Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library |
Qu'rani IntraText CT - Text |
|
|
55. SURAT ARRAH'MAN (Imeteremka Madina) Sura hii imeingia
kuzihisabu fadhila na neema za Mwenyezi Mungu, kwa kuanzia baada ya kumtaja
Arrah'man, Mwingi wa Rehema, kwa kutaja neema yake tukufu kabisa, nayo ni
Kufunza . Tena Aya zikaendelea kuzieleza hizo neema kwa namna ya kuweka wazi
utukufu wa Mwenye kuziumba, aliye tukuka shani yake; na inadhihirisha uweza
wake na ufalme wake juu ya wanaadamu na majini katika mbingu na ardhi. KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
|
Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library |
Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License |