bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 31 | 31. Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka
2 2, 31 | Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli. ~~~~~~
3 2, 33 | Akasema: Ewe Adam! Waambie majina yake. Basi alipo waambia
4 2, 33 | yake. Basi alipo waambia majina yake alisema: Sikukwambieni
5 7, 71 | Mnabishana nami kwa ajili ya majina tu mliyo yaita nyinyi na
6 7, 180| 180. Na Mwenyezi Mungu ana majina mazuri kabisa, basi muombeni
7 7, 180| wanao haribu utakatifu wa majina yake. Hao watakuja lipwa
8 12, 40 | Hamuabudu badala yake ila majina tu mliyo yapanga nyinyi
9 17, 110| mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze
10 20, 8 | isipo kuwa Yeye. Yeye ana majina mazuri kabisa. ~~~~~~
11 49, 10 | hishima, wala msiitane kwa majina ya kejeli. Ni uovu kutumia
12 53 | kwa mikono yao, wakayaita majina yao wenyewe, kama walivyo
13 53, 23 | 23. Hayo hayakuwa ila ni majina mliyo wapa nyinyi na baba
14 53, 27 | ndio wanawaita Malaika kwa majina ya kike. ~~~~~~
15 59 | Yeye Mwenye Asmau-l-H'usna, Majina Mazuri kabisa.~KWA JINA
16 59, 24 | Mtengenezaji, Mtia sura, Mwenye majina mazuri kabisa. Kila kilioko
|