Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library

Qu'rani

IntraText CT - Text

  • 112. SURAT AL-IKHLAS'
Previous - Next

Click here to show the links to concordance

112. SURAT AL-IKHLAS'

(Imeteremka Makka)

Nabii s.a.w. aliulizwa khabari za Mola wake Mlezi, akaamrishwa katika Sura hii ajibu kwamba Yeye ni Mwenye kukusanya sifa zote za ukamilifu, ni Mmoja, wa Pekee, Mwenye kukusudiwa daima katika haja, Mwenye kujitosha hamhitajii yeyote mwenginewe, ametakasika na kuwa na mfano, hakuzaa wala hakuzaliwa, wala hana mwenzie katika viumbe vyake.

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

 




Previous - Next

Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License