Sura, verse
1 2, 178| baada ya haya, basi yeye atapata adhabu chungu. ~~~~~~
2 4, 11 | warithi wake, basi mama yake atapata thuluthi moja. Na akiwa
3 4, 11 | anao ndugu, basi mama yake atapata sudusi. Haya ni baada ya
4 4, 12 | basi kila mmoja katika hawa atapata sudusi. Na wakiwa zaidi
5 4, 14 | atamtia Motoni adumu humo, na atapata adhabu ya kudhalilisha. ~~~~~~
6 4, 100| katika Njia ya Mwenyezi Mungu atapata pengi duniani pa kukimbilia,
7 4, 100| duniani pa kukimbilia, na atapata wasaa. Na anaye toka nyumbani
8 4, 176| ndugu wa kike, basi huyo atapata nusu alicho acha maiti.
9 4, 176| wanawake, basi mwanamume atapata sehemu iliyo sawa na ya
10 5, 94 | ruka mipaka baada ya hayo atapata adhabu kali. ~~~~~~
11 9, 63 | na Mtume wake, basi huyo atapata Moto wa Jahannamu adumu
12 18, 88 | amini na akatenda mema basi atapata malipo mazuri. Nasi tutamwambia
13 20, 124| mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku
14 22, 9 | Mwenyezi Mungu. Duniani atapata hizaya, na Siku ya Kiyama
15 24, 11 | kwenu. Kila mtu katika wao atapata aliyo yachuma katika madhambi.
16 24, 11 | yake kubwa miongoni mwao, atapata adhabu kubwa. ~~~~~~
17 25, 68 | na atakaye fanya hayo atapata madhara, ~~~~~~
18 28, 84 | 84. Atakaye tenda wema atapata malipo bora kuliko huo wema
19 31, 7 | uziwi. Basi mbashirie kuwa atapata adhabu chungu. ~~~~~~
20 52, 21 | vitendo vyao. Kila mtu lazima atapata alicho kichuma. ~~~~~~
21 55, 46 | mbele ya Mola wake Mlezi atapata Bustani mbili. ~~~~~~
|