bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 164| na marikebu ambazo hupita baharini kwa viwafaavyo watu, na
2 5, 96 | mmehalalishiwa kuvua vinyama vya baharini na kuvila, kwa faida yenu
3 6, 59 | anajua kilioko nchi kavu na baharini. Na halidondoki jani ila
4 6, 63 | katika giza la nchi kavu na baharini? Mnamwomba kwa unyenyekevu
5 7, 136| tuliwapatiliza, tuka- wazamisha baharini kwa sababu walizikanusha
6 10, 22 | anaye kuendesheni bara na baharini. Hata mnapo kuwa majahazini
7 14, 32 | yakutumikieni majahazi yanayo pita baharini kwa amri yake, na akaifanya
8 16 | makulima, na aliyo yaumba baharini, kama samaki wa kuliwa,
9 17, 70 | vya kupanda nchi kavu na baharini, na tumewaruzuku vitu vizuri
10 18, 61 | akashika njia yake kaporonyokea baharini. ~~~~~~
11 18, 63 | Naye akashika njia yake baharini kwa ajabu. ~~~~~~
12 18, 79 | masikini za Mungu wafanyao kazi baharini. Nilitaka kuiharibu, kwani
13 20, 77 | wangu, na uwapigie njia kavu baharini. Usikhofu kukamatwa, wala
14 20, 78 | Basi kiliwafudikiza humo baharini kilicho wafudikiza. ~~~~~~
15 20, 97 | moto, kisha tutamtawanya baharini atawanyike. ~~~~~~
16 22, 65 | ardhi, na marikebu zipitazo baharini kwa amri yake, na amezishika
17 28, 40 | majeshi yake, na tukawatupa baharini. Basi hebu angalia ulikuwaje
18 30, 41 | Ufisadi umedhihiri bara na baharini kwa iliyo yafanya mikono
19 31, 31 | huoni kwamba marikebu hupita baharini zikichukua neema za Mwenyezi
20 42, 32 | vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima. ~~~~~~
21 51, 40 | majeshi yake na tukawatupa baharini, na yeye ndiye wa kulaumiwa. ~~~~~~
22 55, 24 | vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima. ~~~~~~
|