228-akiwa | akiya-anapi | anapo-eleke | endap-hatut | hatuw-husim | husis-isomw | israa-kufua | kufud-kusud | kutaa-makas | makel-mnani | mnaom-natub | navip-shukr | shuku-tumek | tumel-ukiku | ukili-viko | vikos-wakip | wakir-wanaw | wanay-yamek | yamel-zuka
bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
9069 15, 15 | wangeli sema: Macho yetu yamelevywa, bali sisi wenyewe tumerogwa. ~~~~~~
9070 21, 83 | wake Mlezi, akasema: Mimi yamenipata madhara. Na Wewe ndiye unaye
9071 69, 29 | 29. Madaraka yangu yamenipotea. ~~~~~~
9072 57, 20 | kisha hunyauka ukayaona yamepiga manjano kisha yakawa mabua.
9073 18, 28 | akafuata matamanio yake yakawa yamepita mpaka. ~~~~~~
9074 7, 139| waliyo kuwa wakiyafanya yamepotea bure. ~~~~~~
9075 2, 249| Makundi mangapi madogo yameshinda makundi makubwa kwa idhini
9076 6, 156| mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa
9077 87 | kwamba yaliyo kuja humu yamethibiti katika Vitabu vya zamani,
9078 83, 14 | 14. Hasha! Bali yametia kutu juu ya nyoyo zao hao
9079 6, 115| 115. Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako
9080 48, 11 | mabedui walio baki nyuma: Yametushughulisha mali yetu na ahali zetu,
9081 6, 28 | 28. Bali yamewadhihirikia waliyo kuwa wakiyaficha
9082 23, 68 | hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao
9083 3, 140| basi na hao watu wengine yamewapata majaraha mfano wa haya.
9084 14, 36 | wangu Mlezi! Hakika hayo yamewapoteza watu wengi. Basi aliye nifuata
9085 2 | mengineyo. Hali kadhaalika yamezungumzwa mambo ya itikadi kwa jumla
9086 80, 4 | atawaidhika, na mawaidha yamfae? ~~~~~~
9087 13, 2 | na amefanya jua na mwezi yamt'ii, kila kimoja kinakwenda
9088 38, 37 | Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga
9089 90 | inahifadhika na maamrisho yanabakia, na ya kwamba mtu ameumbwa
9090 61, 3 | 3. Yanachukiza vikubwa mno kwa Mwenyezi
9091 5, 83 | kwa Mtume utaona macho yao yanachururika machozi kwa sababu ya Haki
9092 60 | ikabainisha makhusiano yepi yanafaa kuwa nayo na wasio kuwa
9093 24, 35 | mashariki wala magharibi. Yanakaribia mafuta yake kung'aa wenyewe
9094 26, 73 | 73. Au yanakufaeni, au yanakudhuruni? ~~~~~~
9095 26, 73 | 73. Au yanakufaeni, au yanakudhuruni? ~~~~~~
9096 6, 33 | 33. Tunajua ya kwamba yanakuhuzunisha wanayo yasema. Basi hakika
9097 26, 72 | 72. Akasema: Je! Yanakusikieni mnapo yaita? ~~~~~~
9098 68, 33 | 33. Namna hivi yanakuwa mateso, na bila ya shaka
9099 10, 22 | kuwa majahazini na yakawa yanakwenda nao kwa upepo mzuri wakaufurahia,
9100 9, 128| kutokana na nyinyi wenyewe; yanamhuzunisha yanayo kutaabisheni; anakuhangaikieni
9101 9, 92 | Tena wakarudi na macho yao yanamiminika machozi kwa huzuni ya kukosa
9102 14, 17 | kuyameza. Na mauti yawe yanamjia kutoka kila upande, naye
9103 22 | kwa masaibu yaliyo kuwa yanampata kwa watu wake, kwa kutaja
9104 33, 53 | mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini,
9105 96 | mwishoni. Na mazungumzo yanamwelekea kila mwenye kusilihi kusemezwa
9106 22, 35 | hutetemeka, na wanao vumilia kwa yanao wasibu, na wanao shika Sala,
9107 60 | Mwenyezi Mungu peke yake. Hayo yanaonyesha kuwa huo ndio mwendo wa
9108 32, 5 | baina mbingu na ardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo
9109 35 | zinakhitalifiana rangi zao. Yote hayo yanapelekea kumnyenyekea Mwenyezi Mungu.
9110 49, 8 | makundi mawili katika Waumini yanapigana, basi yapatanisheni. Na
9111 57, 5 | ardhi ni wake. Na mambo yote yanarejeshwa kwa Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
9112 42, 53 | ardhi. Jueni kuwa mambo yote yanarudi kwa Mwenyezi Mungu. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
9113 2, 41 | niliyo yateremsha ambayo yanasadikisha mliyo nayo, wala msiwe wa
9114 3 | kengeuka. Na katika Sura hii yanatajwa mengine ya upotovu wao na
9115 98 | zama za mwisho. Na yalikuwa yanatakikana kutokana na hayo ni kuwa
9116 31 | makaazi ya Peponi. Na macho yanatakiwa yaangalie Ishara za ulimwengu
9117 4, 78 | limetoka kwako wewe. Sema: Yote yanatokana na Mwenyezi Mungu. Basi
9118 35 | Mwenyezi Mungu. Kwa maji yanatokea mazao ya kila namna, na
9119 73, 6 | na moyo, na maneno yake yanatua zaidi. ~~~~~~
9120 5, 104| Mungu, na kwa Mtume, husema: Yanatutosha tuliyo wakuta nayo baba
9121 43, 71 | nafsi zinavipenda na macho yanavifurahia, na nyinyi mtakaa humo milele. ~~~~~~
9122 6 | za uumbaji na vipi mambo yanavyo kuwa. Ikabainisha vipi kilicho
9123 11, 31 | Wala siwasemi wale ambao yanawadharau macho yenu kuwa Mwenyezi
9124 9, 68 | Jahannamu kudumu humo. Hayo yanawatosha, na Mwenyezi Mungu amewalaani;
9125 7, 63 | mnastaajabu kukujieni mawaidha yanayotoka kwa Mola Mlezi wenu kwa
9126 29 | kusoma wala kuandika, na hayo yanazidi kuonyesha Utume wake. Na
9127 33, 19 | wanakutazama na macho yao yanazunguka, kama yule ambaye aliye
9128 2, 103| yatokayo kwa Mwenyezi Mungu yange kuwa bora. Laiti wangeli
9129 56, 64 | Je! Mnayaona maji mnayo yanywa? ~~~~~~
9130 9, 64 | atayatoa nje hayo mnayo yaogopa. ~~~~~~
9131 41 | vyao siku hiyo; na watayo yaomba wafwasi kwa Mola wao Mlezi
9132 17, 86 | Na tungeli penda tungeli yaondoa tuliyo kufunulia. Kisha
9133 56, 60 | 64. Je! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? ~~~~~~
9134 56, 59 | Je! Mnaona makulima mnayo yapanda? ~~~~~~
9135 4, 81 | anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku. Basi waachilie
9136 61, 12 | atakutieni katika Mabustani yapitiwayo na mito kati yake, na maskani
9137 24, 15 | 15. Mlipo yapokea kwa ndimi zenu na mkasema
9138 6, 31 | wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba mizigo yao
9139 6, 28 | rudishwa bila ya shaka wange yarejea yale yale waliyo katazwa.
9140 6, 86 | 86.Na Ismail, na Al Yasaa, na Yunus, na Lut'. Na wote
9141 7, 165| 165. Basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa
9142 39 | Makka)~Sura hii ni ya Makka, yasemekana, isipo kuwa Aya 52, 53 na
9143 21, 4 | Mola wangu Mlezi anayajua yasemwayo mbinguni na katika ardhi.
9144 44, 16 | 16. Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila
9145 5, 41 | Wanasema: Mkipewa haya basi yashikeni, na msipo pewa haya tahadharini.
9146 21, 52 | nini haya masanamu mnayo yashughulikia kuyaabudu? ~~~~~~
9147 113 | linapo ingia giza, yanayo yasibu nafsi katika hali ya upweke,
9148 10, 71 | wenu, na wala mambo yenu yasifichikane kwenu. Kisha nihukumuni,
9149 9, 55 | 55. Yasikufurahishe mali yao wala wana wao.
9150 63, 9 | 9. Enyi mlio amini! Yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu,
9151 53 | Mtume s.a.w. katika anayo yasimulia ya khabari za Wahyi (Ufunuo)
9152 5, 52 | kwao wakisema: Tunakhofu yasitusibu mabadiliko. Huenda Mwenyezi
9153 18, 28 | radhi yake. Wala macho yako yasiwaruke kwa kutaka pambo la maisha
9154 59, 7 | masikini, na msafiri, ili yasiwe yakizunguka baina ya matajiri
9155 33, 34 | 34. Na kumbukeni yasomwayo majumbani mwenu katika Aya
9156 46 | kumliwaza katika hayo kwa waliyo yastahamilia Mitume wa kabla yake wenye
9157 47 | inawatishia wanaafiki kuwa yatachanwa mapazia yao wanayo jifichia,
9158 6, 134| shaka hayo mnayo ahidiwa yatafika tu, wala nyinyi hamtaweza
9159 54, 28 | Na waambie kwamba maji yatagawanywa baina yao; kila sehemu ya
9160 24, 37 | Siku ambayo nyoyo na macho yatageuka. ~~~~~~
9161 2, 166| wamekwisha iona adhabu; na yatakatika mafungamano yao. ~~~~~~
9162 52 | watakao upata, na kisha yatakavyo tua macho yao kwa kuwa dhuriya
9163 59 | kuwakumbusha Waumini kwa yatakikanayo wawe nayo, nayo ni kumcha
9164 5, 101| mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa
9165 62, 8 | yakimbia, bila ya shaka yatakukuteni. Kisha mtarudishwa kwa Mwenye
9166 2, 271| hivyo ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na
9167 22, 21 | 21. Na kwa ajili yao yatakuwapo marungu ya chuma. ~~~~~~
9168 62, 6 | kuwa watu wengine, basi yatamanini mauti, ikiwa mnasema kweli. ~~~~~~
9169 92, 11 | 11. Na mali yake yatamfaa nini atapo kuwa anadidimia? ~~~~~~
9170 22, 19 | watakatiwa nguo za moto, na yatamiminwa juu ya vichwa vyao maji
9171 15, 94 | 94. Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge
9172 76, 14 | yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini. ~~~~~~
9173 4, 104| kwa Mwenyezi Mungu wasio yataraji wao. Na hakika Mwenyezi
9174 3, 109| Mwenyezi Mungu; na mambo yote yatarejea kwa Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
9175 22, 76 | yao. Na kwa Mwenyezi Mungu yatarejeshwa mambo yote. ~~~~~~
9176 11, 123| na mbingu, na mambo yote yatarejezwa kwake. Basi muabudu Yeye
9177 35, 4 | kabla yako. Na mambo yote yatarudishwa kwa Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
9178 6, 9 | watilia matatizo yale wanayo yatatiza wao. ~~~~~~
9179 51, 6 | hakika malipo bila ya shaka yatatokea. ~~~~~~
9180 43 | ambayo ndani yake macho yao yatatua, Sura inakhitimisha kueleza
9181 39, 47 | hiyo Siku ya Kiyama. Na yatawadhihirikia kwa Mwenyezi Mungu wasiyo
9182 41, 20 | Hata watakapo ufikia Moto yatawashuhudia masikio yao, na macho yao
9183 5, 64 | kutoka kwa Mola wako Mlezi yatawazidisha wengi katika wao uasi na
9184 5, 68 | kutokana na Mola wako Mlezi yatawazidishia wengi katika wao uasi na
9185 39, 16 | 16. Yatawekwa juu yao mat'abaka ya moto,
9186 33, 13 | lilipo sema: Enyi watu wa Yathrib! Hapana kukaa nyinyi! Rudini.
9187 22, 52 | Mwenyezi Mungu huyaondoa anayo yatia Shet'ani; kisha Mwenyezi
9188 71, 23 | Suwaa' wala Yaghutha, wala Yau'qa, wala Nasra. ~~~~~~
9189 16 | kwake makulima, na aliyo yaumba baharini, kama samaki wa
9190 53 | kuabudu masanamu waliyo yaunda wenyewe kwa mikono yao,
9191 20, 130| 130. Yavumilie haya wayasemayo. Na umtakase
9192 18, 55 | Mola wao Mlezi, isipo kuwa yawafikie ya wale wa zamani, au iwafikie
9193 6, 89 | watayakataa hayo, basi tumekwisha yawakilisha kwa watu wasio yakataa. ~~~~~~
9194 24 | uwongo katika hali hizi, na yawapasayo Waumini kwa min tarafu ya
9195 23, 64 | kati yao, hapo ndipo watapo yayatika. ~~~~~~
9196 18, 96 | akasema: Nileteeni shaba iliyo yayuka niimwagie. ~~~~~~
9197 13, 17 | Na kutokana na wanavyo yayusha katika moto kwa kutaka mapambo
9198 27, 62 | Mungu? Ni machache mnayo yazingatia. ~~~~~~
9199 48, 21 | Mwenyezi Mungu amekwisha yazingia. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza
9200 30, 46 | rehema zake, na ili majahazi yende kwa amri yake; na mtafute
9201 17 | mpaka Bait Al Muqaddas (Yerusalemu), na baadae akapelekwa mbinguni,
9202 4, 143| 143. Wanayumba yumba baina ya huku na huko. Huku
9203 16, 15 | milima ili ardhi isiyumbe yumbe nanyi. Na mito, na njia
9204 2, 70 | wako Mlezi atupambanulie ni yupi? Hakika tunaona ng'ombe
9205 80, 28 | 28. Na zabibu, na mimea ya majani, ~~~~~~
9206 33, 37 | haki zaidi kumchelea. Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza
9207 95, 1 | 1. Naapa kwa tini na zaituni! ~~~~~~
9208 6, 85 | 85. Na Zakaria na Yahya na Isa na Ilyas.
9209 44, 24 | wao hao ni jeshi litakalo zamishwa. ~~~~~~
9210 56, 49 | Kwa yakini mtakula mti wa Zaqqumu. ~~~~~~
9211 59, 14 | kuwa katika vijiji vilivyo zatitiwa kwa ngome, au nyuma ya kuta.
9212 30, 50 | 50. Basi ziangalie athari za rehema ya Mwenyezi
9213 27 | Sura tukufu hii imezindua ziangaliwe dalili za aliye umba mbingu
9214 2, 211| ngapi zilizo wazi? Na anaye zibadili neema za Mwenyezi Mungu
9215 14, 45 | maskani zile zile za walio zidhulumu nafsi zao. Na ikakudhihirikieni
9216 30, 39 | Mungu, basi hao ndio watao zidishiwa. ~~~~~~
9217 2, 144| Mtakatifu; na popote mnapokuwa zielekezeni nyuso zenu upande huo; na
9218 2, 223| ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini
9219 10, 87 | watu wenu katika Misri na zifanyeni nyumba zenu ndio mwahali
9220 43 | kubainisha msimamo wa wale wanao zifanyia maskhara Risala za Mitume
9221 6, 158| awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola
9222 10, 88 | Yafutilie mbali mali yao na zifunge nyoyo zao, wasiamini mpaka
9223 43 | kama kwamba wao ndio wanao zigawanya fadhila za Mwenyezi Mungu.
9224 15 | nyanyuliwa na zenye sayari ziilizo hifadhiwa, na ardhi iliyo
9225 88, 4 | 4. Ziingie katika Moto unao waka - ~~~~~~
9226 6, 68 | 68. Na unapo waona wanao ziingilia Aya zetu, basi jitenge nao
9227 13, 2 | 2. Mwenyezi Mungu aliye ziinua mbingu bila ya nguzo mnazo
9228 25, 61 | 61. Ametukuka aliye zijaalia nyota mbinguni, na akajaalia
9229 14, 37 | ili washike Sala. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao,
9230 59 | kujiwekea akiba kwa siku zijazo za karibuni na za mbali.
9231 50, 6 | zilizo juu yao! Vipi tulivyo zijenga, na tukazipamba. Wala hazina
9232 9, 118| ukunjufu wake, na nafsi zao zikabanika, na wakayakinika kuwa hapana
9233 6, 95 | mpasuaji mbegu na kokwa, zikachipua. Humtoa aliye hai kutoka
9234 55 | nayo ni Kufunza . Tena Aya zikaendelea kuzieleza hizo neema kwa
9235 77, 3 | 3. Na zikaeneza maeneo yote! ~~~~~~
9236 25 | kaumu zao. Lakini hizo kaumu zikafuata matamanio yao. Wakawa kama
9237 23 | Mwenyezi Mungu Mtukufu. Tena zikafuatia hadithi za Manabii zinazo
9238 81, 16 | 16. Zinazo kwenda, kisha zikajificha, ~~~~~~
9239 6, 153| msifuate njia nyingine, zikakutengeni na Njia yake. Haya amekuusieni
9240 96 | utajiri na nguvu huenda zikampelekea mtu kupindukia mipaka ya
9241 94 | mazito, dhiki na faraji, na zikamtaka Mtume kila anapo pata nafasi
9242 20, 66 | Tahamaki kamba zao na fimbo zao zikaonekana mbele yake, kwa uchawi wao,
9243 11, 1 | zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa Mwenye
9244 33, 10 | yalipo kodoka, na nyoyo zikapanda kooni, nanyi mkamdhania
9245 9, 87 | wabakiao nyuma, na nyoyo zao zikapigwa muhuri; kwa hivyo hawafahamu. ~~~~~~
9246 8, 46 | msizozane mkaingiwa woga, na zikapotea nguvu zenu. Na subirini.
9247 17 | cha katika uwongofu, na zikatajwa Aya za uumbaji usiku na
9248 93 | akamtajirisha. Kisha Aya zikataka aangaliwe vyema yatima,
9249 77, 4 | 4. Na zinazo farikisha zikatawanya! ~~~~~~
9250 9, 45 | Siku ya Mwisho na nyoyo zao zikatia shaka, hao tu ndio wanao
9251 7, 160| jiwe kwa fimbo yako. Mara zikatibuka humo chemchem kumi na mbili,
9252 9, 110| mwao mpaka nyoyo zao hizo zikatike vipande vipande. Na Mwenyezi
9253 2, 60 | jiwe kwa fimbo yako. Mara zikatimbuka chemchem kumi na mbili;
9254 87 | yaliyo ingia weusi. Kisha Aya zikatoa khabari kwamba Mwenyezi
9255 13, 28 | 28. Wale walio amini na zikatua nyoyo zao kwa kumkumbuka
9256 2, 118| Mwenyezi Mungu hasemi nasi au zikatufikia Ishara. Kama hivyo walisema
9257 81, 7 | 7. Na nafsi zikaunganishwa, ~~~~~~
9258 3, 86 | Mtume huyu ni wa haki, na zikawafikia hoja zilizo wazi? Mwenyezi
9259 83 | ni Jahannamu. ~Tena Aya zikawageukia watu wema, zikawatuza nyoyo
9260 81, 6 | 6. Na bahari zikawaka moto, ~~~~~~
9261 16, 26 | yao kwenye misingi, dari zikawaporomokea juu yao, na adhabu ikawajia
9262 83 | zikawageukia watu wema, zikawatuza nyoyo kwa vitendo vyao,
9263 56 | na uasi wao. ~Kisha Aya zikaweka wazi baada ya hayo yanayo
9264 30, 48 | ndiye anaye zituma pepo zikayatimua mawingu, kisha akayatandaza
9265 81, 2 | 2. Na nyota zikazimwa, ~~~~~~
9266 11, 110| yakini tulimpa Musa Kitabu; zikazuka khitilafu ndani yake. Na
9267 83 | neema zao na alama zao, zikiashiria namna moja wapo katika neema
9268 31, 31 | marikebu hupita baharini zikichukua neema za Mwenyezi Mungu,
9269 54 | Aya zikawa zinafuatana, zikieleza hali namna mbali mbali za
9270 88, 3 | 3. Zikifanya kazi, nazo taabani. ~~~~~~
9271 16, 14 | yavaa. Na unaona marikebu zikikata maji humo, ili mtafute fadhila
9272 12, 4 | na jua, na mwezi. Nimeota zikinisujudia. ~~~~~~
9273 88, 5 | 5. Zikinyweshwa kutoka chemchem inayo chemka. ~~~~~~
9274 35, 41 | na ardhi zisiondoke. Na zikiondoka hapana yeyote wa kuzizuia
9275 21, 104| 104. Siku tutakapo zikunja mbingu kama mkunjo wa karatasi
9276 67, 19 | walioko juu yao namna wanavyo zikunjua mbawa zao, na kuzikunja?
9277 77 | starehe na neema watazo zikuta, na mwisho wake masaibu
9278 55, 19 | Anaziendesha bahari mbili zikutane; ~~~~~~
9279 16, 12 | na jua na mwezi, na nyota zikutumikieni kwa amri yake. Hakika katika
9280 30, 46 | Ishara zake ni kuzituma pepo ziletazo bishara njema, na ili kukuonjesheni
9281 7, 22 | uonja ule mti, tupu zao zilifichuka na wakaingia kujibandika
9282 20, 126| atasema: Ndivyo vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau;
9283 39, 59 | 59. Wapi! Bila ya shaka zilikujia Ishara zangu, nawe ukazikadhibisha,
9284 29, 18 | wa kadhaa za kabla yenu zilikwisha kadhibisha. Na si juu ya
9285 2, 238| 238. Zilindeni Sala, na khasa Sala ya katikati,
9286 57 | mujibu wa kukhtalifiana haja ziliopo na dharura zake. Kisha ikaeleza
9287 29 | 69. Lakini Aya 1 mpaka 11 ziliteremka Madina. Sura hii imeanzia
9288 7, 95 | wakasema: Taabu na raha ziliwafikia baba zetu. Basi kwa ghafla
9289 3, 154| kundi jengine nafsi zao ziliwashughulisha hata wakamdhania Mwenyezi
9290 33, 5 | Lakini ipo lawama katika yale ziliyo fanya nyoyo zenu kwa makusudi.
9291 52, 24 | wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza. ~~~~~~
9292 21, 30 | mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua?
9293 2, 118| kauli yao hii. Nyoyo zao zimefanana. Hakika Sisi tumeziweka
9294 4, 155| kusema kwao: Nyoyo zetu zimefumbwa; bali Mwenyezi Mungu amezipiga
9295 30 | kabisa. ~ Na Aya za mwisho zimegusia Siku ya Kiyama na jinsi
9296 72, 8 | tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo. ~~~~~~
9297 76, 22 | malipo yenu; na juhudi zenu zimekubaliwa. ~~~~~~
9298 54 | wanahadharishwa na tukio hilo. Kisha zimekuja Aya nyengine baada yake
9299 6, 34 | Mungu. Na bila ya shaka zimekujia baadhi ya khabari za Mitume
9300 85, 17 | 17. Je! Zimekuwasilia khabari za majeshi? ~~~~~~
9301 3, 137| 137. Kabla yenu zimepita nyendo nyingi; basi tembeeni
9302 30, 25 | ni kuwa mbingu na ardhi zimesimama kwa amri yake. Kisha atakapo
9303 12 | Mitume ambao hadithi zao zimesimuliwa, na ukasimuliwa msimamo
9304 53 | na Ibrahim. Na Aya hizi zimethibitisha maana haya yaliyo elezwa
9305 87 | kwenye Moto mkubwa. Na Aya zimetilia mkazo kwamba uwokovu ni
9306 3, 7 | Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini
9307 54, 4 | 4. Na bila ya shaka zimewajia khabari zenye makaripio. ~~~~~~
9308 4, 128| suluhu ni bora. Na nafsi zimewekewa machoni mwake tamaa na choyo.
9309 11, 1 | Kitabu ambacho Aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa,
9310 20 | wachawi, na fimbo yake ilipo zimeza kamba zao, na tena mwisho
9311 32, 16 | 16. Mbavu zao zinaachana na vitanda kwa kumwomba
9312 72 | sasa. Na Aya za Sura hii zinaeleza khabari za hao wanao nyatia
9313 4, 140| Mwenyezi Mungu zinakanushwa na zinafanyiwa kejeli, basi msikae pamoja
9314 89 | semezwa ya kwamba hali zao zinafichua wingi wa pupa yao na choyo
9315 54 | baada ya hapo Aya zikawa zinafuatana, zikieleza hali namna mbali
9316 23, 60 | pewa, na hali nyoyo zao zinagopa kwa kuwa watarejea kwa Mola
9317 84 | zinashuhudia uweza wake, na ambazo zinaitia imani ya kufufuliwa. Lakini
9318 4, 140| sikia Aya za Mwenyezi Mungu zinakanushwa na zinafanyiwa kejeli, basi
9319 35, 12 | unaona ndani yake marikebu zinakata maji ili mtafute fadhila
9320 17, 44 | 44. Zinamtakasa zote mbingu saba na ardhi
9321 75, 23 | 23. Zinamwangallia Mola wao Mlezi. ~~~~~~
9322 20, 66 | yake, kwa uchawi wao, kuwa zinapiga mbio. ~~~~~~
9323 16, 62 | vichukia wao, na ndimi zao zinasema uwongo kwamba wao watapata
9324 65, 12 | mfano wa hizo. Amri zake zinashuka baina yao, ili mjue kwamba
9325 76 | Mungu na adhabu zake kuwa zinategemea hukumu yake na pendo lake.~
9326 55, 22 | Katika hizo bahari mbili zinatoka lulu na marijani. ~~~~~~
9327 114 | wengi kuzitambua kwa sababu zinatokana na matamanio yao, na pumbao
9328 43, 71 | vitakuwamo ambavyo nafsi zinavipenda na macho yanavifurahia,
9329 74 | ikataja khabari za nafsi kwa zinavyo chuma kheri au shari, na
9330 52, 32 | Au hizo akili zao ndio zinawaamrisha haya, au wao basi ni watu
9331 106 | wakinyakuliwa. Na neema hizo zinawajibikia kumuabudu huyo aliye kuwa
9332 33 | ikashughulikia kutaja adabu ambazo zinawapasa wake za Mtume kuzifuata,
9333 28, 76 | khazina ambazo funguo zake zinawatopeza watu wenye nguvu kuzichukua.
9334 21, 102| wao watadumu katika yale zinayo yatamani nafsi zao. ~~~~~~
9335 7, 143| akaanguka chini amezimia. Alipo zindukana alisema: Subhanaka, Umetakasika!
9336 12, 111| katika hadithi zao limo zingatio kwa wenye akili. Si maneno
9337 17, 80 | nguvu zinazo toka kwako zinisaidie. ~~~~~~
9338 57 | Mwenyezi Mungu, ili nyoyo zinyenyekee kwa hukumu ya Mwenyezi Mungu.
9339 3, 168| ii wasingeli uliwa. Sema: Ziondoleeni nafsi zenu mauti kama mnasema
9340 69 | neema za daima watakazo zipata, na maonyo ya watu wa kushoto
9341 25, 53 | 53. Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno,
9342 39 | labda haya ndiyo yaliyo zipelekea nyoyo zao kukata tamaa na
9343 16 | vipi washirikina wanavyo zipinga neema hizi tukufu. Na baada
9344 4, 122| tutawaingiza katika Bustani zipitayo mito kati yake. Watadumu
9345 12, 105| katika mbingu na ardhi wanazo zipitia, na hali ya kuwa wanazipuuza. ~~~~~~
9346 61, 5 | Mungu aliziachia nyoyo zao zipotoke. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi
9347 74, 4 | 4. Na nguo zako, zisafishe. ~~~~~~
9348 22, 67 | tumewajaalia na ibada zao wanazo zishika. Basi wasizozane nawe katika
9349 12 | Mwenyezi Mungu na amani zishuke juu yake. Na ameuita ufunuo
9350 22, 65 | yake, na amezishika mbingu zisianguke juu ya ardhi ila kwa idhini
9351 69 | mageuzi na kuondoka yatakayo zisibu ardhi na milima na mbingu.
9352 55, 20 | Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane. ~~~~~~
9353 9, 85 | 85. Wala zisikushitue mali zao na watoto wao.
9354 41, 22 | macho yenu, na ngozi zenu, zisikushuhudilieni. Lakini mlidhani kwamba
9355 93, 11 | neema za Mola wako Mlezi zisimlie. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
9356 93 | mwenye kuomba au kuuliza, na zisimuliwe neema za Mwenyezi Mungu.~
9357 35, 41 | anaye zuilia mbingu na ardhi zisiondoke. Na zikiondoka hapana yeyote
9358 59 | wenyewe kuwa zitawalinda, na zisiweze kuwalinda. Tena ndio akawafukuza
9359 11, 48 | zitakuwapo kaumu tutakazo zistarehesha, na kisha zitashikwa na
9360 39, 65 | Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni
9361 80, 39 | 39. Zitacheka, zitachangamka; ~~~~~~
9362 80, 39 | 39. Zitacheka, zitachangamka; ~~~~~~
9363 20, 111| 111. Na zitadhalilika nyuso mbele ya Aliye Hai
9364 75, 25 | 25. Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wa mgongo. ~~~~~~
9365 78, 19 | 19. Na mbingu zitafunguliwa, ziwe milango, ~~~~~~
9366 67, 27 | karibu, nyuso za walio kufuru zitahuzunishwa, na itasemwa: Hayo ndiyo
9367 88, 2 | 2. Siku hiyo nyuso zitainama, ~~~~~~
9368 75, 25 | 25. Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo
9369 110, 3 | 3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi,
9370 10, 23 | haki. Enyi watu! Jeuri zenu zitakudhuruni wenyewe. Hii ni starehe
9371 26, 6 | yakini wamekanusha; kwa hivyo zitakuja wafikia khabari za yale
9372 39, 67 | mkononi mwake, na mbingu zitakunjwa katika mkono wake wa kuume.
9373 11, 48 | watu walio pamoja nawe. Na zitakuwapo kaumu tutakazo zistarehesha,
9374 20, 108| na upotofu. Na sauti zote zitamnyenyekea Arrahmani Mwingi wa Rahema.
9375 67, 13 | Na ficheni kauli zenu, au zitangazeni; hakika Yeye ni Mjuzi wa
9376 75, 22 | 22. Zipo nyuso siku hiyo zitao ng'ara, ~~~~~~
9377 79, 8 | 8. Siku hiyo nyoyo zitapiga piga, ~~~~~~
9378 33, 66 | 66. Siku ambayo nyuso zao zitapinduliwa pinduliwa katika Moto. Watasema:
9379 45, 14 | amini wawasamehe wale wasio zitaraji siku za Mwenyezi Mungu,
9380 41, 21 | nini mmetushuhudilia? Nazo zitasema: Ametutamkisha Mwenyezi
9381 11, 48 | tutakazo zistarehesha, na kisha zitashikwa na adhabu chungu itokayo
9382 27, 90 | watakao kuja na uovu, basi zitasunukishwa nyuso zao Motoni. Je! Kwani
9383 6, 5 | Wameikanusha Haki ilipo wajia. Basi zitawajia khabari za yale waliyo kuwa
9384 28, 66 | 66. Basi zitawapotea khabari siku hiyo, nao hawataulizana. ~~~~~~
9385 24, 24 | 24. Siku ambayo zitawashuhudia ndimi zao na mikono yao
9386 6, 93 | wamewanyooshea mikono wakiwambia: Zitoeni roho zenu! Leo mtalipwa
9387 5, 113| chakula hicho, na nyoyo zetu zitue, na tujue kwamba umetuambia
9388 24, 36 | Mwenyezi Mungu ameamrisha zitukuzwe, na humo litajwe jina lake,
9389 15 | kwa harufi hizi hizi mnazo zitumia katika maneno yenu, na juu
9390 9, 60 | mafakiri, na masikini, na wanao zitumikia, na wa kutiwa nguvu nyoyo
9391 8, 10 | bishara na ili nyoyo zenu zituwe. Na haupatikani ushindi
9392 2, 54 | tubuni kwa Muumba wenu na ziueni nafsi zenu. Haya ni bora
9393 42 | watu juu ya kuwa hoja zake ziwazi zinazo onyesha kuwa haya
9394 35, 9 | ndiye anaye zituma Pepo ziyatimue mawingu, nasi tukayafikisha
9395 18 | katika Mitume imara - Ulul a'zmi - kwa kudra yake Mwenyezi
9396 106, 1 | 1. Kwa walivyo zoea Maqureshi, ~~~~~~
9397 41, 26 | Qur'ani hii, na timueni zogo, huenda mkashinda. ~~~~~~
9398 10, 22 | upande, na wakaona wamesha zongwa, basi hapo humwomba Mwenyezi
9399 8, 43 | ingiwa na woga, na mngeli zozana katika jambo hilo. Lakini
9400 38 | na hata ange pata taabu zozote na vitimbi vyovyote vya
9401 2, 275| kama anavyo simama aliye zugwa na Shet'ani kwa kumgusa.
9402 83 | mipaka, mwenye dhambi aliye zuiliwa na rehema za Mola wake Mlezi,
9403 45 | nyingi, na khitilafu zilizo zuka baina yao ambazo Mwenyezi
|