Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
sardoniki 1
sarepta 1
saroni 1
sasa 345
saulo 39
sauti 180
sawa 38
Frequency    [«  »]
354 yenu
351 roho
348 yao
345 sasa
341 yote
338 ndugu
337 si

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

sasa

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 15 | Acha tu iwe hivyo kwa sasa, maana kwa namna hii inafaa 2 Matt 9 18 | kusema, "Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini, tafadhali 3 Matt 10 16 | 16 "Sasa, mimi nawatuma ninyi kama 4 Matt 12 45 | mtu. Na hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya kuliko hapo mwanzo. 5 Matt 13 27 | nzuri katika shamba lako. Sasa magugu yametoka wapi?`~ 6 Matt 19 20 | nimeyazingatia tangu utoto wangu; sasa nifanye nini zaidi?"~ 7 Matt 21 40 | 40 "Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu 8 Matt 21 42 | Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi. 9 Matt 22 4 | karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ng'ombe ~ 10 Matt 22 25 | 25 Sasa, hapa petu palikuwa na ndugu 11 Matt 26 64 | Lakini nawaambieni, tangu sasa mtamwona Mwana wa Mtu ameketi 12 Matt 26 65 | gani tena ya mashahidi? Sasa mmesikia kufuru yake.~ 13 Matt 27 22 | 22 Pilato akawauliza, "Sasa, nifanye nini na Yesu aitwaye 14 Matt 27 40 | kulijenga kwa siku tatu? Sasa jiokoe mwenyewe. Kama wewe 15 Matt 27 42 | mfalme wa Wayahudi! Basi, sasa na ashuke msalabani, nasi 16 Matt 28 7 | amefufuka kutoka wafu, na sasa anawatangulieni kule Galilaya; 17 Mark 6 25 | akamwomba, "Nataka unipe sasa hivi katika sinia kichwa 18 Mark 6 35 | wakamwambia, "Hapa ni nyikani, na sasa kunakuchwa.~ 19 Mark 10 30 | mia zaidi wakati huu wa sasa nyumba, ndugu, dada, mama, 20 Mark 12 10 | Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.~ 21 Mark 14 41 | Mnalala bado na kupumzika? Sasa imetosha! Saa imefika! Mwana 22 Mark 14 49 | wala hamkunikamata. Lakini sasa lazima Maandiko Matakatifu 23 Mark 15 12 | akawauliza tena, "Basi, sasa mwataka nifanye nini na 24 Mark 15 30 | 30 Sasa, shuka msalabani ujiokoe 25 Luke 1 36 | mimba ingawa ni mzee, na sasa ni mwezi wa sita kwake yeye 26 Luke 1 48 | mnyenyekevu. Hivyo tangu sasa watu wote wataniita mwenye 27 Luke 2 29 | 29 "Sasa Bwana, umetimiza ahadi yako, 28 Luke 3 8 | kwamba mmetubu. Msianze sasa kusema: `Sisi ni watoto 29 Luke 3 9 | 9 Lakini, sasa hivi shoka limewekwa tayari 30 Luke 5 10 | Simoni, "Usiogope; tangu sasa utakuwa ukivua watu."~ 31 Luke 6 21 | Heri ninyi mnaosikia njaa sasa, maana baadaye mtashiba. 32 Luke 6 21 | mtashiba. Heri ninyi mnaolia sasa, maana baadaye mtacheka 33 Luke 6 25 | Ole wenu ninyi mnaoshiba sasa, maana baadaye mtasikia 34 Luke 6 25 | ninyi mnaocheka kwa furaha sasa, maana baadaye mtaomboleza 35 Luke 7 42 | aliwasamehe wote wawili. Sasa ni yupi kati ya hao wawili 36 Luke 9 7 | 7 Sasa, mtawala Herode, alipata 37 Luke 9 9 | Yohane nilimkata kichwa; sasa ni nani huyu ninayesikia 38 Luke 10 3 | 3 Sasa nendeni; fahamuni kwamba 39 Luke 11 26 | Hivyo, basi hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko 40 Luke 12 19 | nitaweza kuiambia roho yangu: sasa unayo akiba ya matumizi 41 Luke 12 52 | 52 Na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; 42 Luke 13 16 | 16 Sasa, hapa yupo binti wa Abrahamu 43 Luke 14 19 | ombe jozi tano wa kulima; sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; 44 Luke 15 24 | alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana.` Wakaanza kufanya 45 Luke 15 32 | alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana."`~ ~ ~~ ~ 46 Luke 16 25 | Lazaro akapokea mabaya. Sasa lakini, yeye anatulizwa, 47 Luke 18 30 | mengi zaidi wakati huu wa sasa, na kupokea uzima wa milele 48 Luke 19 27 | 27 Na sasa, kuhusu hao maadui wangu 49 Luke 19 42 | yale yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako.~ 50 Luke 20 17 | Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi!`~ 51 Luke 20 29 | 29 Sasa, wakati mmoja kulikuwa na 52 Luke 21 32 | hakika, kizazi hiki cha sasa hakitapita kabla ya hayo 53 Luke 22 36 | Naye akawaambia, "Lakini sasa, yule aliye na mfuko wa 54 Luke 22 69 | 69 Lakini tangu sasa, Mwana wa Mtu atakuwa ameketi 55 Luke 23 5 | Yudea; alianza Galilaya, na sasa yuko hapa."~ 56 Luke 23 14 | alikuwa anawapotosha watu. Sasa sikilizeni! Baada ya kuchunguza 57 Luke 23 35 | wakisema: "Amewaokoa wengine; sasa na ajiokoe mwenyewe, kama 58 John 1 42 | Simoni mwana wa Yohane. Sasa utaitwa Kefa." (maana yake 59 John 2 8 | 8 Kisha akawaambia, "Sasa choteni mkampelekee mkuu 60 John 2 10 | umeiweka divai nzuri mpaka sasa!"~ 61 John 3 26 | ambaye wewe ulimshuhudia, sasa naye anabatiza, na watu 62 John 4 18 | na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema 63 John 5 15 | aliyeponywa Hekaluni, akamwambia, "Sasa umepona; usitende dhambi 64 John 7 22 | bali ilitoka kwa mababu). Sasa ninyi humtahiri mtu hata 65 John 7 26 | 26 Tazameni sasa! Anawaonya hadharani, wala 66 John 8 11 | sikuhukumu. Nenda zako; na tangu sasa usitende dhambi tena."]* 67 John 8 42 | mimi nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa mamlaka 68 John 8 52 | Basi, Wayahudi wakasema, "Sasa tunajua kweli kwamba wewe 69 John 9 10 | 10 Basi, wakamwuliza, "Sasa, macho yako yalipataje kufumbuliwa?"~ 70 John 9 15 | machoni, nami nikanawa na sasa naona."~ 71 John 9 18 | alikuwa kipofu hapo awali na sasa anaona mpaka walipowaita 72 John 9 19 | mwasema alizaliwa kipofu? Sasa amepataje kuona?"~ 73 John 9 25 | najua: Nilikuwa kipofu, na sasa naona."~ 74 John 9 37 | naye ndiye anayesema nawe sasa."~ 75 John 9 41 | hamngekuwa na hatia; lakini sasa ninyi mwasema: `Sisi tunaona`, 76 John 11 22 | Lakini najua kwamba hata sasa chochote utakachomwomba 77 John 12 27 | 27 "Sasa roho yangu imefadhaika, 78 John 12 31 | 31 Sasa ndio wakati wa ulimwengu 79 John 12 31 | ulimwengu huu kuhukumiwa; sasa mtawala wa ulimwengu huu 80 John 13 7 | Yesu akamjibu, "Huelewi sasa ninachofanya lakini utaelewa 81 John 13 19 | nimewaambieni mambo haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea 82 John 13 31 | kuondoka, Yesu akasema, "Sasa Mwana wa Mtu ametukuzwa, 83 John 13 33 | tu. Mtanitafuta, lakini sasa nawaambieni yale niliyowaambia 84 John 13 36 | Niendako huwezi kunifuata sasa, lakini utanifuata baadaye."~ 85 John 13 37 | kwa nini siwezi kukufuata sasa? Niko tayari kufa kwa ajili 86 John 14 2 | ningalikwisha waambieni. Sasa nakwenda kuwatayarishieni 87 John 14 7 | Baba yangu pia. Na tangu sasa, mnamjua, tena mmekwisha 88 John 14 29 | 29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea 89 John 15 22 | wasingalikuwa na hatia; lakini sasa hawawezi kujitetea kwamba 90 John 15 24 | wasingalikuwa na hatia; lakini sasa wameona niliyoyafanya wakinichukia 91 John 16 5 | 5 Lakini sasa namwendea yule aliyenituma; 92 John 16 12 | ya kuwaambieni, ila kwa sasa hamwezi kuyastahimili.~ 93 John 16 22 | 22 Ninyi pia mna huzuni sasa; lakini nitawajieni tena, 94 John 16 24 | 24 Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina 95 John 16 28 | nikaja ulimwenguni; na sasa nauacha ulimwengu na kurudi 96 John 16 29 | wake wakamwambia, "Ahaa! Sasa unasema waziwazi kabisa 97 John 16 30 | 30 Sasa tunajua kwamba wewe unajua 98 John 16 31 | akawajibu, "Je, mnaamini sasa?~ 99 John 17 5 | 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako 100 John 17 7 | 7 Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa 101 John 17 11 | 11 Na sasa naja kwako; simo tena ulimwenguni, 102 John 17 13 | 13 Basi, sasa naja kwako, na nimesema 103 John 18 36 | mikononi mwa Wayahudi. Lakini sasa ufalme wangu si wa hapa."~ 104 John 21 6 | Basi, wakatupa wavu lakini sasa hawakuweza kuuvuta tena 105 Acts 2 33 | Mtakatifu; na mnachoona sasa na kusikia ni mmiminiko 106 Acts 3 17 | 17 "Sasa ndugu zangu, nafahamu kwamba 107 Acts 4 11 | mlilokataa ninyi waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.`~ 108 Acts 4 29 | 29 Lakini sasa, ee Bwana, angalia vitisho 109 Acts 5 9 | waliokwenda kumzika mume wako, sasa wako mlangoni na watakuchukua 110 Acts 5 25 | mliowafunga gerezani, hivi sasa wamo Hekaluni, wanawafundisha 111 Acts 5 28 | kufundisha kwa jina la mtu huyu; sasa mmeyaeneza mafundisho yenu 112 Acts 5 38 | 38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie 113 Acts 7 4 | katika nchi hii mnayokaa sasa.~ 114 Acts 7 34 | nimekuja kuwaokoa. Basi sasa, nitakutuma Misri.`~ 115 Acts 7 52 | kwake yule Mwenye Haki. Na sasa, ninyi mmemsaliti, mkamuua.~ 116 Acts 9 6 | 6 Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa 117 Acts 9 11 | kutoka Tarso aitwaye Saulo. Sasa anasali;~ 118 Acts 10 5 | 5 Sasa, watume watu Yopa wakamwite 119 Acts 10 33 | nawe umefanya vyema kuja. Sasa, sisi tuko mbele ya Mungu, 120 Acts 10 34 | Hapo Petro akaanza kusema: "Sasa nimetambua kwamba hakika 121 Acts 12 11 | alipotambua yaliyotukia, akasema, "Sasa najua kwa hakika kwamba 122 Acts 13 11 | 11 Sasa, mkono wa Bwana utakuadhibu: 123 Acts 13 31 | Yerusalemu. Hao ndio walio sasa mashahidi wake kwa watu 124 Acts 13 32 | alilowaahidia babu zetu amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi tulio 125 Acts 13 36 | 36 Sasa, Daudi mwenyewe alitimiza 126 Acts 13 41 | maana kitu ninachofanya sasa, nyakati zenu, ni kitu ambacho 127 Acts 14 26 | kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.~ 128 Acts 15 10 | 10 Sasa basi, kwa nini kumjaribu 129 Acts 16 34 | wakafanya sherehe kwa vile sasa walikuwa wanamwamini Mungu.~ 130 Acts 16 36 | wametuma ujumbe ili mfunguliwe. Sasa mnaweza kutoka na kwenda 131 Acts 16 37 | Tena, walitutia ndani na sasa wanataka kutufungulia kwa 132 Acts 17 6 | wakivuruga dunia yote na sasa wako hapa mjini.~ 133 Acts 17 30 | walipokuwa wajinga. Lakini sasa, anaamuru watu wote kila 134 Acts 18 6 | ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawaendea watu na mataifa 135 Acts 19 3 | 3 Naye akasema, "Sasa mlipata ubatizo wa namna 136 Acts 19 26 | 26 Sasa, mnaweza kusikia na kujionea 137 Acts 20 22 | 22 Sasa, sikilizeni! Mimi, nikiwa 138 Acts 20 25 | nikiuhubiri Ufalme wa Mungu. Sasa lakini, najua hakuna hata 139 Acts 20 32 | 32 "Na sasa basi, ninawaweka ninyi chini 140 Acts 21 20 | maelfu ya Wayahudi ambao sasa wamekuwa waumini na wote 141 Acts 21 22 | 22 Sasa, mambo yatakuwaje? Ni dhahiri 142 Acts 21 28 | mahali hapa patakatifu. Hata sasa amewaingiza watu wa mataifa 143 Acts 22 1 | akina baba, nisikilizeni sasa nikijitetea mbele yenu!"~ 144 Acts 22 16 | 16 Sasa basi, ya nini kukawia zaidi? 145 Acts 23 15 | 15 Sasa basi, ninyi pamoja na Baraza 146 Acts 23 21 | mpaka watakapokuwa wamemuua. Sasa wako tayari, wanangojea 147 Acts 24 25 | aliogopa, akasema, "Kwa sasa unaweza kwenda; nitakuita 148 Acts 26 6 | 6 Na sasa niko hapa nihukumiwe kwa 149 Acts 26 16 | 16 Haidhuru, inuka sasa; simama wima. Nimekutokea 150 Acts 26 23 | wa ukombozi unawaangazia sasa watu wote, Wayahudi na pia 151 Acts 27 9 | ilikuwa imekwisha pita. Sasa ilikuwa hatari sana kusafiri 152 Acts 27 22 | 22 Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; 153 Acts 27 33 | chakula: "Kwa siku kumi na nne sasa mmekuwa katika mashaka na 154 Roma 1 10 | nafasi nzuri ya kuja kwenu sasa.~ 155 Roma 1 13 | kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. Ningependa kupata 156 Roma 3 21 | 21 Lakini sasa, njia ya Mungu ya kuwakubali 157 Roma 3 26 | 26 lakini sasa, wakati huu, anazikabili 158 Roma 5 1 | 1 Sasa, kwa vile tumekubaliwa kuwa 159 Roma 5 2 | ya neema ya Mungu ambamo sasa tunaishi. Basi, tunajivunia 160 Roma 5 9 | 9 Kwa kuwa sasa tumekubaliwa kuwa waadilifu 161 Roma 5 10 | cha Mwanae. Na kwa vile sasa tumepatanishwa naye, ni 162 Roma 6 10 | nguvu tena juu yake; na sasa anaishi maisha yake katika 163 Roma 6 17 | watumwa wa dhambi zamani, sasa lakini - namshukuru Mungu - 164 Roma 6 19 | ajili ya uovu, vivyo hivyo sasa jitoleeni nafsi zenu wenyewe 165 Roma 6 21 | 21 Sasa, mlipata faida gani siku 166 Roma 6 21 | yale ambayo mnayaonea aibu sasa? Maana, matokeo ya mambo 167 Roma 6 22 | 22 Lakini sasa, mmekwisha kombolewa kutoka 168 Roma 6 22 | Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo 169 Roma 7 4 | sehemu ya mwili wa Kristo; sasa mmekuwa wake yeye aliyefufuliwa 170 Roma 7 6 | 6 Lakini sasa tumekuwa huru kutoka vifungo 171 Roma 7 6 | lililotufanya sisi watumwa. Sasa tunatumikia kufuatana na 172 Roma 8 1 | 1 Kwa hiyo, sasa hakuna hukumu kwa wale ambao 173 Roma 8 18 | mateso ya wakati huu wa sasa si kitu kamwe kama tukiyafananisha 174 Roma 8 22 | tunajua kwamba mpaka hivi sasa, viumbe vyote vinalia kwa 175 Roma 8 38 | mbinguni; wala yanayotokea sasa, wala yatakayotokea baadaye; 176 Roma 11 5 | ilivyo pia wakati huu wa sasa: ipo idadi ya waliobaki 177 Roma 11 7 | 7 Sasa, je? Watu wa Israeli hawakukipata 178 Roma 11 13 | 13 Basi, sasa nawaambieni ninyi watu wa 179 Roma 11 17 | tawi la mzeituni mwitu; na sasa mnashiriki nguvu na utomvu 180 Roma 11 30 | mlikuwa mmemwasi Mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana 181 Roma 11 31 | Wayahudi wanamwasi Mungu sasa ili nao pia wapokee sasa 182 Roma 11 31 | sasa ili nao pia wapokee sasa huruma ya Mungu.~ 183 Roma 13 11 | tumo katika wakati gani: sasa ndio wakati wa kuamka usingizini; 184 Roma 13 11 | wokovu wetu u karibu zaidi sasa kuliko wakati ule tulipoanza 185 Roma 15 23 | 23 Lakini maadam sasa nimemaliza kazi yangu pande 186 Roma 15 24 | natumaini kufanya hivyo sasa. Ningependa kuwaoneni nikiwa 187 Roma 15 25 | 25 Lakini, kwa sasa nakwenda kuwahudumia watu 188 Roma 16 25 | 25 Basi, sasa na tumsifu Mungu! Yeye anaweza 189 Roma 16 26 | 26 Lakini, sasa ukweli huo umefunuliwa kwa 190 1Cor 2 12 | 12 Sasa sisi hatukuipokea roho ya 191 1Cor 3 2 | hamkuwa tayari kukipokea. Hata sasa hamko tayari.~ 192 1Cor 3 22 | maisha na kifo; mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.~ 193 1Cor 4 13 | tunajibu kwa adabu. Mpaka sasa tumetendewa kama uchafu 194 1Cor 6 11 | yenu mlikuwa hivyo; lakini sasa mmeoshwa, mkafanywa watakatifu, 195 1Cor 7 1 | 1 Yahusu sasa mambo yale mliyoandika: 196 1Cor 7 6 | 6 Ninayowaambieni sasa ni mawaidha, si amri.~ 197 1Cor 7 14 | wangekuwa si wa Mungu; kumbe sasa ni watoto wake Mungu.~ 198 1Cor 7 25 | 25 Sasa, kuhusu mabikira na waseja, 199 1Cor 7 26 | kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki 200 1Cor 7 29 | uliobaki ni mfupi. Na tangu sasa wale waliooa na waishi kama 201 1Cor 8 1 | 1 Yahusu sasa vyakula vilivyotambikiwa 202 1Cor 8 7 | sanamu, watu ambao mpaka hivi sasa wanapokula vyakula huviona 203 1Cor 10 6 | 6 Sasa, mambo hayo yote ni mfano 204 1Cor 12 31 | vipaji muhimu zaidi. Nami sasa nitawaonyesheni njia bora 205 1Cor 13 11 | nilifikiri kitoto. Lakini sasa, maadam mimi ni mtu mzima, 206 1Cor 13 12 | 12 Tunachoona sasa ni kama tu sura hafifu katika 207 1Cor 13 12 | baadaye tutaona uso kwa uso. Sasa ninajua kiasi fulani tu, 208 1Cor 13 13 | 13 Sasa yanadumu haya matatu: imani, 209 1Cor 15 1 | 1 Sasa ndugu, napenda kuwakumbusha 210 1Cor 15 12 | 12 Sasa, maadam inahubiriwa kwamba 211 1Cor 15 19 | yanahusu tu maisha haya ya sasa, basi, sisi ni watu wa kusikitikiwa 212 1Cor 16 1 | 1 Sasa, yahusu ule mchango kwa 213 1Cor 16 12 | lakini hapendelei kabisa kuja sasa ila atakuja mara itakapowezekana.~ 214 2Cor 1 14 | 14 maana mpaka sasa mmenielewa kiasi fulani 215 2Cor 3 10 | 10 Sasa utukufu mkuu zaidi umechukua 216 2Cor 5 1 | ambayo ndani yake tunaishi sasa hapa duniani, yaani mwili 217 2Cor 5 2 | 2 Na sasa, katika hali hii, tunaugua, 218 2Cor 5 16 | 16 Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote 219 2Cor 5 16 | tulimpima Kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.~ 220 2Cor 6 2 | wokovu nikakusaidia." Basi, sasa ndio wakati wa kufaa, sasa 221 2Cor 6 2 | sasa ndio wakati wa kufaa, sasa ndiyo siku ya wokovu!~ 222 2Cor 6 13 | 13 Sasa nasema nanyi kama watoto 223 2Cor 7 9 | 9 Sasa nafurahi, si kwa sababu 224 2Cor 7 11 | 11 Sasa mnaweza kuona matokeo ya 225 2Cor 7 11 | atakavyo: ninyi mmepata kuwa sasa watu wenye jitihada, wenye 226 2Cor 8 10 | inafaa kwenu kutekeleza sasa yale mliyoanza mwaka jana. 227 2Cor 8 14 | 14 Kila mlicho nacho sasa cha ziada kiwasaidie wale 228 2Cor 8 22 | kubwa ya kusaidia; hata sasa amekuwa na moyo zaidi kwa 229 2Cor 11 12 | kufanya kama ninavyofanya sasa, ili nisiwape nafasi wale 230 2Cor 11 17 | 17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; 231 2Cor 12 1 | basi, ingawa haifai! Lakini sasa nitasema juu ya maono na 232 2Cor 12 14 | 14 Sasa niko tayari kabisa kuja 233 2Cor 12 19 | Labda mnafikiri kwamba mpaka sasa tumekuwa tukijitetea wenyewe 234 2Cor 13 2 | ilivyokuwa safari ya pili, sasa nasema tena nikiwa mbali: 235 2Cor 13 4 | sababu ya udhaifu, lakini sasa anaishi kwa uwezo wa Mungu. 236 2Cor 13 11 | 11 Kwa sasa, ndugu, kwaherini! Muwe 237 Gala 1 4 | katika ulimwengu huu mbaya wa sasa.~ 238 Gala 1 9 | 9 Tulikwisha sema, na sasa nasema tena: kama mtu yeyote 239 Gala 1 10 | 10 Sasa nataka kibali cha nani: 240 Gala 1 23 | aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa anaihubiri imani ileile 241 Gala 2 2 | nimefanya, na ile ninayofanya sasa isije ikawa bure.~ 242 Gala 2 17 | 17 Sasa, ikiwa katika kutafuta kukubaliwa 243 Gala 2 20 | 20 na sasa naishi, lakini si mimi tena, 244 Gala 2 20 | Maisha haya ninayoishi sasa naishi kwa imani, imani 245 Gala 3 3 | msaada wa Roho je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu 246 Gala 3 7 | 7 Sasa basi jueni kwamba watu wenye 247 Gala 4 6 | 6 Kwa vile sasa ninyi ni wana, Mungu amemtuma 248 Gala 4 9 | 9 Lakini sasa, kwa vile mnamjua Mungu, 249 Gala 4 15 | 15 Mlikuwa wenye furaha; sasa kumetokea nini? Naapa kwamba 250 Gala 4 16 | 16 Je, sasa nimekuwa adui yenu kwa sababu 251 Gala 4 20 | Laiti ningekuwa pamoja nanyi sasa, maana ningalipata msimamo 252 Gala 4 25 | ni mfano wa Yerusalemu ya sasa, ulio mtumwa pamoja na watoto 253 Gala 4 28 | 28 Sasa, basi, ndugu zangu, ninyi 254 Gala 6 17 | 17 Basi, sasa mtu yeyote asinisumbue tena, 255 Ephe 2 2 | anga, pepo ambao huwatawala sasa watu wasiomtii Mungu.~ 256 Ephe 2 13 | 13 Lakini sasa, kwa kuungana na Kristo 257 Ephe 3 5 | hawakujulishwa siri hiyo; lakini sasa Mungu amewajulisha mitume 258 Ephe 3 10 | 10 kusudi, sasa kwa njia ya kanisa, wakuu 259 Ephe 5 8 | ninyi mlikuwa gizani, lakini sasa ninyi mko katika mwanga 260 Ephe 6 20 | Habari Njema hiyo ingawa sasa niko kifungoni. Ombeni, 261 Colo 1 22 | 22 Lakini sasa, kwa kifo cha Mwanae aliyeishi 262 Colo 1 24 | 24 Na sasa nafurahi kuteseka kwa ajili 263 Colo 1 26 | wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake.~ 264 Colo 3 8 | 8 Lakini sasa mnapaswa kuachana na mambo 265 Colo 4 3 | Kwa ajili hiyo mimi niko sasa kifungoni.~ 266 1The 1 10 | 10 na sasa mwamngojea Mwanae ashuke 267 1The 2 16 | walizotenda siku zote. Lakini sasa hasira ya Mungu imewaangukia.~ 268 1The 3 6 | 6 Sasa Timotheo amekwisha rudi, 269 1The 3 8 | 8 kwani sasa tunaishi kweli ikiwa ninyi 270 1The 3 9 | 9 Sasa twaweza kumshukuru Mungu 271 1The 4 1 | kweli mmekuwa mnaishi hivyo. Sasa tunawaombeni na kuwasihi 272 1The 5 11 | kwa ninyi kama mnavyofanya sasa.~ 273 2The 2 1 | 1 Sasa yahusu kuja kwake Bwana 274 2The 2 6 | Lakini kuna kitu kinachomzuia sasa, nanyi mwakijua kitu hicho. 275 2The 2 7 | aliyefichika anafanya kazi sasa, lakini hataonekana mpaka 276 1Tim 4 8 | yanatuahidia uzima katika maisha ya sasa, na pia hayo yanayokuja.~ 277 1Tim 6 17 | katika mambo ya maisha ya sasa, wasijivune, wasiweke tumaini 278 2Tim 1 10 | 10 lakini sasa imefunuliwa kwetu kwa kuja 279 2Tim 4 8 | 8 Na sasa imebakia tu kupewa tuzo 280 Titus 2 12| katika ulimwengu huu wa sasa,~ 281 Phil 1 9 | balozi wa Kristo Yesu, na sasa pia mfungwa kwa ajili yake.~ 282 Phil 1 11 | alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia.~ 283 Phil 1 12 | 12 Sasa namrudisha kwako, naye ni 284 Phil 1 16 | 16 Na sasa yeye si mtumwa tu, ila ni 285 Hebr 2 8 | mtu akivitawala vitu vyote sasa.~ 286 Hebr 2 9 | kwa ajili ya watu wote. Sasa tunamwona ametawazwa kwa 287 Hebr 2 18 | 18 Na, anaweza sasa kuwasaidia wale wanaojaribiwa 288 Hebr 5 12 | 12 Sasa mngalipaswa kuwa tayari 289 Hebr 6 10 | huduma mliyowapa na mnayowapa sasa watu wake.~ 290 Hebr 7 11 | Israeli walipewa Sheria. Sasa, kama huduma ya Walawi ingalikuwa 291 Hebr 7 19 | kukamilisha jambo lolote. Lakini sasa, mahali pake pamewekwa tumaini 292 Hebr 8 6 | 6 Lakini sasa Yesu amepewa huduma ya kikuhani 293 Hebr 9 5 | dhambi huondolewa. Lakini sasa, hatuwezi kusema kinaganaga 294 Hebr 9 9 | hili ni mfano wa nyakati za sasa. Linaonyesha kwamba zawadi 295 Hebr 9 11 | mambo yaliyo mema, ambayo sasa yamekwisha fika. Yeye anatoa 296 Hebr 9 24 | mbinguni kwenyewe ambako sasa anasimama mbele ya Mungu 297 Hebr 9 26 | kuumbwa ulimwengu. Lakini sasa nyakati hizi zinapokaribia 298 Hebr 11 16 | 16 Lakini sasa wanataka nchi iliyo bora 299 Hebr 12 2 | kujali juu ya aibu yake, na sasa anaketi upande wa kulia 300 Hebr 12 26 | ilitetemesha nchi, lakini sasa ameahidi: "Nitatetemesha 301 James 4 13| 13 Basi, sasa sikilizeni ninyi mnaosema: " 302 James 4 16| 16 Lakini sasa mwajivuna na kujigamba; 303 James 5 1 | 1 Na sasa sikilizeni enyi matajiri! 304 1Pet 1 6 | kuhusu jambo hilo, ijapokuwa sasa, kwa kitambo kidogo, itawabidi 305 1Pet 1 8 | mnamwamini ingawa hamumwoni sasa. Hivyo, mnafurahi kwa furaha 306 1Pet 1 12 | ambayo ninyi mmekwisha sikia sasa kutoka kwa wale wajumbe 307 1Pet 1 22 | 22 Maadamu sasa, kwa kuutii ukweli, ninyi 308 1Pet 2 7 | Jiwe walilokataa waashi, sasa limekuwa jiwe kuu la msingi."~ 309 1Pet 2 10 | hamkuwa watu wa Mungu, lakini sasa ninyi ni watu wake; wakati 310 1Pet 2 10 | huruma ya Mungu, lakini sasa mmeipokea.~ 311 1Pet 2 25 | waliokuwa wamepotea; lakini sasa mmemrudia Mchungaji na Mlinzi 312 1Pet 3 6 | yeye bwana. Ninyi mmekuwa sasa binti zake kama mkitenda 313 1Pet 3 21 | ubatizo unaowaokoa ninyi sasa. Ubatizo si shauri la kuondoa 314 1Pet 3 22 | ambaye alikwenda mbinguni na sasa amekaa upande wa kulia wa 315 1Pet 4 2 | 2 Tangu sasa, basi, maisha yaliowabakia 316 1Pet 4 4 | 4 Sasa, watu hao wasiomjua Mungu 317 2Pet 2 3 | uongo. Lakini kwa muda mrefu sasa Hakimu wao yu tayari, na 318 2Pet 2 22 | matope!" Ndivyo ilivyo kwao sasa.~~ ~ 319 2Pet 3 4 | Aliahidi kwamba atakuja! Je, sasa yuko wapi? Mambo ni yaleyale 320 2Pet 3 7 | Lakini mbingu na nchi za sasa zahifadhiwa kwa neno la 321 2Pet 3 18 | Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina.~ 322 1Joh 1 2 | ulipotokea sisi tuliuona na sasa tunasema habari zake na 323 1Joh 2 18 | adui wa Kristo anakuja, na sasa adui wengi wa Kristo wamekwisha 324 1Joh 3 2 | sisi ni watoto wa Mungu sasa, lakini bado haijaonekana 325 1Joh 4 3 | sikia kwamba anakuja, na sasa tayari amekwisha wasili 326 Jude 1 25 | Bwana wetu, tangu zama zote, sasa na hata milele! Amina.~ 327 Rev 1 18 | nimekufa, lakini, tazama, sasa ni mzima milele na milele. 328 Rev 1 19 | 19 Basi, sasa andika mambo haya unayoyaona, 329 Rev 1 19 | unayoyaona, mambo yanayotukia sasa na yale yatakayotukia baadaye.~ 330 Rev 2 4 | yako: wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.~ 331 Rev 2 19 | Wewe unafanya vizuri zaidi sasa kuliko pale awali.~ 332 Rev 2 22 | 22 Sikiliza! Sasa namtupa kitandani ambapo 333 Rev 2 25 | mzingatie yale mliyo nayo sasa mpaka nitakapokuja.~ 334 Rev 3 2 | hakijatoweka kabisa. Maana, mpaka sasa, sijayaona matendo yako 335 Rev 3 8 | Nayajua mambo yako yote! Sasa, nimefungua mbele yako mlango 336 Rev 3 11 | Linda, basi, ulicho nacho sasa, ili usije ukanyang`anywa 337 Rev 11 15 | zikasikika mbinguni zikisema, "Sasa utawala juu ya ulimwengu 338 Rev 12 10 | kutoka mbinguni ikisema: "Sasa ukombozi utokao kwa Mungu 339 Rev 12 10 | akiwashtaki usiku na mchana, sasa ametupwa nje.~ 340 Rev 14 13 | Andika! Heri watu ambao tangu sasa wanakufa wakiwa wameungana 341 Rev 17 8 | alikuwa hai hapo awali, lakini sasa amekufa. Hata hivyo, karibu 342 Rev 17 8 | aliishi, kisha akafa na sasa anatokea tena!~ 343 Rev 17 11 | anaishi hapo awali lakini sasa haishi tena ni mfalme wa 344 Rev 18 2 | Babuloni mkuu umeanguka! Sasa umekuwa makao ya mashetani 345 Rev 22 11 | 11 Kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License