228-akiwa | akiya-anapi | anapo-eleke | endap-hatut | hatuw-husim | husis-isomw | israa-kufua | kufud-kusud | kutaa-makas | makel-mnani | mnaom-natub | navip-shukr | shuku-tumek | tumel-ukiku | ukili-viko | vikos-wakip | wakir-wanaw | wanay-yamek | yamel-zuka
bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
2025 39, 3 | ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu
2026 15, 8 | 8. Sisi hatuwateremshi Malaika ila kwa sababu ya
2027 11, 91 | katika hayo unayo yasema hatuyafahamu. Na sisi tunakuona huna
2028 74, 28 | 28. Haubakishi wala hausazi. ~~~~~~
2029 71, 4 | Mwenyezi Mungu utapo fika haucheleweshwi. Laiti mngejua! ~~~~~~
2030 20, 109| 109. Siku hiyo uombezi haufai kitu, ila wa aliye mruhusu
2031 64, 11 | 11. Haufiki msiba wowote ila kwa idhini
2032 36 | utungaji mashairi, na wala hauhitajiki ufundi huo unao mfanya aliye
2033 57, 16 | 16. Je! Wakati haujafika bado kwa walio amini zikanyenyekea
2034 42 | Mwenyezi Mungu kabla uhai haujakata fursa ya kutenda. Kadhaalika
2035 20, 114| haraka hii Qur'ani, kabla haujamalizika ufunuo wake. Na sema: Mola
2036 24, 35 | kung'aa wenyewe ingawa moto haujayagusa - Nuru juu ya Nuru. Mwenyezi
2037 34, 49 | Kweli imefika, na uwongo haujitokezi, wala haurudi. ~~~~~~
2038 51, 42 | 42. Haukuacha chochote ulicho kifikia
2039 66 | mawe. Na ikabainisha kwamba haukubalii udhuru wa makafiri Siku
2040 29 | ameamini na hali moyo wake haukukubali. Kisha Sura hii imetaja
2041 5, 27 | mmoja wao, na wa mwengine haukukubaliwa. Akasema: Nitakuuwa. Akasema
2042 9, 25 | ulikupandisheni kichwa, lakini haukukufaeni kitu. Na ardhi ikawa dhiki
2043 26, 13 | kina dhiki, na ulimi wangu haukunjuki vyema. Basi mtumie ujumbe
2044 53, 11 | 11. Moyo haukusema uwongo uliyo yaona. ~~~~~~
2045 89, 8 | 8. Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi? ~~~~~~
2046 71, 6 | 6. Lakini wito wangu haukuwazidisha ila kukimbia. ~~~~~~
2047 41 | ya kheri na shari: "Wema haulingani na uovu". ~Kisha Sura inataka
2048 14, 26 | ulio ng'olewa juu ya ardhi. Hauna imara. ~~~~~~
2049 8, 10 | ili nyoyo zenu zituwe. Na haupatikani ushindi ila kutoka kwa Mwenyezi
2050 9, 120| chema. Hakika Mwenyezi Mungu haupotezi ujira wa wanao fanya mema. ~~~~~~
2051 34, 49 | uwongo haujitokezi, wala haurudi. ~~~~~~
2052 74, 28 | 28. Haubakishi wala hausazi. ~~~~~~
2053 90 | kudhani kuwa uweza wake haushindiki, na kwamba yeye ana mali
2054 35, 18 | wake akiomba uchukuliwe hautachukuliwa hata kidogo, na angamwomba
2055 41, 42 | 42. Hautakifikia upotovu mbele yake wala
2056 6, 23 | 23. Kisha hautakuwa udhuru wao ila ni kusema:
2057 23, 101| litapo pulizwa baragumu hapo hautakuwapo ujamaa baina yao siku hiyo,
2058 36, 23 | akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa. ~~~~~~
2059 66 | mifano kwamba wema wa waume hautazuia adhabu isiwafikie wake zao
2060 57, 22 | 22. Hautokei msiba katika ardhi wala
2061 3, 126| zipate kutua. Na msaada hautoki isipo kuwa kwa Mwenyezi
2062 60 | Waumini, ulio fichikana, hauwachi kudhihiri pale wanapo wakuta
2063 66 | kwamba uharibifu wa waume hauwadhuru wake zao ikiwa hao wake
2064 26, 5 | 5. Wala hauwafikii ukumbusho mpya kutoka kwa
2065 58, 7 | vilivyomo katika ardhi? Hauwi mnong'ono wa watu watatu
2066 2, 259| chako na vinywaji vyako, havikuharibika. Na muangalie punda wako.
2067 40, 37 | Na vitimbi vya Firauni havikuwa ila katika kuangamia tu. ~~~~~~
2068 6, 136| walivyo wakusudia miungu yao havimfikii Mwenyezi Mungu, na vilivyo
2069 35, 43 | vya uovu. Na vitimbi viovu havimsibu ila mwenyewe aliye vifanya.
2070 16, 49 | Mwenyezi Mungu, na wala havitakabari. ~~~~~~
2071 11, 109| juu ya wanayo yaabudu hao. Hawaabudu ila kama walivyo abudu baba
2072 4, 120| anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu. ~~~~~~
2073 35, 40 | wazi? Lakini madhaalimu hawaahidiani wao kwa wao ila udanganyifu
2074 2 | kiasi ya uwezo wake, wala hawaamrishi waja wake ila kwa wanalo
2075 50, 6 | 6. Je! Hawaangalii mbingu zilizo juu yao! Vipi
2076 6, 26 | wenyewe wanajitenga nayo. Nao hawaangamizi ila nafsi zao tu, wala wao
2077 3, 199| wakimnyenyekea Mwenyezi Mungu. Hawabadili Aya za Mwenyezi Mungu kwa
2078 2, 9 | wale walio amini, lakini hawadanganyi ila nafsi zao; nao hawatambui. ~~~~~~
2079 83, 4 | 4. Kwani hawadhani hao kwamba watafufuliwa ~~~~~~
2080 10, 44 | 44. Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini
2081 3, 135| Mwenyezi Mungu? - na wala hawaendelei na waliyo yafanya na hali
2082 6, 123| vitimbi ndani yake. Na wala hawafanyii vitimbi isipo kuwa nafsi
2083 7, 184| 184. Je, hawafikiri? Huyu mwenzao hana wazimu.
2084 2, 262| ya Mwenyezi Mungu, kisha hawafuatishii masimbulizi wala udhia kwa
2085 60, 10 | makafiri, wala hao makafiri hawahalalikii wanawake Waumini. Na wapeni
2086 9, 29 | wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi
2087 6, 144| ilimu? Hakika Mwenyezi Mungu hawahidi watu madhaalimu. ~~~~~~
2088 7, 100| 100. Je, hawahidiki hawa wanao rithi ardhi baada
2089 35, 36 | watakuwa na Moto wa Jahannamu, hawahukumiwi wakafa, wala hawatapunguziwa
2090 40, 20 | wanao waomba badala yake hawahukumu chochote. Hakika Mwenyezi
2091 29 | Na kwamba mifano kama hii hawaielewi ila wale wanao tumia akili
2092 29, 43 | mifano tunawapigia watu, na hawaifahamu ila wenye ilimu. ~~~~~~
2093 77, 48 | Na wakiambiwa: Inameni! Hawainami. ~~~~~~
2094 33, 18 | zao: Njooni kwetu! Wala hawaingii vitani ila kidogo tu. ~~~~~~
2095 74, 53 | 53. Hasha! Kwani wao hawaiogopi Akhera? ~~~~~~
2096 41, 44 | yao, nayo kwao imezibwa hawaioni. Hao wanaitwa nao wako pahala
2097 7, 146| Wakiiona njia ya uwongofu hawaishiki kuwa ndiyo njia; lakini
2098 39 | akitaka kuwadhuru, wala hawaizuii rehema ya Mwenyezi Mungu
2099 49 | Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawajaamrisha, na pia wasinyanyue sauti
2100 7, 46 | Amani juu yenu! Wao bado hawajaingia humo, lakini wanatumai. ~~~~~~
2101 38, 8 | na mawaidha yangu, bali hawajaionja adhabu yangu. ~~~~~~
2102 9 | kutimiza ahadi nao ikiwa wao hawajaivunja. Na mwenye kuvunja ahadi
2103 3, 170| wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya
2104 27, 38 | kiti chake cha enzi kabla hawajanijia nao wamekwisha salimu amri. ~~~~~~
2105 7, 95 | tukawashika, hali ya kuwa hawajatambua. ~~~~~~
2106 62, 3 | Na kwa wengine ambao bado hawajaungana nao. Na Yeye ndiye Mwenye
2107 9, 54 | Mungu na Mtume wake, wala hawaji kwenye Sala ila kwa uvivu,
2108 7, 99 | ya Mwenyezi Mungu? Kwani hawajiaminishi na mipango ya Mwenyezi Mungu
2109 35 | hawasikii, na wakisikia hawajibu. Na Siku ya Kiyama hao wataukataa
2110 13, 16 | yake kuwa ni walinzi, nao hawajifai wenyewe kwa jema wala baya?
2111 25, 73 | Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi nazo, na vipofu. ~~~~~~
2112 30, 8 | 8. Je! Hawajifikirii nafsi zao? Mwenyezi Mungu
2113 4, 91 | hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni
2114 4, 78 | wana nini watu hawa hata hawakaribii kufahamu maneno? ~~~~~~
2115 5, 79 | 79. Walikuwa hawakatazani maovu waliyo kuwa wakiyafanya.
2116 12, 87 | ya Mwenyezi Mungu. Hakika hawakati tamaa na faraji ya Mwenyezi
2117 10, 49 | wekewa. Ukifika muda wao hawakawii hata saa moja wala hawatangulii. ~~~~~~
2118 27, 10 | Ewe Musa! Usikhofu! Hakika hawakhofu mbele yangu Mitume. ~~~~~~
2119 2, 78 | miongoni mwao wasio jua kusoma; hawakijui Kitabu isipo kuwa uwongo
2120 69, 37 | 37. Chakula hicho hawakili ila wakosefu. ~~~~~~
2121 22, 40 | lau kuwa Mwenyezi Mungu hawakingi watu kwa watu, basi hapana
2122 19 | kwamba hao wamepotea kabisa, hawakuacha hata ukumbusho. ~KWA JINA
2123 33, 23 | baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo. ~~~~~~
2124 18, 57 | ukiwaita kwenye uwongofu hawakubali kabisa kuongoka. ~~~~~~
2125 41, 24 | maskani yao. Na wakiomba radhi hawakubaliwi. ~~~~~~
2126 6, 82 | Wale ambao wameamini, na hawakuchanganya imani yao na dhulma - hao
2127 9, 74 | hawakuweza kuyafikia. Na hawakuchukia ila kuwa Mwenyezi Mungu
2128 25, 41 | 41. Na wanapo kuona hawakuchukulii ila ni mzaha tu, na (wanasema):
2129 3, 146| ya Mwenyezi Mungu, wala hawakudhoofika wala hawakuwa wanyonge.
2130 10, 47 | baina yao kwa uadilifu, wala hawakudhulumiwa. ~~~~~~
2131 10, 106| ambao hawakufai kitu wala hawakudhuru. Ukifanya hivyo basi utakuwa
2132 5, 105| juu yenu ni nafsi zenu. Hawakudhuruni walio potoka ikiwa nyinyi
2133 23, 76 | tuliwatia adhabu kali; lakini hawakuelekea kwa Mola wao Mlezi wala
2134 10, 106| kuwa Mwenyezi Mungu ambao hawakufai kitu wala hawakudhuru. Ukifanya
2135 3, 146| Waumini wengi wenye ikhlasi! Hawakufanya woga kwa yaliyo wasibu katika
2136 21, 36 | Na wakikuona walio kufuru hawakufanyi wewe ila ni kitu cha maskhara
2137 7, 169| hiyo wataishika pia. Je, hawakufanyiwa agano la Kitabu kuwa wasiseme
2138 34, 45 | walio kuwa kabla yao. Na hawakufikilia hata sehemu moja katika
2139 7, 193| mkiwaita kwenye uwongofu, hawakufuateni. Ni mamoja kwenu ikiwa mtawaita
2140 33, 52 | 52. Baada ya hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala
2141 8, 72 | wale walio amini lakini hawakuhama, nyinyi hamna waajibu wa
2142 23, 68 | 68. Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo
2143 26, 7 | 7. Je! Hawakuiona ardhi, mimea mingapi tumeiotesha
2144 34 | khabari zao. Na walipo kuwa hawakuitikia Wito tuliwashika kwa kuwaadhibu.
2145 28, 50 | 50. Na ikiwa hawakuitikii, basi jua kuwa wanafuata
2146 43, 53 | hakuvikwa vikuku vya dhahabu, au hawakuja Malaika pamoja naye wakamwandama? ~~~~~~
2147 35, 14 | yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa
2148 6, 33 | yasema. Basi hakika wao hawakukanushi wewe, lakini hao madhaalimu
2149 6, 130| makundi ya majini na watu! Je, hawakukujieni Mitume kutokana na nyinyi
2150 39, 71 | wake watawaambia: Kwani hawakukujilieni Mitume miongoni mwenu wakikusomeeni
2151 60, 8 | wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni
2152 43, 58 | kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi
2153 60, 8 | hawakukupigeni vita, wala hawakukutoeni makwenu. Hakika Mwenyezi
2154 22, 2 | watu wamelewa, na kumbe hawakulewa. Lakini adhabu ya Mwenyezi
2155 9, 16 | Jihadi kati yenu, na wala hawakumfanya mwendani wao isipo kuwa
2156 2, 102| katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie:
2157 39, 67 | 67. Na wala hawakumhishimu Mwenyezi Mungu kama anavyo
2158 29, 17 | badala ya Mwenyezi Mungu hawakumilikiini riziki yoyote. Takeni riziki
2159 9, 4 | wasikupunguzieni chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi
2160 4, 157| Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu.
2161 22, 74 | 74. Hawakumuadhimisha Mwenyezi Mungu anavyo stahiki
2162 10, 83 | 83. Basi hawakumuamini Musa isipo kuwa baadhi ya
2163 71, 21 | ambaye mali yake na wanawe hawakumzidishia ila khasara. ~~~~~~
2164 23, 76 | kwa Mola wao Mlezi wala hawakunyenyekea. ~~~~~~
2165 36, 6 | uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye
2166 3, 119| mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni. Nanyi mnaviamini Vitabu
2167 35, 44 | 44. Je! Hawakusafiri katika ardhi wakaona vipi
2168 33, 13 | tupu. Wala hazikuwa tupu; hawakutaka ila kukimbia tu. ~~~~~~
2169 36, 21 | 21. Wafuateni ambao hawakutakini ujira, hali ya kuwa wenyewe
2170 28, 9 | tumpange kuwa mwenetu. Wala wao hawakutambua. ~~~~~~
2171 47, 10 | 10. Kwani hawakutembea katika ardhi wakaona ulikuwaje
2172 26, 210| 210. Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo, ~~~~~~
2173 7, 160| tulivyo kuruzukuni. Wala hawakutu- dhulumu Sisi, bali wamejidhulumu
2174 33, 12 | Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawakutuahidi ila udanganyifu tu. ~~~~~~
2175 85, 10 | Waumini wanawake, kisha hawakutubu, basi watapata adhabu ya
2176 2, 57 | tulivyo kuruzukuni. Nao hawakutudhulumu Sisi lakini walikuwa wanajidhulumu
2177 83, 33 | 33. Na wao hawakutumwa wawe walinzi juu yao. ~~~~~~
2178 26, 99 | 99. Na hawakutupoteza ila wale wakosefu. ~~~~~~
2179 57, 27 | za Mwenyezi Mungu. Lakini hawakuufuata inavyo takiwa kuufuata.
2180 24, 12 | Waumini na wanawake Waumini hawakuwadhania wenzao mema, na kusema:
2181 46, 28 | hao ndio wawakurubishe, hawakuwanusuru? Bali waliwapotea! Na huo
2182 71, 25 | wakaingizwa Motoni, wala hawakuwapata wa kuwanusuru badala ya
2183 28, 48 | pewa Musa? Je! Kwani wao hawakuyakataa aliyo pewa Musa zamani?
2184 50 | maudhi ya makafiri ambao hawakuzingatia yaliyo wapata walio kadhibisha
2185 9, 54 | 54. Na hawakuzuiliwa kukubaliwa michango yao
2186 70, 30 | mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi - ~~~~~~
2187 17, 88 | mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana
2188 2, 174| kwacho thamani ndogo, hao hawali matumboni mwao isipo kuwa
2189 28, 84 | Na atakaye tenda uovu, hawalipwi watendao uovu ila waliyo
2190 6, 138| kupandwa. Na wanyama wengine hawalitaji jina la Mwenyezi Mungu juu
2191 9, 121| kidogo wala kikubwa, wala hawalivuki bonde, ila huandikiwa, ili
2192 4, 142| wanajionyesha kwa watu tu, wala hawamdhukuru Mwenyezi Mungu ila kidogo
2193 3, 176| kimbilia ukafirini. Hakika hao hawamdhuru kitu Mwenyezi Mungu. Mwenyezi
2194 41 | Mwenyezi Mungu, na kwamba hao hawamkhofu Mwenyezi Mungu. Na kwamba
2195 67, 20 | Rehema? Hakika makafiri hawamo ila katika udanganyifu. ~~~~~~
2196 33, 65 | 65. Watadumu humo milele. Hawampati mlinzi wala wa kuwanusuru. ~~~~~~
2197 23, 59 | wale ambao Mola wao Mlezi hawamshirikishi, ~~~~~~
2198 27, 25 | 25. Na hawamsujudii Mwenyezi Mungu ambaye huyatoa
2199 21, 27 | 27. Hawamtangulii kwa neno, nao wanafanya
2200 88, 17 | 17. Je! Hawamtazami ngamia jinsi alivyo umbwa? ~~~~~~
2201 66, 6 | Malaika wakali, wenye nguvu, hawamuasi Mwenyezi Mungu kwa anayo
2202 4, 117| Yeye ila wanawake, wala hawamuombi ila Shet'ani aliye asi. ~~~~~~
2203 33, 39 | wanamwogopa Yeye, na wala hawamwogopi yeyote isipo kuwa Mwenyezi
2204 21, 28 | na yaliyo nyuma yao. Wala hawamwombei yeyote ila yule anaye mridhia
2205 72, 5 | tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
2206 4, 95 | Waumini wanao kaa tu wala hawanadharura, na wale wanao pigana katika
2207 36 | picha, ya wanao kataa, ambao hawanafiiki na maonyo. Na inatubainishia
2208 43 | walio washirikisha naye hawanalo wawezalo. Basi, ewe Muhammad!
2209 2, 273| Utawatambua kwa alama zao; hawang'ang'analii watu kwa kuwaomba.
2210 21, 20 | Wanamtakasa usiku na mchana, wala hawanyong'onyei. ~~~~~~
2211 36, 43 | hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi, ~~~~~~
2212 24, 62 | jambo la kuwakhusu wote hawaondoki mpaka wamtake ruhusa. Kwa
2213 46, 25 | Mola wake Mlezi. Wakawa hawaonekani ila nyumba zao tu. Hivyo
2214 2, 251| lau kuwa Mwenyezi Mungu hawapambanishi watu kwa watu basi dunia
2215 17, 64 | na waahidi. Na Shet'ani hawapi ahadi ila ya udanganyifu. ~~~~~~
2216 33, 20 | lau wakiwa pamoja nanyi hawapigani ila kidogo tu. ~~~~~~
2217 39 | huwa radhi nao, na wala hawaridhii wakimkanusha. Na kadhaalika
2218 16, 71 | Na wale walio fadhilishwa hawarudishi riziki zao kwa wale ilio
2219 60 | hawatupigi vita katika Dini wala hawasaidii dhidi yetu, basi ni waajibu
2220 107 | ghafilika na Sala zao, ambao hawasali kama itakikanavyo, na ambao
2221 7, 148| sauti. Hivyo, hawakuona kuwa hawasemezi wala hawaongoi njia? Wakamuabudu,
2222 9, 29 | Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa
2223 2, 275| 275. Wale walao riba hawasimami ila kama anavyo simama aliye
2224 21 | Mwenyezi Mungu Mtukufu wala hawasiti. Na hakika kwenda sawa mbingu
2225 84, 21 | Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu? ~~~~~~
2226 2, 162| 162. Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda
2227 3, 118| wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda
2228 16, 84 | hawataruhusiwa walio kufuru wala hawataachiliwa kutaka radhi. ~~~~~~
2229 29, 12 | tutayabeba makosa yenu. Wala wao hawatabeba katika makosa yao chochote
2230 7, 40 | zetu na wakazifanyia kiburi hawatafunguliwa milango ya mbingu, wala
2231 33, 15 | Mungu kabla yake kwamba hawatageuza migongo yao. Na ahadi ya
2232 26, 201| 201. Hawataiamini mpaka waione adhabu chungu. ~~~~~~
2233 60, 12 | Mungu na chochote, wala hawataiba, wala hawatazini, wala hawatawauwa
2234 7, 40 | milango ya mbingu, wala hawataingia Peponi mpaka apite ngamia
2235 25, 9 | mifano. Basi wamepotea, wala hawataiweza Njia. ~~~~~~
2236 33, 60 | tutakusalitisha juu yao, kisha hawatakaa humo karibu yako ila muda
2237 7, 34 | Utakapo fika muda wao basi hawatakawia hata saa moja, wala hawatatangulia. ~~~~~~
2238 16, 61 | Na unapo fika muda wao hawatakawilia hata saa moja wala hawatatangulia. ~~~~~~
2239 9 | kumpa Utume, na kwamba yeye hawatakii shida hao alio tumwa kwao,
2240 60, 12 | mikono yao na miguu yao, wala hawatakuasi katika jambo jema, basi
2241 45, 35 | hawatatolewa humo wala hao hawatakubaliwa udhuru wao. ~~~~~~
2242 5, 42 | ukijipuuza nao, basi wao hawatakudhuru kitu. Na ukiwahukumu, basi
2243 3, 111| 111. Maadui hawatakudhuruni ila ni maudhi tu. Na wakipigana
2244 45, 19 | 19. Kwa hakika hao hawatakufaa kitu mbele ya Mwenyezi Mungu.
2245 60, 3 | 3. Hawatakufaeni jamaa zenu, wala watoto
2246 11, 81 | wa Mola wako Mlezi. Hawa hawatakufikia. Na wewe ondoka pamoja na
2247 25, 33 | 33. Wala hawatakuletea mfano wowote, ila na Sisi
2248 74, 56 | 56. Na hawatakumbuka isipo kuwa Mwenyezi Mungu
2249 9, 44 | 44. Hawatakuomba ruhusa wale wanao muamini
2250 60, 12 | hawatawauwa watoto wao, wala hawataleta uzushi wanao uzua tu wenyewe
2251 21, 43 | kujinusuru nafsi zao, wala hawatalindwa nasi! ~~~~~~
2252 60, 12 | Waumini wanakuahidi ya kwamba hawatamshirikisha Mwenyezi Mungu na chochote,
2253 10, 49 | hawakawii hata saa moja wala hawatangulii. ~~~~~~
2254 36, 23 | hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa. ~~~~~~
2255 3, 115| kheri yoyote wanayo ifanya hawatanyimwa malipwa yake. Na Mwenyezi
2256 76, 13 | wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi
2257 59, 14 | 14. Hawatapigana nanyi kwa mkusanyiko isipo
2258 16, 46 | katika nyendo zao, na wala hawataponyoka? ~~~~~~
2259 43, 75 | 75. Hawatapumzishwa nayo na humo watakata tamaa. ~~~~~~
2260 25, 40 | wakiiona? Bali walikuwa hawataraji kufufuliwa. ~~~~~~
2261 48, 12 | kwamba Mtume na Waumini hawatarudi kabisa kwa ahali zao, na
2262 28, 39 | haki, na wakadhania kuwa hawatarudishwa kwetu. ~~~~~~
2263 18, 108| 108. Watadumu humo; hawatataka kuondoka. ~~~~~~
2264 77, 35 | 35. Hii ni siku ambayo hawatatamka kitu, ~~~~~~
2265 28, 78 | kuliko yake. Na wakosefu hawataulizwa khabari ya dhambi zao. ~~~~~~
2266 56, 19 | 19. Hawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo
2267 21, 102| 102. Hawatausikia mvumo wake, na wao watadumu
2268 21, 39 | walio kufuru wakati ambao hawatauzuia Moto kwenye nyuso zao wala
2269 59, 12 | pamoja nao, na wakipigwa vita hawatawasaidia. Na kama wakiwasaidia basi
2270 60, 12 | hawataiba, wala hawatazini, wala hawatawauwa watoto wao, wala hawataleta
2271 71, 27 | watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri. ~~~~~~
2272 60, 12 | chochote, wala hawataiba, wala hawatazini, wala hawatawauwa watoto
2273 12, 23 | na hakika wenye kudhulumu hawatengenekewi. ~~~~~~
2274 26, 152| ufisadi katika nchi, wala hawatengenezi. ~~~~~~
2275 10, 33 | walio potoka, ya kwamba hawatoamini. ~~~~~~
2276 96 | utosi wakibururwa Motoni; na hawatofaliwa na wasaidizi wowote. Na
2277 9, 122| kutoka wote. Lakini kwa nini hawatoki baadhi katika kila kundi
2278 6, 138| hawa na mimea hii ni mwiko. Hawatokula ila wale tuwapendao - kwa
2279 2 | kwamba wasio kuwa Waislamu hawatokuwa radhi na Waislamu mpaka
2280 56, 19 | kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa. ~~~~~~
2281 4, 173| adhabu iliyo chungu. Wala hawatopata mlinzi wala wa kuwanusuru
2282 11, 15 | vyao kaamili. Na wao humo hawatopunjwa. ~~~~~~
2283 22, 73 | badala ya Mwenyezi Mungu, hawatoumba hata nzi ijapo kuwa watajumuika
2284 41, 40 | uliomo katika Ishara zetu hawatufichikii Sisi. Je! Atakaye tupwa
2285 60 | hayafai. Ama wale ambao hawatupigi vita katika Dini wala hawasaidii
2286 40, 56 | kutaka ukubwa tu, na wala huo hawaufikilii. Basi jikinge kwa Mwenyezi
2287 25, 68 | na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyo iharimisha Mwenyezi
2288 16, 48 | 48. Je! Hawavioni vitu alivyo viumba Mwenyezi
2289 13, 20 | ya Mwenyezi Mungu, wala hawavunji maagano. ~~~~~~
2290 39 | badala ya Mwenyezi Mungu hawawafai kitu, hata kuwaombea. Kwani
2291 10, 66 | mbinguni na ardhinii. Na wala hawawafuati hao wanao waomba badala
2292 13, 14 | wanao waomba badala yake hawawajibu chochote; bali ni kama mwenye
2293 5, 63 | wanazuoni na makohani wao hawawakatazi maneno yao ya dhambi, na
2294 4, 117| 117. Wao hawawaombi badala yake Yeye ila wanawake,
2295 67, 19 | mbawa zao, na kuzikunja? Hawawashikilii ila Mwingi wa rehema. Hakika
2296 18, 15 | yake Yeye. Kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri?
2297 40, 4 | 4. Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu
2298 84 | hawaizingatii Qur'ani, wala hawazifuati hukumu zake. Kisha Sura
2299 36, 68 | nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii? ~~~~~~
2300 25, 68 | isipo kuwa kwa haki, wala hawazini - na atakaye fanya hayo
2301 9, 34 | kusanya dhahabu na fedha, wala hawazitumii katika Njia ya Mwenyezi
2302 9, 120| ya Mwenyezi Mungu, wala hawendi mahali panapo waghadhibisha
2303 21, 65 | Wewe unajua kwamba hawa hawesemi. ~~~~~~
2304 101, 9 | maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya! ~~~~~~
2305 13, 14 | yafike kinywani mwake, lakini hayafiki. Na maombi ya makafiri hayako
2306 33, 20 | Wanafikiri yale makundi ya maadui hayajaondoka. Na yakija hayo makundi
2307 10, 39 | yaelewa ilimu yake kabla hayajawajia maelezo yake. Kadhaalika
2308 56, 31 | 33. Hayatindikii wala hayakatazwi, ~~~~~~
2309 36, 35 | wale matunda yake, na hayo hayakufanywa na mikono yao! Basi je,
2310 28, 58 | tumeiangamiza! Na hayo maskani yao hayakukaliwa tena baada yao, ila kwa
2311 69, 28 | 28. Mali yangu hayakunifaa kitu. ~~~~~~
2312 50, 36 | mnamo siku sita; na wala hayakutugusa machofu. ~~~~~~
2313 29, 51 | 51. Je! Kwani hayakuwatosha ya kwamba tumekuteremshia
2314 33, 22 | wamesema kweli. Na hayo hayakuwazidisha ila Imani na ut'iifu. ~~~~~~
2315 41, 34 | 34. Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lilio jema
2316 6, 103| 103. Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho.
2317 34 | wana, na kwamba hayo mali hayamkaribishi mtu kwa Mwenyezi Mungu ila
2318 2, 96 | hayo ya kuzidishiwa umri hayamuondoshei adhabu; na Mwenyezi Mungu
2319 44 | kufufuliwa, na kwamba hayo hayana shaka ndani yake, na imezibisha
2320 18, 101| macho yao yalikuwa paziani hayanikumbuki, na wakawa hawawezi kusikia. ~~~~~~
2321 2, 87 | kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna;
2322 14, 43 | mbioni, vichwa juu, na macho hayapepesi, na nyoyo zao tupu. ~~~~~~
2323 36, 69 | Muhammad) mashairi, wala hayatakikani kwake hayo. Haukuwa huu
2324 2, 48 | hatomfaa mtu kwa lolote, wala hayatakubaliwa kwake maombezi, wala hakitapokewa
2325 52 | kuwapa muhula hao, kwani hayo hayatamdhuru kitu yeye kwa sababu yumo
2326 15, 48 | 48. Humo hayatawagusa machofu, wala hawatatolewa
2327 50 | wafwasi tu wa Mashetani hayatawaletea nafuu yoyote. Kwani mwisho
2328 56, 31 | 33. Hayatindikii wala hayakatazwi, ~~~~~~
2329 26, 88 | Siku ambayo kwamba mali hayato faa kitu wala wana. ~~~~~~
2330 10, 101| Na Ishara zote na maonyo hayawafai kitu watu wasio amini. ~~~~~~
2331 21, 2 | 2. Hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa
2332 2, 102| wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba
2333 38, 63 | maskhara, au macho yetu tu hayawaoni ? ~~~~~~
2334 17, 82 | rehema kwa Waumini. Wala hayawazidishii madhaalimu ila khasara. ~~~~~~
2335 31, 32 | huenda mwendo wa sawa. Wala hazikanushi Ishara zetu ila aliye khaini
2336 41, 44 | wangeli sema: Kwanini Aya zake haziku pambanuliwa? Yawaje lugha
2337 5, 41 | Tumeamini, na hali nyoyo zao hazikuamini, na miongoni mwa Mayahudi,
2338 70 | vikubwa, na adhabu ambazo hazikubaliwi kutolewa fidia hata ya wana,
2339 14, 9 | 9. Je! Hazikukufikieni khabari za walio kabla yenu?
2340 3, 65 | na hali Taurati na Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii? ~~~~~~
2341 9, 70 | 70. Je, hazikuwafikia khabari za walio kuwa kabla
2342 44, 29 | 29. La mbingu wala ardhi hazikuwalilia, wala hawakupewa muhula. ~~~~~~
2343 22, 37 | 37. Nyama zao hazimfikii Mwenyezi Mungu wala damu
2344 12, 52 | ya kwamba Mwenyezi Mungu haziongoi hila za makhaini. ~~~~~~
2345 99 | Madina)~Aya za Sura hii zote hazipindukii hali za Kiyama:- ~Mtikisiko
2346 3, 120| na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu
2347 3, 10 | hakika wale walio kufuru hazitowafaa kitu kwa Mwenyezi Mungu
2348 35, 12 | 12. Na bahari mbili haziwi sawa; haya ni matamu yenye
2349 17, 20 | neema za Mola wako Mlezi hazizuiliki. ~~~~~~
2350 71, 13 | 13. Mna nini hamweki heshima ya Mwenyezi Mungu? ~~~~~~
2351 50, 4 | kwetu kipo Kitabu kinacho hifadhi yote. ~~~~~~
2352 37, 49 | wanawake kama mayai yaliyo hifadhika. ~~~~~~
2353 5, 89 | viapo vyenu mnapo apa. Na hifadhini yamini zenu. Namna hivyo
2354 2, 158| Mwenyezi Mungu. Basi anaye hiji kwenye Nyumba hiyo au akafanya
2355 12, 85 | mgonjwa au uwe katika walio hiliki. ~~~~~~
2356 52, 45 | wakutane na siku yao watakapo hilikishwa. ~~~~~~
2357 68 | Mungu s.a.w. na kuipelekea hima yake na azma yake hata abakie
2358 9, 112| tubia, wanao abudu, wanao himidi, wanao kimbilia kheri, wanao
2359 7, 195| kusikizia? Sema: Iiteni hio miungu yenu ya ushirikina.
2360 3, 52 | 52. Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri
2361 107 | msaada wao wasiwape wanao hitajia. Na Sura inawaahidi hao
2362 56 | maji, na moto; na yanayo hitajika kutokana na athari hizi
2363 58 | akawasifu Waumini hao kuwa ni Hizbu-Llahi, Kundi la Mwenyezi Mungu,
2364 58, 22 | wawe radhi naye. Hao ndio Hizbullahi, Kundi la Mwenyezi Mungu.
2365 21, 23 | ayatendayo, na wao ndio wanao hojiwa kwa wayatendayo. ~~~~~~
2366 7, 179| kwayo. Hao ni kama nyama howa, bali wao ni wapotofu zaidi.
2367 41, 43 | 43. Huambiwi ila yale yale waliyo ambiwa
2368 2, 260| Mwenyezi Mungu akasema: Kwani huamini? Akasema: Hasha! Lakini
2369 46, 35 | Huu ndio ufikisho! Kwani huangamizwa wengine isipo kuwa walio
2370 30, 11 | 11. Mwenyezi Mungu huanzisha uumbaji, tena akaurudisha
2371 58, 14 | wala si katika wao. Na huapa kwa uwongo, na hali kuwa
2372 63 | awaombee maghfira, hali yao hubainika kwa kuwa hutakabari, na
2373 3 | katika hizo hadithi. Na hubainisha katika hadithi hizo mambo
2374 44, 4 | 4. Katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima, ~~~~~~
2375 13, 17 | Ama kinacho wafaa watu hubakia kwenye ardhi. Hivi ndivyo
2376 39, 45 | nyoyo za wasio iamini Akhera huchafuka. Na wanapo tajwa wenginewe
2377 17, 53 | maneno mazuri, maana Shet'ani huchochea ugomvi baina yao. Hakika
2378 83, 2 | wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe. ~~~~~~
2379 63, 4 | magogo yaliyo egemezwa. Wao hudhania kila ukelele unao pigwa
2380 63 | kwa kuwa hutakabari, na hudhihirisha kukataa kwao kuitikia, nao
2381 38, 24 | Na hakika washirika wengi hudhulumiana wao kwa wao, isipo kuwa
2382 28, 44 | wala hukuwa katika walio hudhuria. ~~~~~~
2383 4, 91 | wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi
2384 42, 28 | wao kwisha kata tamaa, na hueneza rehema yake. Naye ndiye
2385 3, 191| wakikaa kitako na wakilala, na hufikiri kuumbwa mbingu na ardhi,
2386 15, 18 | kusikiliza kwa kuibia, naye hufuatwa na kijinga cha moto kinacho
2387 39, 45 | asiye kuwa Yeye basi wao hufurahi. ~~~~~~
2388 39, 7 | wake. Na mkishukuru Yeye hufurahika nanyi. Wala mbebaji habebi
2389 13, 38 | yake. 39. Mwenyezi Mungu hufuta na huthibitisha ayatakayo.
2390 9, 127| Yuko mtu anakuoneni? Kisha hugeukilia mbali. Mwenyezi amezigeuza
2391 22, 11 | na ukimfikia msukosuko hugeuza uso wake. Amekhasiri dunia
2392 10, 82 | 82. Na Mwenyezi Mungu huhakikisha Haki kwa maneno yake, hata
2393 9, 37 | Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo huhalalisha alivyo viharimisha Mwenyezi
2394 2 | kitu. Na vilivyo harimishwa huhalalishiwa mwenye dharura, kwa sababu
2395 40, 78 | ikija amri ya Mwenyezi Mungu huhukumiwa kwa Haki, na hapo wapotofu
2396 39, 21 | imekuwa kimanjano, na kisha huifanya mapepe. Bila ya shaka katika
2397 2, 146| kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua. ~~~~~~
2398 10, 107| kurudisha fadhila yake. Huifikisha kwa amtakaye katika waja
2399 9, 67 | maovu na huyakataza mema, na huifumba mikono yao. Wamemsahau Mwenyezi
2400 42, 18 | 18. Wasio amini huihimiza hiyo Saa ifike upesi; lakini
2401 8, 24 | jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake,
2402 4, 142| Na wanapo inuka kusali huinuka kwa unyong'onyo, wanajionyesha
2403 2, 276| 276. Mwenyezi Mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki
2404 41 | Mwenyezi Mungu akimneemesha mtu huipuuza Haki, na ikimgusa tu shari
2405 35, 10 | zuri, na a'mali njema Yeye huitukuza. Na wanao panga vitimbi
2406 2, 207| katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi
2407 70, 21 | 21. Na inapo mgusa kheri huizuilia. ~~~~~~
2408 10, 100| ya Mwenyezi Mungu. Naye hujaalia adhabu iwafike wasio tumia
2409 27, 39 | Mimi nitakuletea kabla hujainuka pahala pako hapo. Na mimi
2410 7, 129| Wakasema: Tumeudhiwa kabla hujatufikia, na baada ya wewe kutujia!
2411 11, 53 | 53. Wakasema: Ewe Hud! Hujatuletea dalili wazi. Wala sisi hatuiachi
2412 25, 63 | na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama! ~~~~~~
2413 114 | anaye jificha machoni, au hujidhihirisha kwa kificho; wasiwasi wake
2414 23, 3 | 3. Na ambao hujiepusha na mambo ya upuuzi, ~~~~~~
2415 47, 12 | kati yake. Na walio kufuru hujifurahisha na hula kama walavyo wanyama,
2416 11, 10 | zimekwisha niondokea. Hakika yeye hujitapa na kutafakhari. ~~~~~~
2417 42, 39 | ambao wanapo fanyiwa jeuri hujitetea. ~~~~~~
2418 2, 26 | yake. Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo
2419 4, 84 | Njia ya Mwenyezi Mungu. Hukalifishwi ila nafsi yako tu. Na wahimize
2420 9, 58 | huridhika. Na wakito pewa hukasirika. ~~~~~~
2421 9, 71 | walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala,
2422 6, 125| Uislamu. Na anaye taka apotee hukifanya kifua chake kina dhiki,
2423 45, 9 | kitu kidogo katika Aya zetu hukifanyia mzaha. Watu hao ndio watakao
2424 58, 8 | kumuasi Mtume? Na wakikujia hukuamkia sivyo anavyo kuamkia Mwenyezi
2425 5, 67 | Mola wako Mlezi. Na ikiwa hukufanya hayo basi hukufikisha ujumbe
2426 5, 67 | ikiwa hukufanya hayo basi hukufikisha ujumbe wake. Na Mwenyezi
2427 6, 60 | fanya mchana. Kisha Yeye hukufufueni humo mchana ili muda ulio
2428 2, 204| yake kwa maisha ya kidunia hukufurahisha; naye humshuhudisha Mwenyezi
2429 7, 203| waitakayo husema: Kwa nini hukuibuni? Sema: mimi ninafuata yanayo
2430 4, 62 | tanguliza mikono yao? Hapo tena hukujia wakiapa kwa Mwenyezi Mungu
2431 29, 48 | unasoma kitabu chochote, wala hukukiandika kwa mkono wako wa kulia.
2432 49, 8 | yapatanisheni kwa uadilifu. Na hukumuni kwa haki. Hakika Mwenyezi
2433 2, 258| 258. Hukumwona yule aliye hojiana na Ibrahim
2434 20, 94 | Umewafarikisha Wana wa Israil, na hukungojea kauli yangu. ~~~~~~
2435 2, 245| mwingi, na Mwenyezi Mungu hukunja na hukunjua. Na Kwake Yeye
2436 2, 245| Mwenyezi Mungu hukunja na hukunjua. Na Kwake Yeye mtarejea. ~~~~~~
2437 6, 64 | 64. Sema: Mwenyezi Mungu hukuokoeni kutoka hayo, na kutoka kila
2438 30, 24 | 24. Na katika Ishara zake hukuonyesheni umeme kwa kukutieni khofu
2439 6, 61 | aliye juu ya waja wake. Na hukupelekeeni waangalizi, mpaka mmoja
2440 24, 43 | akamuepusha nayo amtakaye. Hukurubia mmetuko wa umeme wake kupofua
2441 9, 86 | wenye nguvu miongoni mwao hukutaka ruhusa na husema: Tuache
2442 30, 24 | kukutieni khofu na tamaa. Na hukuteremshieni maji kutoka mbinguni, na
2443 13, 42 | walio kufuru wanasema: Wewe hukutumwa. Sema: Mwenyezi Mungu anatosha
2444 8, 17 | ndiye aliye wauwa. Na wewe hukutupa, walakini Mwenyezi Mungu
2445 28, 47 | Ewe Mola wetu Mlezi! Mbona hukututumia Mtume nasi, tukafuata Ishara
2446 7, 126| 126. Nawe hukuudhika nasi ila kwa kuwa tumeziamini
2447 3, 191| wakisema: Mola wetu Mlezi! Hukuviumba hivi bure. Subhanaka, Umetakasika!
2448 63, 6 | ukiwatakia maghfira au hukuwatakia maghfira, Mwenyezi Mungu
2449 18, 82 | tafsiri ya hayo ambayo wewe hukuweza kuyasubiria. ~~~~~~
2450 47, 12 | kufuru hujifurahisha na hula kama walavyo wanyama, na
2451 39, 23 | Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi
2452 51, 54 | Basi waachilie mbali, nawe hulaumiwi. ~~~~~~
2453 2 | kuwafikiana, na kutofuata hayo huleta khitilafu na kutengana.
2454 28, 57 | patakatifu, penye amani, ambapo huletewa matunda ya kila aina kuwa
2455 18, 49 | Hakiachi dogo wala kubwa ila huliandika? Na watayakuta yote waliyo
2456 2, 258| akasema: Mwenyezi Mungu hulichomozesha jua mashariki, basi wewe
2457 4, 83 | amani au la kitisho wao hulitangaza. Na lau kuwa wangeli lipeleka
2458 4, 40 | ni jambo jema basi Yeye hulizidisha na hutoa kutoka kwake malipo
2459 3, 74 | 74. Yeye humchagua kumpa rehema zake amtakaye;
2460 29, 62 | Mwenyezi Mungu humkunjulia, na humdhikishia, riziki amtakaye katika
2461 72 | mambo yasiyo onekana, na humdokezea anaye mteuwa katika viumbe
2462 36 | inatubainishia kwamba kuonya humfaidisha mwenye kuelekea kupokea
2463 6, 61 | yakimjia mauti wajumbe wetu humfisha, nao hawafanyi taksiri. ~~~~~~
2464 6, 125| Mwenyezi Mungu anataka kumhidi humfungulia kifua chake kwa Uislamu.
2465 42, 51 | au kumtuma Mjumbe. Naye humfunulia ayatakayo kwa idhini yake.
2466 37, 10 | nyakua kitu kidogo, na mara humfwatia kimondo kinacho ng'ara. ~~~~~~
2467 6, 88 | Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo humhidi amtakaye katika waja wake.
2468 36, 30 | wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli. ~~~~~~
2469 9, 15 | nyoyo zao. Na Mwenyezi Mungu humkubalia toba ya amtakaye. Na Mwenyezi
2470 13, 26 | humkunjulia riziki amtakaye, na humkunjia kwa kipimo. Na wamefurahia
2471 2, 105| Mlezi. Na Mwenyezi Mungu humkusudia kumpa rehema yake ampendaye.
2472 24, 46 | bainisha. Na Mwenyezi Mungu hummwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo
2473 30, 5 | nusura ya Mwenyezi Mungu humnusuru amtakaye. Naye ndiye Mwenye
2474 29, 21 | Humuadhibu amtakaye, na humrehemu amtakaye. Na kwake Yeye
2475 7, 128| ya Mwenyezi Mungu. Naye humrithisha amtakaye katika waja wake.
2476 32, 15 | wao huanguka kusujudu, na humsabihi Mola wao Mlezi kwa kumhimidi,
2477 22, 40 | ya shaka Mwenyezi Mungu humsaidia yule anaye msaidia Yeye.
2478 43 | kupuuza Haki Mwenyezi Mungu humsalitisha na Shet'ani amwongoze kwenye
2479 30, 33 | mara kikundi miongoni mwao humshirikisha Mola wao Mlezi, ~~~~~~
2480 2, 204| kidunia hukufurahisha; naye humshuhudisha Mwenyezi Mungu kwa yaliyomo
2481 35, 22 | maiti. Hakika Mwenyezi Mungu humsikilizisha amtakaye. Wala wewe si wa
2482 9, 71 | Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume
2483 65, 2 | anaye mcha Mwenyezi Mungu humtengezea njia ya kutokea. ~~~~~~
2484 2, 90 | kwa kuwa Mwenyezi Mungu humteremshia fadhila yake amtakaye miongoni
2485 65, 3 | mtegemea Mwenyezi Mungu Yeye humtosha. Hakika Mwenyezi Mungu anatimiza
2486 3, 26 | humwondolea ufalme umtakaye, na humtukuza umtakaye, na humuangusha
2487 17, 94 | walisema: Je! Mwenyezi Mungu humtuma mwanaadamu kuwa ni Mtume? ~~~~~~
2488 14, 4 | kuwabainishia. Basi Mwenyezi Mungu humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa
2489 3, 26 | na humtukuza umtakaye, na humuangusha umtakaye. Kheri yote iko
2490 76, 31 | 31. Humuingiza amtakaye katika rehema yake.
2491 22, 13 | 13. Humuomba yule ambaye bila ya shaka
2492 3, 13 | macho. Na Mwenyezi Mungu humuunga mkono amtakaye kwa nusura
2493 6, 39 | waliomo gizani. Mwenyezi Mungu humwachia kupotea amtakaye, na humweka
2494 6, 39 | humwachia kupotea amtakaye, na humweka katika Njia iliyo nyooka
2495 72, 27 | aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzi mbele yake na nyuma
2496 3, 26 | humpa ufalme umtakaye, na humwondolea ufalme umtakaye, na humtukuza
2497 28, 56 | 56. Kwa hakika wewe humwongoi umpendaye, lakini Mwenyezi
2498 2, 261| punje mia. Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye, na Mwenyezi Mungu
2499 5, 103| Hami". Lakini walio kufuru humzulia uwongo Mwenyezi Mungu, na
2500 63, 10 | akasema: Mola wangu Mlezi! Huniakhirishi muda kidogo nipate kutoa
2501 11, 47 | nisio na ujuzi nalo. Na kama hunisamehe na ukanirehemu, nitakuwa
2502 21, 3 | zao. Na wale walio dhulumu hunong'onezana kwa siri: Ni nani
2503 11, 114| karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho
2504 34, 6 | wako Mlezi ni haki, nayo huongoa kwendea njia ya Mwenye nguvu,
2505 39 | baada ya kufa kwake, na huotesha mimea ambayo inapitia viwango
2506 2, 206| Mwogope Mwenyezi Mungu, hupandwa na mori wa kutenda madhambi.
2507 4, 81 | kundi moja miongoni mwao hupanga njama usiku kinyume na unayo
2508 70, 20 | 20. Inapo mgusa shari hupapatika. ~~~~~~
2509 2, 266| mito kati yake, naye humo hupata mazao ya kila namna, na
2510 17, 77 | watuma kabla yako. Wala hupati mabadiliko katika mwendo
2511 2 | kipofu-pofu ni upotovu, na hupelekea ujinga na chuki za kitaifa. ~
2512 2 | vilivyo katazwa, na dharura hupimwa kwa kadiri yake. Dini imejengwa
2513 85 | kwamba Haki katika kila zama hupingwa na wapinzani. Na kwamba
2514 9, 37 | katika kukufuru; kwa hayo hupotezwa walio kufuru. Wanauhalalisha
2515 83, 3 | watu kwa kipimo au mizani hupunguza. ~~~~~~
2516 2, 210| kwa Mwenyezi Mungu ndio hurejeshwa mashauri yote. ~~~~~~
2517 8, 44 | kuwa liwe. Na mambo yote hurejezwa kwa Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
2518 9, 58 | sadaka. Wanapo pewa wao huridhika. Na wakito pewa hukasirika. ~~~~~~
2519 83, 31 | wanapo rudi kwa watu wao hurudi nao wamefurahi. ~~~~~~
2520 2 | dharura, kwa sababu dharura huruhusu vilivyo katazwa, na dharura
2521 43, 17 | Mwenyezi Mungu, uso wake husawijika na hujaa hasira. ~~~~~~
2522 20, 108| Arrahmani Mwingi wa Rahema. Basi husikii ila mchakato na mnong'ono. ~~~~~~
2523 39, 18 | 18. Ambao husikiliza maneno, wakafuata lilio
2524 22, 41 | tukiwapa madaraka katika nchi husimamisha Sala, na wakatoa Zaka, na
2525 41 | akisimulia khabari ya makafiri, husimulia pia khabari za Waumini.
|