Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library |
Qu'rani IntraText CT - Text |
|
|
26. SURAT ASH-SHUA'RAA (Imeteremka Makka) Sura hii imeanzia kwa
kuisifu Qur'ani yenyewe, ikaingia kuwaonya makafiri kwa uweza wa Mwenyezi Mungu
kuwateremshia adhabu juu yao, na kumliwaza Nabii s.a.w. kwa anayo yapata ya
kukanushwa na watu wake, kwa kutajiwa yalio wapata Mitume wa kabla yake ya
kukadhibishwa na kaumu zao. Ikasimulia mkutano wa Musa na Harun walipo kutana
na Firauni, na alivyo wakadhibisha yeye. Kisha Subhanahu akataja kisa cha
Ibrahim, baba wa Manabii, na khabari za Nuhu pamoja na kaumu yake, na mambo ya
A'adi, na Saleh pamoja na Thamud. Kisha ikaelezea Sura wito wa Lut'i na kisa
cha Shuaib na watu wa Vichakani (Al-Aykat). KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
|
Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library |
Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License |