Sura, verse
1 2, 21 | Muabuduni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni nyinyi na wale wa kabla
2 4, 1 | Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja,
3 6, 2 | 2. Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni
4 6, 94 | mlitujia wapweke kama tulivyo kuumbeni mara ya kwanza. Na mkayaacha
5 7, 29 | kumsafia Dini. Kama alivyo kuumbeni mwanzo ndivyo mtavyo rudi, ~~~~~~
6 7, 189| 189. Yeye ndiye aliye kuumbeni katika nafsi moja; na katika
7 11, 61 | ila Yeye. Yeye ndiye aliye kuumbeni katika ardhi, na akakuwekeni
8 17, 51 | tena? Sema: Yule yule aliye kuumbeni mara ya kwanza! Watakutikisia
9 18, 48 | Mmetujia kama tulivyo kuumbeni mara ya kwanza! Bali mlidai
10 26, 184| 184. Na mcheni aliye kuumbeni nyinyi na vizazi vilivyo
11 30, 40 | Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni, kisha akakuruzukuni, kisha
12 30, 54 | Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na udhaifu kisha
13 37, 96 | Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni nyinyi na hivyo mnavyo vifanya! ~~~~~~
14 40, 67 | 67. Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha kwa tone
15 41, 21 | kitu! Na Yeye ndiye aliye kuumbeni mara ya kwanza, na kwake
16 53, 32 | anakujueni sana tangu alipo kuumbeni kutoka kwenye ardhi, na
17 64, 2 | 2. Yeye ndiye aliye kuumbeni. Miongoni mwenu yupo aliye
18 67, 23 | Sema: Yeye ndiye aliye kuumbeni tangu mwanzo, na akakupeni
|