Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library |
Qu'rani IntraText CT - Text |
|
|
43. SURAT AZZUKHRUF (Imeteremka Makka) Imeanzia Sura hii kwa
harufi mbili za alifbete, na ikafuatia kwa kuitaja Qur'ani na kueleza cheo
chake kwa Mwenyezi Mungu. Kisha Sura ikaingia kubainisha msimamo wa wale wanao
zifanyia maskhara Risala za Mitume wao, na ikazileta dalili nyingi za
kuthibitisha Imani ya Mwenyezi Mungu pekee. Na juu ya hoja hizo wao wakamzulia
Mwenyezi Mungu kuwa ana washirika, na wakamfanya kuwa ana watoto wa kike, na
wao wanao wa kiume. Na walipo ishiwa na hoja wakashikilia mila za baba
zao. KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
|
Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library |
Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License |