Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 11 | Lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi. Mimi
2 Matt 5 11 | kila aina ya uovu kwa ajili yangu.~
3 Matt 7 21 | anayetimiza mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.~
4 Matt 7 23 | ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.`~
5 Matt 7 24 | mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana
6 Matt 7 26 | yeyote anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia,
7 Matt 8 9 | wengine, ninao askari chini yangu. Namwambia mmoja, `Nenda!`
8 Matt 8 21 | kwanza niende nikamzike baba yangu."~
9 Matt 9 18 | akamwinamia na kusema, "Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini,
10 Matt 10 18 | watawala na wafalme kwa sababu yangu, mpate kutangaza Habari
11 Matt 10 32 | nitamkiri mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.~
12 Matt 10 33 | nitamkana mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.~
13 Matt 10 39 | anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata.~
14 Matt 11 27 | 27 "Baba yangu amenikabidhi vitu vyote.
15 Matt 11 29 | 29 Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana
16 Matt 12 18 | anipendezaye moyoni. Nitaiweka Roho yangu juu yake, naye atatangaza
17 Matt 12 18 | naye atatangaza hukumu yangu kwa mataifa yote.~
18 Matt 12 48 | akamjibu mtu huyo, "Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu
19 Matt 12 49 | akasema, "Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu!~
20 Matt 12 50 | anayefanya anavyotaka Baba yangu aliye mbinguni, huyo ndiye
21 Matt 12 50 | mbinguni, huyo ndiye ndugu yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
22 Matt 12 50 | ndiye ndugu yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
23 Matt 12 50 | yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
24 Matt 15 13 | akawajibu, "Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakuupanda,
25 Matt 15 22 | Daudi, nionee huruma! Binti yangu anasumbuliwa na pepo."~
26 Matt 16 17 | aliyekufunulia ukweli huu, ila Baba yangu aliye mbinguni.~
27 Matt 16 23 | akamwambia Petro, "Ondoka mbele yangu Shetani! Wewe ni kikwazo
28 Matt 16 26 | anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata. Je, mtu atafaidi
29 Matt 17 27 | Ichukue ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako."~ ~~ ~
30 Matt 18 10 | wako daima mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.*fh*~
31 Matt 18 19 | jambo lolote la kuomba, Baba yangu wa mbinguni atawafanyia
32 Matt 18 21 | akamwuliza, "Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara
33 Matt 18 35 | 35 Na baba yangu aliye mbinguni atawafanyieni
34 Matt 19 29 | au mashamba, kwa ajili yangu, atapokea mara mia zaidi,
35 Matt 20 15 | haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho
36 Matt 20 23 | au kushoto kwangu si kazi yangu kupanga; jambo hilo watapewa
37 Matt 20 23 | waliowekewa tayari na Baba yangu."~
38 Matt 21 13 | Maandiko Matakatifu: `Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala.`
39 Matt 22 4 | wale ~walioalikwa: karamu yangu iko tayari sasa; fahali
40 Matt 24 35 | zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.~
41 Matt 25 27 | Ilikupasa basi, kuiweka fedha yangu katika benki, nami ningelichukua
42 Matt 25 34 | enyi mliobarikiwa na Baba yangu; pokeeni Ufalme mliotayarishiwa
43 Matt 25 41 | kushoto, `Ondokeni mbele yangu enyi mliolaaniwa! Nendeni
44 Matt 26 28 | 28 maana hii ni damu yangu inayothibitisha agano,*fn*
45 Matt 26 29 | nanyi katika Ufalme wa Baba yangu."~
46 Matt 26 39 | kifudifudi, akasali: "Baba yangu, kama inawezekana, aacha
47 Matt 26 42 | mara ya pili akasali: "Baba yangu, kama haiwezekani kikombe*
48 Matt 26 53 | ningeweza kumwomba Baba yangu naye mara angeniletea zaidi
49 Mark 1 7 | alihubiri akisema, "Baada yangu anakuja mwenye uwezo zaidi
50 Mark 3 33 | 33 Yesu akawaambia, "Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?"~
51 Mark 3 34 | Tazameni! Hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.~
52 Mark 3 35 | anayotaka Mungu, huyo ndiye kaka yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
53 Mark 3 35 | huyo ndiye kaka yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
54 Mark 3 35 | yangu, dada yangu na mama yangu."~ ~~ ~
55 Mark 5 23 | akamsihi akisema, "Binti yangu mdogo ni mgonjwa karibu
56 Mark 5 30 | Nani aliyegusa mavazi yangu?"~
57 Mark 8 33 | Petro akisema, "Ondoka mbele yangu, Shetani! Fikira zako si
58 Mark 8 35 | atakayepoteza maisha yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya Habari Njema,
59 Mark 8 38 | aibu mimi na mafundisho yangu, Mwana wa Mtu atamwonea
60 Mark 9 24 | Naamini! Lakini imani yangu haitoshi, nisaidie!"~
61 Mark 9 39 | akaweza kusema mabaya juu yangu.~
62 Mark 10 29 | watoto au mashamba kwa ajili yangu na kwa ajili ya Habari Njema,~
63 Mark 11 17 | akawafundisha, "Imeandikwa: `Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa
64 Mark 13 9 | watawala na wafalme kwa sababu yangu ili mpate kunishuhudia kwao.~
65 Mark 13 31 | zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.~
66 Mark 14 24 | Akawaambia, "Hii ni damu yangu inayothibitisha agano la
67 Mark 14 36 | 36 Akasema, "Baba yangu, kwako mambo yote yanawezekana.
68 Luke 1 47 | wangu wamtukuza Bwana, roho yangu inafurahi kwa sababu ya
69 Luke 2 30 | 30 Maana kwa macho yangu nimeuona wokovu utokao kwako,~
70 Luke 2 49 | kuwa katika nyumba ya Baba yangu?"~
71 Luke 4 18 | 18 "Roho wa Bwana yu juu yangu, kwani amenipaka mafuta
72 Luke 5 8 | Yesu akisema, "Ondoka mbele yangu, ee Bwana, kwa kuwa mimi
73 Luke 6 47 | kwangu, akasikia maneno yangu na kuyatimiza:~
74 Luke 6 49 | yeyote anayesikia maneno yangu lakini asifanye chochote,
75 Luke 7 8 | mamlaka, na ninao askari chini yangu. Namwambia mmoja, `Nenda!`,
76 Luke 7 44 | hukunipa maji ya kunawa miguu yangu; lakini mwanamke huyu ameniosha
77 Luke 7 44 | mwanamke huyu ameniosha miguu yangu kwa machozi yake na kunipangusa
78 Luke 7 45 | hapa amekuwa akiibusu miguu yangu.~
79 Luke 7 46 | kwa kunipaka mafuta miguu yangu.~
80 Luke 8 21 | akawaambia watu wote, "Mama yangu na ndugu zangu ni wale wanaolisikia
81 Luke 9 24 | atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayaokoa.~
82 Luke 9 26 | aibu mimi na mafundisho yangu, Mwana wa Mtu atamwonea
83 Luke 9 59 | kwanza niende kumzika baba yangu."~
84 Luke 10 22 | 22 Kisha akasema, "Baba yangu ameweka yote mikononi mwangu.
85 Luke 10 29 | akamwuliza Yesu, "Na jirani yangu ni nani?"~
86 Luke 10 40 | hivi hujali kwamba dada yangu ameniacha nishughulike peke
87 Luke 10 40 | ameniacha nishughulike peke yangu? Mwambie basi, anisaidie."~
88 Luke 11 6 | 6 kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini
89 Luke 11 24 | Nitarudi kwenye makao yangu nilikotoka.`~
90 Luke 12 13 | Mwalimu, mwambie ndugu yangu tugawane urithi aliotuachia
91 Luke 12 17 | mahali pa kuhifadhia mavuno yangu?~
92 Luke 12 18 | humo nitahifadhi mavuno yangu yote na mali yangu.~
93 Luke 12 18 | mavuno yangu yote na mali yangu.~
94 Luke 12 19 | Hapo nitaweza kuiambia roho yangu: sasa unayo akiba ya matumizi
95 Luke 13 27 | mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.`~
96 Luke 13 32 | tatu nitakamilisha kazi yangu.`~
97 Luke 13 33 | lazima niendelee na safari yangu, kwa sababu si sawa nabii
98 Luke 14 23 | watu kuingia ili nyumba yangu ijae.~
99 Luke 14 24 | walioalikwa atakayeonja karamu yangu."`~
100 Luke 15 9 | sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.`~
101 Luke 15 17 | wafanyakazi wengi wa baba yangu wanaokula na kusaza, nami
102 Luke 15 18 | 18 Nitarudi kwa baba yangu na kumwambia: Baba, nimemkosea
103 Luke 16 2 | mapato na matumizi ya mali yangu, kwa maana huwezi kuwa karani
104 Luke 16 27 | aende nyumbani kwa baba yangu,~
105 Luke 19 8 | nitawapa maskini nusu ya mali yangu, na kama nimenyang`anya
106 Luke 19 22 | ambaye huchukua yasiyo yangu na kuchuma nisichopanda.~
107 Luke 19 23 | nini basi, hukuiweka fedha yangu benki, nami ningeichukua
108 Luke 19 27 | mkawaue papa hapa mbele yangu."`~
109 Luke 19 46 | akisema, "Imeandikwa: `Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala`;
110 Luke 21 33 | vitapita, lakini maneno yangu hayatapita.~
111 Luke 22 20 | linalothibitishwa kwa damu yangu inayomwagika kwa ajili yenu.*
112 Luke 22 28 | wakati wote wa majaribu yangu;~
113 Luke 22 29 | 29 na, kama vile Baba yangu alivyonikabidhi Ufalme,
114 Luke 22 42 | yako yatimizwe, wala siyo yangu."~
115 Luke 23 46 | kubwa: "Baba, naiweka roho yangu mikononi mwako." Alipokwisha
116 Luke 24 39 | Angalieni mikono na miguu yangu, ya kwamba ni mimi mwenyewe.
117 Luke 24 44 | kukamilisha yote yaliyoandikwa juu yangu katika Sheria ya Mose na
118 John 1 15 | Anakuja mtu mmoja baada yangu ambaye ni mkuu kuliko mimi,
119 John 1 27 | 27 Huyo anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili hata
120 John 1 30 | niliyesema juu yake: `Baada yangu anakuja mtu mmoja aliye
121 John 2 4 | usiniambie la kufanya. Saa yangu bado."~
122 John 2 16 | Msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa soko!"~
123 John 3 29 | arusi akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.~
124 John 5 18 | Yesu akawaambia, "Baba yangu anafanya kazi daima, nami
125 John 5 31 | kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si
126 John 5 31 | hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe,
127 John 5 33 | ambaye hutoa ushahidi juu yangu, nami najua kwamba yote
128 John 5 33 | kwamba yote anayosema juu yangu ni ya kweli.~
129 John 5 37 | Lakini mimi nina ushahidi juu yangu ambao ni mkuu zaidi kuliko
130 John 5 42 | 41 "Shabaha yangu si kupata sifa kutoka kwa
131 John 5 44 | nimekuja kwa mamlaka ya Baba yangu, lakini hamnipokei; bali
132 John 5 47 | maana Mose aliandika juu yangu.~
133 John 5 48 | mtawezaje basi, kuamini maneno yangu?"~ ~ ~~ ~
134 John 6 32 | mkate kutoka mbinguni; Baba yangu ndiye awapaye ninyi mkate
135 John 6 38 | ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya
136 John 6 40 | 40 Maana anachotaka Baba yangu ndicho hiki: kila amwonaye
137 John 6 54 | mwili wangu na kunywa damu yangu anao uzima wa milele nami
138 John 6 55 | chakula cha kweli, na damu yangu ni kinywaji cha kweli.~
139 John 6 56 | mwili wangu na kunywa damu yangu, akaa ndani yangu, nami
140 John 6 56 | kunywa damu yangu, akaa ndani yangu, nami nakaa ndani yake.~
141 John 6 57 | mimi ataishi pia kwa sababu yangu.~
142 John 6 65 | kwangu asipowezeshwa na Baba yangu."~
143 John 7 8 | sikukuu hiyo, maana saa yangu ifaayo haijafika."~
144 John 7 16 | Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma.~
145 John 7 17 | atajua kama mafundisho yangu yametoka kwa Mungu, au mimi
146 John 7 28 | hivyo, sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe; ila yeye aliyenituma
147 John 8 16 | Hata nikihukumu, hukumu yangu ni ya haki kwa sababu mimi
148 John 8 16 | kwa sababu mimi siko peke yangu; Baba aliyenituma yuko pamoja
149 John 8 19 | mngenijua mimi, mngemjua na Baba yangu pia."~
150 John 8 29 | nami; yeye hakuniacha peke yangu kwani nafanya daima yale
151 John 8 31 | mkiyazingatia mafundisho yangu mtakuwa kweli wanafunzi
152 John 8 37 | hamuyakubali mafundisho yangu.~
153 John 8 42 | hapa. Sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.~
154 John 8 49 | pepo; mimi namheshimu Baba yangu, lakini ninyi hamniheshimu.~
155 John 8 54 | utukufu wangu si kitu. Baba yangu ambaye ninyi mwasema ni
156 John 8 56 | alishangilia aione siku yangu; naye aliiona, akafurahi."~
157 John 9 30 | lakini amenifumbua macho yangu!~
158 John 10 8 | wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyang`anyi,
159 John 10 15 | Baba. Mimi nayatoa maisha yangu kwa ajili yao.~
160 John 10 16 | pia, nao wataisikia sauti yangu, na kutakuwako kundi moja
161 John 10 18 | mimi na nautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa
162 John 10 25 | ninazozifanya mimi kwa jina la Baba yangu zinanishuhudia.~
163 John 10 27 | Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, nao hunifuata.~
164 John 10 29 | 29 Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao
165 John 10 37 | Kama sifanyi kazi za Baba yangu msiniamini.~
166 John 10 38 | kutambua kwamba Baba yuko ndani yangu, nami niko ndani yake."~
167 John 11 21 | kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!~
168 John 11 32 | kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!"~
169 John 12 7 | ajili ya siku ya mazishi yangu.~
170 John 12 26 | yeyote anayenitumikia Baba yangu atampa heshima.~
171 John 12 27 | 27 "Sasa roho yangu imefadhaika, na niseme nini?
172 John 12 30 | hiyo haikutokea kwa ajili yangu mimi, ila kwa ajili yenu.~
173 John 12 47 | 47 Anayeyasikia maneno yangu lakini hayashiki mimi sitamhukumu;
174 John 12 48 | 48 Asiyeyashika maneno yangu anaye wa kumhukumu: neno
175 John 12 49 | Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba aliyenituma
176 John 13 9 | miguu tu, bali na mikono yangu na kichwa pia."~
177 John 13 38 | tayari kweli kufa kwa ajili yangu? Kweli nakwambia, kabla
178 John 14 2 | 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; la sivyo
179 John 14 7 | mnanijua mimi mnamjua na Baba yangu pia. Na tangu sasa, mnamjua,
180 John 14 10 | Baba, naye Baba yuko ndani yangu? Maneno ninayowaambieni
181 John 14 10 | nyote siyasemi kwa mamlaka yangu; Baba aliye ndani yangu
182 John 14 10 | yangu; Baba aliye ndani yangu anafanya kazi yake.~
183 John 14 11 | Baba naye Baba yuko ndani yangu. Ama sivyo, aminini kwa
184 John 14 20 | ya Baba, nanyi mko ndani yangu, nami ndani yenu.~
185 John 14 21 | anipendaye mimi atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda na kujidhihirisha
186 John 14 23 | atashika neno langu, na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja
187 John 14 24 | Asiyenipenda hashiki maneno yangu. Na neno mlilosikia si langu,
188 John 14 27 | Nawaachieni amani; nawapeni amani yangu. Siwapi ninyi kama vile
189 John 15 1 | mzabibu wa kweli, na Baba yangu ndiye mkulima.~
190 John 15 2 | 2 Yeye huliondoa ndani yangu kila tawi lisilozaa matunda,
191 John 15 4 | 4 Kaeni ndani yangu, nami nikae ndani yenu.
192 John 15 4 | kuzaa matunda msipokaa ndani yangu. ic~
193 John 15 5 | matawi yake. Akaaye ndani yangu, nami ndani yake, huyo atazaa
194 John 15 6 | Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi litupwalo
195 John 15 7 | 7 Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa
196 John 15 7 | Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, basi,
197 John 15 8 | 8 Baba yangu hutukuzwa kama mkizaa matunda
198 John 15 10 | nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.~
199 John 15 11 | Nimewaambieni mambo haya ili furaha yangu ikae ndani yenu, na furaha
200 John 15 12 | 12 Hii ndiyo amri yangu: pendaneni; pendaneni kama
201 John 15 15 | nimeyasikia kutoka kwa Baba yangu.~
202 John 15 17 | 17 Basi, amri yangu kwenu ndiyo hii: pendaneni.~
203 John 15 23 | mimi, anamchukia na Baba yangu pia.~
204 John 15 24 | mimi, wakamchukia na Baba yangu pia.~
205 John 16 32 | kwake, nami nitaachwa peke yangu. Kumbe, lakini mimi siko
206 John 16 32 | Kumbe, lakini mimi siko peke yangu, maana Baba yu pamoja nami.~
207 John 17 10 | nayo ni yako, na yako ni yangu; na utukufu wangu umeonekana
208 John 17 13 | kushiriki kikamilifu furaha yangu.~
209 John 17 21 | kama vile wewe ulivyo ndani yangu nami ndani yako. Naomba
210 John 17 23 | ndani yao, nawe uwe ndani yangu; naomba wakamilishwe na
211 John 19 11 | Hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa na Mungu.
212 John 19 24 | yasemayo: "Waligawana mavazi yangu, na nguo yangu wakaipigia
213 John 19 24 | Waligawana mavazi yangu, na nguo yangu wakaipigia kura." Basi,
214 John 20 17 | uwaambie: nakwenda juu kwa Baba yangu na Baba yenu, Mungu wangu
215 John 20 27 | chako hapa uitazame mikono yangu; lete mkono wako ukautie
216 Acts 1 7 | chini ya mamlaka ya Baba yangu, wala si shauri lenu kujua
217 Acts 2 14 | sikilizeni kwa makini maneno yangu.~
218 Acts 2 25 | Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande
219 Acts 2 27 | kwa kuwa hutaiacha roho yangu katika kuzimu, wala kumruhusu
220 Acts 7 59 | Bwana Yesu, ipokee roho yangu!"~
221 Acts 10 30 | kun`gaa alisimama mbele yangu,~
222 Acts 11 5 | zake nne, likawekwa kando yangu.~
223 Acts 13 25 | mnayemtazamia. Huyo anakuja baada yangu na mimi sistahili hata kuzifungua
224 Acts 17 23 | ni kwamba katika pitapita yangu niliangalia sanamu zenu
225 Acts 20 34 | nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia
226 Acts 20 34 | ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu.~
227 Acts 22 18 | hawataukubali ushuhuda wako juu yangu.`~
228 Acts 24 13 | kuthibitisha mashtaka waliyotoa juu yangu.~
229 Acts 24 19 | chochote cha kusema dhidi yangu.~
230 Acts 25 9 | na huko ukahukumiwe mbele yangu kuhusu mashtaka haya?"~
231 Acts 26 2 | Wayahudi walikuwa wamesema juu yangu.~
232 Acts 26 4 | wanajua habari za maisha yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi
233 Acts 26 11 | waikane imani yao. Hasira yangu kwao ilikuwa kubwa hata
234 Roma 1 12 | yenu itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha ninyi.~
235 Roma 7 8 | aina ya tamaa mbaya ndani yangu. Maana, bila Sheria dhambi
236 Roma 7 16 | ninatenda kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba
237 Roma 7 17 | bali ile dhambi iliyo ndani yangu.~
238 Roma 7 18 | hamna jema lolote ndani yangu mimi, kadiri ya ubinadamu
239 Roma 7 20 | ninafanya kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba
240 Roma 7 20 | ni ile dhambi iliyo ndani yangu.~
241 Roma 7 23 | ile inayokubaliwa na akili yangu. Hiyo inanifanya niwe mtumwa
242 Roma 7 25 | Kristo! Hii basi, ndiyo hali yangu: mimi binafsi, kwa akili
243 Roma 7 25 | mimi binafsi, kwa akili yangu, ninaitumikia sheria ya
244 Roma 9 1 | nami sisemi uongo. Dhamiri yangu ikiongozwa na Roho Mtakatifu
245 Roma 10 21 | kutwa niliwanyoshea mikono yangu watu waasi na wasiotii."~ ~ ~~ ~
246 Roma 11 3 | madhabahu yako. Ni mimi tu peke yangu niliyebaki, nao wanataka
247 Roma 11 13 | mengine, ninajivunia huduma yangu,~
248 Roma 15 17 | naweza kujivunia huduma yangu kwa ajili ya Mungu.~
249 Roma 15 20 | 20 Nia yangu imekuwa daima kuihubiri
250 Roma 15 23 | maadam sasa nimemaliza kazi yangu pande hizi, na kwa kuwa
251 Roma 15 31 | walioko Uyahudi, nayo huduma yangu huko Yerusalem ipate kukubaliwa
252 Roma 16 4 | walihatarisha maisha yao kwa ajili yangu. Wanastahili shukrani; si
253 Roma 16 5 | Salamu zangu zimfikie rafiki yangu Epaineto ambaye ni kwa kwanza
254 Roma 16 7 | walikuwa Wakristo kabla yangu mimi.~
255 Roma 16 8 | zangu kwa Ampliato, rafiki yangu katika kuungana na Bwana.~
256 Roma 16 9 | salamu zangu pia kwa rafiki yangu Staku.~
257 Roma 16 12 | utumishi wa Bwana, na rafiki yangu Persi ambaye amefanya mengi
258 Roma 16 13 | mama yake ambaye ni mama yangu pia.~
259 Roma 16 19 | mmekuwa sababu ya furaha yangu. Nawatakeni muwe na hekima
260 1Cor 2 4 | Hotuba zangu na mahubiri yangu sikuyatoa kwa maneno ya
261 1Cor 4 4 | 4 Dhamiri yangu hainishtaki kwa jambo lolote,
262 1Cor 4 6 | niliyosema juu ya Apolo na juu yangu, ni kielelezo kwenu: kutokana
263 1Cor 5 9 | Niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.~
264 1Cor 7 10 | waliooa ninayo amri, tena si yangu, ila ni ya Bwana: mke asiachane
265 1Cor 7 25 | Bwana; lakini natoa maoni yangu mimi ambaye kwa huruma yake
266 1Cor 7 40 | hivyo alivyo. Hayo ni maoni yangu, na nafikiri mimi pia ninaye
267 1Cor 8 13 | husababisha kuanguka kwa ndugu yangu, sitakula nyama kamwe, nisije
268 1Cor 8 13 | nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi.~ ~~ ~
269 1Cor 9 1 | ninyi si matokeo ya kazi yangu kwa ajili ya Bwana?~
270 1Cor 9 3 | 3 Hoja yangu kwa wale wanaonipinga ndiyo
271 1Cor 10 33 | njia, bila kutafuta faida yangu mwenyewe ila faida ya wote,
272 1Cor 11 25 | linalothibitishwa kwa damu yangu. Fanyeni hivi, kila mnapokunywa,
273 1Cor 13 3 | 3 Nikitoa mali yangu yote na kuwapa maskini,
274 1Cor 14 14 | nikisali kwa lugha ngeni roho yangu ndiyo inayosali, lakini
275 1Cor 14 14 | inayosali, lakini akili yangu hubaki bure.~
276 1Cor 14 15 | basi? Nitasali kwa roho yangu, nitasali pia kwa akili
277 1Cor 14 15 | nitasali pia kwa akili yangu; nitaimba kwa roho yangu,
278 1Cor 14 15 | yangu; nitaimba kwa roho yangu, nitaimba pia kwa akili
279 1Cor 14 15 | nitaimba pia kwa akili yangu.~
280 1Cor 16 6 | kunisaidia niendelee na safari yangu kokote nitakakokwenda.~
281 1Cor 16 9 | kabisa kwa ajili ya kazi yangu muhimu hapa, ingawa wapinzani
282 1Cor 16 18 | 18 Wameiburudisha roho yangu na yenu pia. Kwa hiyo inafaa
283 1Cor 16 24 | 24 Mapendo yangu yawe kwenu katika kuungana
284 2Cor 1 16 | nipate msaada wenu kwa safari yangu kwenda Yudea.~
285 2Cor 2 3 | ndio mngepaswa kuwa furaha yangu. Nina hakika kwamba, mimi
286 2Cor 2 9 | 9 Madhumuni yangu kuandika ile barua yalikuwa
287 2Cor 6 16 | alivyosema: "Nitafanya makao yangu kwao, na kuishi kati yao;
288 2Cor 7 8 | hata kama kwa barua ile yangu nimewahuzunisha, sioni sababu
289 2Cor 11 8 | kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa
290 2Cor 11 10 | ukweli wa Kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza
291 2Cor 12 5 | wa namna hiyo, na si juu yangu mimi binafsi, isipokuwa
292 2Cor 12 9 | Lakini akaniambia: "Neema yangu inatosha kwa ajili yako;
293 2Cor 12 9 | uwezo wake Kristo ukae juu yangu.~
294 2Cor 13 1 | 1 Hii ni mara yangu ya tatu kuja kwenu. "Kila
295 2Cor 13 3 | kwamba Kristo anasema ndani yangu. Kwenu Kristo si dhaifu;
296 2Cor 13 11 | ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni
297 Gala 1 17 | waliopata kuwa mitume kabla yangu, nilikwenda kwanza Arabia,
298 Gala 1 24 | wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.~ ~~ ~
299 Gala 2 2 | Nilifanya hivyo kusudi kazi yangu niliyokuwa nimefanya, na
300 Gala 2 20 | bali Kristo anaishi ndani yangu. Maisha haya ninayoishi
301 Gala 2 20 | akayatoa maisha yake kwa ajili yangu.~
302 Gala 5 11 | ingalikuwa hivyo, mahubiri yangu juu ya msalaba wa Kristo
303 Ephe 3 4 | 4 nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa
304 Colo 1 24 | ajili yenu, maana kwa mateso yangu hapa duniani, nasaidia kukamilisha
305 Colo 1 29 | Kristo ifanyayo kazi ndani yangu.~ ~~ ~
306 1Tim 1 12 | nguvu kwa ajili ya kazi yangu. Namshukuru kwa kuniona
307 2Tim 1 6 | wakati nilipokuwekea mikono yangu. ~
308 2Tim 1 8 | wala usione haya kwa sababu yangu mimi niliye mfungwa kwa
309 2Tim 3 10 | lakini, umeyafuata mafundisho yangu, mwenendo wangu, makusudi
310 2Tim 3 10 | mwenendo wangu, makusudi yangu katika maisha, imani yangu,
311 2Tim 3 10 | yangu katika maisha, imani yangu, uvumilivu wangu, upendo
312 2Tim 3 10 | wangu, upendo wangu, subira yangu,~
313 2Tim 3 11 | 11 udhalimu na mateso yangu. Unayajua mambo yaliyonipata
314 2Tim 4 11 | ataweza kunisaidia katika kazi yangu.~
315 Titus 1 5 | kila mji. Kumbuka maagizo yangu:~
316 Phil 1 20 | 20 Haya, basi, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa
317 Hebr 3 9 | walikuwa wameyaona matendo yangu kwa miaka arobaini.~
318 Hebr 10 7 | yako kama ilivyoandikwa juu yangu katika kitabu cha Sheria."`~
319 James 2 18| nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu.~
320 James 2 18| imani yangu kwa matendo yangu.~
321 1Pet 5 1 | mwenyewe nilishuhudia kwa macho yangu mateso ya Kristo na natumaini
322 3Joh 1 1 | nakuandikia wewe Gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli.~
323 Rev 1 10 | na Roho, nikasikia nyuma yangu sauti kubwa kama sauti ya
324 Rev 1 17 | mkono wake wa kulia juu yangu, akasema, "Usiogope! Mimi
325 Rev 3 5 | kwamba ni wangu mbele ya Baba yangu na mbele ya malaika wake.~
326 Rev 3 20 | hodi. Mtu akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia
327 Rev 3 21 | nikaketi pamoja na Baba yangu juu ya kiti chake cha enzi.~
|