bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 235| kwa ishara tu kwa wanawake waliomo edani au mkadhamiria katika
2 5, 17 | Maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? Na mamlaka
3 6, 39 | zetu ni viziwi na mabubu waliomo gizani. Mwenyezi Mungu humwachia
4 6, 116| ukiwat'ii wengi katika hawa waliomo duniani watakupoteza na
5 6, 139| 139. Na husema: Waliomo matumboni mwa wanyama hawa
6 6, 143| wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa majike yote
7 6, 144| wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa yote majike?
8 8, 70 | Ewe Nabii! Waambie mateka waliomo mikononi mwenu: Kama Mwenyezi
9 10, 99 | Mlezi wangeli amini wote waliomo katika ardhi. Je, wewe utawalazimisha
10 11, 105| Mungu. Kati yao watakuwamo waliomo mashakani na wenye furaha. ~~~~~~
11 14, 8 | Mkikufuru nyinyi na wote waliomo duniani, hakika Mwenyezi
12 17, 55 | wako Mlezi anawajua vilivyo waliomo mbinguni na katika ardhi.
13 23, 71 | haribika mbingu na ardhi na waliomo ndani. Bali tumewaletea
14 27 | na vipi watavyo fazaika waliomo wakati wa mpulizo wa kufufuliwa
15 27, 87 | pulizwa baragumu, watahangaika waliomo mbinguni na katika ardhi,
16 39, 68 | litapulizwa barugumu, wazimie waliomo mbinguni na waliomo katika
17 39, 68 | wazimie waliomo mbinguni na waliomo katika ardhi, isipo kuwa
18 42, 5 | na wakiwaombea maghfira waliomo kwenye ardhi. Ama hakika
19 43, 40 | unaweza kuwaongoa vipofu na waliomo katika upotofu ulio wazi? ~~~~~~
20 70, 14 | 14. Na wote waliomo duniani, kisha aokoke yeye. ~~~~~~
21 100, 9 | hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini? ~~~~~~
|