bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 1 | na kubainisha ahadi na bishara kwa Muumini mtenda mema;
2 2 | ikawaonya makafiri, na ikawapa bishara njema Waumini. Baadaye ikawaelekea
3 2, 97 | yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini. ~~~~~~
4 2, 223| mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini. ~~~~~~
5 3, 126| hakufanya haya ila kuwa ni bishara kwenu, na ili nyoyo zenu
6 7, 57 | pepo (za kuvuma) kuwa ni bishara kabla ya kufika rehema yake.
7 8, 10 | hakufanya haya ila kuwa ni bishara na ili nyoyo zenu zituwe.
8 10, 64 | 64. Wao wana bishara njema katika maisha ya dunia
9 11, 69 | wetu walimjia Ibrahim kwa bishara njema, wakasema: Salama!
10 11, 74 | mwondoka Ibrahim, na ikawa ile bishara imemfikia, alianza kujadiliana
11 16, 89 | uwongofu, na rehema, na bishara kwa Waislamu. ~~~~~~
12 16, 102| kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu. ~~~~~~
13 18 | kuwa Qur'ani ni onyo na bishara. Ndani yake lipo onyo kwa
14 25, 48 | ndiye anaye zituma pepo kuwa bishara njema kabla ya rehema yake,
15 27, 2 | 2. Uwongofu na bishara kwa Waumini, ~~~~~~
16 27, 63 | akazipeleka pepo kuleta bishara kabla ya rehema zake? Je!
17 29, 31 | wetu walipo mjia Ibrahim na bishara, walisema: Hakika sisi hapana
18 30, 46 | ni kuzituma pepo ziletazo bishara njema, na ili kukuonjesheni
19 39, 17 | Mwenyezi Mungu, watapata bishara njema. Basi wabashirie waja
20 41 | iliyo kusanya yaliyo khusu bishara na maonyo. Na imeeleza msimamo
21 46, 12 | walio dhulumu, na kiwe ni bishara kwa watendao mema. ~~~~~~
|