bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 21 | wenu Mlezi aliye kuumbeni nyinyi na wale wa kabla yenu, ili
2 2, 22 | Mungu washirika, na hali nyinyi mnajua. ~~~~~~
3 2, 36 | Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi
4 2, 36 | nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa makaazi
5 2, 44 | mnajisahau nafsi zenu, na hali nyinyi mnasoma Kitabu? Basi je,
6 2, 54 | Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmezidhulumu nafsi zenu
7 2, 76 | wenu Mlezi? Basi hamfahamu nyinyi? ~~~~~~
8 2, 83 | kuwa wachache tu katika nyinyi; na nyinyi mnapuuza. ~~~~~~
9 2, 83 | wachache tu katika nyinyi; na nyinyi mnapuuza. ~~~~~~
10 2, 85 | 85. Kisha nyinyi kwa nyinyi mnauwana, na
11 2, 85 | 85. Kisha nyinyi kwa nyinyi mnauwana, na mnawatoa baadhi
12 2, 94 | basi tamanini mauti kama nyinyi mnasema kweli. ~~~~~~
13 2, 109| wanatamani lau wange kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini
14 2, 111| Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli. ~~~~~~
15 2, 134| yachuma; wala hamtaulizwa nyinyi waliyo kuwa wakiyafanya
16 2, 136| 136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu
17 2, 137| wakiamini kama mnavyo amini nyinyi, itakuwa kweli wameongoka.
18 2, 139| sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu? Nasi
19 2, 140| Mayahudi au Wakristo? Sema: Je, nyinyi mnajua zaidi au Mwenyezi
20 2, 141| watapata waliyo yachuma, na nyinyi mt apata mliyo yachuma,
21 2, 141| yachuma, wala hamtaulizwa nyinyi yale waliyo kuwa wakifanya
22 2, 151| Mtume kwenu anaye tokana na nyinyi, anakusomeeni Aya zetu na
23 2, 154| bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. ~~~~~~
24 2, 187| zenu. Wao ni vazi kwenu, na nyinyi ni vazi kwao. Mwenyezi Mungu
25 2, 203| Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba nyinyi mtakusanywa kwake. ~~~~~~
26 2, 216| Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui. ~~~~~~
27 2, 217| wakiweza. Na yeyote katika nyinyi akiacha Dini yake akafa
28 2, 223| Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape
29 2, 232| Mwenyezi Mungu anajua, lakini nyinyi hamjui. ~~~~~~
30 2, 235| Mwenyezi Mungu anajua kwamba nyinyi mtawakumbuka. Lakini msiwaahidi
31 2, 248| zimo dalili kwenu ikiwa nyinyi mnaamini. ~~~~~~
32 2, 267| kutoa vilivyo vibaya, hali nyinyi wenyewe msinge vipokea ila
33 2, 278| riba zilizo bakia, ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
34 3, 31 | 31. Sema: Ikiwa nyinyi mnampenda Mwenyezi Mungu
35 3, 49 | haya ipo Ishara kwenu ikiwi nyinyi ni wenye kuamini. ~~~~~~
36 3, 61 | zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe, kisha tuombe kwa
37 3, 64 | lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote
38 3, 66 | 66. Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo
39 3, 66 | Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui. ~~~~~~
40 3, 70 | za Mwenyezi Mungu ilhali nyinyi mnashuhudia? ~~~~~~
41 3, 73 | apewe mtu mfano wa mlio pewa nyinyi au wakuhojini mbele ya Mola
42 3, 79 | wa viumbe vyote, kwa kuwa nyinyi mnafundisha Kitabu na kwa
43 3, 80 | atakuamrisheni ukafiri baada ya kuwa nyinyi Waislamu? ~~~~~~
44 3, 93 | Leteni Taurati muisome ikiwa nyinyi ni wasema kweli. ~~~~~~
45 3, 99 | mkiitafutia kosa, na hali nyinyi mnashuhudia? Na Mwenyezi
46 3, 101| 101. Na vipi mkufuru hali nyinyi mnasomewa Aya za Mwenyezi
47 3, 103| juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha
48 3, 103| vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha
49 3, 104| 104. Na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri
50 3, 110| 110. Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio
51 3, 118| wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni
52 3, 118| kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini. ~~~~~~
53 3, 119| 119. Hivyo basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao,
54 3, 120| ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia,
55 3, 139| wala msihuzunike, kwani nyinyi ndio wa juu mkiwa ni Waumini. ~~~~~~
56 3, 143| 143. Na nyinyi mlikuwa mkitamani mauti
57 3, 165| 165. Nyinyi - ulipo kusibuni msiba ambao
58 3, 165| ulipo kusibuni msiba ambao nyinyi mmekwisha watia mara mbili
59 3, 175| bali niogopeni Mimi mkiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
60 3, 195| mwanamume au mwanamke, kwani ni nyinyi kwa nyinyi. Basi walio hama,
61 3, 195| mwanamke, kwani ni nyinyi kwa nyinyi. Basi walio hama, na walio
62 4, 11 | Baba zenu na watoto wenu, nyinyi hamjui ni nani baina yao
63 4, 15 | washuhudizieni watu wane katika nyinyi. Watakapo shuhudia, basi
64 4, 21 | ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake
65 4, 21 | mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua
66 4, 25 | ni Mjuzi wa imani yenu. Nyinyi mmetokana wenyewe kwa wenyewe.
67 4, 59 | na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo
68 4, 94 | Hivyo ndivyo mlivyo kuwa nyinyi zamani, na Mwenyezi Mungu
69 4, 104| wanaumia kama mnavyo umia nyinyi. Nanyi mnataraji kwa Mwenyezi
70 4, 109| 109. Hivyo nyinyi mmewatetea hawa katika uhai
71 4, 131| pewa Kitabu kabla yenu, na nyinyi pia, kwamba mumche Mwenyezi
72 5, 18 | ajili ya dhambi zenu? Bali nyinyi ni watu tu kama wale wengine
73 5, 23 | waingilia basi kwa yakini nyinyi mtashinda. Na mtegemeeni
74 5, 23 | mtegemeeni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
75 5, 48 | kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na
76 5, 57 | mcheni Mwenyezi Mungu kama nyinyi ni wenye kuamini. ~~~~~~
77 5, 59 | na kwa kuwa wengi katika nyinyi ni wapotofu? ~~~~~~
78 5, 96 | 96. Nyinyi mmehalalishiwa kuvua vinyama
79 5, 105| Hawakudhuruni walio potoka ikiwa nyinyi mmeongoka. Ni kwa Mwenyezi
80 5, 106| wawili wasio kuwa katika nyinyi. Mtawazuia wawili hao baada
81 5, 112| Mcheni Mwenyezi Mungu ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
82 5, 115| hicho. Lakini yeyote katika nyinyi atakaye kanya baadae, basi
83 6, 2 | kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka. ~~~~~~
84 6, 6 | katika nchi tusivyo kuwekeni nyinyi; tukawapelekea mvua nyingi
85 6, 19 | ndiye shahidi baina yangu na nyinyi. Na nimefunuliwa Qur'ani
86 6, 19 | hii ili kwayo nikuonyeni nyinyi na kila inayo mfikia. Ati
87 6, 19 | inayo mfikia. Ati kweli nyinyi mnashuhudia kuwa pamoja
88 6, 38 | mbili, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu
89 6, 40 | kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi ni wakweli? ~~~~~~
90 6, 58 | katwa shauri baina yangu na nyinyi. Na Mwenyezi Mungu anawashinda
91 6, 64 | kutoka kila mashaka, na kisha nyinyi mnamshirikisha! ~~~~~~
92 6, 81 | mnavyo vishirikisha, hali nyinyi hamkhofu kuwa nyinyi mmemshirikisha
93 6, 81 | hali nyinyi hamkhofu kuwa nyinyi mmemshirikisha Mwenyezi
94 6, 81 | zaidi kupata amani, kama nyinyi mnajua? ~~~~~~
95 6, 91 | mkafunzwa mlio kuwa hamyajui nyinyi wala baba zenu? Sema: Mwenyezi
96 6, 109| ziko kwa Mwenyezi Mungu. Na nyinyi hamjui kuwa zitapo kuja
97 6, 121| mkiwafuata basi hapana shaka nyinyi mtakuwa washirikina. ~~~~~~
98 6, 128| makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi
99 6, 130| hawakukujieni Mitume kutokana na nyinyi wenyewe wakikubainishieni
100 6, 134| ahidiwa yatafika tu, wala nyinyi hamtaweza kuyaepuka. ~~~~~~
101 6, 143| Niambieni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema kweli. ~~~~~~
102 6, 144| matumboni mwa yote majike? Au, nyinyi mlikuwapo Mwenyezi Mungu
103 6, 148| onja adhabu yetu. Sema: Je, nyinyi mnayo ilimu mtutolee? Nyinyi
104 6, 148| nyinyi mnayo ilimu mtutolee? Nyinyi hamfuati ila dhana. Wala
105 6, 151| umasikini. Sisi tunakuruzukuni nyinyi na wao. Wala msikaribie
106 7, 18 | basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote. ~~~~~~
107 7, 24 | Akasema: Teremkeni! Mtakuwa nyinyi kwa nyinyi maadui. Na kwenye
108 7, 24 | Teremkeni! Mtakuwa nyinyi kwa nyinyi maadui. Na kwenye ardhi
109 7, 27 | kabila yake wanakuoneni, na nyinyi hamuwaoni. Hakika Sisi tumewafanya
110 7, 38 | kwenu nyote marudufu, lakini nyinyi hamjui tu. ~~~~~~
111 7, 39 | watawaambia wa mwisho wao: Basi nyinyi pia hamkuwa na ubora kuliko
112 7, 44 | Mlezi kuwa ni kweli. Je, na nyinyi pia mmekuta aliyo kuahidini
113 7, 59 | Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna Mungu ila Yeye. Hakika
114 7, 62 | Mwenyezi Mungu msiyo yajua nyinyi. ~~~~~~
115 7, 63 | mtu aliye ni mmoja katika nyinyi, ili akuonyeni na ili mumchemngu,
116 7, 65 | Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna mungu ila Yeye. Basi
117 7, 69 | kwa mtu aliye mmoja wenu nyinyi ili akuonyeni? Na kumbukeni
118 7, 71 | ya majina tu mliyo yaita nyinyi na baba zenu ambayo kwayo
119 7, 73 | Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna Mungu ila Yeye. Hakika
120 7, 79 | na nikakunasihini, lakini nyinyi hamwapendi wenye nasaha. ~~~~~~
121 7, 81 | 81. Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa
122 7, 81 | mkwawacha wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji! ~~~~~~
123 7, 85 | ndivyo bora kwenu ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
124 7, 90 | Shua'ib, basi hakika hapo nyinyi mtakuwa mlio khasiri. ~~~~~~
125 7, 129| adui wenu, na akakufanyeni nyinyi ndio wa kufuatia kushika
126 7, 129| atazame mtavyo kuja tenda nyinyi. ~~~~~~
127 7, 138| miungu. Musa akasema: Hakika nyinyi ni watu msio jua kitu. ~~~~~~
128 7, 158| Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na Mwenyezi
129 7, 194| Mungu ni waja mfano wenu nyinyi. Hebu waombeni, nao wakuitikieni,
130 8, 1 | Mungu na Mtume wake ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
131 8, 17 | 17. Hamkuwauwa nyinyi lakini Mwenyezi Mungu ndiye
132 8, 41 | masikini, na wasafiri, ikiwa nyinyi mmemuamini Mwenyezi Mungu
133 8, 42 | Kumbukeni pale mlipo kuwa nyinyi kwenye ng'ambo ya karibu
134 8, 44 | wachache, na akakufanyeni nyinyi ni wachache machoni mwao,
135 8, 60 | Mungu mtarudishiwa, na wala nyinyi hamtadhulumiwa. ~~~~~~
136 8, 72 | amini lakini hawakuhama, nyinyi hamna waajibu wa ulinzi
137 8, 75 | nanyi, basi hao ni katika nyinyi. Na jamaa wa nasaba wanastahikiana
138 9, 2 | miezi mine, na jueni kwamba nyinyi hamwezi kumshinda Mwenyezi
139 9, 3 | mkigeuka basi jueni kuwa nyinyi hamumshindi Mwenyezi Mungu.
140 9, 13 | anastahiki zaidi mumwogope, ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
141 9, 23 | kuliko Imani. Na katika nyinyi atakaye wafanya hao ndio
142 9, 39 | atawaleta watu wengine, wala nyinyi hamtamdhuru chochote. Na
143 9, 40 | 40. Ikiwa nyinyi hamtamnusuru Mtume, basi
144 9, 53 | Hakitopokelewa kitu kwenu, kwani nyinyi ni watu wapotovu. ~~~~~~
145 9, 56 | Mungu kwamba wao ni katika nyinyi, wala wao si katika nyinyi.
146 9, 56 | nyinyi, wala wao si katika nyinyi. Lakini ni watu wanao ogopa. ~~~~~~
147 9, 62 | Mungu ili kukuridhisheni nyinyi, hali ya kuwa wanao stahiki
148 9, 69 | mali na watoto zaidi kuliko nyinyi. Basi walistarehea fungu
149 9, 69 | walistarehea fungu lao, na nyinyi mnastarehea fungu lenu,
150 9, 69 | walio kuwa kabla yenu. Na nyinyi mkazama katika maovu kama
151 9, 83 | idhini ya kutoka - sema: Nyinyi hamtatoka pamoja nami kabisa,
152 9, 83 | hamtapigana na adui pamoja nami. Nyinyi mliridhia kukaa nyuma mara
153 9, 128| kujieni Mtume kutokana na nyinyi wenyewe; yanamhuzunisha
154 10, 20 | ya Mwenyezi Mungu. Basi nyinyi ngojeni, na mimi ni pamoja
155 10, 28 | shirikisha: Simameni mahali penu nyinyi na wale mlio wafanya washirika.
156 10, 28 | walio washirikisha watasema: Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi. ~~~~~~
157 10, 29 | ni shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna
158 10, 35 | ila aongozwe yeye? Basi nyinyi mna nini? Mnahukumu namna
159 10, 38 | kuwa Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnasema kweli. ~~~~~~
160 10, 41 | Mimi nina a'mali yangu, na nyinyi mna a'mali yenu. Nyinyi
161 10, 41 | nyinyi mna a'mali yenu. Nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo,
162 10, 51 | Je! Ndio sasa tena? Na nyinyi mlikuwa mkiihimiza. ~~~~~~
163 10, 53 | Hakika hayo ni kweli, na wala nyinyi hamshindi! ~~~~~~
164 10, 68 | ardhi ni vyake peke yake. Nyinyi hamna uthibitisho wowote
165 10, 78 | nayo baba zetu, na mpate nyinyi wawili ukubwa katika nchi?
166 10, 78 | Wala sisi hatukuaminini nyinyi. ~~~~~~
167 10, 84 | Enyi watu wangu! Ikiwa nyinyi mmemuamini Mwenyezi Mungu,
168 10, 84 | basi mtegemeeni Yeye, ikiwa nyinyi ni Waislamu. ~~~~~~
169 10, 104| Sema: Enyi watu! Ikiwa nyinyi mnayo shaka katika Dini
170 10, 104| mimi siwaabudu mnao waabudu nyinyi badala ya Mwenyezi Mungu.
171 11, 7 | vitendo. Na wewe ukisema: Nyinyi hakika mtafufuliwa baada
172 11, 14 | mungu ila Yeye. Basi je! Nyinyi ni Waislamu? ~~~~~~
173 11, 27 | kutushinda sisi. Bali tuna hakika nyinyi ni waongo. ~~~~~~
174 11, 28 | tukulazimisheni kuikubali hali nyinyi mnaichukia? ~~~~~~
175 11, 33 | atakuleteeni akipenda. Wala nyinyi si wenye kumshinda. ~~~~~~
176 11, 38 | wakimkejeli. Yeye akasema: Ikiwa nyinyi mnatukejeli na sisi tunakukejelini
177 11, 50 | Muabuduni Mwenyezi Mungu! Nyinyi hamna mungu isipo kuwa Yeye.
178 11, 50 | hamna mungu isipo kuwa Yeye. Nyinyi si chochote ila ni wazushi
179 11, 54 | namshuhudisha Mwenyezi Mungu, na nyinyi shuhudieni, ya kwamba mimi
180 11, 55 | Mkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha
181 11, 57 | wengine badala yenu, wala nyinyi hamumdhuru kitu Yeye. Hakika
182 11, 61 | Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna Mungu ila Yeye. Yeye
183 11, 63 | Mwenyezi Mungu nikimuasi? Basi nyinyi hamtanizidishia ila khasara
184 11, 84 | Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna Mungu ila Yeye, wala
185 11, 86 | bora kwa ajili yenu, ikiwa nyinyi ni Waumini. Wala mimi siye
186 11, 113| usije ukakuguseni Moto. Wala nyinyi hamna walinzi badala ya
187 12, 9 | wa baba yenu ukuelekeeni nyinyi. Na baada ya haya mtakuwa
188 12, 10 | Wasafiri watakuja mwokota; kama nyinyi mna sharti ya kufanya jambo. ~~~~~~
189 12, 13 | hakika inanihuzunisha kwamba nyinyi mwende naye, na ninaogopa
190 12, 40 | majina tu mliyo yapanga nyinyi na baba zenu. Mwenyezi Mungu
191 12, 43 | maana ya ndoto zangu, ikiwa nyinyi mnaweza kuagua ndoto. ~~~~~~
192 12, 70 | Enyi wasafiri! Hapana shaka nyinyi ni wezi! ~~~~~~
193 12, 74 | yake yatakuwa nini ikiwa nyinyi ni waongo? ~~~~~~
194 12, 77 | hakuwaonyesha. Akawaambia: Nyinyi mko katika hali mbaya zaidi,
195 12, 86 | Mwenyezi Mungu msiyo yajua nyinyi. ~~~~~~
196 12, 96 | Mwenyezi Mungu msiyo yajua nyinyi? ~~~~~~
197 13, 42 | kuwa shahidi baina yangu na nyinyi, na pia yule mwenye ilimu
198 14, 8 | Musa alisema: Mkikufuru nyinyi na wote waliomo duniani,
199 14, 10 | muda ulio wekwa. Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni wanaadamu
200 14, 11 | chochote ila ni wanaadamu kama nyinyi. Lakini Mwenyezi Mungu humfanyia
201 14, 22 | kuwa mtetezi wenu, wala nyinyi hamwezi kuwa watetezi wangu.
202 14, 44 | tuwafuate Mitume. Kwani nyinyi si mliapa zamani kwamba
203 15, 20 | maisha yenu, na ya hao ambao nyinyi sio wenye kuwaruzuku. ~~~~~~
204 15, 22 | tukakunywesheni maji hayo. Wala si nyinyi mnayo yaweka. ~~~~~~
205 15, 24 | tunawajua walio tangulia katika nyinyi, na tunawajua walio taakhari. ~~~~~~
206 15, 62 | Alisema (Luut'i): Hakika nyinyi ni watu msio juulikana. ~~~~~~
207 15, 71 | Hawa binti zangu, ikiwa nyinyi ni watendaji. ~~~~~~
208 16, 2 | amtakaye katika waja wake ili nyinyi muonye kwamba hapana mungu
209 16, 10 | kutoka mbinguni. Katika hayo nyinyi mnapata ya kunywa, na miti
210 16, 43 | waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui ~~~~~~
211 16, 66 | hakika katika nyama hoa nyinyi mna mazingatio. Tunakunywesheni
212 16, 74 | Mwenyezi Mungu anajua, na nyinyi hamjui. ~~~~~~
213 16, 86 | watakapo watupia kauli: Hakika nyinyi ni waongo! ~~~~~~
214 17, 4 | katika Kitabu kwamba: Hakika nyinyi mtafanya fisadi katika nchi
215 17, 25 | yaliyo nyoyoni mwenu. Ikiwa nyinyi mtakuwa wema, basi hakika
216 17, 31 | Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika kuwaua hao ni khatia
217 17, 40 | banati zake? Kwa hakika nyinyi mnasema usemi mkubwa. ~~~~~~
218 17, 44 | kinamtakasa kwa sifa zake. Lakini nyinyi hamfahamu kutakasa kwake.
219 17, 47 | Wanapo sema hao madhaalimu: Nyinyi hamumfuati isipo kuwa mtu
220 17, 52 | Siku atakapo kuiteni, na nyinyi mkamuitikia kwa kumshukuru,
221 17, 66 | Yeye ni Mwenye kukurehemuni nyinyi. ~~~~~~
222 17, 96 | kuwa Shahidi baina yangu na nyinyi. Hakika Yeye anawajua vyema
223 17, 100| 100. Sema: Lau kuwa nyinyi mnazimiliki khazina za rehema
224 18, 95 | niwezesha ni bora zaidi. Lakini nyinyi nisaidieni kwa nguvu zenu.
225 18, 110| Mimi ni mwanaadamu kama nyinyi. Ninaletewa Wahyi kwamba
226 19, 71 | Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia.
227 20, 66 | 66. Akasema: Bali tupeni nyinyi! Tahamaki kamba zao na fimbo
228 20, 90 | Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmetiwa mtihanini tu kwa
229 20, 104| mbora wao katika mwendo: Nyinyi hamkukaa ila siku moja tu. ~~~~~~
230 20, 123| hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Na ukikufikieni
231 20, 123| kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Na ukikufikieni uwongofu
232 21, 3 | kuwa ni binaadamu tu kama nyinyi! Mnauwendea uchawi hali
233 21, 7 | waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui. ~~~~~~
234 21, 38 | hii itatokea lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli? ~~~~~~
235 21, 54 | Akasema: Bila ya shaka nyinyi na baba zenu mmekuwa katika
236 21, 64 | nafsi zao, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhaalimu! ~~~~~~
237 21, 66 | 66. Akasema: Basi nyinyi mnawaabudu asiye kuwa Mwenyezi
238 21, 67 | 67. Aibu yenu nyinyi na hivyo mnavyo viabudu
239 21, 67 | ya Mwenyezi Mungu! Basi nyinyi hamtii akilini? ~~~~~~
240 21, 68 | muinusuru miungu yenu, ikiwa nyinyi ni watendao jambo! ~~~~~~
241 21, 98 | 98. Hakika nyinyi na hao mnao waabudu badala
242 22 | kukufikishieni Ujumbe, na nyinyi mtoe ushahidi juu ya watu
243 22, 5 | 5. Enyi watu! Ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa
244 22, 5 | kutimia akili. Na wapo katika nyinyi wanao kufa, na wapo katika
245 22, 5 | wanao kufa, na wapo katika nyinyi wanao rudishwa kwenye umri
246 22, 33 | 33. Katika hao nyinyi mna manufaa mpaka muda maalumu.
247 22, 47 | miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi. ~~~~~~
248 22, 78 | Mtume shahidi juu yenu, na nyinyi muwe mashahidi kwa watu.
249 23, 15 | 15. Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa. ~~~~~~
250 23, 16 | 16. Kisha hakika nyinyi Siku ya Kiyama mtafufuliwa. ~~~~~~
251 23, 21 | viliomo matumboni mwao, na nyinyi mnapata katika hao manufaa
252 23, 23 | Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi hamna mungu asiye kuwa Yeye.
253 23, 24 | chochote ila ni mtu tu kama nyinyi. Anataka kujipa ubora juu
254 23, 33 | chochote ila ni binaadamu kama nyinyi; anakula mlacho, na anakunywa
255 23, 34 | 34. Na nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi
256 23, 34 | nyinyi mkimt'ii mtu kama nyinyi basi hakika mtakuwa khasarani. ~~~~~~
257 23, 65 | Msiyayatike leo! Hakika nyinyi hamtanusurika nasi. ~~~~~~
258 23, 84 | viliomo ndani yake, kama nyinyi mnajua? ~~~~~~
259 23, 105| Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha? ~~~~~~
260 23, 110| 110. Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni
261 23, 114| 114. Atasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila
262 23, 115| tulikuumbeni bure na ya kwamba nyinyi kwetu hamtarudishwa? ~~~~~~
263 24, 2 | ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu
264 24, 17 | kama haya kabisa, ikiwa nyinyi ni Waumini! ~~~~~~
265 24, 19 | Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui. ~~~~~~
266 24, 22 | 22. Na wale katika nyinyi wenye fadhila na wasaa wasiape
267 24, 22 | na waachilie mbali. Je! Nyinyi hampendi Mwenyezi Mungu
268 24, 54 | juu yenu ni mliyo bebshwa nyinyi. Na mkimt'ii yeye mtaongoka.
269 24, 58 | nyakati hizi, kuzungukiana nyinyi kwa nyinyi. Hivyo ndivyo
270 24, 58 | kuzungukiana nyinyi kwa nyinyi. Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu
271 24, 61 | kwa mgonjwa, wala kwenu nyinyi, mkila katika nyumba zenu,
272 24, 63 | baina yenu kama wito wa nyinyi kwa nyinyi. Hakika Mwenyezi
273 24, 63 | kama wito wa nyinyi kwa nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu anawajua
274 25, 8 | hiyo? Wakasema madhaalimu: Nyinyi hamumfuati ila mtu aliye
275 25, 17 | waabudu, na akasema: Je! Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu
276 25, 77 | si kuomba kwenu. Lakini nyinyi mmemkadhibisha. Basi adhabu
277 26, 24 | viliomo baina yao, ikiwa nyinyi ni wenye yakini. ~~~~~~
278 26, 28 | viliomo baina yao, ikiwa nyinyi mnatia akilini. ~~~~~~
279 26, 76 | 76. Nyinyi na baba zenu wa zamani? ~~~~~~
280 26, 155| zamu yake ya kunywa, na nyinyi muwe na zamu yenu ya kunywa
281 26, 166| katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka! ~~~~~~
282 26, 184| Na mcheni aliye kuumbeni nyinyi na vizazi vilivyo tangulia. ~~~~~~
283 27, 36 | alisema (Sulaiman): Hivyo ndio nyinyi mnanisaidia kwa mali? Aliyo
284 27, 36 | zaidi kuliko aliyo kupeni nyinyi. Lakini nyinyi mnafurahia
285 27, 36 | aliyo kupeni nyinyi. Lakini nyinyi mnafurahia hii zawadi yenu. ~~~~~~
286 27, 47 | kwa Mwenyezi Mungu; lakini nyinyi ni watu mnao jaribiwa. ~~~~~~
287 27, 55 | 55. Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa
288 27, 55 | badala ya wanawake? Hakika nyinyi ni watu mnao fanya ujinga
289 27, 60 | bustani zenye kupendeza? Nyinyi hamna uwezo wa kuiotesha
290 27, 64 | Sema: Leteni hoja zenu kama nyinyi ni wasema kweli. ~~~~~~
291 27, 84 | atasema (Mwenyezi Mungu): Je! Nyinyi si mlizikanusha Ishara zangu
292 28, 35 | Kwa sababu ya Ishara zetu nyinyi na watakao kufuateni mtashinda. ~~~~~~
293 28, 49 | hivi viwili tukifuate, kama nyinyi mnasema kweli. ~~~~~~
294 28, 55 | Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun
295 29, 16 | ndiyo kheri yenu, ikiwa nyinyi mnajua. ~~~~~~
296 29, 17 | 17. Hakika nyinyi mnaabudu masanamu badala
297 29, 22 | 22. Na nyinyi si wenye kushinda katika
298 29, 22 | wala katika mbingu. Wala nyinyi hamna mlinzi wala msaidizi
299 29, 25 | 25. Na alisema: Hakika nyinyi mmeyashika masanamu badala
300 29, 25 | Siku ya Kiyama mtakataana nyinyi kwa nyinyi, na mtalaaniana
301 29, 25 | Kiyama mtakataana nyinyi kwa nyinyi, na mtalaaniana nyinyi kwa
302 29, 25 | kwa nyinyi, na mtalaaniana nyinyi kwa nyinyi. Na makaazi yenu
303 29, 25 | na mtalaaniana nyinyi kwa nyinyi. Na makaazi yenu ni Motoni.
304 29, 28 | waambia watu wake: Hakika nyinyi mnafanya uchafu, ambao hapana
305 29, 29 | 29. Je! Nyinyi mnawaingilia wanaume, na
306 29, 52 | ni Shahidi baina yangu na nyinyi. Anayajua yaliomo katika
307 29, 60 | Mungu anawaruzuku hao na nyinyi pia. Na Yeye ndiye Mwenye
308 30, 28 | tulivyo kuruzukuni, mkawa nyinyi katika hivyo ni sawasawa,
309 30, 56 | na Imani watasema: Hakika nyinyi mlikwisha kaa katika hukumu
310 30, 56 | Siku ya kufufuliwa! Lakini nyinyi mlikuwa hamuijui. ~~~~~~
311 30, 58 | shaka walio kufuru watasema: Nyinyi si chochote ila ni waongo. ~~~~~~
312 32, 4 | akatawala kwenye Kiti cha Enzi. Nyinyi hamna mlinzi wala mwombezi
313 32, 5 | miaka elfu kwa mnavyo hisabu nyinyi. ~~~~~~
314 33, 13 | wa Yathrib! Hapana kukaa nyinyi! Rudini. Na kundi jingine
315 33, 21 | 21. Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa Mtume
316 33, 32 | 32. Enyi wake wa Nabii! Nyinyi si kama yeyote katika wanawake
317 34, 24 | Mungu! Na hakika sisi au nyinyi bila ya shaka tuko kwenye
318 34, 25 | 25. Sema: Nyinyi hamtaulizwa kwa makosa tuliyo
319 34, 25 | hatutaulizwa kwa mnayo yatenda nyinyi. ~~~~~~
320 34, 29 | hii itakuwa lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli? ~~~~~~
321 34, 30 | 30. Sema: Nyinyi mnayo miadi ya Siku ambayo
322 34, 31 | walio takabari: Lau kuwa si nyinyi, bila ya shaka tungeli kuwa
323 34, 32 | baada ya kukujieni? Bali nyinyi wenyewe ni wakosefu. ~~~~~~
324 34, 47 | Ujira nilio kuombeni ni wenu nyinyi. Sina ujira ila kwa Mwenyezi
325 35, 15 | 15. Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi
326 36, 15 | 15. Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu
327 36, 15 | Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu. ~~~~~~
328 36, 18 | Wakasema: Sisi tumeagua kuwa nyinyi ni wakorofi. Ikiwa hamtaacha
329 36, 19 | kwa kuwa mnakumbushwa? Ama nyinyi ni watu walio pindukia mipaka. ~~~~~~
330 36, 47 | angeli walisha mwenyewe? Nyinyi hammo ila katika upotofu
331 36, 48 | hii itatokea lini, ikiwa nyinyi ni wakweli? ~~~~~~
332 37, 28 | 28. Watasema: Kwa hakika nyinyi mlikuwa mkitujia upande
333 37, 29 | Watasema (wakubwa): Bali nyinyi wenyewe hamkuwa Waumini. ~~~~~~
334 37, 30 | na mamlaka juu yenu, bali nyinyi wenyewe mlikuwa wapotovu. ~~~~~~
335 37, 38 | 38. Hakika nyinyi bila ya shaka mtaionja adhabu
336 37, 96 | Mungu ndiye aliye kuumbeni nyinyi na hivyo mnavyo vifanya! ~~~~~~
337 37, 137| 137. Na hakika nyinyi mnawapitia wakati wa asubuhi, ~~~~~~
338 37, 154| Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi? ~~~~~~
339 37, 161| 161. Basi hakika nyinyi na mnao waabudu ~~~~~~
340 38, 60 | 60. Waseme: Lakini nyinyi! Hamna mapokezi mazuri!
341 38, 60 | Hamna mapokezi mazuri! Nyinyi ndio mlio tusabibisha haya,
342 38, 68 | 68. Ambayo nyinyi mnaipuuza. ~~~~~~
343 39, 6 | mungu isipo kuwa Yeye. Basi nyinyi mnageuzwa wapi? ~~~~~~
344 39, 15 | 15. Basi nyinyi abuduni mpendacho badala
345 40, 10 | kukubwa kuliko kujichukia nyinyi nafsi zenu, mlipo kuwa mnaitwa
346 40, 34 | dalili zilizo wazi, lakini nyinyi mliendelea katika shaka
347 41 | Hakika mimi ni mtu kama nyinyi; inafunuliwa kwangu ya kwamba
348 41, 6 | Hakika mimi ni mtu kama nyinyi; inafunuliwa kwangu ya kwamba
349 41, 9 | 9. Sema: Hivyo nyinyi mnamkataa aliye umba ardhi
350 41, 37 | Mungu aliye viumba, ikiwa nyinyi mnamuabudu Yeye tu. ~~~~~~
351 42, 15 | jukumu kwa vitendo vyetu, na nyinyi mna jukumu kwa vitendo vyenu.
352 42, 15 | kuhojiana baina yetu na nyinyi. Na Mwenyezi Mungu atatukusanya
353 42, 31 | 31. Na nyinyi hamwezi kushinda katika
354 42, 31 | kushinda katika ardhi. Na wala nyinyi hamna mlinzi wala msaidizi
355 43, 5 | kukukumbusheni kabisa kwa kuwa nyinyi ni watu mlio pita mipaka
356 43, 16 | viumba, na akakuteulieni nyinyi watoto wanaume? ~~~~~~
357 43, 39 | haitakufaeni kitu leo kwamba nyinyi mnashirikiana katika adhabu. ~~~~~~
358 43, 70 | 70. Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa
359 43, 71 | macho yanavifurahia, na nyinyi mtakaa humo milele. ~~~~~~
360 43, 77 | Mlezi! Naye aseme: Hakika nyinyi mtakaa humo humo! ~~~~~~
361 43, 78 | Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki. ~~~~~~
362 44, 7 | na vilio baina yao, ikiwa nyinyi mna yakini. ~~~~~~
363 44, 15 | tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile
364 44, 36 | warudisheni baba zetu, ikiwa nyinyi mnasema kweli. ~~~~~~
365 45, 25 | Waleteni baba zetu, ikiwa nyinyi ni wasemao kweli. ~~~~~~
366 45, 32 | kweli, na Saa haina shaka, nyinyi mkisema: Hatuijui hiyo Saa,
367 45, 34 | Leo tunakusahauni kama nyinyi mlivyo sahau mkutano wa
368 45, 35 | 35. Hayo ni kwa sababu nyinyi mlizifanyia mzaha Aya za
369 46, 8 | Ikiwa nimeizua mimi, basi nyinyi hamwezi kunifaa chochote
370 46, 8 | kuwa shahidi baina yangu na nyinyi. Na Yeye ndiye Mwenye kusamehe,
371 46, 9 | sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa
372 46, 10 | wa haya, na akaamini, na nyinyi mnafanya kiburi? Hakika
373 46, 20 | kwenye Moto wataambiwa: Nyinyi mlitwaa vitu vyenu vizuri
374 46, 23 | tumwa. Lakini nakuoneni kuwa nyinyi mnafanya ujinga. ~~~~~~
375 46, 26 | sio kama tulivyo kuwekeni nyinyi; na tuliwapa masikio, na
376 47, 4 | sababu akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa
377 47, 4 | akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa katika njia
378 47, 31 | tuwadhihirishe wapignao Jihadi katika nyinyi na wanao subiri. Nasi tutazifanyia
379 47, 35 | na kutaka suluhu, maana nyinyi ndio mtakao shinda. Na Mwenyezi
380 47, 38 | 38. Angalieni! Nyinyi mnaitwa mtumie katika njia
381 47, 38 | Mwenyezi Mungu, na wapo katika nyinyi wanao fanya ubakhili. Na
382 47, 38 | Mwenyezi Mungu si mhitaji, na nyinyi ndio wahitaji. Na mkigeuka
383 47, 38 | yenu, nao hawatakuwa kama nyinyi. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
384 48, 15 | zamani. Hapo watasema: Bali nyinyi mnatuhusudu. Siyo, bali
385 48, 27 | ndoto ya haki. Bila ya shaka nyinyi mtauingia Msikiti Mtakatifu,
386 49, 2 | kelele kama mnavyo semezana nyinyi kwa nyinyi, visije vitendo
387 49, 2 | mnavyo semezana nyinyi kwa nyinyi, visije vitendo vyenu vikaharibika,
388 49, 11 | msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika
389 49, 11 | msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi
390 49, 11 | nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama
391 49, 12 | aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni
392 49, 16 | kukuongoeni kwenye Imani, ikiwa nyinyi ni wakweli. ~~~~~~
393 51, 8 | 8. Hakika nyinyi bila ya shaka mmo katika
394 51, 23 | kweli kama ilivyo kweli kuwa nyinyi mnasema. ~~~~~~
395 51, 25 | Na yeye akasema: Salama! Nyinyi ni watu nisio kujueni. ~~~~~~
396 52, 39 | Mungu ana wasichana, na nyinyi ndio mna wavulana? ~~~~~~
397 53, 21 | 21. Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye
398 53, 23 | ila ni majina mliyo wapa nyinyi na baba zenu. Mwenyezi Mungu
399 54, 43 | yameandikwa vitabuni kuwa nyinyi hamtiwi makosani? ~~~~~~
400 56, 7 | 7. Na nyinyi mtakuwa namna tatu:- ~~~~~~
401 56, 48 | 51. Kisha nyinyi, mlio potea, mnao kanusha, ~~~~~~
402 56, 56 | 59. Je! Mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji? ~~~~~~
403 56, 57 | badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua. ~~~~~~
404 56, 60 | 64. Je! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi
405 56, 65 | 69. Je! Ni nyinyi mnayo yateremsha kutoka
406 56, 68 | 72. Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi
407 56, 77 | 81. Ni maneno haya ndiyo nyinyi mnayapuuza? ~~~~~~
408 56, 80 | 84. Na nyinyi wakati huo mnatazama! ~~~~~~
409 56, 81 | karibu zaidi naye kuliko nyinyi. ~~~~~~
410 56, 82 | 86. Na lau kuwa nyinyi hamumo katika mamlaka yangu, ~~~~~~
411 56, 83 | hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli? ~~~~~~
412 57, 7 | katika alivyo kufanyeni nyinyi kuwa ni waangalizi wake.
413 57, 8 | chukua ahadi yenu, ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
414 58, 11 | Mwenyezi Mungu atakufanyieni nyinyi nafasi. Na mkiambiwa: Ondokeni,
415 58, 14 | amewakasirikia? Hao si katika nyinyi, wala si katika wao. Na
416 58, 18 | wamuwapie kama wanavyo kuwapieni nyinyi. Na watadhani kuwa wamepata
417 59, 13 | 13. Hakika nyinyi ni kitisho zaidi katika
418 60, 1 | kujieni, wakamfukuza Mtume na nyinyi kwa sababu mnamuamini Mwenyezi
419 60, 4 | 4. Hakika nyinyi mna mfano mzuri kwenu kwa
420 60, 4 | uadui na chuki baina yetu na nyinyi mpaka mtakapo muamini Mwenyezi
421 61, 11 | Haya ni bora kwenu, ikiwa nyinyi mnajua. ~~~~~~
422 62, 6 | Enyi mlio Mayahudi! Ikiwa nyinyi mnadai kuwa ni vipenzi vya
423 65, 6 | Wawekeni humo humo mnamo kaa nyinyi kwa kadiri ya pato lenu,
424 66, 4 | 4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Mwenyezi
425 66, 5 | wake wengine badala yenu nyinyi, walio bora kuliko nyinyi,
426 66, 5 | nyinyi, walio bora kuliko nyinyi, wanynyekevu, Waumini, wat'
427 67, 9 | Mungu hakuteremsha chochote. Nyinyi hamumo ila katika upotovu
428 69, 47 | Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia. ~~~~~~
429 72, 7 | walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu
430 73, 17 | 17. Basi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga
431 75, 20 | 20. Hasha! Bali nyinyi mnapenda maisha ya duniani, ~~~~~~
432 77, 38 | kupambanua. Tumekukusanyeni nyinyi na walio tangulia. ~~~~~~
433 77, 46 | mjifurahishe kidogo tu. Hakika nyinyi ni wakosefu! ~~~~~~
434 79, 27 | vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au mbingu? Yeye ndiye aliye
435 81, 29 | 29. Wala nyinyi hamtataka isipo kuwa atake
436 82, 9 | 9. Sivyo hivyo! Bali nyinyi mnaikanusha Siku ya Malipo. ~~~~~~
437 87, 16 | 16. Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia! ~~~~~~
438 89, 17 | 17. Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima, ~~~~~~
439 109, 3 | 3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. ~~~~~~
440 109, 5 | 5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. ~~~~~~
441 109, 6 | 6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina
|