bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 49 | na katika hayo ulikuwa ni mtihani mkubwa ulio toka kwa Mola
2 2, 102| wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza
3 7, 155| Haya si chochote ila ni mtihani wako, umpoteze umtakaye
4 8, 28 | zenu na wana wenu ni Fitna (mtihani), na kwamba kwa Mwenyezi
5 11, 7 | ya maji, ili akufanyieni mtihani ajuulikane ni nani miongoni
6 14, 6 | Na katika hayo ulikuwa mtihani mkubwa unao toka kwa Mola
7 18, 7 | pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni nani kati yao wenye
8 20, 85 | akasema: Sisi tumewatia mtihani watu wako baada yako, na
9 21, 35 | mauti; na tunakujaribuni kwa mtihani wa shari na kheri. Na kwetu
10 21, 111| Wala sijui pengine huu ni mtihani tu kwenu na starehe mpaka
11 23, 30 | Sisi ni wenye kuwafanyia mtihani. ~~~~~~
12 34 | lakini hayo yalikuwa ni mtihani tu wapate kutengana baina
13 38, 24 | akajua kuwa tumemfanyia mtihani. Basi akamwomba msamaha
14 39, 49 | ilimu yangu. Sio! Huo ni mtihani! Lakini wengi wao hawajui! ~~~~~~
15 44, 17 | kabla ya hawa tuliwafanyia mtihani watu wa Firauni, na aliwafikia
16 47, 31 | subiri. Nasi tutazifanyia mtihani khabari zenu. ~~~~~~
17 60, 5 | wetu Mlezi! Usitufanyie mtihani kwa walio kufuru. Na tusamehe,
18 60, 10 | walio hama, basi wafanyieni mtihani - Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye
19 76, 2 | iliyo changanyika, tumfanyie mtihani. Kwa hivyo tukamfanya mwenye
|