bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 3, 154| ya dhiki alikuteremshieni utulivu - usingizi ambao ulifunika
2 6, 96 | ameufanya usiku kwa mapumziko na utulivu, na jua na mwezi kwenda
3 7, 189| wake, ili akae naye kwa utulivu. Na anapo muingilia hubeba
4 9, 26 | Mwenyezi Mungu akateremsha utulivu wake juu ya Mtume wake na
5 9, 40 | Mwenyezi Mungu akamteremshia utulivu wake, na akamuunga mkono
6 9, 103| rehema. Hakika maombi yako ni utulivu kwao. Na Mwenyezi Mungu
7 16, 112| mji ulio kuwa na amani na utulivu, riziki yake ikiufikia kwa
8 17, 95 | wapo Malaika wanatembea kwa utulivu wao, basi bila ya shaka
9 23, 50 | mahali palipo inuka penye utulivu na chemchem za maji. ~~~~~~
10 30, 21 | na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye amejaalia mapenzi
11 48, 4 | Yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za Waumini
12 48, 18 | nyoyoni mwao. Basi akateremsha utulivu juu yao, na akawalipa kwa
13 48, 26 | Mwenyezi Mungu aliteremsha utulivu juu ya Mtume wake na juu
14 73 | Sala na kusoma Qur'ani kwa utulivu. Akawa anasimama yeye na
15 77, 21 | Kisha tukayaweka mahali pa utulivu madhubuti? ~~~~~~
|