39. Au mnazo ahadi za viapo juu yetu za kufika Siku
21 89 | Makka)~Imeanza Sura hii kwa viapo vya mambo yanayo onekana
22 92 | Mungu Mtukufu ameapa kwa viapo vitatu juu ya kuwa vitendo
23 93 | Makka)~Sura hii imeanza kwa viapo viwili vyenye kueleza nyakati
|