Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
ruthi 1
saa 79
saba 97
sababu 414
sabakthani 2
sabato 59
sabini 6
Frequency    [«  »]
441 huyo
434 hata
425 ili
414 sababu
408 kutoka
406 wakati
394 za

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

sababu

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 10 | 10 Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu, 2 Matt 5 32 | mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; 3 Matt 6 7 | Mungu atawasikiliza ati kwa sababu ya maneno mengi.~ 4 Matt 7 24 | 24 "Kwa sababu hiyo, kila mtu anayeyasikia 5 Matt 7 25 | Lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa imejengwa juu ya 6 Matt 9 32 | mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo.~ 7 Matt 9 36 | makundi, aliwaonea huruma kwa sababu walikuwa hoi na wenye wasiwasi 8 Matt 10 18 | watawala na wafalme kwa sababu yangu, mpate kutangaza Habari 9 Matt 10 22 | wote watawachukieni kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia 10 Matt 10 41 | Anayemkaribisha nabii kwa sababu ni nabii, atapokea tuzo 11 Matt 10 41 | Anayemkaribisha mtu mwema kwa sababu ni mtu mwema, atapokea tuzo 12 Matt 10 42 | kikombe cha maji baridi kwa sababu ni mfuasi wangu, hatakosa 13 Matt 12 22 | ambaye alikuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo. 14 Matt 12 27 | huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo wao ndio watakaowahukumu 15 Matt 12 31 | 31 Kwa sababu hiyo, nawaambieni, watu 16 Matt 12 41 | Maana Waninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona, na 17 Matt 13 13 | ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, 18 Matt 13 21 | udhalimu vinapotokea kwa sababu ya ujumbe huo, anakata tamaa 19 Matt 13 58 | hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao.~ ~~ ~ 20 Matt 14 3 | minyororo na kumtia gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, 21 Matt 14 3 | mke wa Filipo, ndugu yake. Sababu hasa ni~ 22 Matt 14 5 | lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.~ 23 Matt 14 9 | alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo chake na kwa 24 Matt 14 9 | kile kiapo chake na kwa sababu ya wale wageni karamuni, 25 Matt 14 24 | ilikuwa inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.~ 26 Matt 15 32 | Nawaonea watu hawa huruma kwa sababu kwa siku tatu wamekuwa nami, 27 Matt 17 20 | 20 Yesu akawajibu, "Kwa sababu ya imani yenu haba. Nawaambieni 28 Matt 18 7 | 7 Ole wake ulimwengu kwa sababu ya vikwazo vinavyowaangusha 29 Matt 19 5 | 5 na akasema: `Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha 30 Matt 19 8 | aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.~ 31 Matt 19 9 | atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, 32 Matt 19 12 | 12 Maana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: 33 Matt 19 12 | kutoweza kuoa: wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine 34 Matt 19 12 | wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, 35 Matt 20 7 | 7 Wakamjibu: `Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri.` 36 Matt 21 3 | 3 Kama mtu akiwauliza sababu, mwambieni, `Bwana anawahitaji,` 37 Matt 21 46 | lakini waliwaogopa watu kwa sababu wao walimtambua yeye kuwa 38 Matt 22 29 | akawajibu, "Kweli mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko ~Matakatifu 39 Matt 23 13 | kwa kusali sala ndefu. Kwa sababu ~hiyo mtapata adhabu kali. ~\ 40 Matt 23 36 | hiki kitapata adhabu kwa sababu ya ~mambo haya. ~ Jinsi 41 Matt 24 12 | 12 Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, 42 Matt 27 18 | kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.~ 43 Matt 27 19 | nimeteseka sana katika ndoto kwa sababu yake."~ 44 Mark 1 38 | pia, maana nimekuja kwa sababu hiyo."~ 45 Mark 2 4 | 4 Kwa sababu ya huo umati wa watu, hawakuweza 46 Mark 3 5 | hasira, akaona huzuni kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao. Kisha 47 Mark 3 8 | wengi walimwendea Yesu kwa sababu ya kusikia mambo mengi aliyokuwa 48 Mark 3 30 | 30 Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, "Ana 49 Mark 4 17 | udhalimu vinapotokea kwa sababu ya hilo neno mara wanakata 50 Mark 6 6 | 6 Alishangaa sana kwa sababu ya kutoamini kwao. Kisha 51 Mark 6 17 | Herode alifanya hivyo kwa sababu ya Herodia ambaye Herode 52 Mark 6 26 | akahuzunika sana, lakini kwa sababu ya kiapo chake, na kwa ajili 53 Mark 6 34 | watu, akawahurumia, kwa sababu walikuwa kama kondoo wasio 54 Mark 7 29 | 29 Yesu akamwambia, "Kwa sababu ya neno hilo, nenda. Pepo 55 Mark 8 2 | Nawahurumia watu hawa kwa sababu wamekuwa nami kwa muda wa 56 Mark 9 31 | 31 kwa sababu alikuwa anawafundisha wanafunzi 57 Mark 9 41 | kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu ninyi ni watu wake Kristo, 58 Mark 10 5 | aliwaandikia amri hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.~ 59 Mark 11 18 | Lakini walimwogopa kwa sababu umati wa watu ulishangazwa 60 Mark 12 24 | Ninyi mmekosea sana, kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu 61 Mark 13 9 | watawala na wafalme kwa sababu yangu ili mpate kunishuhudia 62 Mark 13 13 | watawachukieni ninyi kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia 63 Mark 15 10 | 10 Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani 64 Mark 15 10 | walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.~ 65 Mark 16 8 | Hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno. [[[~ 66 Mark 16 14 | mezani. Akawakemea sana kwa sababu ya kutoamini kwao na ukaidi 67 Luke 1 14 | wengi watashangilia kwa sababu ya kuzaliwa kwake.~ 68 Luke 1 20 | Sikiliza, utakuwa bubu kwa sababu huyasadiki haya maneno yatakayotimia 69 Luke 1 35 | utakujia kama kivuli; kwa sababu hiyo, mtoto atakayezaliwa 70 Luke 1 47 | roho yangu inafurahi kwa sababu ya Mungu Mwokozi wangu.~ 71 Luke 2 7 | kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika 72 Luke 2 34 | yake, "Mtoto huyu atakuwa sababu ya kupotea na kuokoka kwa 73 Luke 3 19 | Herode, mkuu wa mkoa, kwa sababu alikuwa amemchukua Herodia, 74 Luke 5 19 | 19 Lakini kwa sababu ya wingi wa watu, hawakuweza 75 Luke 6 48 | haukuweza kuitikisa, kwa sababu ilikuwa imejengwa imara.~ 76 Luke 8 19 | hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu.~ 77 Luke 8 30 | Jina langu ni `Jeshi"`--kwa sababu pepo wengi walikuwa wamempagaa.~ 78 Luke 8 53 | 53 Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.~ 79 Luke 9 53 | hawakutaka kumpokea kwa sababu alikuwa anaelekea Yerusalemu.~ 80 Luke 10 20 | Hata hivyo, msifurahi kwa sababu pepo wamewatii, bali furahini 81 Luke 10 20 | wamewatii, bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa 82 Luke 11 8 | ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake, lakini, 83 Luke 11 8 | rafiki yake, lakini, kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba, 84 Luke 11 19 | huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo, wao ndio watakaowahukumu 85 Luke 11 32 | watu wa Ninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona; na 86 Luke 11 42 | ole wenu Mafarisayo, kwa sababu mnatoza watu zaka hata juu 87 Luke 11 43 | wenu ninyi Mafarisayo, kwa sababu mnapenda kuketi mbele mahali 88 Luke 11 44 | 44 Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; 89 Luke 11 50 | kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote 90 Luke 11 52 | ninyi walimu wa Sheria, kwa sababu mmeuficha ule ufunguo wa 91 Luke 12 22 | akawaambia wanafunzi wake, "Kwa sababu hiyo nawaambieni, msiwe 92 Luke 12 23 | 23 Kwa sababu uzima ni bora kuliko chakula, 93 Luke 13 2 | Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo?~ 94 Luke 13 11 | aliyekuwa amempagaa. Kwa sababu hiyo, mwili wake ulikuwa 95 Luke 13 14 | sunagogi alikasirika kwa sababu Yesu alikuwa amemponya siku 96 Luke 13 17 | wote wakajaa furaha kwa sababu ya mambo yote aliyotenda.~ 97 Luke 13 33 | niendelee na safari yangu, kwa sababu si sawa nabii auawe nje 98 Luke 15 6 | Furahini pamoja nami, kwa sababu nimempata yule kondoo wangu 99 Luke 15 9 | Furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu 100 Luke 15 10 | watakavyofurahi malaika wa Mungu kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja anayetubu."~ 101 Luke 15 24 | 24 Kwa sababu huyu mwanangu alikuwa amekufa, 102 Luke 15 32 | sherehe na kufurahi, kwa sababu huyu ndugu yako alikuwa 103 Luke 17 9 | utamshukuru huyo mtumishi kwa sababu ametimiza aliyoamriwa?~ 104 Luke 18 23 | hayo, alihuzunika sana kwa sababu alikuwa tajiri sana.~ 105 Luke 19 3 | alikuwa nani, lakini kwa sababu ya umati wa watu, na kwa 106 Luke 19 21 | kwa maana niliogopa kwa sababu wewe ni mtu mkali. Wewe 107 Luke 19 37 | Mungu kwa sauti kubwa, kwa sababu ya mambo makuu waliyoyaona;~ 108 Luke 19 44 | jiwe moja juu jingine, kwa sababu hukuutambua wakati Mungu 109 Luke 20 36 | hawawezi kufa tena, kwa sababu watakuwa kama malaika, na 110 Luke 20 40 | 40 Walisema hivyo kwa sababu hawakuthubutu kumwuliza 111 Luke 21 15 | 15 kwa sababu mimi mwenyewe nitawapeni 112 Luke 21 17 | wote watawachukieni kwa sababu ya jina langu.~ 113 Luke 21 25 | duniani yatakuwa na dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na 114 Luke 21 26 | 26 Watu watazirai kwa sababu ya uoga, wakitazamia mambo 115 Luke 23 19 | uasi katika mji na pia kwa sababu ya kuua.)~ 116 Luke 23 25 | alikuwa ametiwa gerezani kwa sababu ya uasi na kuua; akamtoa 117 Luke 24 41 | katika hali ya kutosadiki kwa sababu ya furaha yao, na wakiwa 118 John 2 24 | hakuwa na imani nao kwa sababu aliwajua wote.~ 119 John 3 18 | asiyemwamini amekwisha hukumiwa kwa sababu hakumwamini Mwana wa pekee 120 John 4 37 | 37 Kwa sababu hiyo msemo huu ni kweli: ` 121 John 4 39 | kijiji kile waliamini kwa sababu ya maneno aliyosema huyo 122 John 4 41 | wengi zaidi walimwamini kwa sababu ya ujumbe wake.~ 123 John 4 42 | Sisi hatuamini tu kwa sababu ya maneno yako; sisi wenyewe 124 John 5 19 | 18 Kwa sababu ya maneno haya, viongozi 125 John 5 28 | mamlaka ya kuhukumu kwa sababu yeye ni Mwana wa Mtu.~ 126 John 6 2 | mkubwa wa watu ulimfuata kwa sababu watu hao walikuwa wameona 127 John 6 18 | Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.~ 128 John 6 26 | mmeona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.~ 129 John 6 57 | alinituma, nami naishi kwa sababu yake; vivyo hivyo anilaye 130 John 6 57 | anilaye mimi ataishi pia kwa sababu yangu.~ 131 John 7 1 | kutembea mkoani Yudea kwa sababu viongozi wa Wayahudi walikuwa 132 John 7 7 | lakini mimi wanichukia kwa sababu mimi nauambia wazi kwamba 133 John 7 23 | mbona mnanikasirikia kwa sababu nimemfanya mtu kuwa mzima 134 John 7 29 | 29 Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye 135 John 7 30 | aliyethubutu kumkamata kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika 136 John 7 39 | Roho alikuwa hajafika kwa sababu Yesu alikuwa hajatukuzwa 137 John 8 14 | ushahidi wangu ni wa kweli kwa sababu mimi najua nilikotoka na 138 John 8 16 | hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba 139 John 8 20 | mtu aliyemtia nguvuni, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika 140 John 8 37 | hivyo, mnataka kuniua kwa sababu hamuyakubali mafundisho 141 John 8 47 | Lakini ninyi hamsikilizi kwa sababu ninyi si (watu wa) Mungu."~ 142 John 9 3 | Jambo hili halikutukia kwa sababu ya dhambi zake yeye, wala 143 John 9 22 | wake walisema hivyo kwa sababu waliwaogopa viongozi wa 144 John 10 5 | mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti yake."~ 145 John 10 13 | hajali kitu juu ya kondoo kwa sababu yeye ni mtu wa mshahara 146 John 10 19 | mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.~ 147 John 10 26 | Lakini ninyi hamsadiki kwa sababu ninyi si kondoo wangu.~ 148 John 10 33 | ajili ya tendo jema, ila kwa sababu ya kukufuru! Maana wajifanya 149 John 10 36 | mnamwambia: `Unakufuru`, eti kwa sababu nilisema: `Mimi ni Mwana 150 John 12 6 | juu ya maskini, bali kwa sababu alikuwa mweka hazina, na 151 John 12 11 | 11 Maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi 152 John 12 41 | alisema maneno haya kwa sababu aliuona utukufu wa Yesu, 153 John 12 42 | walimwamini Yesu. Lakini kwa sababu ya Mafarisayo, hawakumkiri 154 John 14 11 | Ama sivyo, aminini kwa sababu ya mambo ninayofanya.~ 155 John 14 17 | Ulimwengu hauwezi kumpokea kwa sababu hauwezi kumwona wala kumjua. 156 John 14 17 | Lakini ninyi mnamjua kwa sababu anabaki nanyi na yu ndani 157 John 14 28 | mngalinipenda mngalifurahi kwa sababu ninakwenda kwa Baba, maana 158 John 15 3 | mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya ule ujumbe niliowaambieni.~ 159 John 15 15 | nimewaita ninyi rafiki, kwa sababu nimewajulisha yote ambayo 160 John 15 19 | kutoka ulimwenguni, kwa sababu hiyo ulimwengu unawachukieni.~ 161 John 15 21 | watawatendeeni ninyi kwa sababu ya jina langu, kwani hawamjui 162 John 16 3 | Watawatendeeni mambo hayo kwa sababu hawamjui Baba, wala hawanijui 163 John 16 4 | mambo haya tangu mwanzo kwa sababu nilikuwa pamoja nanyi.~ 164 John 16 9 | Wamekosea kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini;~ 165 John 16 10 | 10 kuhusu uadilifu, kwa sababu naenda zangu kwa Baba, nanyi 166 John 16 11 | 11 kuhusu hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha 167 John 16 21 | anapojifungua huona huzuni kwa sababu saa ya maumivu imefika; 168 John 16 21 | hayakumbuki tena maumivu hayo kwa sababu ya furaha kwamba mtu amezaliwa 169 John 16 27 | mwenyewe anawapenda ninyi, kwa sababu ninyi mmenipenda mimi na 170 John 17 14 | ulimwengu ukawachukia, kwa sababu wao si wa ulimwengu kama 171 John 18 18 | walikuwa wamewasha moto kwa sababu kulikuwa na baridi, wakawa 172 John 19 7 | hiyo, ni lazima afe, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa 173 John 19 11 | hungepewa na Mungu. Kwa sababu hiyo, yule aliyenikabidhi 174 John 19 42 | 42 Basi, kwa sababu ya shughuli za Wayahudi 175 John 20 19 | milango ilikuwa imefungwa kwa sababu waliwaogopa viongozi wa 176 John 21 17 | Hapo Petro akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: " 177 Acts 3 17 | wakuu wenu mlitenda hayo kwa sababu ya kutojua kwenu.~ 178 Acts 4 21 | Hawakuweza kuwapa adhabu kwa sababu watu wote walikuwa wakimtukuza 179 Acts 4 21 | walikuwa wakimtukuza Mungu kwa sababu ya tukio hilo.~ 180 Acts 5 15 | 15 Kwa sababu hiyo, watu walikuwa wakipeleka 181 Acts 6 10 | hawakuweza kumshinda kwa sababu ya hekima yake na kwa sababu 182 Acts 6 10 | sababu ya hekima yake na kwa sababu ya yule Roho aliyeongoza 183 Acts 7 43 | mlizozifanya ndizo mlizoabudu. Kwa sababu hiyo nitakupeleka mateka 184 Acts 7 60 | Bwana, usiwalaumu kwa sababu ya dhambi hii." Baada ya 185 Acts 9 33 | alikuwa amelala kitandani kwa sababu alikuwa amepooza.~ 186 Acts 10 29 | 29 Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja 187 Acts 12 23 | akamwangusha Herode chini kwa sababu hakumpa Mungu hizo sifa. 188 Acts 16 3 | alimtahiri. Alifanya hivyo kwa sababu Wayahudi wote walioishi 189 Acts 17 23 | 23 Sababu yenyewe ni kwamba katika 190 Acts 18 2 | Italia siku hizohizo kwa sababu Kaisari Klaudio alikuwa 191 Acts 18 13 | Tunamshtaki mtu huyu kwa sababu ya kuwashawishi watu wamwabudu 192 Acts 18 18 | alinyoa nywele zake kwa sababu ya nadhiri aliyokuwa ameweka.~ 193 Acts 19 23 | ghasia kubwa huko Efeso kwa sababu ya hiyo Njia ya Bwana.~ 194 Acts 19 32 | ukavurugika. Wengi hawakujua hata sababu ya kukutana kwao.~ 195 Acts 19 40 | halali na hatungeweza kutoa sababu za kuridhisha za ghasia 196 Acts 21 29 | 29 Sababu ya kusema hivyo ni kwamba 197 Acts 21 34 | wengine kitu kingine. Kwa sababu ya ghasia hiyo, mkuu wa 198 Acts 21 35 | walilazimika kumbeba kwa sababu ya fujo za watu.~ 199 Acts 24 21 | Mnanihukumu leo hii kwa sababu ya kushikilia kwamba wafu 200 Acts 24 26 | Paulo angempa fedha. Kwa sababu hii alimwita Paulo mara 201 Acts 26 6 | niko hapa nihukumiwe kwa sababu ninaitumainia ile ahadi 202 Acts 26 7 | Wayahudi wananishtaki kwa sababu ya tumaini hilo!~ 203 Acts 26 21 | 21 Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata 204 Acts 27 7 | tulifika karibu na Nido. Kwa sababu upepo ulikuwa bado unatupinga, 205 Acts 27 29 | 29 Kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye 206 Acts 28 3 | anazitia motoni. Hapo, kwa sababu ya lile joto la moto, nyoka 207 Acts 28 20 | 20 Ni kwa sababu hiyo nimeomba kuonana na 208 Acts 28 20 | nimefungwa minyororo hii kwa sababu ya tumaini lile la Israeli."~ 209 Roma 1 8 | kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inasikika duniani 210 Roma 1 24 | 24 Kwa sababu hiyo, Mungu amewaacha wafuate 211 Roma 2 24 | wamelikufuru jina la Mungu kwa sababu yenu ninyi Wayahudi!"~ 212 Roma 3 27 | Hakuna! Kwa nini? Je, kwa sababu ya kutimiza Sheria? La! 213 Roma 3 27 | kutimiza Sheria? La! Bali kwa sababu tunaamini.~ 214 Roma 4 11 | alimkubali kuwa mwadilifu kwa sababu ya imani yake aliyokuwa 215 Roma 4 12 | kuwa wametahiriwa, bali kwa sababu wanafuata njia ileile ya 216 Roma 4 13 | Ahadi hiyo haikufanywa kwa sababu Abrahamu aliitii Sheria, 217 Roma 4 16 | 16 Kwa sababu hiyo, jambo hili lategemea 218 Roma 5 17 | kifo kilianza kutawala kwa sababu ya huyo mtu mmoja; lakini, 219 Roma 6 15 | tutende dhambi ati kwa sababu hatuko chini ya Sheria bali 220 Roma 6 19 | lugha ya kawaida ya watu kwa sababu ya udhaifu wenu wenyewe.) 221 Roma 7 6 | vifungo vya Sheria, kwa sababu tumekufa kuhusu lile jambo 222 Roma 8 3 | haikuweza kutekeleza kwa sababu ya udhaifu w binadamu. Mungu 223 Roma 8 10 | ingawa miili yenu itakufa kwa sababu ya dhambi, kwenu Roho ndiye 224 Roma 8 10 | kwenu Roho ndiye uhai kwa sababu mmekubaliwa kuwa waadilifu.~ 225 Roma 9 32 | 32 Kwa nini? Kwa sababu walitegemea matendo yao 226 Roma 10 11 | Kila amwaminiye hatakuwa na sababu ya kuaibika."~ 227 Roma 11 5 | ambao Mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.~ 228 Roma 11 6 | na neema yake, na si kwa sababu ya matendo yao. Maana, kama 229 Roma 11 20 | 20 Sawa! Yalikatwa kwa sababu ya kukosa imani, bali wewe 230 Roma 11 28 | 28 Kwa sababu wanaikataa Habari Njema, 231 Roma 11 28 | bado ni rafiki wa Mungu kwa sababu ya baba zao.~ 232 Roma 13 5 | wenye mamlaka, si tu kwa sababu ya kuogopa ghadhabu ya Mungu, 233 Roma 13 5 | ghadhabu ya Mungu, bali pia kwa sababu dhamiri inadai hivyo.~ 234 Roma 13 6 | 6 Kwa sababu hiyohiyo ninyi hulipa kodi; 235 Roma 14 15 | ukimhuzunisha ndugu yako kwa sababu ya chakula unachokula, basi 236 Roma 14 15 | kidogo chakula chako kiwe sababu ya kupotea kwa mtu mwingine 237 Roma 14 20 | usiiharibu kazi ya Mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. 238 Roma 14 23 | anahukumiwa kama akila, kwa sababu msimamo wa kitendo chake 239 Roma 15 9 | wapate kumtukuza Mungu kwa sababu ya huruma yake. Kama yasemavyo 240 Roma 15 9 | Maandiko Matakatifu: "Kwa sababu hiyo, nitakusifu miongoni 241 Roma 15 15 | fulani. Nimefanya hivyo kwa sababu ya neema aliyonijalia Mungu~ 242 Roma 15 22 | 22 Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi 243 Roma 16 19 | utii wenu na hivyo mmekuwa sababu ya furaha yangu. Nawatakeni 244 1Cor 1 4 | daima kwa ajili yenu kwa sababu amewatunukia ninyi neema 245 1Cor 7 2 | 2 lakini kwa sababu ya hatari ya uzinzi, basi, 246 1Cor 7 5 | Shetani asije akawajaribu kwa sababu ya udhaifu wenu.~ 247 1Cor 8 11 | ajili yake, atapotea kwa sababu ya ujuzi wako.~ 248 1Cor 9 2 | uthibitisho wa mtume wangu kwa sababu ya kuungana kwenu na Bwana.~ 249 1Cor 10 25 | bila ya kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu;~ 250 1Cor 10 27 | atakavyowaandalieni bila kuulizauliza kwa sababu ya dhamiri zenu.~ 251 1Cor 11 2 | 2 Nawapeni hongera kwa sababu mnanikumbuka na kwa sababu 252 1Cor 11 2 | sababu mnanikumbuka na kwa sababu mnayashikilia yale maagizo 253 1Cor 11 10 | yaliyo juu yake, na pia kwa sababu ya malaika.~ 254 1Cor 15 9 | sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la 255 2Cor 1 11 | ya watu wengi hivyo, ziwe sababu ya watu wengi zaidi kumshukuru 256 2Cor 1 20 | Mungu zimekuwa "Ndiyo". Kwa sababu hiyo, "Amina" yetu husemwa 257 2Cor 1 23 | sikuja tena Korintho, kwa sababu tu ya kuwahurumieni.~ 258 2Cor 3 4 | Tunaweza kusema hayo kwa sababu ya tumaini letu tulilo nalo 259 2Cor 3 7 | kuutazama uso wa Mose kwa sababu ya mng`ao wake. Tena mng` 260 2Cor 4 4 | 4 Hao hawaamini kwa sababu yule mungu wa ulimwengu 261 2Cor 4 13 | imani, tunaamini, na kwa sababu hiyo twanena.~ 262 2Cor 4 16 | 16 Kwa sababu hiyo hatufi moyo; na hata 263 2Cor 5 12 | ila tunataka kuwapa ninyi sababu zetu za kuona fahari juu 264 2Cor 7 7 | kwake Tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa ninyi. Yeye 265 2Cor 7 8 | yangu nimewahuzunisha, sioni sababu ya kujuta. Naam, naona kwamba 266 2Cor 7 9 | 9 Sasa nafurahi, si kwa sababu mmehuzunika, ila kwa kuwa 267 2Cor 7 9 | mpango wa Mungu, na kwa sababu hiyo hatukuwadhuru ninyi 268 2Cor 7 10 | kuleta wokovu; hivyo hakuna sababu ya kujuta. Lakini huzuni 269 2Cor 8 6 | 6 Kwa sababu hiyo, tulimsihi Tito aliyeianza 270 2Cor 8 22 | amekuwa na moyo zaidi kwa sababu ana imani sana nanyi.~ 271 2Cor 9 4 | mtakayopata ninyi wenyewe - kwa sababu tutakuwa tumewatumainia 272 2Cor 9 13 | watu watamtukuza Mungu kwa sababu ya uaminifu wenu kwa Habari 273 2Cor 9 13 | mnayoiungama, na pia kwa sababu ya ukarimu mnaowapa wao 274 2Cor 9 14 | watawaombea ninyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni 275 2Cor 11 11 | Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu eti siwapendi ninyi? Mungu 276 2Cor 11 18 | Maadam wengi hujivuna kwa sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.~ 277 2Cor 13 4 | hata kama alisulubiwa kwa sababu ya udhaifu, lakini sasa 278 Gala 1 24 | Basi, wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.~ ~~ ~ 279 Gala 3 2 | mlipokea Roho wa Mungu kwa sababu ya kutimiza matakwa ya Sheria 280 Gala 3 2 | matakwa ya Sheria ama kwa sababu ya kuisikia na kuiamini 281 Gala 3 5 | miujiza kati yenu ati kwa sababu mnatimiza yanayotakiwa na 282 Gala 3 5 | yanayotakiwa na sheria, ama kwa sababu mnasikia Habari Njema na 283 Gala 3 18 | alimkirimia Abrahamu kwa sababu aliahidi.~ 284 Gala 4 14 | hamkunidharau wala kunikataa kwa sababu ya udhaifu wangu ingawa 285 Gala 4 16 | sasa nimekuwa adui yenu kwa sababu ya kuwaambieni ukweli?~ 286 Gala 5 17 | mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale 287 Gala 6 4 | alichofanya bila kuwa na sababu ya kujilinganisha na mtu 288 Gala 6 12 | mtahiriwe. Wanafanya hivyo kwa sababu moja tu: kusudi wao wenyewe 289 Gala 6 12 | wasije wakadhulumiwa kwa sababu ya msalaba wa Kristo.~ 290 Ephe 1 4 | hitilafu mbele yake. Kwa sababu ya upendo wake,~ 291 Ephe 1 6 | Basi, tumsifu Mungu kwa sababu ya neema yake tukufu katika 292 Ephe 1 15 | 15 Kwa sababu hiyo, tangu niliposikia 293 Ephe 2 1 | Ninyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa na dhambi zenu.~ 294 Ephe 2 5 | ingawa tulikuwa tumekufa kwa sababu ya dhambi, alitufanya hai 295 Ephe 2 11 | hujiita, "Waliotahiriwa," (kwa sababu ya kile wanachoifanyia miili 296 Ephe 3 13 | nawaombeni msife moyo kwa sababu ya mateso ninayopata kwa 297 Ephe 3 14 | 14 Kwa sababu hiyo, nampigia magoti Baba,~ 298 Ephe 4 18 | mbali na uzima wa Mungu, kwa sababu ya upumbavu ulio ndani yao 299 Ephe 5 6 | maneno matupu; maana, kwa sababu ya mambo kama hayo ghadhabu 300 Ephe 5 21 | mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya kumcha Kristo.~ 301 Ephe 6 6 | kama atakavyo Mungu kwa sababu ninyi ni watumishi wa Kristo.~ 302 Ephe 6 13 | 13 Kwa sababu hiyo, vaeni silaha za Mungu 303 Colo 1 5 | linalopatikana kwake. Kwa sababu hiyo imani na upendo wenu 304 Colo 1 9 | 9 Kwa sababu hiyo tumekuwa tukiwaombeeni 305 Colo 1 21 | na mlikuwa adui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo 306 Colo 1 28 | 28 Kwa sababu hiyo tunamhubiri Kristo 307 Colo 2 13 | nanyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kwa sababu 308 Colo 2 13 | sababu ya makosa yenu na kwa sababu ninyi mlikuwa watu wa mataifa 309 Colo 2 18 | anayejitakia kuwa wa maana kwa sababu ya maono ya pekee na ambaye 310 Colo 3 6 | 6 Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya 311 Colo 3 22 | hivyo kwa moyo wote, kwa sababu ya kumcha Bwana.~ 312 Colo 3 23 | fanyeni kwa moyo wote, kwa sababu ya Bwana na si kwa ajili 313 1The 2 13 | 13 Tena tunayo sababu nyingine ya kumshukuru Mungu: 314 1The 3 3 | mwenu isije ikafifia kwa sababu ya taabu hizo. Ninyi mnajua 315 1The 3 9 | tuliyo nayo mbele yake kwa sababu yenu.~ 316 1The 5 13 | heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu ya kazi wanayofanya. Muwe 317 2The 2 2 | wala msitiwe wasiwasi kwa sababu ya madai kwamba Siku ya 318 2The 2 10 | kupotea. Hao watapotea kwa sababu hawakuupokea na kuupenda 319 2The 3 9 | kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni mfano.~ 320 2The 3 11 | Tunasema mambo hayo kwa sababu tumesikia kwamba wako baadhi 321 1Tim 1 13 | Mungu alinionea huruma, kwa sababu sikuwa na imani bado, na 322 1Tim 2 7 | 7 Kwa sababu hiyo mimi nilitumwa niwe 323 1Tim 4 5 | 5 kwa sababu neno la Mungu na sala hukifanya 324 1Tim 4 12 | mtu yeyote akudharau kwa sababu wewe ni kijana, lakini jitahidi 325 1Tim 6 1 | wakuu wao ili kusiwe na sababu ya watu kulitukana jina 326 2Tim 1 8 | wetu, wala usione haya kwa sababu yangu mimi niliye mfungwa 327 2Tim 1 9 | wake yeye mwenyewe, si kwa sababu ya matendo yetu wenyewe 328 2Tim 1 9 | matendo yetu wenyewe bali kwa sababu ya kusudi lake na neema 329 2Tim 1 12 | nateseka mambo haya kwa sababu hiyo. Lakini niko bado timamu 330 2Tim 1 16 | jamaa ya Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha rohoni mara 331 2Tim 2 9 | 9 Kwa sababu ya kuihubiri Habari Njema 332 2Tim 2 21 | cha matumizi ya pekee, kwa sababu amewekwa wakfu, anamfaa 333 2Tim 4 1 | walio hai na wafu, na kwa sababu anakuja kutawala akiwa Mfalme:~ 334 2Tim 4 15 | 15 Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa 335 2Tim 4 20 | Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.~ 336 Titus 1 13| Naye alitoboa ukweli kwa sababu hiyo, unapaswa kuwakaripia 337 Titus 3 5 | alituokoa. alituokoa si kwa sababu ya jambo lolote jema tulilotenda 338 Titus 3 5 | sisi, bali alituokoa kwa sababu ya huruma yake, kwa njia 339 Phil 1 8 | 8 Kwa sababu hiyo, ningeweza, kwa uhodari 340 Phil 1 9 | 9 Lakini kwa sababu ya upendo, ni afadhali zaidi 341 Phil 1 13 | wakati niwapo kifungoni kwa sababu ya Habari Njema.~ 342 Hebr 2 1 | 1 Kwa sababu hiyo tunapaswa kuzingatia 343 Hebr 2 9 | kwa utukufu na heshima kwa sababu ya kifo alichoteseka.~ 344 Hebr 2 15 | watumwa maisha yao yote kwa sababu ya hofu yao ya kifo.~ 345 Hebr 3 10 | 10 Kwa sababu hiyo niliwakasirikia watu 346 Hebr 3 19 | kwamba hawakuingia huko kwa sababu hawakuamini.~ ~ ~~ ~ 347 Hebr 4 6 | hawakupata pumziko hilo kwa sababu hawakuamini. Wapo, basi, 348 Hebr 4 11 | kama walivyofanya wao kwa sababu ya ukosefu wao wa imani.~ 349 Hebr 5 7 | kifo; naye alisikilizwa kwa sababu ya kumcha Mungu.~ 350 Hebr 5 11 | vigumu kuwaelezeni, kwa sababu ninyi si wepesi wa kuelewa.~ 351 Hebr 6 6 | kuwarudisha watubu tena, kwa sababu wanamsulubisha tena Mwana 352 Hebr 7 18 | amri ya zamani ilifutwa kwa sababu ilikuwa hafifu na isiyofaa 353 Hebr 7 23 | wengine walikuwa wengi kwa sababu walikufa na hawakuweza kuendelea 354 Hebr 11 2 | walipata kibali cha Mungu kwa sababu ya imani yao.~ 355 Hebr 11 5 | kufa. Hakuonekana tena kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. 356 Hebr 11 16 | wakimwita yeye Mungu wao, kwa sababu yeye mwenyewe amekwisha 357 Hebr 11 31 | wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha wale wapelelezi.~ 358 Hebr 11 39 | walionekana kuwa mashujaa kwa sababu ya imani yao. Hata hivyo, 359 Hebr 12 14 | maisha ya utakatifu, kwa sababu hakuna mtu atakayemwona 360 Hebr 13 20 | Mchungaji Mkuu wa kondoo kwa sababu ya kumwaga damu yake iliyothibitisha 361 James 2 25| alikubaliwa kuwa mwadilifu kwa sababu aliwapokea wale wapelelezi 362 James 4 2 | Hampati kile mnachotaka kwa sababu hamkiombi kwa Mungu.~ 363 James 4 3 | Tena, mnapoomba hampati kwa sababu mnaomba kwa nia mbaya; mnaomba 364 James 5 1 | Lieni na kuomboleza kwa sababu ya taabu zitakazowajieni.~ 365 James 5 11| Tunawaita hao wenye heri kwa sababu walivumilia. Mmesikia habari 366 1Pet 1 6 | itawabidi kuhuzunika kwa sababu ya majaribio mbalimbali 367 1Pet 1 9 | 9 kwa sababu mnapokea wokovu wa roho 368 1Pet 2 8 | watu." Watu hujikwaa kwa sababu hawauamini ule ujumbe; na 369 1Pet 2 19 | mateso msiyostahili kwa sababu mwajua kwamba Mungu anataka 370 1Pet 2 20 | mapigo mnayostahili kwa sababu ya makosa yenu? Lakini kama 371 1Pet 3 14 | kama itawapasa kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, basi, mna 372 1Pet 3 17 | ni afadhali kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, kama Mungu 373 1Pet 3 17 | akipenda, kuliko kuteseka kwa sababu ya kutenda uovu.~ 374 1Pet 4 6 | 6 Kwa sababu hiyo, hao waliokufa ambao 375 1Pet 4 14 | yenu ikiwa mnatukanwa kwa sababu ya jina la Kristo; jambo 376 1Pet 4 15 | ambaye anapaswa kuteseka kwa sababu ni muuaji, mwizi, mhalifu 377 1Pet 4 16 | Lakini kama mtu akiteseka kwa sababu ni Mkristo, basi asione 378 1Pet 4 16 | bali amtukuze Mungu, kwa sababu mtu huyo anaitwa kwa jina 379 2Pet 1 5 | 5 Kwa sababu hiyo, fanyeni bidii ya kuongeza 380 2Pet 2 2 | hizo njia zao mbaya, kwa sababu yao, wengine wataipuuza 381 1Joh 2 13 | Nawaandikieni ninyi vijana kwa sababu mmemshinda yule Mwovu.~ 382 1Joh 2 14 | Nawaandikieni ninyi watoto, kwa sababu mnamjua Baba. Nawaandikieni 383 1Joh 2 14 | Nawaandikieni ninyi vijana kwa sababu mna nguvu; neno la Mungu 384 1Joh 2 21 | hamuujui ukweli, bali kwa sababu mnaujua; na pia mnajua kwamba 385 1Joh 2 28 | tuwe hodari bila kuwa na sababu ya kujificha kwa aibu Siku 386 1Joh 3 9 | hawezi kutenda dhambi kwa sababu yeye ni mtoto wa Mungu.~ 387 1Joh 3 12 | Na, kwa nini alimuua? Kwa sababu matendo yake yalikuwa maovu, 388 1Joh 3 14 | kuingia katika uzima kwa sababu tunawapenda ndugu zetu. 389 1Joh 4 19 | 19 Sisi tuna upendo kwa sababu Mungu alitupenda kwanza.~ 390 1Joh 5 18 | Mungu hatendi dhambi, kwa sababu Mwana wa Mungu humlinda 391 2Joh 1 2 | 2 kwa sababu ukweli unakaa nasi milele.~ 392 Rev 1 9 | nilikuwa kisiwani Patmo kwa sababu ya kuhubiri ujumbe wa Mungu 393 Rev 5 4 | Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili 394 Rev 5 9 | kuivunja mihuri yake. Kwa sababu wewe umechinjwa, na kwa 395 Rev 6 9 | roho za wale waliouawa kwa sababu ya ujumbe wa Mungu, na kwa 396 Rev 6 9 | ujumbe wa Mungu, na kwa sababu ya ushuhuda waliotoa.~ 397 Rev 7 17 | 17 kwa sababu Mwanakondoo aliye katikati 398 Rev 8 11 | kutokana na maji hayo, kwa sababu yaligeuka kuwa machungu.~ 399 Rev 12 12 | 12 Kwa sababu hiyo, furahini enyi mbingu 400 Rev 12 12 | akiwa na ghadhabu kuu, kwa sababu anajua kwamba siku zake 401 Rev 13 4 | wakaliabudu lile joka kwa sababu lilimpa huyo mnyama uwezo 402 Rev 16 10 | watu wakauma ndimi zao kwa sababu za maumivu,~ 403 Rev 16 11 | wakamtukana Mungu wa mbinguni kwa sababu ya maumivu yao na madonda 404 Rev 16 21 | Nao wakamtukana Mungu kwa sababu ya mapigo ya mvua hiyo ya 405 Rev 17 6 | damu ya watu waliouawa kwa sababu ya kumtangaza Yesu. Nilipomwona 406 Rev 17 14 | waaminifu, atawashinda kwa sababu yeye ni Bwana wa mabwana 407 Rev 18 8 | 8 Kwa sababu hiyo mabaa yake yatampata 408 Rev 18 10 | Wanasimama kwa mbali kwa sababu ya kuogopa mateso yake, 409 Rev 18 15 | huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, 410 Rev 18 20 | 20 Furahi ee mbingu, kwa sababu ya uharibifu wake. Furahini 411 Rev 18 20 | maana Mungu ameuhukumu kwa sababu ya mambo uliyowatenda ninyi!~ 412 Rev 19 2 | uzinzi wake. Amemwadhibu kwa sababu ya kumwaga damu ya watumishi 413 Rev 20 4 | waliokuwa wamenyongwa kwa sababu ya kumtangaza Yesu na kwa 414 Rev 20 4 | ya kumtangaza Yesu na kwa sababu ya neno la Mungu. Hawa hawakumwabudu


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License