bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 6, 32 | chochte ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya
2 6, 70 | ifanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghuri.
3 7, 51 | waliifanya dini yao kuwa ni pumbao na mchezo, na maisha ya
4 7, 176| aliushikilia ulimwengu na akafuata pumbao lake. Basi mfano wake ni
5 11, 15 | taka maisha ya dunia na pumbao lake tutawalipa humo vitendo
6 20, 16 | ambaye haiamini na akafuata pumbao lake ukaja kuhiliki. ~~~~~~
7 28, 50 | basi jua kuwa wanafuata pumbao lao tu. Na nani aliye potea
8 28, 50 | zaidi kumshinda anaye fuata pumbao lake bila ya uwongofu utokao
9 29, 64 | dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya
10 47, 14 | vitendo vyake, na wakafuata pumbao lao? ~~~~~~
11 47, 16 | nyoyo zao, na wakafuata pumbao lao. ~~~~~~
12 47, 36 | wa duniani ni mchezo na pumbao. Na mkiamini na mkamchamngu
13 57, 20 | maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na pambo, na kujifakhirisha
14 62 | wasiache biashara au jambo la pumbao lolote kuwashughulisha wasiisikilize
15 62, 11 | wanapo iona biashara au pumbao wanayakimbilia hayo na wakakuacha
16 62, 11 | Mwenyezi Mungu ni bora kuliko pumbao na biashara. Na Mwenyezi
17 90 | kuridhisha matamanio yake na pumbao lake. Kisha Subhanahu akazitaja
18 114 | zinatokana na matamanio yao, na pumbao lao, basi wakatumbukia katika
|