Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 22 | 22 Basi, haya yote yalitukia ili litimie lile
2 Matt 3 15 | inafaa tuyatekeleze yale yote Mungu anayotaka." Hapo Yohane
3 Matt 5 18 | Sheria itakayoondolewa, mpaka yote yametimia.~
4 Matt 6 32 | 32 Maana hayo yote yanahangaikiwa na watu wasiomjua
5 Matt 6 33 | matakwa yake, na hayo mengine yote mtapewa kwa ziada.~
6 Matt 9 26 | ikavuma sana katika nchi ile yote.~
7 Matt 9 31 | za Yesu katika nchi ile yote.~
8 Matt 9 35 | 35 Yesu alitembelea miji yote na vijiji, akafundisha katika
9 Matt 9 35 | Mungu, na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila namna.~
10 Matt 10 1 | kuponya magonjwa na maradhi yote.~
11 Matt 10 23 | hamtamaliza ziara yenu katika miji yote ya Israeli kabla Mwana wa
12 Matt 11 13 | 13 Mafundisho yote ya manabii na sheria yalibashiri
13 Matt 12 18 | hukumu yangu kwa mataifa yote.~
14 Matt 13 32 | huwa kubwa kuliko mimea yote. Hukua ikawa mti, na ndege
15 Matt 13 34 | Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia
16 Matt 13 44 | sana hata akaenda kuuza yote aliyokuwa nayo, akalinunua
17 Matt 13 46 | thamani kubwa, alienda akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua
18 Matt 13 51 | Je, mmeelewa mambo haya yote?" Wakamjibu, "Naam."~
19 Matt 13 56 | Basi amepata wapi haya yote?"~
20 Matt 17 11 | atakuja kutayarisha mambo yote.~
21 Matt 18 9 | Jehanamu ukiwa na macho yako yote mawili.~
22 Matt 19 20 | kijana akamwambia, "Hayo yote nimeyazingatia tangu utoto
23 Matt 19 26 | lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana."~
24 Matt 19 27 | akasema, "Na sisi je? Tumeacha yote tukakufuata; tutapata nini
25 Matt 21 32 | Hata baada ya kuona hayo yote ninyi hamkubadili mioyo
26 Matt 22 37 | wako wote, kwa ~roho yako yote na kwa akili yako yote.> ~
27 Matt 22 37 | yako yote na kwa akili yako yote.> ~
28 Matt 22 40 | 40 Sheria yote ya Mose na mafundisho ya
29 Matt 23 5 | Wao hufanya matendo yao yote ili watu wawaone. Huvaa
30 Matt 23 35 | 35 Hivyo lawama yote itawapateni kwa ajili ya
31 Matt 23 35 | itawapateni kwa ajili ya damu yote ya watu wema ~iliyomwagwa
32 Matt 24 2 | mnaweza kuyatazama haya yote! Kweli nawaambieni, hakuna
33 Matt 24 8 | 8 Yote hayo ni kama mwanzo wa maumivu
34 Matt 24 9 | mteswe na kuuawa. Mataifa yote yatawachukieni kwa ajili
35 Matt 24 14 | kama ushuhuda kwa mataifa yote.~
36 Matt 24 30 | angani, na hapo makabila yote duniani yatalalamika; watamwona
37 Matt 24 33 | nanyi mtakapoona mambo haya yote yakitendeka, jueni kwamba
38 Matt 24 34 | hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.~
39 Matt 24 47 | huyo aisimamie mali yake yote.~
40 Matt 25 32 | 32 na mataifa yote yatakusanyika mbele yake,
41 Matt 26 1 | alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake,~
42 Matt 26 56 | 56 Lakini haya yote yametendeka ili Maandiko
43 Matt 27 13 | Je, husikii mashtaka hayo yote wanayotoa juu yako?"~
44 Matt 27 45 | mchana mpaka saa tisa, nchi yote ikawa katika giza.~
45 Matt 28 11 | makuhani wakuu juu ya mambo yote yaliyotukia.~
46 Matt 28 18 | akawaambia, "Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.~
47 Matt 28 19 | mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu; mkiwabatiza
48 Matt 28 20 | Wafundisheni kushika maagizo yote niliyowapeni. Nami nipo
49 Mark 4 32 | mmea mkubwa kuliko mimea yote ya shambani. Matawi yake
50 Mark 5 19 | jamaa yako, ukawaambie mambo yote Bwana aliyokutendea na jinsi
51 Mark 5 20 | kutangaza huko Dekapoli mambo yote Yesu aliyomtendea; watu
52 Mark 5 26 | amekwisha tumia mali yake yote, hakupata nafuu bali hali
53 Mark 6 14 | Herode alisikia juu ya hayo yote, maana sifa za Yesu zilienea
54 Mark 6 30 | mbele ya Yesu wakamwarifu yote waliyotenda na kufundisha.~
55 Mark 6 55 | wakazunguka katika nchi ile yote, wakaanza kuwachukua wagonjwa
56 Mark 7 23 | 23 Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo
57 Mark 7 37 | sana, wakasema, "Amefanya yote vyema: amewajalia viziwi
58 Mark 9 12 | anakuja kwanza kutayarisha yote. Hata hivyo, kwa nini basi
59 Mark 9 23 | Eti ikiwa waweza! Mambo yote yanawezekana kwa mtu aliye
60 Mark 9 45 | mmoja, kuliko kuwa na miguu yote miwili na kutupwa katika
61 Mark 9 47 | kuliko kuwa na macho yako yote mawili na kutupwa katika
62 Mark 10 20 | akamjibu, "Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana
63 Mark 10 27 | hivyo, maana kwa Mungu mambo yote huwezekana."~
64 Mark 10 28 | akamwambia, "Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!"~
65 Mark 11 17 | sala kwa ajili ya mataifa yote!` Lakini ninyi mmeifanya
66 Mark 11 23 | ila akaamini kwamba mambo yote anayosema yanafanyika, atafanyiwa
67 Mark 12 30 | wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na
68 Mark 12 30 | yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.`~
69 Mark 12 33 | kwa moyo wote, kwa akili yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda
70 Mark 12 44 | ingawa ni maskini, ametoa yote aliyokuwa nayo, ametoa kila
71 Mark 13 10 | Njema ihubiriwe kwa mataifa yote.~
72 Mark 13 23 | Mimi nimewaambieni mambo yote kabla hayajatokea.~
73 Mark 13 30 | hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia.~
74 Mark 14 36 | Baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana. Uniondolee
75 Luke 1 3 | kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie
76 Luke 1 6 | kufuata amri na maagizo yote ya Bwana bila lawama.~
77 Luke 2 19 | kuyatafakari mambo hayo yote moyoni mwake.~
78 Luke 2 20 | wakimtukuza na kumsifu Mungu kwa yote waliyokuwa wamesikia na
79 Luke 2 20 | waliyokuwa wamesikia na kuona; yote yalikuwa kama walivyokuwa
80 Luke 2 39 | wazazi walipokwisha fanya yote yaliyoamriwa na Sheria ya
81 Luke 2 51 | yake akaweka mambo hayo yote moyoni mwake.~
82 Luke 3 19 | pia kwa ajili ya mabaya yote aliyokuwa amefanya.~
83 Luke 4 23 | mwenyewe`, na pia mtasema: `Yote tuliyosikia umeyafanya kule
84 Luke 4 25 | na njaa kubwa katika nchi yote.~
85 Luke 5 11 | ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.~
86 Luke 5 28 | 28 Lawi akaacha yote, akamfuata.~
87 Luke 7 18 | Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita
88 Luke 8 34 | Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia,
89 Luke 8 39 | Rudi nyumbani ukaeleze yote Mungu aliyokutendea." Basi,
90 Luke 8 39 | mahali katika mji ule mambo yote Yesu aliyomtendea.~
91 Luke 8 43 | amekwisha tumia mali yake yote kwa waganga, hakuna aliyefaulu
92 Luke 9 7 | alipata habari za mambo yote yaliyokuwa yanatendeka,
93 Luke 9 10 | waliporudi, walimweleza yote waliyoyafanya. Yesu akawachukua,
94 Luke 9 43 | wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia
95 Luke 10 22 | akasema, "Baba yangu ameweka yote mikononi mwangu. Hakuna
96 Luke 10 27 | wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote na
97 Luke 10 27 | zako zote na kwa akili yako yote. Na, mpende jirani yako
98 Luke 11 21 | lake kwa silaha, mali yake yote iko salama.~
99 Luke 12 18 | nitahifadhi mavuno yangu yote na mali yangu.~
100 Luke 12 30 | 30 Kwa maana hayo yote ndiyo yanayohangaikiwa na
101 Luke 12 31 | Ufalme wa Mungu, na hayo yote mtapewa kwa ziada.~
102 Luke 12 44 | madaraka juu ya mali yake yote.~
103 Luke 13 17 | furaha kwa sababu ya mambo yote aliyotenda.~
104 Luke 15 29 | akamjibu: `Kumbuka! Miaka yote nimekutumikia, sijavunja
105 Luke 17 10 | kadhalika na ninyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni: `Sisi
106 Luke 18 21 | 21 Yeye akasema, "Hayo yote nimeyazingatia tangu ujana
107 Luke 21 6 | 6 "Haya yote mnayoyaona - zitakuja siku
108 Luke 21 9 | kwanza, lakini mwisho wa yote, bado."~
109 Luke 21 12 | Lakini kabla ya kutokea hayo yote, watawatieni nguvuni, watawatesa
110 Luke 21 22 | hizo ni siku za adhabu, ili yote yaliyoandikwa yatimie.~
111 Luke 21 29 | Angalieni mtini na miti mingine yote.~
112 Luke 21 32 | hakitapita kabla ya hayo yote kutendeka.~
113 Luke 21 36 | salama katika mambo haya yote yatakayotokea, na kusimama
114 Luke 23 5 | mafundisho yake katika nchi yote ya Yudea; alianza Galilaya,
115 Luke 23 44 | kuangaza, giza likafunika nchi yote mpaka saa tisa,~
116 Luke 24 9 | wengine habari za mambo hayo yote.~
117 Luke 24 14 | wanazungumza juu ya hayo yote yaliyotukia.~
118 Luke 24 21 | angeikomboa Israeli. Zaidi ya hayo yote, leo ni siku ya tatu tangu
119 Luke 24 25 | ni mizito hivyo kusadiki yote yaliyonenwa na manabii?~
120 Luke 24 27 | 27 Akawafafanulia mambo yote yaliyomhusu yeye katika
121 Luke 24 44 | ilikuwa lazima kukamilisha yote yaliyoandikwa juu yangu
122 Luke 24 47 | kwa jina lake, mataifa yote kuanzia na Yerusalemu yahubiriwe
123 John 2 25 | aliyajua barabara mambo yote yaliyomo mioyoni mwao.~ ~ ~~ ~
124 John 4 29 | mkamwone mtu aliyeniambia mambo yote niliyotenda! Je, yawezekana
125 John 4 39 | mama: "Ameniambia mambo yote niliyofanya."~
126 John 4 45 | Pasaka, wakayaona mambo yote Yesu aliyotenda huko Yerusalemu
127 John 4 53 | akaamini pamoja na jamaa yake yote.~
128 John 5 23 | hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,~
129 John 5 33 | yangu, nami najua kwamba yote anayosema juu yangu ni ya
130 John 10 41 | ishara yoyote. Lakini yale yote Yohane aliyosema juu ya
131 John 12 3 | kwa nywele zake. Nyumba yote ikajaa harufu ya marashi.~
132 John 12 37 | Yesu alifanya miujiza hii yote mbele yao, wao hawakumwamini.~
133 John 14 26 | kila kitu na kuwakumbusheni yote niliyowaambieni.~
134 John 15 15 | kwa sababu nimewajulisha yote ambayo nimeyasikia kutoka
135 John 15 21 | 21 Lakini hayo yote watawatendeeni ninyi kwa
136 John 16 13 | mwenyewe, bali atawaambieni yote atakayosikia, na atasema
137 John 17 10 | 10 Yote niliyo nayo ni yako, na
138 John 18 4 | 4 Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea,
139 John 19 28 | 28 Yesu alijua kwamba yote yalikuwa yametimia; na,
140 John 21 17 | akamwambia, "Bwana, wewe wajua yote; wewe wajua kwamba mimi
141 John 21 25 | ambayo kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine,
142 Acts 1 1 | niliandika juu ya mambo yote Yesu aliyotenda na kufundisha
143 Acts 1 8 | Yerusalemu, katika nchi yote ya Yudea na Samaria, na
144 Acts 2 2 | mkali, ikajaza ile nyumba yote walimokuwa wamekaa.~
145 Acts 4 32 | 32 Jumuiya yote ya waumini ilikuwa moyo
146 Acts 5 21 | Baraza kuu, yaani halmashauri yote ya wazee wa Wayahudi halafu
147 Acts 6 2 | na wawili waliita jumuiya yote ya wanafunzi, wakasema, "
148 Acts 6 5 | hilo likaipendeza jumuiya yote ya waumini. Wakawachagua
149 Acts 7 11 | kulizuka njaa kubwa katika nchi yote ya Misri na Kanaani, ikasababisha
150 Acts 7 14 | ujumbe kwa baba yake na jamaa yote, jumla watu sabini na tano,
151 Acts 7 22 | Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa
152 Acts 8 40 | Azoto, akapita katika miji yote akihubiri Habari Njema mpaka
153 Acts 9 28 | akatembelea Yerusalemu yote akihubiri neno la Bwana
154 Acts 10 2 | naye pamoja na jamaa yake yote walimcha Mungu; alikuwa
155 Acts 10 8 | 8 akawaeleza yote yaliyotukia, akawatuma Yopa.~
156 Acts 10 37 | lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya
157 Acts 10 39 | Sisi ni mashahidi wa mambo yote aliyotenda katika nchi ya
158 Acts 11 14 | kwayo wewe na jamaa yako yote mtaokolewa.`~
159 Acts 11 28 | na njaa kubwa katika nchi yote (Njaa hiyo ilitokea wakati
160 Acts 12 11 | kutoka katika mambo yale yote watu wa Israeli waliyotazamia."~
161 Acts 13 22 | mtu ambaye atatimiza yale yote ninayotaka kuyatenda.`~
162 Acts 13 29 | 29 Na baada ya kutekeleza yote yaliyokuwa yameandikwa kumhusu
163 Acts 15 4 | wakawapa taarifa juu ya yote Mungu aliyoyafanya pamoja
164 Acts 15 17 | wengine wote, watu wa mataifa yote niliowaita wawe wangu, watamtafuta
165 Acts 15 21 | kusomwa katika masunagogi yote kila siku ya Sabato." ic~
166 Acts 16 26 | ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka na minyororo
167 Acts 16 31 | utaokolewa pamoja na jamaa yako yote."~
168 Acts 16 34 | chakula. Yeye na jamaa yake yote wakafanya sherehe kwa vile
169 Acts 17 6 | wamekuwa wakivuruga dunia yote na sasa wako hapa mjini.~
170 Acts 17 26 | mtu mmoja aliumba mataifa yote na kuyawezesha kuishi duniani
171 Acts 18 8 | yeye pamoja na jamaa yake yote. Wakorintho wengi waliusikiliza
172 Acts 19 27 | huyo ambaye Asia na dunia yote inamwabudu, zitakwisha."
173 Acts 21 19 | aliwapa taarifa kamili kuhusu yote Mungu aliyokuwa ametenda
174 Acts 21 31 | la Kiroma kuwa Yerusalemu yote ilikuwa imejaa ghasia.~
175 Acts 22 10 | Damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.`~
176 Acts 23 8 | Mafarisayo husadiki hayo yote matatu.~
177 Acts 24 6 | utaweza kubainisha mambo haya yote tunayomshtaki kwayo."*fc*~
178 Acts 24 9 | hayo wakisema kwamba hayo yote yalikuwa kweli. jeshi, aliingilia
179 Acts 24 14 | uzushi. Ninaamini mambo yote yaliyoandikwa katika vitabu
180 Acts 25 24 | yuko mtu ambaye jumuiya yote ya Wayahudi hapa na kule
181 Acts 26 2 | yako kuhusu yale mashtaka yote ambayo Wayahudi walikuwa
182 Acts 26 11 | waadhibiwe katika masunagogi yote nikiwashurutisha waikane
183 Acts 26 20 | wale wa Yerusalemu na nchi yote ya Yudea, na pia kwa watu
184 Acts 27 20 | kuvuma sana, hata matumaini yote ya kuokoka yakatuishia.~
185 Roma 1 5 | niwaongoze watu wa mataifa yote wapate kuamini na kutii.~
186 Roma 1 8 | 8 Awali ya yote, namshukuru Mungu wangu
187 Roma 1 19 | 19 Kwa maana, yote yanayoweza kujulikana juu
188 Roma 5 12 | kimeenea katika jumuiya yote ya binadamu, kwa maana wote
189 Roma 8 28 | Tunajua kwamba, katika mambo yote, Mungu hufanya kazi na kuifanikisha
190 Roma 8 32 | je, hatatujalia pia mema yote?~
191 Roma 8 37 | Lakini, katika mambo haya yote, tumepata ushindi mkubwa
192 Roma 9 5 | Mungu atawalaye juu ya yote, na atukuzwe milele! Amina.~
193 Roma 9 16 | 16 Kwa hiyo, yote hutegemea huruma ya Mungu,
194 Roma 13 1 | serikali; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye
195 Roma 13 10 | Basi, kwa mapendo Sheria yote hutimizwa.~
196 Roma 13 12 | Basi, tutupilie mbali mambo yote ya giza, tukajitwalie silaha
197 Roma 15 4 | 4 Maana yote yalioandikwa yameandikwa
198 Roma 15 5 | msingi wa saburi na faraja yote, awajalieni ninyi kuwa na
199 Roma 15 11 | 11 Na tena: "Enyi mataifa yote, msifuni Bwana; enyi watu
200 Roma 15 13 | matumaini, awajazeni furaha yote na amani kutokana na imani
201 Roma 15 14 | ninyi pia mmejaa wema, elimu yote, na mnaweza kushauriana
202 Roma 16 4 | pia kutoka kwa makanisa yote ya watu wa mataifa mengine.~
203 Roma 16 11 | mwenzangu; na kwa jamaa yote ya Narkisi iliyojiunga na
204 Roma 16 16 | kwenu kutoka kwa makanisa yote ya Kristo.~
205 Roma 16 26 | umedhihirisha kwa mataifa yote ili wote waweze kuamini
206 1Cor 1 5 | kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na uwezo wote wa kuhubiri,~
207 1Cor 3 22 | mambo ya sasa na ya baadaye, yote ni yenu.~
208 1Cor 4 6 | 6 Ndugu, hayo yote niliyosema juu ya Apolo
209 1Cor 4 17 | kila mahali katika makanisa yote.~
210 1Cor 7 17 | agizo langu kwa makanisa yote.~
211 1Cor 9 23 | 23 Nafanya haya yote kwa ajili ya Habari Njema,
212 1Cor 10 6 | 6 Sasa, mambo hayo yote ni mfano tu kwetu; yanatuonya
213 1Cor 10 31 | kula au kunywa, fanyeni yote kwa ajili ya utukufu wa
214 1Cor 11 18 | 18 Awali ya yote, nasikia kwamba mnapokutana
215 1Cor 13 2 | kitu; naweza kuwa na imani yote hata nikaweza kuihamisha
216 1Cor 13 3 | 3 Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini, na tena
217 1Cor 13 7 | Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili
218 1Cor 13 7 | huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote.~
219 1Cor 13 7 | huamini yote, na hustahimili yote.~
220 1Cor 13 12 | lakini hapo baadaye nitajua yote kikamilifu, kama vile Mungu
221 1Cor 13 13 | lakini lililo kuu kupita yote ni upendo.~~ ~
222 1Cor 14 24 | wa kawaida au asiyeamini, yote atakayosikia yatamhakikishia
223 1Cor 14 24 | yatamhakikishia ubaya wake mwenyewe; yote atakayosikia yatamhukumu.~
224 1Cor 14 26 | mwingine afafanue yanayosemwa. Yote yawe kwa ajili ya kulijenga
225 1Cor 14 34 | desturi katika makanisa yote ya watu wa Mungu, wanawake
226 1Cor 14 40 | 40 Lakini yote yafanyike kwa heshima na
227 1Cor 16 19 | 19 Makanisa yote ya Asia yanawasalimuni.
228 2Cor 1 3 | Mungu mwenye kuleta faraja yote.~
229 2Cor 1 8 | hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi.~
230 2Cor 1 22 | mwetu kama dhamana ya mambo yote ambayo ametuwekea.~
231 2Cor 4 2 | Tumeyaacha kabisa mambo yote ya aibu na ya kisirisiri.
232 2Cor 4 11 | Naam, katika maisha yetu yote tunakabiliwa na kifo daima
233 2Cor 4 15 | 15 Yote haya ni kwa faida yenu;
234 2Cor 4 17 | utukufu upitao matazamio yote, utukufu ambao hauna mwisho.~
235 2Cor 5 5 | Roho wake awe dhamana ya yote aliyotuwekea.~
236 2Cor 5 18 | 18 Yote ni kazi ya Mungu mwenye
237 2Cor 8 7 | wa kusema, elimu; bidii yote ya kutenda mema, na upendo
238 2Cor 8 18 | zimeenea katika makanisa yote.~
239 2Cor 11 28 | na shughuli za makanisa yote.~
240 2Cor 12 19 | tumeungana na Kristo. Mambo hayo, yote, wapenzi wangu, ni kwa ajili
241 Gala 3 3 | kiasi hicho? Ninyi mlianza yote kwa msaada wa Roho je, mnataka
242 Gala 3 4 | 4 Je, mambo yale yote yaliyowapata ninyi yamekuwa
243 Gala 3 8 | Njema: "Katika wewe mataifa yote yatabarikiwa."~
244 Gala 3 10 | Yeyote asiyeshika na kutimiza yote yaliyoandikwa katika kitabu
245 Gala 4 1 | na mtumwa ingawaje mali yote ni yake.~
246 Gala 4 7 | mwana, basi, wewe utapokea yote Mungu aliyowawekea watoto
247 Gala 5 3 | itambidi kuishika Sheria yote.~
248 Gala 5 14 | 14 Maana Sheria yote hutimizwa katika kushika
249 Ephe 1 14 | Roho ni dhamana ya kurithi yote yale Mungu aliyowaahidia
250 Ephe 3 19 | upendo wa Kristo upitao elimu yote, mjazwe kabisa utimilifu
251 Ephe 4 6 | wote, afanya kazi katika yote na yuko katika yote.~
252 Ephe 4 6 | katika yote na yuko katika yote.~
253 Ephe 5 4 | aibu, ya upuuzi au ubishi, yote hayo hayafai kwenu; maneno
254 Ephe 5 20 | Baba daima kwa ajili ya yote, kwa jina la Bwana wetu
255 Ephe 5 24 | wawatii waume zao katika mambo yote.~
256 Ephe 6 16 | 16 Zaidi ya hayo yote, imani iwe daima kama ngao
257 Colo 1 9 | mapenzi yake, awajazeni hekima yote na elimu iletwayo na Roho
258 Colo 1 28 | kuwafundisha wote kwa hekima yote, ili tuweze kumleta kila
259 Colo 2 22 | 22 Mambo hayo yote yanahusika na vitu vyenye
260 Colo 3 8 | mnapaswa kuachana na mambo haya yote: hasira, tamaa, uovu; kufuru
261 Colo 3 9 | kale pamoja na matendo yake yote,~
262 Colo 3 11 | kila kitu, na yumo katika yote.~
263 Colo 3 14 | 14 Zaidi ya hayo yote, zingatieni upendo kwani
264 Colo 3 16 | na kushauriana kwa hekima yote. Imbeni zaburi, nyimbo na
265 Colo 3 22 | wa kidunia katika mambo yote, na si tu wakati wanapowatazama
266 Colo 4 9 | Watawapeni habari za mambo yote yanayofanyika hapa.~
267 Colo 4 12 | thabiti kabisa katika mambo yote anayotaka Mungu.~
268 Colo 4 15 | Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani
269 1The 3 5 | Mshawishi aliwajaribuni na kazi yote tuliyofanya miongoni mwenu
270 1The 3 7 | katika taabu na mateso yetu yote,~
271 2The 1 5 | 5 Hayo yote yanathibitisha kwamba hukumu
272 2The 2 5 | kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja
273 1Tim 3 4 | wake wawe watii kwa heshima yote.~
274 1Tim 3 11 | na waaminifu katika mambo yote.~
275 1Tim 4 15 | Fikiri kwa makini juu ya hayo yote na kuyatekeleza kusudi maendeleo
276 1Tim 6 20 | 20 Timotheo, tunza salama yote yale uliyokabidhiwa. Jiepushe
277 2Tim 2 7 | Bwana atakuwezesha uyaelewe yote.~
278 2Tim 2 21 | kujitenga mbali na mambo hayo yote maovu, atakuwa chombo cha
279 2Tim 3 11 | aliniokoa katika mambo hayo yote.~
280 2Tim 3 16 | 16 Maandiko yote Matakatifu yameandikwa kwa
281 2Tim 4 7 | mashindano, nimemaliza safari yote na imani nimeitunza.~
282 2Tim 4 18 | Bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama
283 Titus 2 7 | 7 Katika mambo yote wewe mwenyewe unapaswa kuwa
284 Titus 2 9 | kuwapendeza katika mambo yote. Wasibishane nao,~
285 Titus 2 10| daima, ili, kwa matendo yao yote, wayapatie sifa njema mafundisho
286 Titus 2 15| hayo na tumia mamlaka yako yote ukiwahimiza na kuwaonya
287 Titus 3 1 | kila namna kutenda mambo yote mema.~
288 Hebr 2 1 | kuzingatia kwa makini zaidi yote tuliyosikia, ili tusije
289 Hebr 2 15 | waliokuwa watumwa maisha yao yote kwa sababu ya hofu yao ya
290 Hebr 3 2 | mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.~
291 Hebr 3 5 | mwaminifu katika nyumba yote ya Bwana kama mtumishi,
292 Hebr 7 13 | Bwana wetu ambaye mambo hayo yote yanasemwa juu yake, alikuwa
293 Hebr 9 10 | 10 kwani haya yote yanahusika na vyakula, vinywaji
294 Hebr 9 10 | mbalimbali za kutawadha. Yote hayo ni maagizo ya njenje
295 Hebr 12 21 | 21 Hayo yote yalionekana ya kutisha mno,
296 James 2 10| hatia ya kuivunja Sheria yote.~
297 James 3 2 | anaweza kutawala nafsi yake yote.~
298 James 3 6 | Huteketeza maisha yetu yote kwa moto utokao Jehanamu
299 James 4 1 | 1 Mapigano na magombano yote kati yenu yanatoka wapi?
300 James 5 12| 12 Zaidi ya hayo yote, ndugu zangu, msiape kwa
301 1Pet 2 13 | jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili
302 1Pet 2 18 | watiini wakuu wenu kwa heshima yote, wawe wema na wapole au
303 1Pet 4 8 | 8 Zaidi ya yote pendaneni kwa moyo wote,
304 1Pet 4 11 | Mungu, ili katika mambo yote, Mungu atukuzwe kwa njia
305 1Pet 5 7 | 7 Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.~
306 1Pet 5 10 | Mungu aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni muushiriki
307 2Pet 1 3 | Mungu ametujalia mambo yote tunayohitaji, ili tuishi
308 2Pet 3 3 | 3 Awali ya yote jueni kwamba siku za mwisho
309 2Pet 3 8 | moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.~
310 1Joh 5 15 | twajua pia kwamba atupatia yote tunayomwomba.~
311 3Joh 1 10 | nitakapokuja nitayafichua mambo yote anayofanya, maneno mabaya
312 Jude 1 15 | kwa ajili ya matendo yao yote maovu waliyotenda na kwa
313 Jude 1 15 | waliyotenda na kwa ajili ya maneno yote mabaya ambayo watu waovu
314 Rev 1 2 | 2 naye Yohane, ameyasema yote aliyoyaona. Na hii ndio
315 Rev 1 7 | wale waliomchoma. Makabila yote duniani yataomboleza juu
316 Rev 1 11 | ilisema, "Andika katika kitabu yote unayoyaona, ukipeleke kwa
317 Rev 2 2 | 2 Najua mambo yako yote; najua bidii yako na uvumilivu
318 Rev 2 19 | 19 Najua mambo yako yote. Najua upendo wako, imani
319 Rev 2 23 | wafuasi wake, ili makanisa yote yatambue kwamba mimi ndiye
320 Rev 3 1 | saba. Nayajua mambo yako yote; najua unajulikana kuwa
321 Rev 3 8 | 8 Nayajua mambo yako yote! Sasa, nimefungua mbele
322 Rev 3 15 | 15 Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi
323 Rev 6 14 | inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa
324 Rev 7 4 | na nne elfu wa makabila yote ya watu wa Israeli.~
325 Rev 7 17 | Mungu atayafuta machozi yote machoni mwao."~ ~~ ~
326 Rev 8 7 | miti ikaungua, na majani yote mabichi yakaungua.~
327 Rev 12 5 | ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma. Lakini
328 Rev 13 12 | mnyama. Akailazimisha dunia yote na wote waliomo humo kumwabudu
329 Rev 14 6 | waishio duniani, kwa mataifa yote, makabila yote, watu wa
330 Rev 14 6 | kwa mataifa yote, makabila yote, watu wa lugha zote na rangi
331 Rev 14 8 | Babuloni ambaye aliwapa mataifa yote wainywe divai yake - divai
332 Rev 15 4 | yako ni Mtakatifu. Mataifa yote yatakujia na kukuabudu maana
333 Rev 17 5 | mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani."~
334 Rev 17 13 | mnyama nguvu na mamlaka yao yote.~
335 Rev 18 3 | 3 Maana mataifa yote yalileweshwa kwa divai kali
336 Rev 18 14 | Wafanyabiashara wanamwambia: "Faida yote uliyotazamia imetoweka,
337 Rev 18 23 | kwa uchawi wako mataifa yote yalipotoshwa!"~
338 Rev 20 8 | ataanza kuyapotosha mataifa yote yaliyotawanyika kila mahali
339 Rev 20 9 | Walitawanyika katika nchi yote, wakaizunguka kambi ya watu
340 Rev 21 4 | Yeye atayafuta machozi yao yote; maana hakutakuwako tena
341 Rev 21 5 | akasema, "Tazama, nafanya yote mapya." Tena akaniambia, "
|