Book, Chapter, Verse
1 Matt 2 22 | mfalme wa Yudea mahali pa baba yake, aliogopa kwenda huko.
2 Matt 3 9 | mtaweza kujitetea kwa kusema, `Baba yetu ni Abrahamu!` Nawaambieni
3 Matt 4 21 | ndani ya mashua pamoja na baba yao Zebedayo, wakitengeneza
4 Matt 4 22 | wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.~
5 Matt 5 16 | matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni."~
6 Matt 5 45 | ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa
7 Matt 5 48 | Basi, muwe wakamilifu kama Baba yenu wa mbinguni alivyo
8 Matt 6 1 | mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni
9 Matt 6 4 | msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika,
10 Matt 6 6 | funga mlango, kisha umwombe Baba yako asiyeonekana. Naye
11 Matt 6 6 | yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika,
12 Matt 6 8 | 8 Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji
13 Matt 6 9 | ndivyo mnavyopaswa kusali: `Baba yetu uliye mbinguni: Jina
14 Matt 6 14 | mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe
15 Matt 6 15 | msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe ninyi
16 Matt 6 18 | unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako asiyeonekana. Naye
17 Matt 6 18 | yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika
18 Matt 6 26 | ghala yoyoye. Hata hivyo, Baba yenu wa mbinguni huwalisha.
19 Matt 6 32 | na watu wasiomjua Mungu. Baba yenu wa mbinguni anajua
20 Matt 7 11 | wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya
21 Matt 7 21 | tu anayetimiza mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.~
22 Matt 8 21 | kwanza niende nikamzike baba yangu."~
23 Matt 10 20 | mtakaosema, bali ni Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.~
24 Matt 10 21 | atamsaliti ndugu yake auawe, na baba atamsaliti mwanawe, nao
25 Matt 10 29 | haanguki chini bila kibali cha Baba yenu.~
26 Matt 10 32 | mimi pia nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.~
27 Matt 10 33 | nami nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.~
28 Matt 10 35 | mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama
29 Matt 10 37 | 37 "Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo
30 Matt 11 25 | alisema, "Nakushukuru ee Baba, Bwana wa mbingu na dunia,
31 Matt 11 26 | 26 Naam Baba, ndivyo ilivyokupendeza.~
32 Matt 11 27 | 27 "Baba yangu amenikabidhi vitu
33 Matt 11 27 | Hakuna amjuaye Mwana ila Baba, wala amjuaye Baba ila Mwana,
34 Matt 11 27 | Mwana ila Baba, wala amjuaye Baba ila Mwana, na yeyote yule
35 Matt 12 50 | yeyote anayefanya anavyotaka Baba yangu aliye mbinguni, huyo
36 Matt 13 43 | kama jua katika Ufalme wa Baba yao. Sikieni basi, kama
37 Matt 15 4 | Mungu amesema: `Waheshimu baba yako na mama yako,` na `
38 Matt 15 4 | yako,` na `Anayemkashifu baba yake au mama yake, lazima
39 Matt 15 5 | angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema: `
40 Matt 15 6 | hapaswi tena kumheshimu baba yake! Ndivyo mnavyodharau
41 Matt 15 13 | akawajibu, "Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakuupanda,
42 Matt 16 17 | aliyekufunulia ukweli huu, ila Baba yangu aliye mbinguni.~
43 Matt 16 27 | atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika wake,
44 Matt 18 10 | mbinguni wako daima mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.*fh*~
45 Matt 18 14 | 14 Hali kadhalika, Baba yenu wa mbinguni hapendi
46 Matt 18 19 | jambo lolote la kuomba, Baba yangu wa mbinguni atawafanyia
47 Matt 18 35 | 35 Na baba yangu aliye mbinguni atawafanyieni
48 Matt 19 5 | hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana
49 Matt 19 19 | 19 waheshimu baba yako na mama yako; na, mpende
50 Matt 19 29 | nyumba, au ndugu, au dada, au baba, au mama, au watoto, au
51 Matt 20 23 | wale waliowekewa tayari na Baba yangu."~
52 Matt 21 30 | 30 Yule baba akamwambia mtoto wake wa
53 Matt 21 30 | hivyo, naye akamjibu, `Naam baba!` Lakini hakwenda kazini.~
54 Matt 21 31 | wawili aliyetimiza matakwa ya baba yake?" Wakamjibu, "Yule
55 Matt 23 9 | Wala msimwite mtu yeyote <Baba> hapa duniani, maana Baba
56 Matt 23 9 | Baba> hapa duniani, maana Baba yenu ni ~mmoja tu aliye
57 Matt 24 36 | mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake ndiye ajuaye.~
58 Matt 25 34 | Njoni enyi mliobarikiwa na Baba yangu; pokeeni Ufalme mliotayarishiwa
59 Matt 26 29 | pamoja nanyi katika Ufalme wa Baba yangu."~
60 Matt 26 39 | akaanguka kifudifudi, akasali: "Baba yangu, kama inawezekana,
61 Matt 26 42 | tena mara ya pili akasali: "Baba yangu, kama haiwezekani
62 Matt 26 53 | kwamba ningeweza kumwomba Baba yangu naye mara angeniletea
63 Matt 28 19 | mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho
64 Mark 1 20 | akawaita mara, nao wakamwacha baba yao Zebedayo katika mashua
65 Mark 5 40 | akawaondoa wote nje, akawachukua baba na mama ya huyo msichana
66 Mark 7 10 | Mose aliamuru: `Waheshimu baba yako na mama yako,` na, `
67 Mark 7 10 | yako,` na, `Anayemlaani baba au mama, lazima afe.`~
68 Mark 7 11 | angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema
69 Mark 8 38 | atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu."~ ~~ ~
70 Mark 9 20 | kinywani. Yesu akamwuliza baba yake huyo mtoto,~
71 Mark 9 24 | 24 Hapo, huyo baba akalia kwa sauti, "Naamini!
72 Mark 10 7 | Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana
73 Mark 10 19 | Usidanganye; Waheshimu baba na mama yako."`~
74 Mark 10 29 | ndugu, au dada, au mama, au baba, au watoto au mashamba kwa
75 Mark 11 10 | Ubarikiwe Ufalme ujao wa baba yetu Daudi. Hosana juu mbinguni!"~
76 Mark 11 25 | aliyewakosea chochote, ili Baba yenu aliye mbinguni awasamehe
77 Mark 11 25 | ninyi makosa yenu.*fg* hata Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe
78 Mark 13 12 | atamsaliti ndugu yake auawe; baba atamsaliti mwanae; watoto
79 Mark 13 32 | wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye.~
80 Mark 14 36 | 36 Akasema, "Baba yangu, kwako mambo yote
81 Mark 15 21 | wa Kurene. Yeye alikuwa baba wa Aleksanda na Rufo, na
82 Luke 1 17 | Eliya. Atawapatanisha kina baba na watoto wao; atawafanya
83 Luke 1 59 | wakataka kumpa jina la baba yake, Zakariya.~
84 Luke 1 62 | 62 Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka
85 Luke 1 67 | 67 Zakariya, baba yake mtoto, akajazwa Roho
86 Luke 1 73 | Kiapo alichomwapia Abrahamu baba yetu, ni kwamba atatujalia
87 Luke 2 33 | 33 Baba na mama yake Yesu walikuwa
88 Luke 2 48 | kwa nini umetutenda hivyo? Baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta
89 Luke 2 49 | inanipasa kuwa katika nyumba ya Baba yangu?"~
90 Luke 6 36 | 36 Muwe na huruma kama Baba yenu alivyo na huruma.~
91 Luke 9 26 | katika utukufu wake na wa Baba na wa malaika watakatifu.~
92 Luke 9 42 | mtoto na kumkabidhi kwa baba yake.~
93 Luke 9 59 | niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu."~
94 Luke 10 21 | akasema, "Nakushukuru ee Baba, Bwana wa mbingu na dunia,
95 Luke 10 21 | ukawafumbulia wadogo. Naam, Baba, ndivyo ilivyokupendeza."~
96 Luke 10 22 | 22 Kisha akasema, "Baba yangu ameweka yote mikononi
97 Luke 10 22 | amjuaye Mwana ni nani ila Baba, wala amjuaye Baba ni nani
98 Luke 10 22 | nani ila Baba, wala amjuaye Baba ni nani ila Mwana, na yeyote
99 Luke 11 2 | akawaambia, "Mnaposali, semeni: `Baba! Jina lako litukuzwe; Ufalme
100 Luke 11 11 | 11 Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa
101 Luke 11 13 | wenu vitu vizuri. Basi, baba yenu wa mbinguni atafanya
102 Luke 12 13 | tugawane urithi aliotuachia baba."~
103 Luke 12 30 | na watu wasiomjua Mungu. Baba yenu anajua kwamba mnahitaji
104 Luke 12 32 | enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa kuwapeni Ufalme.~
105 Luke 12 53 | 53 Baba atakuwa dhidi ya mwanawe,
106 Luke 12 53 | mwanawe, mwana dhidi ya baba yake; mama dhidi ya bintiye,
107 Luke 14 26 | akija kwangu, asipowachukia baba na mama yake, mke wake,
108 Luke 15 12 | 12 Yule mdogo, alimwambia baba yake: `Baba, nipe urithi
109 Luke 15 12 | alimwambia baba yake: `Baba, nipe urithi wangu.` Naye
110 Luke 15 17 | kuna wafanyakazi wengi wa baba yangu wanaokula na kusaza,
111 Luke 15 18 | 18 Nitarudi kwa baba yangu na kumwambia: Baba,
112 Luke 15 18 | baba yangu na kumwambia: Baba, nimemkosea Mungu, na nimekukosea
113 Luke 15 20 | akaanza safari ya kurudi kwa baba yake. Alipokuwa bado yu
114 Luke 15 20 | Alipokuwa bado yu mbali, baba yake alimwona, na kwa moyo
115 Luke 15 21 | 21 "Mwanawe akamwambia: `Baba, nimemkosea Mungu, na nimekukosea
116 Luke 15 22 | 22 Lakini baba yake akawaambia watumishi
117 Luke 15 27 | yako amerudi nyumbani, na baba yako amemchinjia ndama mnono
118 Luke 15 28 | akakataa kuingia nyumbani. Baba yake akatoka nje na kumsihi
119 Luke 15 31 | 31 Baba yake akamjibu: `Mwanangu,
120 Luke 16 24 | Basi, akaita kwa sauti: `Baba Abrahamu, nionee huruma;
121 Luke 16 27 | aliyekuwa tajiri akasema: `Basi baba, nakuomba umtume aende nyumbani
122 Luke 16 27 | umtume aende nyumbani kwa baba yangu,~
123 Luke 16 30 | Lakini yeye akasema: `Sivyo baba Abrahamu, ila kama mtu atafufuka
124 Luke 18 20 | ushahidi wa uongo; waheshimu baba yako na mama yako."`~
125 Luke 22 29 | 29 na, kama vile Baba yangu alivyonikabidhi Ufalme,
126 Luke 22 42 | 42 "Baba, kama wapenda, ukiondoe
127 Luke 23 34 | 34 Yesu akasema, "Baba, uwasamehe kwa maana hawajui
128 Luke 23 46 | akalia kwa sauti kubwa: "Baba, naiweka roho yangu mikononi
129 Luke 24 49 | nitawapelekeeni yule ambaye Baba aliahidi kumtuma, lakini
130 John 1 13 | bali Mungu mwenyewe ndiye baba yao.~
131 John 1 14 | aliye Mwana wa pekee wa Baba; amejaa neema na ukweli.~
132 John 1 18 | Mungu ambaye ameungana na Baba, ndiye aliyetujulisha habari
133 John 2 16 | hapa. Msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa soko!"~
134 John 3 6 | Mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa
135 John 3 35 | 35 Baba anampenda Mwana na amemkabidhi
136 John 4 21 | unakuja ambapo hamtamwabudu Baba juu ya mlima huu, wala kule
137 John 4 23 | wanaoabudu kweli, watamwabudu Baba kwa nguvu ya Roho; watu
138 John 4 23 | wanaomwabudu hivyo ndio Baba anaotaka.~
139 John 4 53 | 53 Huyo baba akakumbuka kwamba ilikuwa
140 John 5 18 | Basi, Yesu akawaambia, "Baba yangu anafanya kazi daima,
141 John 5 19 | alisema kwamba Mungu ni Baba yake, na hivyo akajifanya
142 John 5 20 | kufanya kile anachomwona Baba akikifanya. Maana kile anachofanya
143 John 5 20 | Maana kile anachofanya Baba, Mwana hukifanya vilevile.~
144 John 5 21 | 20 Baba ampenda Mwana, na humwonyesha
145 John 5 22 | 21 Kama vile Baba huwafufua wafu na kuwapa
146 John 5 23 | 22 Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli
147 John 5 24 | kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu
148 John 5 24 | Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba ambaye amemtuma.~
149 John 5 27 | 26 Kama vile Baba alivyo asili ya uhai, ndivyo
150 John 5 31 | ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya
151 John 5 37 | ninazofanya, kazi alizonipa Baba nizifanye, ndizo zinazonishuhudia
152 John 5 37 | zinazonishuhudia kwamba Baba ndiye aliyenituma.~
153 John 5 38 | 37 Naye Baba aliyenituma hunishuhudia.
154 John 5 44 | nimekuja kwa mamlaka ya Baba yangu, lakini hamnipokei;
155 John 5 46 | kwamba mimi nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye ninyi mmemtumainia
156 John 6 27 | milele. Mwana wa Mtu ambaye Baba amemthibitisha atawapeni
157 John 6 32 | hakuwapeni mkate kutoka mbinguni; Baba yangu ndiye awapaye ninyi
158 John 6 37 | 37 Wote anaonipa Baba watakuja kwangu; nami sitamtupa
159 John 6 40 | 40 Maana anachotaka Baba yangu ndicho hiki: kila
160 John 6 42 | mwana wa Yosefu? Tunawajua baba yake na mama yake! Basi,
161 John 6 44 | mtu awezaye kuja kwangu, Baba aliyenituma asipomvuta kwangu;
162 John 6 45 | Mungu.` Kila mtu anayemsikia Baba na kujifunza kutoka kwake,
163 John 6 46 | kwamba yupo mtu aliyemwona Baba, isipokuwa yule aliyetoka
164 John 6 46 | Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba.~
165 John 6 57 | 57 Baba aliye hai alinituma, nami
166 John 6 65 | kwangu asipowezeshwa na Baba yangu."~
167 John 8 16 | sababu mimi siko peke yangu; Baba aliyenituma yuko pamoja
168 John 8 18 | najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma, ananishuhudia
169 John 8 19 | 19 Hapo wakamwuliza, "Baba yako yuko wapi?" Yesu akawajibu "
170 John 8 19 | hamnijui mimi wala hamumjui Baba. Kama mngenijua mimi, mngemjua
171 John 8 19 | mngenijua mimi, mngemjua na Baba yangu pia."~
172 John 8 27 | alikuwa akisema nao juu ya Baba.~
173 John 8 28 | mwenyewe, ila nasema tu yale Baba aliyonifundisha.~
174 John 8 38 | nasema yale aliyonionyesha Baba, lakini ninyi mwafanya yale
175 John 8 38 | mwafanya yale aliyowaambieni baba yenu."~
176 John 8 39 | 39 Wao wakamjibu, "Baba yetu ni Abrahamu!" Yesu
177 John 8 41 | si watoto haramu! Tunaye baba mmoja tu, yaani Mungu."~
178 John 8 42 | akawaambia, "Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda mimi,
179 John 8 44 | 44 Ninyi ni watoto wa baba yenu Ibilisi na mnataka
180 John 8 44 | mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. Yeye alikuwa muuaji
181 John 8 44 | maana yeye ni mwongo na baba wa uongo.~
182 John 8 49 | sina pepo; mimi namheshimu Baba yangu, lakini ninyi hamniheshimu.~
183 John 8 53 | unajifanya mkuu zaidi kuliko baba yetu Abrahamu ambaye alikufa?
184 John 8 54 | utukufu wangu si kitu. Baba yangu ambaye ninyi mwasema
185 John 8 54 | ambaye ninyi mwasema ni Baba yenu, ndiye anayenitukuza.~
186 John 8 56 | 56 Abrahamu, baba yenu, alishangilia aione
187 John 10 15 | 15 kama vile Baba anijuavyo, nami nimjuavyo
188 John 10 15 | anijuavyo, nami nimjuavyo Baba. Mimi nayatoa maisha yangu
189 John 10 17 | 17 "Baba ananipenda kwani nautoa
190 John 10 18 | kuuchukua tena. Hivi ndivyo Baba alivyoniamuru nifanye."~
191 John 10 25 | ninazozifanya mimi kwa jina la Baba yangu zinanishuhudia.~
192 John 10 29 | 29 Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa
193 John 10 29 | awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.~
194 John 10 30 | 30 Mimi na Baba, tu mmoja."~
195 John 10 32 | Nimewaonyesheni kazi nyingi kutoka kwa Baba. Ni ipi kati ya hizo inayowafanya
196 John 10 36 | 36 Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma
197 John 10 37 | 37 Kama sifanyi kazi za Baba yangu msiniamini.~
198 John 10 38 | kujua na kutambua kwamba Baba yuko ndani yangu, nami niko
199 John 11 41 | mbinguni, akasema, "Nakushukuru Baba kwa kuwa wewe wanisikiliza.~
200 John 12 26 | Mtu yeyote anayenitumikia Baba yangu atampa heshima.~
201 John 12 27 | niseme nini? Je, niseme: `Baba, usiruhusu saa hii inifikie`?
202 John 12 28 | 28 Baba, ulitukuze jina lako." Hapo
203 John 12 49 | mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba aliyenituma ndiye aliyeniamuru
204 John 12 50 | Basi, mimi nasema tu yale Baba aliyoniagiza niyaseme."~ ~ ~~ ~
205 John 13 1 | ulimwenguni na kwenda kwa Baba ilikuwa imefika. Alikuwa
206 John 13 3 | 3 Yesu alijua kwamba Baba alikuwa amemkabidhi kila
207 John 14 2 | 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; la
208 John 14 6 | Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu.~
209 John 14 7 | mnanijua mimi mnamjua na Baba yangu pia. Na tangu sasa,
210 John 14 8 | akamwambia, "Bwana, tuonyeshe Baba, nasi tutatosheka."~
211 John 14 9 | Aliyekwisha niona mimi amemwona Baba. Unawezaje basi, kusema: `
212 John 14 9 | basi, kusema: `Tuonyeshe Baba?`~
213 John 14 10 | kwamba mimi niko ndani ya Baba, naye Baba yuko ndani yangu?
214 John 14 10 | niko ndani ya Baba, naye Baba yuko ndani yangu? Maneno
215 John 14 10 | siyasemi kwa mamlaka yangu; Baba aliye ndani yangu anafanya
216 John 14 11 | kwamba mimi niko ndani ya Baba naye Baba yuko ndani yangu.
217 John 14 11 | niko ndani ya Baba naye Baba yuko ndani yangu. Ama sivyo,
218 John 14 12 | zaidi, maana nakwenda kwa Baba.~
219 John 14 13 | jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.~
220 John 14 16 | 16 Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi
221 John 14 20 | kwamba mimi niko ndani ya Baba, nanyi mko ndani yangu,
222 John 14 21 | anipendaye mimi atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda na
223 John 14 23 | atashika neno langu, na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja
224 John 14 24 | mlilosikia si langu, bali ni lake Baba aliyenituma.~
225 John 14 26 | Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu,
226 John 14 28 | kwa sababu ninakwenda kwa Baba, maana yeye ni mkuu kuliko
227 John 14 31 | unapaswa kujua kwamba nampenda Baba, na ndiyo maana nafanya
228 John 14 31 | maana nafanya kila kitu kama Baba alivyoniamuru. Simameni,
229 John 15 1 | ni mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.~
230 John 15 8 | 8 Baba yangu hutukuzwa kama mkizaa
231 John 15 9 | nimewapenda ninyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni
232 John 15 10 | nami nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo
233 John 15 15 | ambayo nimeyasikia kutoka kwa Baba yangu.~
234 John 15 16 | matunda yadumuyo, naye Baba apate kuwapa ninyi chochote
235 John 15 23 | Anayenichukia mimi, anamchukia na Baba yangu pia.~
236 John 15 24 | wakinichukia mimi, wakamchukia na Baba yangu pia.~
237 John 15 26 | nitakayemtuma kwenu kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye
238 John 15 26 | Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia mimi.~
239 John 16 3 | hayo kwa sababu hawamjui Baba, wala hawanijui mimi.~
240 John 16 10 | sababu naenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;~
241 John 16 15 | 15 Vyote alivyo navyo Baba ni vyangu; ndiyo maana nimesema
242 John 16 17 | Kwa kuwa ninakwenda kwa Baba!"`~
243 John 16 23 | chochote mtakachomwomba Baba kwa jina langu, atawapeni.~
244 John 16 25 | nitawaambieni waziwazi juu ya Baba.~
245 John 16 26 | siwaambii kwamba nitamwomba Baba kwa niaba yenu;~
246 John 16 28 | 28 Mimi nilitoka kwa Baba, nikaja ulimwenguni; na
247 John 16 28 | ulimwengu na kurudi kwa Baba."~
248 John 16 32 | mimi siko peke yangu, maana Baba yu pamoja nami.~
249 John 17 1 | juu mbinguni, akasema, "Baba, saa imefika! Mtukuze Mwanao
250 John 17 5 | 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa
251 John 17 11 | lakini wao wamo ulimwenguni. Baba Mtakatifu! Kwa nguvu ya
252 John 17 21 | ili wote wawe kitu kimoja. Baba! Naomba wawe ndani yetu
253 John 17 24 | 24 "Baba! Nataka wao ulionipa wawe
254 John 17 25 | 25 Baba Mwema! Ulimwengu haukujui,
255 John 18 11 | nisinywe kikombe alichonipa Baba?"~
256 John 18 13 | kwa Anasi; Anasi alikuwa baba mkwe wa Kayafa ambaye alikuwa
257 John 20 17 | sijakwenda bado juu kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu
258 John 20 17 | uwaambie: nakwenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu
259 John 20 17 | nakwenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu na Mungu
260 John 20 21 | Amani kwenu! Kama vile Baba alivyonituma mimi, nami
261 Acts 1 4 | ngojeeni ile zawadi aliyoahidi Baba, zawadi ambayo mlikwisha
262 Acts 1 7 | viko chini ya mamlaka ya Baba yangu, wala si shauri lenu
263 Acts 2 33 | Mungu, akapokea kutoka kwa Baba ile zawadi aliyoahidi yaani
264 Acts 3 13 | Isaka na Yakobo, Mungu wa baba zetu amemtukuza Yesu mtumishi
265 Acts 7 2 | akasema, "Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni! Mungu alimtokea
266 Acts 7 2 | nisikilizeni! Mungu alimtokea baba yetu Abrahamu alipokuwa
267 Acts 7 4 | Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu alimtoa tena
268 Acts 7 14 | Yosefu alituma ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla
269 Acts 7 32 | 32 `Mimi ni Mungu wa baba zako, Mungu wa Abrahamu,
270 Acts 7 51 | wa mataifa. Ninyi ni kama baba zenu. Siku zote mnampinga
271 Acts 7 52 | yuko nabii yeyote ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua
272 Acts 13 32 | Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.`~
273 Acts 16 1 | alikuwa Myahudi; lakini baba yake alikuwa Mgiriki.~
274 Acts 16 3 | sehemu hizo walijua kwamba baba yake Timotheo alikuwa Mgiriki.~
275 Acts 22 1 | 1 "Ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni sasa nikijitetea
276 Acts 28 8 | 8 Basi, ikawa kwamba baba yake Publio alikuwa amelala
277 Roma 1 7 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.~
278 Roma 4 1 | nini basi, juu ya Abrahamu baba yetu?~
279 Roma 4 11 | Kwa hiyo, Abrahamu amekuwa baba wa wale wote ambao, ingawa
280 Roma 4 12 | 12 Vilevile yeye ni baba wa wale waliotahiriwa; lakini
281 Roma 4 12 | wanafuata njia ileile ya imani baba yetu Abrahamu aliyofuata
282 Roma 4 16 | imani kama Abrahamu. Yeye ni baba yetu sisi sote.~
283 Roma 4 17 | yasemavyo: "Nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi." Ahadi
284 Roma 4 18 | matumaini, na hivyo amekuwa baba wa mataifa mengi kama Maandiko
285 Roma 6 4 | kwa kitendo kitukufu cha Baba, sisi pia tuweze kuishi
286 Roma 8 15 | kumwita Mungu, "Aba," yaani "Baba!"~
287 Roma 9 10 | naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu
288 Roma 11 28 | rafiki wa Mungu kwa sababu ya baba zao.~
289 Roma 15 6 | sauti moja, mumtukuze Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.~
290 1Cor 1 3 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu
291 1Cor 4 15 | maisha yenu ya Kikristo, baba yenu ni mmoja tu, kwani
292 1Cor 5 1 | mmoja wenu anaishi na mke wa baba yake!~
293 1Cor 8 6 | sisi yuko Mungu mmoja tu: Baba, Muumba wa vyote, ambaye
294 1Cor 15 24 | Kristo atamkabidhi Mungu Baba Utawala, baada ya kufutilia
295 2Cor 1 2 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.~
296 2Cor 1 3 | 3 Atukuzwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo,
297 2Cor 1 3 | Bwana wetu Yesu Kristo, Baba mwenye huruma na Mungu mwenye
298 2Cor 6 18 | 18 Mimi nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa watoto
299 2Cor 11 31 | 31 Mungu na Baba wa Bwana Yesu - jina lake
300 Gala 1 2 | Yesu Kristo na wa Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka
301 Gala 1 3 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kutoka kwa Bwana
302 Gala 1 4 | mapenzi ya Mungu wetu na Baba, ili apate kutuokoa katika
303 Gala 4 2 | wakati ule uliowekwa na baba yake.~
304 Gala 4 6 | ambaye hulia "Aba," yaani "Baba."~
305 Ephe 1 2 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.~
306 Ephe 1 3 | 3 Atukuzwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo!
307 Ephe 1 17 | wa Bwana wetu Yesu Kristo Baba mtukufu, awajalieni Roho
308 Ephe 2 18 | mengine, tunaweza kumwendea Baba katika Roho mmoja.~
309 Ephe 3 14 | sababu hiyo, nampigia magoti Baba,~
310 Ephe 4 6 | 6 kuna Mungu mmoja na Baba wa wote, ambaye yuko juu
311 Ephe 5 20 | 20 Mshukuruni Mungu Baba daima kwa ajili ya yote,
312 Ephe 5 31 | hiyo, mwanamume atawaacha baba na mama yake, ataungana
313 Ephe 6 2 | 2 "Waheshimu Baba na mama yako," hii ndiyo
314 Ephe 6 4 | 4 Nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu
315 Ephe 6 23 | na imani kutoka kwa Mungu Baba na kutoka kwa Bwana Yesu
316 Colo 1 2 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu.~
317 Colo 1 3 | Daima tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo,
318 Colo 1 12 | Na kwa furaha, mshukuruni Baba aliyewawezesha ninyi kuwa
319 Colo 3 17 | Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.~
320 1The 1 1 | ambao ni watu wake Mungu Baba, na wa Bwana Yesu Kristo.~
321 1The 1 3 | 3 Maana, mbele ya Mungu Baba yetu, twakumbuka jinsi mnavyoonyesha
322 1The 2 11 | kila mmoja wenu kama vile baba anavyowatendea watoto wake
323 1The 3 11 | 11 Tunamwomba Mungu, Baba yetu mwenyewe, na Bwana
324 1The 3 13 | watakatifu mbele ya Mungu na Baba yetu wakati Bwana wetu Yesu
325 2The 1 1 | ambao ni watu wake Mungu Baba yetu na wa Bwana Yesu Kristo.~
326 2The 1 2 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo.~
327 2The 2 16 | Kristo mwenyewe na Mungu Baba yetu ambaye alitupenda,
328 1Tim 1 2 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Kristo Yesu Bwana
329 1Tim 1 9 | kidunia. Watu wanaowaua baba na mama zao, au wauaji wowote
330 1Tim 5 1 | msihi kama vile angekuwa baba yako. Watendee vijana kama
331 2Tim 1 2 | na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu. ~
332 Titus 1 4 | na amani kutoka kwa Mungu Baba, na kutoka kwa Kristo Yesu,
333 Phil 1 3 | na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana yesu
334 Phil 1 10 | katika Kristo kwani nimekuwa baba yake nikiwa kifungoni.~
335 Hebr 1 5 | Mwanangu; Mimi leo nimekuwa Baba yako." Wala hakusema juu
336 Hebr 1 5 | malaika yeyote: "Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu."~
337 Hebr 2 11 | waliotakaswa, wote wanaye Baba mmoja. Ndiyo maana Yesu
338 Hebr 5 5 | Mwanangu; mimi leo nimekuwa baba yako."~
339 Hebr 7 3 | 3 Baba yake na mama yake hawatajwi,
340 Hebr 7 4 | huyu alivyokuwa maarufu. Baba Abrahamu alimpa sehemu moja
341 Hebr 7 10 | alikuwa katika mwili wa baba yake, Abrahamu, wakati Melkisedeki
342 Hebr 12 7 | mwana gani asiyeadhibiwa na baba yake?~
343 Hebr 12 9 | tunapaswa kumtii zaidi Baba yetu wa kiroho ili tupate
344 James 1 17| hutoka mbinguni; hutoka kwa Baba, Muumba wa mianga, ambaye
345 James 1 27| hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima
346 James 2 21| 21 Je, Abrahamu baba yetu alipataje kukubalika
347 James 3 9 | sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huohuo twawalaani
348 1Pet 1 1 | nawaandikia ninyi wateule wa Mungu Baba, ambao mmetawanyika na mnaishi
349 1Pet 1 2 | 2 Mungu Baba aliwateua ninyi kufuatana
350 1Pet 1 3 | 3 Asifiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo!
351 1Pet 1 17 | Mnapomtaja Mungu ninyi humwita Baba. Basi, jueni kwamba yeye
352 1Pet 1 23 | upya, si kama watoto wa baba awezaye kufa, bali baba
353 1Pet 1 23 | baba awezaye kufa, bali baba asiyekufa milele.~
354 2Pet 1 17 | heshima na kutukuzwa na Mungu Baba, wakati sauti ilipomjia
355 1Joh 1 2 | huo wa milele uliokuwa kwa Baba na uliodhihirishwa kwetu.~
356 1Joh 1 3 | katika umoja tulio nao na Baba na Mwanae Yesu Kristo.~
357 1Joh 2 1 | mmoja ambaye hutuombea kwa Baba, ndiye Yesu Kristo aliye
358 1Joh 2 13 | Nawaandikieni ninyi kina baba kwani mnamjua yeye ambaye
359 1Joh 2 14 | watoto, kwa sababu mnamjua Baba. Nawaandikieni ninyi kina
360 1Joh 2 14 | Nawaandikieni ninyi kina baba, kwa kuwa mnamjua yeye ambaye
361 1Joh 2 15 | anayeupenda ulimwengu, upendo wa Baba hauwezi kuwamo ndani yake.~
362 1Joh 2 16 | mali-vyote hivyo havitoki kwa Baba, bali vyatoka kwa ulimwengu.~
363 1Joh 2 22 | adui wa Kristo - anamkana Baba na Mwana.~
364 1Joh 2 23 | anayemkana Mwana, anamkana pia Baba; na yeyote anayemkubali
365 1Joh 2 23 | anayemkubali Mwana, anampata Baba pia.~
366 1Joh 2 24 | katika umoja na Mwana na Baba.~
367 1Joh 3 1 | 1 Oneni basi, jinsi Baba alivyotupenda mno hata tunaitwa
368 1Joh 4 14 | kuwaambia wengine kwamba Baba alimtuma Mwanae awe Mwokozi
369 2Joh 1 3 | amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Yesu Kristo, Mwana
370 2Joh 1 3 | kwa Yesu Kristo, Mwana wa Baba, zitakuwa pamoja nasi katika
371 2Joh 1 4 | wanaishi katika ukweli kama Baba alivyotuamuru.~
372 2Joh 1 9 | katika mafundisho hayo anaye Baba na Mwana.~
373 Jude 1 1 | mnaishi katika upendo wa Mungu Baba, na katika ulinzi wa Yesu
374 Rev 1 6 | makuhani, tumtumikie Mungu, Baba yake. Kwake Yesu Kristo
375 Rev 2 26 | uwezo uleule nilioupokea kwa Baba: yaani, watayatawala mataifa
376 Rev 3 5 | kwamba ni wangu mbele ya Baba yangu na mbele ya malaika
377 Rev 3 21 | nilivyoshinda nikaketi pamoja na Baba yangu juu ya kiti chake
378 Rev 14 1 | la Mwanakondoo na jina la Baba yake.~
|