bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 6, 23 | 23. Kisha hautakuwa udhuru wao ila ni kusema: Wallahi!
2 7, 164| kali? Wakasema: Ili uwe ni udhuru kwa Mola Mlezi wenu, na
3 9 | Naye Subhanahu ametaja udhuru unao mstahikia mtu kubaki
4 9, 66 | 66. Msitoe udhuru; mmekwisha kufuru baada
5 9, 90 | Na walikuja wenye kutoa udhuru katika Mabedui ili wapewe
6 9, 94 | 94. WATAKUTOLEENI UDHURU mtapo warudia. Sema: Msitoe
7 9, 94 | mtapo warudia. Sema: Msitoe udhuru; hatukuaminini. Mwenyezi
8 11 | kufuru za makafiri bila ya udhuru wowote kwa ukafiri wao,
9 18, 76 | nami, kwani umekwisha pata udhuru kwangu. ~~~~~~
10 30, 57 | hautawafaa walio dhulumu udhuru wao, wala haitotakiwa toba
11 31 | bila ya ujuzi, na wanao toa udhuru kwa upotovu wao kuwa wanawafuata
12 40, 52 | ambayo hautawafaa madhaalimu udhuru wao, nao watapata laana,
13 45, 35 | wala hao hawatakubaliwa udhuru wao. ~~~~~~
14 48 | na ikabainisha uwongo wa udhuru walio toa walio kwenda kinyume
15 48 | kuacha kwenda vitani kwa udhuru wa kweli. Kama ilivyo weka
16 66 | ikabainisha kwamba haukubalii udhuru wa makafiri Siku ya Kiyama.
17 66, 7 | Enyi mlio kufuru! Msilete udhuru leo. Hakika mnalipwa mliyo
18 75, 15 | ingawa atatoa chungu ya udhuru. ~~~~~~
19 77, 36 | Wala hawataruhusiwa kutoa udhuru. ~~~~~~
|