Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
petroi 1
petu 2
philemon 1
pia 332
picha 2
piga 1
pigana 1
Frequency    [«  »]
338 ndugu
337 si
334 je
332 pia
330 hapo
327 yangu
326 hayo

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

pia

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 7 | akamwambia, "Imeandikwa pia: `Usimjaribu Bwana, Mungu 2 Matt 5 31 | 31 "Ilikwisha semwa pia: `Anayemwacha mke wake, 3 Matt 5 39 | shavu la kulia, mgeuzie pia shavu la pili.~ 4 Matt 5 40 | shati lako, mwache achukue pia koti lako.~ 5 Matt 6 14 | mbinguni atawasamehe ninyi pia.~ 6 Matt 6 21 | ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.~ 7 Matt 8 16 | akawafukuza hao pepo. Aliwaponya pia watu wote waliokuwa wagonjwa.~ 8 Matt 10 32 | kwamba yeye ni wangu, mimi pia nitamkiri mbele ya Baba 9 Matt 13 26 | kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana.~ 10 Matt 13 29 | magugu, mkang`oa na ngano pia.~ 11 Matt 16 19 | utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua 12 Matt 16 19 | utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni."~ 13 Matt 21 15 | maajabu aliyoyafanya Yesu, na pia watoto walipokuwa wanapaaza 14 Matt 21 27 | Naye Yesu akawaambia, "Nami pia sitawaambieni ninafanya 15 Matt 21 33 | divai, akajenga humo mnara pia. Kisha akalikodisha kwa 16 Matt 22 27 | ndugu hao wote kufa, akafa pia yule mama. ~ 17 Matt 23 21 | ameapa kwa hilo Hekalu na pia kwa yule ~akaaye ndani yake. ~ 18 Matt 23 26 | kwanza na nje kutakuwa ~safi pia. ~ 19 Matt 24 44 | 44 Kwa hiyo, nanyi pia muwe tayari, kwa maana Mwana 20 Matt 26 73 | wakamwambia, "Hakika, wewe pia ni mmoja wao, maana msemo 21 Matt 27 29 | wakamvika kichwani, wakamwekea pia mwanzi katika mkono wake 22 Matt 27 38 | anyi wawili walisulubishwa pia pamoja naye, mmoja upande 23 Matt 27 57 | jina lake Yosefu. Yeye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu.~ 24 Mark 1 19 | Yohane, wana wa Zebedayo. Nao pia walikuwa ndani ya mashua 25 Mark 1 38 | ya jirani nikahubiri huko pia, maana nimekuja kwa sababu 26 Mark 4 24 | 24 Akawaambia pia, "Sikilizeni kwa makini 27 Mark 4 36 | mashua alimokuwa. Palikuwapo pia mashua nyingine hapo.~ 28 Mark 6 41 | watu. Na wale samaki wawili pia akawagawia wote.~ 29 Mark 6 43 | mabaki ya mikate na samaki pia, wakajaza vikapu kumi na 30 Mark 7 4 | wamekiosha kwanza.*fc* Kuna pia desturi nyingine walizopokea 31 Mark 8 7 | 7 Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu 32 Mark 11 29 | swali moja; mkinijibu, na pia nitawaambieni ni kwa mamlaka 33 Mark 11 33 | Naye Yesu akawaambia, "Nami pia sitawaambieni ninafanya 34 Mark 12 1 | kusindikia divai, akajenga mnara pia. Akalikodisha shamba hilo 35 Mark 12 21 | akamwoa huyo mjane, naye pia akafa bila kuacha mtoto; 36 Mark 14 31 | sitakuacha kamwe." Wanafunzi wote pia wakasema vivyo hivyo.~ 37 Mark 15 40 | 40 Walikuwako pia wanawake waliotazama kwa 38 Mark 15 43 | aliyeheshimika sana. Yeye pia alikuwa anatazamia kuja 39 Mark 16 13 | 13 Nao pia wakaenda wakawaambia wenzao. 40 Luke 1 3 | 3 Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza 41 Luke 1 36 | 36 Ujue pia kwamba hata Elisabeti, jamaa 42 Luke 2 4 | 4 Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini 43 Luke 2 24 | 24 Pia walikwenda ili watoe sadaka: 44 Luke 3 12 | Nao watoza ushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, " 45 Luke 3 19 | na kumfanya mke wake; na pia kwa ajili ya mabaya yote 46 Luke 4 23 | Mganga jiponye mwenyewe`, na pia mtasema: `Yote tuliyosikia 47 Luke 4 23 | Kafarnaumu, yafanye hapa pia katika kijiji chako."`~ 48 Luke 4 43 | Mungu katika miji mingine pia, maana nilitumwa kwa ajili 49 Luke 6 18 | 18 Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa 50 Luke 6 29 | akikunyang`anya koti lako mwachie pia shati lako.~ 51 Luke 7 8 | 8 Mimi pia ni mtu niliye chini ya mamlaka, 52 Luke 8 2 | 2 Pia wanawake kadhaa ambao Yesu 53 Luke 11 30 | kwa watu wa Ninewi, ndivyo pia Mwana wa Mtu atakavyokuwa 54 Luke 11 34 | likiwa bovu, na mwili wako pia utakuwa katika giza.~ 55 Luke 11 40 | ndiye aliyetengeneza ndani pia?~ 56 Luke 11 45 | yako yanatukashifu na sisi pia."~ 57 Luke 12 34 | ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.~ 58 Luke 15 18 | Mungu, na nimekukosea wewe pia.~ 59 Luke 15 21 | Mungu, na nimekukosea wewe pia. Sistahili hata kuitwa mwanao.`~ 60 Luke 16 20 | 20 Kulikuwa pia na maskini mmoja jina lake 61 Luke 16 22 | Abrahamu. Na yule tajiri pia akafa, akazikwa.~ 62 Luke 18 3 | Katika mji huohuo, kulikuwa pia na mama mmoja mjane, ambaye 63 Luke 18 9 | 9 Halafu Yesu aliwaambia pia mfano wa wale ambao walijiona 64 Luke 19 9 | nyumba hii, kwa vile huyu pia ni wa ukoo wa Abrahamu.~ 65 Luke 19 19 | 19 Naye akamwambia pia: `Nawe utakuwa na madaraka 66 Luke 20 30 | akamwoa yule mjane, naye pia, akafa;~ 67 Luke 20 32 | 32 Mwishowe akafa pia yule mwanamke.~ 68 Luke 21 2 | 2 akamwona pia mama mmoja mjane akitumbukiza 69 Luke 22 56 | akasema, "Mtu huyu alikuwa pia pamoja na Yesu."~ 70 Luke 23 19 | kusababisha uasi katika mji na pia kwa sababu ya kuua.)~ 71 Luke 23 32 | 32 Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, 72 Luke 23 36 | Askari nao walimdhihaki pia; walimwendea wakampa siki~ 73 Luke 23 39 | mwenyewe, utuokoe na sisi pia."~ 74 John 3 23 | 23 Yohane pia alikuwa akibatiza watu huko 75 John 4 45 | walimkaribisha. Maana nao pia walikuwa kwenye sikukuu 76 John 5 18 | anafanya kazi daima, nami pia nafanya kazi."~ 77 John 5 19 | Sheria ya Sabato tu, bali pia kwa kuwa alisema kwamba 78 John 5 27 | alivyo asili ya uhai, ndivyo pia alivyomjalia Mwanawe kuwa 79 John 5 47 | Mose, mngeniamini na mimi pia; maana Mose aliandika juu 80 John 6 57 | hivyo anilaye mimi ataishi pia kwa sababu yangu.~ 81 John 6 64 | kina nani wasioamini, na pia ni nani atakayemsaliti.)~ 82 John 6 67 | kumi na wawili, "Je, nanyi pia mwataka kwenda zenu?"~ 83 John 7 47 | wakawauliza, "Je, nanyi pia mmedanganyika?~ 84 John 7 52 | Nao wakamjibu, "Je, wewe pia umetoka Galilaya? Haya, 85 John 8 18 | aliyenituma, ananishuhudia pia."~ 86 John 8 19 | mngemjua na Baba yangu pia."~ 87 John 8 52 | Abrahamu alikufa, na manabii pia walikufa, nawe wasema ati, ` 88 John 9 27 | kusikia tena? Je, ninyi pia mnataka kuwa wafuasi wake?"~ 89 John 9 40 | wakamwuliza, "Je, sisi pia ni vipofu?"~ 90 John 10 16 | Inanibidi kuwaleta hao pia, nao wataisikia sauti yangu, 91 John 11 33 | waliokuja pamoja naye wanalia pia, alijawa na huzuni na kufadhaika 92 John 11 52 | si kwa ajili yao tu, bali pia apate kuwaleta pamoja watoto 93 John 12 9 | ajili ya kumwona Yesu, ila pia wapate kumwona Lazaro ambaye 94 John 12 10 | Makuhani wakuu waliamua pia kumwua Lazaro,~ 95 John 12 44 | mimi tu, ila anamwamini pia yule aliyenituma.~ 96 John 12 45 | Anayeniona mimi anamwona pia yule aliyenituma.~ 97 John 13 9 | na mikono yangu na kichwa pia."~ 98 John 13 14 | nimewaosha ninyi miguu, nanyi pia mnapaswa kuoshana miguu.~ 99 John 13 15 | Nimewapeni mfano, ili nanyi pia mfanye kama nilivyowafanyieni.~ 100 John 14 1 | Mungu, niaminini na mimi pia.~ 101 John 14 7 | mimi mnamjua na Baba yangu pia. Na tangu sasa, mnamjua, 102 John 14 19 | kuwa mimi ni hai, nanyi pia mtakuwa hai.~ 103 John 15 20 | mimi, watawatesa na ninyi pia; kama wameshika neno langu, 104 John 15 20 | langu, watalishika na lenu pia.~ 105 John 15 23 | anamchukia na Baba yangu pia.~ 106 John 15 24 | wakamchukia na Baba yangu pia.~ 107 John 15 27 | 27 Nanyi pia mtanishuhudia kwa kuwa mmekuwa 108 John 16 22 | 22 Ninyi pia mna huzuni sasa; lakini 109 John 17 18 | ulivyonituma ulimwenguni, nami pia nimewatuma wao ulimwenguni;~ 110 John 17 19 | mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.~ 111 John 17 20 | Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana 112 John 18 17 | akamwuliza Petro, "Je, nawe pia ni mmoja wa wanafunzi wa 113 John 18 25 | wakamwuliza, "Je, nawe pia si mmoja wa wanafunzi wake?" 114 John 19 23 | kila askari. Walichukua pia na kanzu yake; kanzu hiyo 115 John 20 8 | kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaaamini.~ 116 Acts 1 23 | Yosefu aliyeitwa Barsaba (au pia Yusto), na wa pili Mathia.~ 117 Acts 4 37 | 37 Yeye pia alikuwa na shamba lake, 118 Acts 5 9 | mlangoni na watakuchukua wewe pia."~ 119 Acts 5 32 | wale wanaomtii, anashuhudia pia tukio hilo."~ 120 Acts 5 37 | wakamfuata; lakini naye pia aliuawa, na wafuasi wake 121 Acts 5 38 | 38 Na sasa pia mimi nawaambieni, msiwachukulie 122 Acts 8 7 | wakipiga kelele kubwa; na pia watu wengi waliokuwa wamepooza 123 Acts 9 27 | alivyoongea naye. Aliwaambia pia jinsi Saulo alivyokuwa amehubiri 124 Acts 9 29 | 29 Pia aliongea na kubishana na 125 Acts 9 32 | anasafirisafiri kila mahali alifika pia kwa watu wa Mungu waliokuwa 126 Acts 10 45 | watu wa mataifa mengine pia;~ 127 Acts 11 1 | watu wa mataifa mengine pia walikuwa wamelipokea neno 128 Acts 11 12 | ndugu sita waliandamana nami pia kwenda Kaisarea na huko 129 Acts 11 17 | Basi, kama Mungu amewapa pia watu wa mataifa mengine 130 Acts 12 25 | wakamchukua Yohane aitwaye pia Marko.~ ~~ ~ 131 Acts 13 1 | Barnaba, Simoni aitwaye pia Mweusi, Lukio wa Kurene, 132 Acts 13 9 | Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho 133 Acts 14 15 | mnafanya mambo hayo? Sisi pia ni binadamu kama ninyi. 134 Acts 15 22 | wakamchagua Yuda aitwaye pia Barsaba, na Sila ambao wote 135 Acts 15 37 | Barnaba alitaka wamchukue pia Yohane aitwaye Marko.~ 136 Acts 16 1 | Timotheo. Mama yake ambaye pia alikuwa mfuasi, alikuwa 137 Acts 16 12 | kwanza ya Makedonia, na ambao pia ni koloni la Waroma. Tulikaa 138 Acts 17 12 | 12 Wengi wao waliamini na pia wanawake wa Kigiriki wa 139 Acts 17 12 | tabaka la juu na wanaume pia.~ 140 Acts 19 15 | Ninamfahamu Yesu, ninamjua pia Paulo, lakini ninyi ni nani?"~ 141 Acts 19 21 | itanilazimu kuona Roma pia."~ 142 Acts 19 26 | anayofanya, si tu hapa Efeso, ila pia kote katika Asia. Yeye amewashawishi 143 Acts 19 27 | baya. Si hivyo tu, bali pia jambo hilo linaweza kuifanya 144 Acts 20 4 | Berea, aliandamana naye; pia Aristarko na Sekundo kutoka 145 Acts 21 18 | wote wa kanisa walikuwako pia.~ 146 Acts 24 5 | Wayahudi kila mahali duniani na pia ni kiongozi wa kile chama 147 Acts 26 20 | na nchi yote ya Yudea, na pia kwa watu wa mataifa mengine. 148 Acts 26 23 | sasa watu wote, Wayahudi na pia watu wa mataifa mengine."~ 149 Acts 27 10 | shehena na meli tu, bali pia kwa maisha yetu."~ 150 Acts 27 19 | 19 Siku ya tatu, wakaanza pia kutupa majini vifaa vya 151 Acts 27 36 | wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.~ 152 Roma 1 15 | 15 Ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri Habari Njema kwenu 153 Roma 1 16 | kwanza, na wasio Wayahudi pia.~ 154 Roma 2 3 | mambo kama hayo bali wewe pia unayafanya, je unadhani 155 Roma 2 9 | watu wa mataifa mengine pia.~ 156 Roma 2 10 | watu wa mataifa mengine pia.~ 157 Roma 2 15 | Dhamiri zao zinashuhudia pia jambo hilo, maana fikira 158 Roma 3 29 | Mungu wa Wayahudi tu, ama pia wa watu wa mataifa mengine? 159 Roma 3 29 | Naam, wa mataifa mengine pia.~ 160 Roma 3 30 | watu wa mataifa mengine pia kwa imani yao.~ 161 Roma 4 9 | wale waliotahiriwa tu, ama pia kwa wale wasiotahiriwa? 162 Roma 4 9 | Ni kwa wale wasiotahiriwa pia. Kwa maana tumekwisha sema: " 163 Roma 4 16 | wanaoishika Sheria, bali pia kwa wale waishio kwa imani 164 Roma 4 19 | ulikuwa kama umekufa, na pia mkewe, Sara, alikuwa tasa.~ 165 Roma 4 24 | Jambo hili linatuhusu sisi pia ambao tunamwamini Mungu 166 Roma 5 3 | hayo tu, bali tunafurahi pia katika taabu tukijua kwamba 167 Roma 5 11 | hayo tu, ila tunafurahi pia katika Mungu kwa njia ya 168 Roma 6 4 | kitukufu cha Baba, sisi pia tuweze kuishi maisha mapya.~ 169 Roma 6 8 | tunaamini kwamba tutaishi pia pamoja naye.~ 170 Roma 7 4 | ninyi ndugu zangu: ninyi pia mmekufa kuhusu Sheria kwa 171 Roma 8 17 | yake Kristo, tutaushiriki pia utukufu wake.~ 172 Roma 8 23 | wa zawadi za Mungu; sisi pia tunalalamika ndani yetu, 173 Roma 8 30 | waadilifu aliwashirikisha pia utukufu wake.~ 174 Roma 8 32 | amefanya hivyo, je, hatatujalia pia mema yote?~ 175 Roma 9 1 | inanithibitishia jambo hili pia.~ 176 Roma 9 10 | 10 Tena si hayo tu ila pia Rebeka naye alipata mapacha 177 Roma 9 23 | 23 Alitaka pia kudhihirisha wingi wa utukufu 178 Roma 9 24 | miongoni mwa Wayahudi bali pia kutoka kwa watu wa mataifa 179 Roma 11 5 | 5 Basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: ipo 180 Roma 11 16 | matawi yake huwa mazuri pia.~ 181 Roma 11 22 | wema wake; la sivyo, nawe pia utakatwa.~ 182 Roma 11 31 | wanamwasi Mungu sasa ili nao pia wapokee sasa huruma ya Mungu.~ 183 Roma 13 5 | ghadhabu ya Mungu, bali pia kwa sababu dhamiri inadai 184 Roma 14 6 | ya kumtukuza Bwana, naye pia anamshukuru Mungu.~ 185 Roma 15 14 | nina hakika kwamba ninyi pia mmejaa wema, elimu yote, 186 Roma 15 27 | Wayahudi, wanapaswa nao pia kuwahudumia Wayahudi katika 187 Roma 16 2 | kwa watu wengi na kwangu pia.~ 188 Roma 16 4 | si tu kutoka kwangu, bali pia kutoka kwa makanisa yote 189 Roma 16 5 | 5 Salamu zangu pia kwa kanisa linalokutana 190 Roma 16 9 | wa Kristo; salamu zangu pia kwa rafiki yangu Staku.~ 191 Roma 16 13 | yake ambaye ni mama yangu pia.~ 192 1Cor 1 2 | aliye Bwana wao na wetu pia.~ 193 1Cor 1 16 | 16 Samahani, nilibatiza pia jamaa ya Stefana; lakini 194 1Cor 4 8 | kweli watawala, ili nasi pia tuweze kutawala pamoja nanyi.~ 195 1Cor 4 19 | hao wenye majivuno, bali pia kila wanachoweza kufanya.~ 196 1Cor 6 14 | kutoka wafu atatufufua nasi pia kwa nguvu yake.~ 197 1Cor 7 40 | yangu, na nafikiri mimi pia ninaye Roho wa Mungu.~ ~ ~~ ~ 198 1Cor 8 6 | kwa ajili yake sisi tuko. Pia yuko Bwana mmoja tu, Yesu 199 1Cor 9 5 | wengine, ndugu zake Bwana, na pia Kefa?~ 200 1Cor 10 4 | 4 wakanywa pia kinywaji kilekile cha kiroho, 201 1Cor 10 13 | majaribu, yeye atawapeni pia nguvu ya kustahimili na 202 1Cor 11 3 | 3 Lakini napenda pia mjue kwamba Kristo ni kichwa 203 1Cor 11 10 | mamlaka yaliyo juu yake, na pia kwa sababu ya malaika.~ 204 1Cor 12 12 | mwili mmoja, ndivyo ilivyo pia kwa Kristo.~ 205 1Cor 14 11 | mgeni kwake mtu huyo naye pia ni mgeni kwangu.~ 206 1Cor 14 15 | kwa roho yangu, nitasali pia kwa akili yangu; nitaimba 207 1Cor 14 15 | kwa roho yangu, nitaimba pia kwa akili yangu.~ 208 1Cor 15 39 | nyingine na miili ya samaki pia ni ya namna nyingine.~ 209 1Cor 16 18 | Wameiburudisha roho yangu na yenu pia. Kwa hiyo inafaa kuwakumbuka 210 2Cor 1 7 | mateso yetu, mtashiriki pia faraja yetu.~ 211 2Cor 1 16 | Makedonia, na wakati wa kurudi pia, ili nipate msaada wenu 212 2Cor 1 21 | kutuimarisha sisi na ninyi pia katika Kristo, na ndiye 213 2Cor 2 3 | nikifurahi, ninyi nyote pia mnafurahi.~ 214 2Cor 2 10 | 10 Mkimsamehe mtu, nami pia ninamsamehe. Maana ninaposamehe - 215 2Cor 4 10 | Kristo, ili uhai wake Yesu pia udhihirike katika miili 216 2Cor 4 13 | ndiyo maana nilinena." Nasi pia, tukiwa na moyo huohuo wa 217 2Cor 4 14 | Bwana Yesu atatufufua sisi pia pamoja na Yesu na kutuweka 218 2Cor 5 11 | nami natumaini kwamba nanyi pia mnatujua kinaganaga.~ 219 2Cor 6 17 | 17 Kwa hiyo Bwana asema pia: "Ondokeni kati yao, mkajitenge 220 2Cor 7 6 | wanyonge alitupa moyo sisi pia kwa kuja kwake Tito.~ 221 2Cor 7 7 | kule kuja kwake Tito, bali pia kwa sababu ya moyo mliompa 222 2Cor 7 13 | kwamba tulifarijika tu, ila pia Tito alitufurahisha kwa 223 2Cor 8 5 | wakajitolea wenyewe kwetu pia, kufuatana na mapenzi ya 224 2Cor 8 6 | aliyeianza kazi hiyo awasaidieni pia muitekeleze huduma hii ya 225 2Cor 8 17 | alikubali ombi letu, ila pia alikuwa na hamu kubwa ya 226 2Cor 8 21 | tu mbele ya Bwana, lakini pia mbele ya watu.~ 227 2Cor 9 10 | kwa chakula, atawapa ninyi pia mbegu mnazohitaji, na atazifanya 228 2Cor 9 12 | mahitaji ya watu wa Mungu, bali pia itasababisha watu wengi 229 2Cor 9 13 | Kristo mnayoiungama, na pia kwa sababu ya ukarimu mnaowapa 230 2Cor 10 7 | afikirie vilevile kwamba sisi pia ni wa Kristo kama yeye alivyo 231 2Cor 10 13 | kazi ambayo tunaifanya pia kwenu.~ 232 2Cor 11 18 | sababu za kidunia, nami pia nitajivuna.~ 233 2Cor 11 21 | mpumbavu - mimi nathubutu pia.~ 234 2Cor 11 29 | mtu yeyote ni dhaifu, nami pia ni dhaifu; mtu yeyote akikwazwa, 235 2Cor 11 29 | mtu yeyote akikwazwa, nami pia huwa na wasiwasi. ic~ 236 2Cor 13 2 | waliotenda uovu bila kutubu, na pia wale wengine, nitakapokuja, 237 2Cor 13 4 | kwa uwezo wa Mungu. Sisi pia tu dhaifu kwa kuungana naye 238 Gala 2 1 | na Barnaba; nilimchukua pia Tito pamoja nami.~ 239 Gala 2 8 | ndiye aliyeniwezesha nami pia kuwa mtume kwa watu wa mataifa 240 Gala 2 16 | kumwamini Yesu Kristo. Na sisi pia tumemwamini Yesu Kristo 241 Ephe 1 13 | 13 Nanyi pia watu wa mataifa mengine, 242 Ephe 2 3 | Kidunia, sisi kama vile pia wao, tulistahili ghadhabu 243 Ephe 2 17 | mliokuwa mbali na Mungu, na pia kwa Wayahudi ambao walikuwa 244 Ephe 2 22 | Katika kuungana naye, ninyi pia mnajengwa pamoja na wote 245 Ephe 5 33 | Lakini yanawahusu ninyi pia: kila mume lazima ampende 246 Ephe 6 9 | Kumbukeni kwamba ninyi pia kama vile wao, mnaye Bwana 247 Ephe 6 19 | 19 Niombeeni nami pia ili niongeapo Mungu anijalie 248 Colo 1 21 | 21 Hapo kwanza ninyi pia mlikuwa mbali na Mungu na 249 Colo 2 12 | katika ubatizo, mlifufuliwa pia pamoja naye kwa imani yenu 250 Colo 3 4 | atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye 251 Colo 3 7 | 7 Wakati mmoja ninyi pia mliishi kufuatana na mambo 252 Colo 4 1 | mkikumbuka kwamba nanyi pia mnaye Bwana mbinguni.~ 253 Colo 4 3 | Vilevile, mtuombee sisi pia ili Mungu atupe fursa ya 254 1The 1 5 | haikuwa kwa maneno tu, bali pia kwa nguvu na kwa Roho Mtakatifu, 255 1The 2 8 | Habari Njema ya Mungu, bali pia na maisha yetu. Ndivyo mlivyokuwa 256 1The 2 10 | mnaweza kushuhudia, na Mungu pia ni shahidi, jinsi mwenendo 257 1The 2 15 | manabii, wakatutesa na sisi pia. Watu hao wanamchukiza Mungu, 258 1The 5 25 | Ndugu, tuombeeni na sisi pia.~ 259 2The 1 7 | ninyi mnaoteseka, na sisi pia. Atafanya jambo hilo wakati 260 2The 1 10 | kwa wote wanaoamini. Ninyi pia mtakuwa miongoni mwao, kwani 261 2The 3 2 | 2 Ombeni pia ili Mungu atuokoe na watu 262 1Tim 2 5 | Maana yuko Mungu mmoja, na pia yuko mmoja anayewapatanisha 263 1Tim 3 8 | katika kanisa wanapaswa pia kuwa watu wenye tabia njema 264 1Tim 3 11 | 11 Wake zao wanapaswa pia kuwa na tabia njema, wasiowasengenya 265 1Tim 4 3 | kwamba ni makosa kuona na pia kula vyakula fulani. Lakini 266 1Tim 4 8 | katika maisha ya sasa, na pia hayo yanayokuja.~ 267 2Tim 1 5 | nayo nyanya yako Loisi, na pia mama yako Eunike. Nina hakika 268 2Tim 1 5 | Nina hakika kwamba wewe pia unayo. ~ 269 2Tim 2 2 | wataweza kuwafundisha wengine pia.~ 270 2Tim 2 10 | wateule wa Mungu, ili wao pia wapate ukombozi upatikanao 271 2Tim 2 11 | tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.~ 272 2Tim 2 12 | Tukiendelea kuvumilia, tutatawala pia pamoja naye. Tukimkana, 273 2Tim 2 12 | pamoja naye. Tukimkana, naye pia atatukana.~ 274 2Tim 4 13 | Karpo kule Troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile 275 Titus 1 12| manabii wao, ambaye naye pia ni Mkrete, alisema: "Wakrete, 276 Phil 1 9 | wa Kristo Yesu, na sasa pia mfungwa kwa ajili yake.~ 277 Phil 1 11 | sasa ananifaa mimi na wewe pia.~ 278 Hebr 1 10 | 10 Pia alisema: "Bwana, wewe uliumba 279 Hebr 2 4 | 4 Mungu pia aliongeza hapo ushahidi 280 Hebr 4 5 | Tena jambo hili lasemwa pia: "Hawataingia huko ambako 281 Hebr 4 10 | baada ya kazi yake kama vile pia Mungu alivyopumzika baada 282 Hebr 5 3 | kwa ajili ya watu, bali pia kwa ajili ya dhambi zake.~ 283 Hebr 5 6 | 6 Alisema pia mahali pengine: "Wewe ni 284 Hebr 7 2 | mfalme wa Salemu, jina lake pia lina maana ya "Mfalme wa 285 Hebr 7 9 | alitoa sehemu moja ya kumi pia.~ 286 Hebr 7 23 | 23 Kuna tofauti nyingine pia: hao makuhani wengine walikuwa 287 Hebr 8 3 | Kuhani Mkuu wetu lazima pia awe na kitu cha kutolea.~ 288 Hebr 8 5 | yaliyoko mbinguni. Ndivyo pia ilivyokuwa kwa Mose. Wakati 289 Hebr 9 1 | taratibu zake za ibada na pia mahali patakatifu pa ibada 290 Hebr 10 30 | nitalipiza," na ambaye alisema pia, "Bwana atawahukumu watu 291 Hebr 11 9 | walivyoishi Isaka na Yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.~ 292 Hebr 11 22 | katika nchi ya Misri, na pia akawaachia maagizo kuhusu 293 Hebr 12 26 | lakini si nchi tu bali pia mbingu."~ 294 Hebr 13 12 | 12 Ndiyo maana Yesu pia, kusudi apate kuwatakasa 295 James 2 11| aliyesema: "Usizini," alisema pia "Usiue". Kwa hiyo, hata 296 James 3 4 | 4 Meli nazo pia, ingawa ni kubwa sana, na 297 James 5 8 | 8 Nanyi pia mnapaswa kuwa na subira; 298 1Pet 2 2 | wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya 299 1Pet 3 7 | muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi 300 1Pet 4 1 | aliteseka kimwili, nanyi pia mnapaswa kujiimarisha kwa 301 1Joh 1 3 | tunachowatangazieni ninyi pia ili nanyi mpate kushirikiana 302 1Joh 2 2 | dhambi zetu sisi tu, bali pia dhambi za ulimwengu wote.~ 303 1Joh 2 8 | ya Kristo na ndani yenu pia. Maana giza linatoweka, 304 1Joh 2 21 | bali kwa sababu mnaujua; na pia mnajua kwamba uongo wowote 305 1Joh 2 23 | anayemkana Mwana, anamkana pia Baba; na yeyote anayemkubali 306 1Joh 2 23 | anayemkubali Mwana, anampata Baba pia.~ 307 1Joh 2 29 | kabisa; basi, mnapaswa kujua pia kwamba kila mtu atendaye 308 1Joh 4 21 | Anayempenda Mungu anapaswa pia kumpenda ndugu yake.~~ ~ 309 1Joh 5 1 | anayempenda mzazi humpenda pia mtoto wa huyo mzazi.~ 310 1Joh 5 15 | kila tunapomwomba, twajua pia kwamba atupatia yote tunayomwomba.~ 311 1Joh 5 20 | 20 Twajua pia kwamba Mwana wa Mungu amekuja, 312 2Joh 1 1 | mimi tu ninayewapenda, bali pia wote wanaoujua ule ukweli 313 3Joh 1 12 | ukweli wenyewe unamsifu. Nasi pia tunatoa ushahidi wetu juu 314 Jude 1 7 | 7 Kumbukeni pia Sodoma na Gomora, na miji 315 Jude 1 8 | 8 Hivyo ndivyo pia walivyo watu hawa. ndoto 316 Rev 2 9 | Najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje 317 Rev 2 15 | 15 Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata 318 Rev 2 17 | mana iliyofichika. Nitawapa pia jiwe jeupe lililoandikwa 319 Rev 3 10 | kuwa na uvumilivu, nami pia nitakutegemeza salama wakati 320 Rev 3 12 | na hawatatoka humo kamwe. Pia nitaandika juu yao jina 321 Rev 3 18 | kweli. Tena afadhali ununue pia vazi jeupe, uvae na kufunika 322 Rev 3 18 | aibu ya uchi wako. Nunua pia mafuta ukapake machoni pako 323 Rev 12 9 | nyoka wa kale ambaye huitwa pia Ibilisi au Shetani. Ndiye 324 Rev 13 4 | uwezo wake. Wakamwabudu pia huyo mnyama wakisema, "Nani 325 Rev 15 2 | imechanganywa na moto. Nikawaona pia wale watu waliomshinda yule 326 Rev 17 9 | anaketi juu yake. Vichwa hivyo pia ni wafalme saba.~ 327 Rev 17 11 | ni mfalme wa nane, naye pia ni miongoni mwa hao saba, 328 Rev 17 15 | 15 Malaika akaniambia pia, "Yale maji uliyoyaona pale 329 Rev 20 4 | mamlaka ya hukumu. Niliona pia roho za wale waliokuwa wamenyongwa 330 Rev 20 12 | cha uzima, kikafunguliwa pia. Wafu wakahukumiwa kadiri 331 Rev 21 1 | vimetoweka, nayo bahari pia haikuweko tena.~ 332 Rev 21 17 | Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita sitini


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License