Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
ambao 182
ambapo 56
ambavyo 9
ambaye 303
ambayo 114
ambazo 17
ambo 20
Frequency    [«  »]
308 nao
308 wao
307 tu
303 ambaye
302 sheria
292 1
287 2

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ambaye

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 3 | 3 Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii Isaya alinena juu 2 Matt 7 9 | kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, 3 Matt 10 4 | Mkanaani, na Yuda Iskarioti ambaye alimsaliti Yesu.~ 4 Matt 11 14 | basi, Yohane ndiye Eliya ambaye angekuja.~ 5 Matt 11 27 | ila Mwana, na yeyote yule ambaye Mwana atapenda kumjulisha.~ 6 Matt 12 11 | mmoja wenu ana kondoo wake ambaye ametumbukia shimoni; je, 7 Matt 12 22 | wakamletea Yesu kipofu mmoja ambaye alikuwa bubu kwa sababu 8 Matt 20 1 | mwenye shamba la mizabibu, ambaye alitoka asubuhi na mapema 9 Matt 22 11 | wageni, akamwona mtu mmoja ambaye ~hakuvaa mavazi ya arusi. ~ 10 Matt 23 35 | tangu kuuawa kwa Abeli ambaye hakuwa na ~hatia, mpaka 11 Matt 23 35 | Zakariya, mwana wa Barakia, ambaye mlimuua ~Hekaluni kati ya 12 Matt 24 22 | hakuna binadamu yeyote ambaye angeokoka; lakini siku hizo 13 Matt 24 45 | mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu 14 Matt 24 46 | 46 Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta 15 Matt 26 25 | 25 Yuda, ambaye ndiye aliyetaka kumsaliti, 16 Matt 27 3 | 3 Hapo, Yuda ambaye ndiye aliyemsaliti, alipoona 17 Matt 27 9 | za fedha, thamani ya yule ambaye watu wa Israeli walipanga 18 Mark 1 7 | uwezo zaidi kuliko mimi, ambaye mimi sistahili hata kuinama 19 Mark 3 16 | walioteuliwa ndio hawa: Simoni (ambaye Yesu alimpa jina, Petro),~ 20 Mark 3 19 | 19 Yuda Iskarioti ambaye alimsaliti Yesu.~ 21 Mark 6 17 | hivyo kwa sababu ya Herodia ambaye Herode alimwoa ingawaje 22 Mark 7 25 | 25 Mwanamke mmoja ambaye binti yake alikuwa na pepo, 23 Mark 11 2 | mtakuta mwana punda amefungwa ambaye bado hajatumiwa na mtu. 24 Mark 13 20 | siku hizo, hakuna binadamu ambaye angeokolewa. Lakini kwa 25 Mark 15 7 | mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja 26 Mark 16 9 | kwanza kwa Maria Magdalene, ambaye Yesu alikuwa amemtoa pepo 27 Luke 1 36 | mwezi wa sita kwake yeye ambaye watu walimfahamu kuwa tasa.~ 28 Luke 2 5 | pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mja mzito.~ 29 Luke 3 16 | uwezo zaidi kuliko mimi ambaye sistahili hata kumfungulia 30 Luke 5 39 | 39 Wala hakuna mtu ambaye hutamani kunywa divai mpya 31 Luke 6 6 | Mle ndani mlikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa 32 Luke 6 14 | 14 Simoni (ambaye Yesu alimpa jina Petro) 33 Luke 6 16 | Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.~ 34 Luke 6 48 | na mtu ajengaye nyumba, ambaye amechimba chini na kuweka 35 Luke 7 2 | na jemadari mmoja Mroma ambaye alikuwa na mtumishi wake 36 Luke 7 23 | 23 Heri mtu yule ambaye hana mashaka nami!"~ 37 Luke 8 2 | Maria (aitwaye Magdalene), ambaye alitolewa pepo wabaya saba;~ 38 Luke 8 43 | kati ya lile kundi la watu, ambaye alikuwa na ugonjwa wa kutokwa 39 Luke 9 19 | mmoja wa manabii wa kale ambaye amefufuka."~ 40 Luke 10 22 | ila Mwana, na yeyote yule ambaye Mwana anataka kumfunulia 41 Luke 11 51 | mpaka kifo cha Zakariya ambaye walimuua kati ya madhabahu 42 Luke 12 5 | 5 Nitawaonyesheni yule ambaye ni lazima kumwogopa: mwogopeni 43 Luke 12 5 | kumwogopa: mwogopeni yule ambaye baada ya kuua ana uwezo 44 Luke 12 16 | Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba lake lilizaa mavuno 45 Luke 12 42 | mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu 46 Luke 12 47 | 47 Mtumishi ambaye anajua matakwa ya bwana 47 Luke 13 16 | hapa yupo binti wa Abrahamu ambaye Shetani alimfanya kilema 48 Luke 14 5 | akawaambia, "Ni nani kati yenu ambaye mtoto wake au ng`ombe wake 49 Luke 14 28 | ni nani miongoni mwenu ambaye akitaka kujenga mnara hataketi 50 Luke 14 31 | 31 "Au, ni mfalme gani ambaye, akitaka kwenda kupigana 51 Luke 16 19 | Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya 52 Luke 17 7 | mmoja wenu ana mtumishi ambaye analima shambani au anachunga 53 Luke 18 2 | mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala 54 Luke 18 3 | pia na mama mmoja mjane, ambaye alimwendea huyo hakimu mara 55 Luke 19 2 | mjini, jina lake Zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watoza ushuru 56 Luke 19 21 | ni mtu mkali. Wewe ni mtu ambaye huchukua yasiyo yako, na 57 Luke 19 22 | kwamba mimi ni mtu mkali, ambaye huchukua yasiyo yangu na 58 Luke 19 30 | mtamkuta mwana punda amefungwa ambaye hajatumiwa na mtu. Mfungeni, 59 Luke 23 7 | akampeleka kwa Herode, ambaye wakati huo alikuwa Yerusalemu.~ 60 Luke 23 25 | gerezani yule waliyemtaka, ambaye alikuwa ametiwa gerezani 61 Luke 24 18 | mgeni peke yako Yerusalemu ambaye hujui yaliyotukia huko siku 62 Luke 24 49 | mwenyewe nitawapelekeeni yule ambaye Baba aliahidi kumtuma, lakini 63 John 1 7 | 7 ambaye alikuja kuwaambia watu juu 64 John 1 15 | Anakuja mtu mmoja baada yangu ambaye ni mkuu kuliko mimi, maana 65 John 1 18 | pekee aliye sawa na Mungu ambaye ameungana na Baba, ndiye 66 John 1 23 | akawajibu, "Mimi ndiye yule ambaye nabii Isaya alisema habari 67 John 1 45 | akamwambia, "Tumemwona yule ambaye Mose aliandika juu yake 68 John 1 45 | katika kitabu cha Sheria, na ambaye manabii waliandika habari 69 John 3 13 | mbinguni isipokuwa Mwana wa Mtu ambaye ameshuka kutoka mbinguni.~ 70 John 3 26 | nawe ng`ambo ya Yordani na ambaye wewe ulimshuhudia, sasa 71 John 5 24 | Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba ambaye amemtuma.~ 72 John 5 33 | 32 Lakini yuko mwingine ambaye hutoa ushahidi juu yangu, 73 John 5 46 | nitawashtaki kwa Baba. Mose ambaye ninyi mmemtumainia ndiye 74 John 6 27 | wa milele. Mwana wa Mtu ambaye Baba amemthibitisha atawapeni 75 John 7 39 | Alisema hayo kumhusu Roho ambaye wale waliomwamini yeye watampokea. 76 John 7 50 | Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea 77 John 8 53 | kuliko baba yetu Abrahamu ambaye alikufa? Hata na manabii 78 John 8 54 | wangu si kitu. Baba yangu ambaye ninyi mwasema ni Baba yenu, 79 John 9 19 | Je, huyu ndiye mtoto wenu ambaye ninyi mwasema alizaliwa 80 John 10 12 | 12 Mtu wa kuajiriwa ambaye si mchungaji, na wala kondoo 81 John 10 29 | 29 Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu 82 John 10 36 | 36 Je, yeye ambaye Baba alimweka wakfu na kumtuma 83 John 11 49 | mmoja wao aitwaye Kayafa, ambaye alikuwa Kuhani Mkuu mwaka 84 John 12 1 | Bethania alikoishi Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua kutoka 85 John 12 4 | mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, 86 John 12 9 | pia wapate kumwona Lazaro ambaye Yesu alimfufua kutoka wafu.~ 87 John 13 11 | 11 Yesu alimjua yule ambaye atamsaliti, ndiyo maana 88 John 13 23 | 23 Mmoja wa wanafunzi, ambaye Yesu alikuwa anampenda sana, 89 John 14 26 | Msaidizi, Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, 90 John 18 13 | alikuwa baba mkwe wa Kayafa ambaye alikuwa Kuhani Mkuu mwaka 91 John 19 39 | 39 Naye Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea 92 John 20 2 | yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, akawaambia, " 93 John 21 20 | akamwona yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda, anafuata ( 94 John 21 20 | Huyu mwanafunzi ndiye yule ambaye wakati wa chakula cha jioni, 95 Acts 1 11 | mkitazama angani? Yesu huyu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu 96 Acts 1 16 | alibashiri habari za Yuda ambaye aliwaongoza wale waliomtia 97 Acts 2 22 | wa Nazareti alikuwa mtu ambaye mamlaka yake ya kimungu 98 Acts 2 36 | mliyemsulubisha ninyi, ndiye huyo ambaye Mungu amemfanya kuwa Bwana 99 Acts 2 39 | na kwa ajili ya kila mtu ambaye Bwana Mungu wetu atamwita 100 Acts 3 15 | 15 Basi, mlimuua yule ambaye ni chanzo cha uzima. Lakini 101 Acts 3 20 | kuwaletea yule Kristo aliyemteua ambaye ndiye Yesu.~ 102 Acts 3 23 | 23 Yeyote yule ambaye hatamsikiliza nabii huyo 103 Acts 4 10 | jina lake Yesu wa Nazareti ambaye ninyi mlimsulubisha, lakini 104 Acts 4 11 | 11 Huyu ndiye ambaye Maandiko Matakatifu yanasema: ` 105 Acts 4 12 | hawakupewa jina la mtu mwingine ambaye sisi tunaweza kuokolewa 106 Acts 4 27 | Mtumishi wako Mtakatifu ambaye umemtia mafuta.~ 107 Acts 4 36 | Kupro, jina lake Yosefu, ambaye mitume walimwita jina Barnaba ( 108 Acts 5 13 | 13 Mtu yeyote mwingine ambaye hakuwa mwamini hakuthubutu 109 Acts 5 32 | hilo, naye Roho Mtakatifu ambaye Mungu amewapa wale wanaomtii, 110 Acts 5 34 | mmoja aitwaye Gamalieli ambaye alikuwa mwalimu wa Sheria 111 Acts 6 5 | Parmena na Nikolao wa Antiokia ambaye hapo awali alikuwa ameongokea 112 Acts 7 18 | 18 Mwishowe, mfalme mmoja ambaye hakumtambua Yosefu alianza 113 Acts 7 52 | 52 Je, yuko nabii yeyote ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua 114 Acts 8 9 | mtu mmoja aitwaye Simoni ambaye alikuwa amekwisha fanya 115 Acts 8 27 | Mwethiopia mmoja, towashi, ambaye alikuwa anasafiri kuelekea 116 Acts 9 5 | sauti ikajibu, "Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.~ 117 Acts 9 17 | akasema, "Ndugu Saulo, Bwana ambaye ndiye Yesu mwenyewe aliyekutokea 118 Acts 9 33 | alimkuta mtu mmoja aitwaye Enea ambaye kwa muda wa miaka minane 119 Acts 10 6 | Simoni mtengenezaji wa ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na 120 Acts 10 7 | na mmoja wa askari zake ambaye alikuwa mcha Mungu,~ 121 Acts 10 22 | wakamjibu, "Jemadari Kornelio ambaye ni mtu mwema, mcha Mungu 122 Acts 10 36 | kwa njia ya Yesu Kristo ambaye ni Bwana wa wote.~ 123 Acts 13 1 | Lukio wa Kurene, Manaeni ambaye alikuwa amelelewa pamoja 124 Acts 13 6 | Myahudi aitwaye Baryesu ambaye alijisingizia kuwa nabii.~ 125 Acts 13 7 | Paulo, mkuu wa kile kisiwa, ambaye alikuwa mtu mwelewa sana. 126 Acts 13 9 | 9 Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa 127 Acts 13 22 | anayepatana na moyo wangu; mtu ambaye atatimiza yale yote ninayotaka 128 Acts 13 37 | 37 Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu 129 Acts 14 8 | na mtu mmoja huko Lustra ambaye alikuwa amelemaa miguu tangu 130 Acts 14 23 | chini ya ulinzi wa Bwana ambaye walikuwa wanamwamini.~ 131 Acts 15 38 | hakupendelea kumchukua Marko, ambaye awali aliwaacha kule Pamfulia 132 Acts 16 1 | aitwaye Timotheo. Mama yake ambaye pia alikuwa mfuasi, alikuwa 133 Acts 16 14 | Ludia mwenyeji wa Thuatira, ambaye alikuwa mfanyabiashara ya 134 Acts 17 3 | wafu. Akawaambia, "Yesu ambaye mimi namhubiri kwenu ndiye 135 Acts 18 17 | wote wakamkamata Sosthene ambaye alikuwa kiongozi wa sunagogi, 136 Acts 19 4 | aliwaambia watu wamwamini yule ambaye alikuwa anakuja baada yake, 137 Acts 19 13 | Ninawaamuru kwa jina la Yesu ambaye Paulo anamhubiri."~ 138 Acts 19 24 | mmoja aitwaye Demetrio, ambaye alikuwa na kazi ya kutengeneza 139 Acts 19 27 | Hatimaye sifa zake huyo ambaye Asia na dunia yote inamwabudu, 140 Acts 21 16 | wakatupeleka nyumbani kwa Mnasoni ambaye tulikuwa tunakwenda kukaa 141 Acts 21 38 | Kwani wewe si yule Mmisri ambaye hivi majuzi alianzisha uasi 142 Acts 22 8 | Mimi ni Yesu wa Nazareti ambaye wewe unamtesa.`~ 143 Acts 24 22 | 22 Hapo, Felisi, ambaye mwenyewe alikuwa anaifahamu 144 Acts 24 24 | pamoja na mkewe Drusila ambaye alikuwa Myahudi. Aliamuru 145 Acts 25 14 | Paulo: "Kuna mtu mmoja hapa ambaye Felisi alimwacha kizuizini.~ 146 Acts 25 19 | kuhusu mtu mmoja aitwaye Yesu ambaye alikufa, lakini Paulo anashikilia 147 Acts 25 24 | Hapa mbele yenu yuko mtu ambaye jumuiya yote ya Wayahudi 148 Acts 26 15 | Bwana akajibu: `Mimi ni Yesu ambaye wewe unamtesa.~ 149 Acts 27 23 | usiku malaika wa yule Mungu ambaye mimi ni wake na ambaye mimi 150 Acts 27 23 | Mungu ambaye mimi ni wake na ambaye mimi ninamwabudu alinitokea,~ 151 Roma 1 3 | Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye mintarafu ubinadamu wake, 152 Roma 1 9 | 9 Mungu, ambaye ninamtumikia kwa moyo wangu 153 Roma 1 23 | zilizo mfano wa binadamu ambaye hufa, mfano wa wanyama, 154 Roma 1 25 | badala ya Muumba mwenyewe, ambaye ndiye astahiliye sifa milele! 155 Roma 2 26 | Kama mtu wa mataifa mengine ambaye hakutahiriwa akitimiza matakwa 156 Roma 2 29 | Myahudi kwa ndani, yaani yule ambaye ametahiriwa moyoni. Hili 157 Roma 4 5 | mwenyewe, bali anamwamini Mungu ambaye huwasamehe waovu, basi, 158 Roma 4 6 | hivi juu ya furaha ya mtu ambaye Mungu amemkubali kuwa mwadilifu 159 Roma 4 8 | 8 Heri mtu yule ambaye Bwana hataziweka dhambi 160 Roma 4 17 | ni kweli mbele ya Mungu ambaye Abrahamu alimwamini - Mungu 161 Roma 4 17 | Abrahamu alimwamini - Mungu ambaye huwapa wafu uzima, na kwa 162 Roma 5 11 | ya Bwana wetu Yesu Kristo ambaye ametupatanisha na Mungu.~ 163 Roma 5 14 | alikuwa kielelezo cha yule ambaye atakuja baadaye.~ 164 Roma 10 14 | Basi, watamwombaje yeye ambaye hawamwamini? Tena, watamwaminije 165 Roma 14 2 | kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula 166 Roma 14 3 | 3 Mtu ambaye hula kila kitu asimdharau 167 Roma 14 3 | kila kitu asimdharau yule ambaye hawezi kula kila kitu; naye 168 Roma 14 3 | hawezi kula kila kitu; naye ambaye hula tu mboga za majani 169 Roma 14 15 | kupotea kwa mtu mwingine ambaye Kristo alikufa kwa ajili 170 Roma 14 22 | Mungu wako. Heri mtu yule ambaye, katika kujiamulia la kufanya, 171 Roma 16 1 | kumjulisha kwenu dada yetu Foibe ambaye ni mtumishi katika kanisa 172 Roma 16 5 | zimfikie rafiki yangu Epaineto ambaye ni kwa kwanza katika mkoa 173 Roma 16 6 | 6 Nisalimieni Maria ambaye amefanya kazi kwa bidii 174 Roma 16 10 | 10 Nisalimieni Apele ambaye uaminifu wake kwa Kristo 175 Roma 16 12 | Bwana, na rafiki yangu Persi ambaye amefanya mengi kwa ajili 176 Roma 16 13 | kazi ya Bwana, na mama yake ambaye ni mama yangu pia.~ 177 1Cor 6 19 | Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka kwa Mungu? 178 1Cor 7 25 | lakini natoa maoni yangu mimi ambaye kwa huruma yake Bwana nastahili 179 1Cor 8 6 | Baba, Muumba wa vyote, ambaye kwa ajili yake sisi tuko. 180 1Cor 8 6 | Bwana mmoja tu, Yesu Kristo, ambaye kwa njia yake vitu vyote 181 1Cor 8 10 | 10 Maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, 182 1Cor 8 11 | huyo ndugu yako dhaifu ambaye Kristo alikufa kwa ajili 183 1Cor 10 27 | 27 Kama mtu ambaye si muumini akiwaalikeni 184 1Cor 12 11 | za Roho huyohuyo mmoja, ambaye humpa kila mtu kipaji tofauti, 185 2Cor 1 19 | Kristo Yesu, Mwana wa Mungu, ambaye mimi, Silwano na Timotheo, 186 2Cor 3 13 | Sisi hatufanyi kama Mose ambaye alilazimika kuufunika uso 187 2Cor 4 4 | Njema ya utukufu wa Kristo, ambaye ni mfano kamili wa Mungu.~ 188 2Cor 4 6 | 6 Mungu ambaye alisema, "Mwanga na uangaze 189 2Cor 8 18 | naye, tunamtuma ndugu mmoja ambaye sifa zake katika kueneza 190 2Cor 8 22 | tumemtuma ndugu yetu mwingine ambaye mara nyingi tumempa majaribio 191 2Cor 10 1 | 1 Mimi Paulo mwenyewe ambaye naonekana kuwa mpole nikiwa 192 2Cor 11 2 | niliyemposa kwa mwanamume mmoja tu ambaye ndiye Kristo.~ 193 2Cor 12 2 | Namjua mtu mmoja Mkristo, ambaye miaka kumi na minne iliyopita 194 Gala 2 3 | Lakini, hata mwenzangu Tito, ambaye ni Mgiriki, hakulazimika 195 Gala 3 14 | imani, tumpokee yule Roho ambaye Mungu alituahidia.~ 196 Gala 4 6 | Mwanae mioyoni mwenu, Roho ambaye hulia "Aba," yaani "Baba."~ 197 Gala 5 8 | Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni.~ 198 Ephe 3 20 | 20 Kwake yeye ambaye kwa nguvu yake ifanyayo 199 Ephe 4 6 | Mungu mmoja na Baba wa wote, ambaye yuko juu ya wote, afanya 200 Ephe 4 15 | jambo kulingana na Kristo ambaye ndiye kichwa;~ 201 Colo 1 7 | Epafra, mtumishi mwenzetu, ambaye ni mfanyakazi mwaminifu 202 Colo 1 14 | 14 ambaye kwa njia yake tunakombolewa, 203 Colo 2 12 | yenu katika nguvu ya Mungu ambaye alimfufua Kristo kutoka 204 Colo 2 18 | sababu ya maono ya pekee na ambaye anasisitiza juu ya unyenyekevu 205 Colo 4 9 | yetu mpenzi na mwaminifu, ambaye ni mwananchi mwenzenu. Watawapeni 206 Colo 4 10 | 10 Aristarko, ambaye yuko kifungoni pamoja nami, 207 1The 1 10 | ashuke kutoka mbinguni, Yesu, ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu, 208 1The 1 10 | alimfufua kutoka wafu, na ambaye anatuokoa katika ghadhabu 209 1The 2 4 | twataka kumpendeza Mungu ambaye anajua mioyo yetu mpaka 210 1The 2 12 | maisha yampendezayo Mungu ambaye aliwaiteni mshiriki Utawala 211 1The 3 2 | kwenu ndugu yetu Timotheo, ambaye ni mfanyakazi mwenzetu kwa 212 1The 5 10 | 10 ambaye alikufa kwa ajili yetu, 213 2The 2 3 | utokee na yule Mwovu aonekane ambaye mwisho wake ni kuangamizwa 214 2The 2 16 | mwenyewe na Mungu Baba yetu ambaye alitupenda, na kwa neema 215 2The 3 14 | Huenda kwamba huko kuna mtu ambaye hatautii huu ujumbe tunaowapelekeeni 216 1Tim 2 4 | 4 ambaye anataka watu wote waokolewe 217 1Tim 2 6 | 6 ambaye alijitoa mwenyewe kuwakomboa 218 1Tim 3 6 | 6 Mtu ambaye hajakomaa bado katika imani 219 1Tim 4 10 | tumaini letu Mungu aliye hai ambaye ni Mwokozi wa watu wote, 220 1Tim 5 6 | 6 Lakini mwanamke ambaye huishi maisha ya anasa, 221 1Tim 5 9 | ya wajane, mjane yeyote ambaye hajatimiza miaka sitini. 222 1Tim 6 3 | kinyume cha mambo haya, na ambaye hakubaliani na maneno ya 223 1Tim 6 17 | bali wamtegemee Mungu, ambaye kwa ukarimu hutupatia vitu 224 2Tim 1 1 | 1 Mimi Paulo, ambaye Mungu alitaka niwe mtume 225 2Tim 1 3 | 3 Ninamshukuru Mungu ambaye ninamtumikia kwa dhamiri 226 2Tim 2 6 | 6 Mkulima ambaye amefanya kazi ngumu anastahili 227 2Tim 2 15 | ya Mungu kama mfanyakazi ambaye haoni haya juu ya kazi yake, 228 2Tim 2 15 | haya juu ya kazi yake, na ambaye hufundisha sawa ule ujumbe 229 2Tim 2 25 | 25 ambaye ni mpole anapowaonya wapinzani 230 Titus 1 2 | kupata uzima wa milele. Mungu ambaye hasemi uongo, alituahidia 231 Titus 1 12| Hata mmoja wa manabii wao, ambaye naye pia ni Mkrete, alisema: " 232 Phil 1 10 | kuhusu mwanangu Onesimo, ambaye ni mwanangu katika Kristo 233 Phil 1 11 | 11 Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai 234 Hebr 1 2 | njia ya Mwanae. Yeye ndiye ambaye kwa njia yake Mungu aliumba 235 Hebr 2 2 | kuwa kweli, hata mtu yeyote ambaye hakuufuata au hakuutii aliadhibiwa 236 Hebr 2 9 | 9 Lakini twamwona Yesu ambaye alifanywa kwa kitambo kidogo 237 Hebr 2 10 | haki tupu kwamba Mungu, ambaye huumba na kutegemeza vitu 238 Hebr 2 14 | chake amwangamize Ibilisi, ambaye ana mamlaka juu ya kifo,~ 239 Hebr 3 1 | Mungu, fikirini juu ya Yesu ambaye Mungu alimtuma awe Kuhani 240 Hebr 4 15 | Kuhani Mkuu wetu si mmoja ambaye hawezi kutuunga mkono katika 241 Hebr 4 15 | wetu, ila ni Kuhani Mkuu ambaye alijaribiwa kama sisi kwa 242 Hebr 5 7 | alisali na kumwomba Mungu ambaye alikuwa na uwezo wa kumwokoa 243 Hebr 6 13 | aliye mkuu kuliko Mungu ambaye kwa huyo angeweza kuapa.~ 244 Hebr 7 6 | Abrahamu; tena akambariki yeye ambaye alikuwa amepewa ahadi ya 245 Hebr 7 9 | sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye watoto wake hupokea sehemu 246 Hebr 7 13 | 13 Naye Bwana wetu ambaye mambo hayo yote yanasemwa 247 Hebr 7 26 | Yesu ndiye Kuhani Mkuu ambaye anatufaa sana katika mahitaji 248 Hebr 7 28 | ya sheria imemteua Mwana ambaye amefanywa mkamilifu milele.~ ~~ ~ 249 Hebr 8 1 | Kuhani Mkuu wa namna hiyo, ambaye anaketi upande wa kulia 250 Hebr 10 30 | kisasi, mimi nitalipiza," na ambaye alisema pia, "Bwana atawahukumu 251 Hebr 11 12 | mtu huyo mmoja, Abrahamu, ambaye alikuwa kama amekufa, walitokea 252 Hebr 12 2 | 2 Tumwelekee Yesu ambaye ndiye aliyeianzisha imani 253 Hebr 12 2 | aliyeianzisha imani yetu na ambaye ataikamilisha. Kwa ajili 254 Hebr 12 24 | 24 Mmefika kwa Yesu ambaye ameratibisha agano jipya, 255 Hebr 12 24 | ameratibisha agano jipya, na ambaye damu yake iliyomwagika inasema 256 Hebr 12 25 | mkakataa kumsikiliza yeye ambaye anasema nanyi. Kama wale 257 Hebr 13 20 | amemfufua Bwana wetu Yesu Kristo ambaye ni Mchungaji Mkuu wa kondoo 258 James 1 5 | anapaswa kumwomba Mungu ambaye atampatia; kwani Mungu huwapa 259 James 1 17| Baba, Muumba wa mianga, ambaye habadiliki wala hana alama 260 James 2 2 | 2 Tuseme mtu mmoja ambaye amevaa pete ya dhahabu na 261 James 4 5 | bure, yanaposema: "Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu 262 James 4 17| 17 Basi, mtu ambaye hafanyi lile jambo jema 263 1Pet 1 19 | kwa damu tukufu ya Kristo, ambaye alikuwa kama mwana kondoo 264 1Pet 3 22 | 22 ambaye alikwenda mbinguni na sasa 265 1Pet 4 11 | kwa njia ya Yesu Kristo, ambaye utukufu na nguvu ni vyake 266 1Pet 4 15 | mtu yeyote miongoni mwenu ambaye anapaswa kuteseka kwa sababu 267 1Pet 4 19 | kujiweka chini ya Muumba wao ambaye ni wa kuaminika kabisa.~ ~~ ~ 268 1Pet 5 10 | aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni muushiriki utukufu 269 1Pet 5 12 | msaada wa Silwano, ndugu ambaye namjua na kumwamini. Nataka 270 2Pet 2 5 | wasiomcha Mungu; lakini Noa ambaye alihubiri uadilifu, Mungu 271 2Pet 2 7 | Alimwokoa Loti, mtu mwema, ambaye alisikitishwa sana na mwenendo 272 2Pet 2 15 | Balaamu, mwana wa Beori, ambaye alipendelea kupata faida 273 2Pet 2 16 | ajili ya uovu wake. Punda ambaye hasemi alinena kwa sauti 274 1Joh 2 1 | akatenda dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa Baba, ndiye 275 1Joh 2 13 | baba kwani mnamjua yeye ambaye amekuwako tangu mwanzo, 276 1Joh 2 14 | baba, kwa kuwa mnamjua yeye ambaye amekuwako tangu mwanzo. 277 1Joh 3 12 | 12 Tusiwe kama Kaini ambaye, kwa kuongozwa na yule Mwovu, 278 1Joh 3 24 | muungano naye. Kwa njia ya Roho ambaye Mungu ametujalia, sisi twajua 279 1Joh 4 3 | Mungu. Mtu huyo ana roho ambaye ni wa Adui wa Kristo; nanyi 280 1Joh 4 20 | mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, hawezi kumpenda 281 1Joh 4 20 | anamwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hamwoni.~ 282 3Joh 1 9 | kanisa; lakini Diotrefe, ambaye hupenda kuwa kiongozi wao, 283 Jude 1 14 | 14 Henoki, ambaye ni babu wa saba tangu Adamu, 284 Rev 1 5 | kufufuliwa kutoka wafu, na ambaye ni mtawala wa wafalme wa 285 Rev 2 1 | mkono wake wa kulia, na ambaye hutembea katikati ya vinara 286 Rev 2 8 | wa kwanza na wa mwisho, ambaye alikufa na akaishi tena.~ 287 Rev 2 18 | ujumbe wa Mwana wa Mungu, ambaye macho yake yametameta kama 288 Rev 3 7 | aliye mtakatifu na wa kweli, ambaye anao ule ufunguo wa Daudi, 289 Rev 3 7 | ule ufunguo wa Daudi, na ambaye hufungua na hakuna mtu awezaye 290 Rev 3 14 | shahidi mwaminifu na wa kweli, ambaye ni chanzo cha viumbe vyote 291 Rev 4 9 | aliyeketi juu ya kiti cha enzi, ambaye anaishi milele na milele,~ 292 Rev 4 10 | cha enzi na kumwabudu huyo ambaye anaishi milele na milele; 293 Rev 12 5 | akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote 294 Rev 12 9 | ndiye yule nyoka wa kale ambaye huitwa pia Ibilisi au Shetani. 295 Rev 13 12 | kumwabudu huyo mnyama wa kwanza ambaye alikuwa na jeraha la kifo 296 Rev 14 8 | mkuu ameanguka! Babuloni ambaye aliwapa mataifa yote wainywe 297 Rev 15 2 | mnyama na sanamu yake na ambaye jina lake lilitajwa kwa 298 Rev 17 7 | na mnyama huyo amchukuaye ambaye ana vichwa saba na pembe 299 Rev 17 8 | watashangaa kumwona huyo mnyama ambaye hapo awali, aliishi, kisha 300 Rev 17 11 | 11 Huyo mnyama ambaye alikuwa anaishi hapo awali 301 Rev 19 2 | Amemhukumu yule mzinzi mkuu ambaye alikuwa ameipotosha dunia 302 Rev 20 15 | 15 Mtu yeyote ambaye jina lake halikupatikana 303 Rev 22 6 | ya kuaminika. Bwana Mungu ambaye huwapa manabii Roho wake,


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License