Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
nchi 118
nchini 2
ndama 6
ndani 272
ndefu 8
ndege 18
ndicho 15
Frequency    [«  »]
276 4
275 5
275 mbele
272 ndani
272 zaidi
271 6
270 hao

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

ndani

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 21| wa Zebedayo. Hao walikuwa ndani ya mashua pamoja na baba 2 Matt 6 23| Basi, ikiwa mwanga ulioko ndani yako ni giza, basi, hilo 3 Matt 7 15| kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali.~ 4 Matt 9 25| ulipoondolewa, Yesu aliingia ndani, akamshika huyo msichana 5 Matt 10 20| Roho wa Baba yenu asemaye ndani yenu.~ 6 Matt 12 40| Mwana wa Mtu atakavyokaa ndani ya ardhi siku tatu kutwa 7 Matt 13 21| haumwingii na kuwa na mizizi ndani yake; huendelea kuuzingatia 8 Matt 13 48| samaki wazuri wakawaweka ndani ya vikapu vyao, na wabaya 9 Matt 14 2 | za miujiza zinafanya kazi ndani yake."~ 10 Matt 14 33| 33 Wote waliokuwa ndani ya mashua walimsujudia, 11 Matt 17 25| Basi, Petro alipoingia ndani ya nyumba, kabla hata hajasema 12 Matt 17 27| fungua kinywa chake, na ndani utakuta fedha taslimu ya 13 Matt 21 12| wanauza na kununua vitu ndani ya Hekalu; akazipindua meza 14 Matt 23 13| Ninyi wenyewe ~hamwingii ndani, wala hamwaruhusu wanaotaka 15 Matt 23 21| na pia kwa yule ~akaaye ndani yake. ~ 16 Matt 23 25| na bakuli kwa nje, lakini ndani mnaacha kumejaa vitu mlivyopata ~ 17 Matt 23 26| kipofu! Kisafishe kikombe ndani kwanza na nje kutakuwa ~ 18 Matt 23 27| yanaonekana kuwa mazuri, ~lakini ndani yamejaa mifupa ya maiti 19 Matt 23 28| nje kuwa wema, lakini ~kwa ndani mmejaa unafiki na uovu. ~ 20 Matt 24 26| au, `Tazameni, amejificha ndani,` msisadiki;~ 21 Matt 24 38| kuolewa, mpaka Noa alipoingia ndani ya ile safina.~ 22 Matt 26 58| kwa Kuhani Mkuu, akaingia ndani pamoja na walinzi ili apate 23 Matt 27 27| wa mkoa wakamwingiza Yesu ndani ya ikulu, wakamkusanyikia 24 Matt 27 60| 60 akauweka ndani ya kaburi lake jipya alilokuwa 25 Mark 1 19| Zebedayo. Nao pia walikuwa ndani ya mashua yao wakizitengeneza 26 Mark 1 23| 23 Mara akatokea mle ndani ya sunagogi mtu mmoja mwenye 27 Mark 2 26| 26 naye akaingia ndani ya Nyumba ya Mungu, akala 28 Mark 3 1 | tena katika sunagogi na mle ndani mlikuwa na mtu aliyekuwa 29 Mark 4 15| kuliondoa neno hilo lililopandwa ndani yao.~ 30 Mark 4 17| haliwaingii na kuwa na mizizi ndani yao; huendelea kulizingatia 31 Mark 4 21| watu huwasha taa wakaileta ndani na kuifunika kwa pishi au 32 Mark 4 28| suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.~ 33 Mark 5 39| 39 Akaingia ndani, akawaambia, "Mbona mnapiga 34 Mark 6 3 | wakawa na mashaka naye. ic\is Ndani ya Sunagogi (Marko 6:2)\ 35 Mark 6 14| za miujiza zinafanya kazi ndani yake."~ 36 Mark 7 15| Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu toka nje ambacho 37 Mark 7 15| najisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia 38 Mark 7 20| Akaendelea kusema, "Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia 39 Mark 7 21| 21 Kwa maana kutoka ndani, katika moyo wa mtu, hutoka 40 Mark 7 23| 23 Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu 41 Mark 9 50| na nini? Muwe na chumvi ndani yenu na kudumisha amani 42 Mark 10 10| 10 Walipoingia tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake 43 Mark 11 15| wanauza na kununua vitu humo ndani. Akazipindua meza za wale 44 Mark 12 8 | shamba la mizabibu. ic Mnara ndani ya shamba la mizabibu (Marko 45 Mark 14 54| Yesu kwa mbali, akaingia ndani ya ya wa Kuhani Mkuu, akaketi 46 Mark 15 16| askari walimpeleka Yesu ndani ukumbini, katika ikulu, 47 Luke 1 11| wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia 48 Luke 5 3 | akafundisha umati wa watu akiwa ndani ya mashua.~ 49 Luke 5 18| kitandani; wakajaribu kumwingiza ndani wamweke mbele ya Yesu.~ 50 Luke 5 19| watu, hawakuweza kuingia ndani. Basi, wakapanda juu ya 51 Luke 6 4 | 4 Yeye aliingia ndani ya nyumba ya Mungu, akachukua 52 Luke 6 6 | sunagogi, akafundisha. Mle ndani mlikuwa na mtu ambaye mkono 53 Luke 6 19| maana nguvu ilikuwa inatoka ndani yake na kuwaponya wote.~ 54 Luke 8 16| kinara ili watu wanapoingia ndani wapate kuona mwanga.~ 55 Luke 8 23| kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya mashua, wakawa katika 56 Luke 8 29| na ingawa watu walimweka ndani na kumfunga kwa minyororo 57 Luke 8 51| hakumruhusu mtu kuingia ndani pamoja naye, isipokuwa Petro, 58 Luke 11 7 | 7 Naye, akiwa ndani angemjibu: `Usinisumbue! 59 Luke 11 33| kinara ili watu wanaoingia ndani wapate kuona mwanga.~ 60 Luke 11 35| mwangalifu basi mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.~ 61 Luke 11 39| na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.~ 62 Luke 11 40| si ndiye aliyetengeneza ndani pia?~ 63 Luke 11 41| maskini vile vitu vilivyomo ndani, na vingine vyote vitakuwa 64 Luke 12 58| kwa polisi, nao wakakutia ndani.~ 65 Luke 14 21| vichochoro vya mji, uwalete hapa ndani maskini, viwete, vipofu 66 Luke 19 44| wewe pamoja na watoto wako ndani ya kuta zako; hawatakuachia 67 Luke 22 10| wa maji. Mfuateni mpaka ndani ya nyumba atakayoingia.~ 68 Luke 23 19| 19 Baraba alikuwa ametiwa ndani kwa kusababisha uasi katika 69 Luke 24 3 | 3 Walipoingia ndani, hawakuona mwili wa Bwana 70 Luke 24 12| Alipoinama kuchungulia ndani, akaiona tu ile sanda. Akarudi 71 Luke 24 32| mioyo yetu haikuwa inawaka ndani yetu wakati alipokuwa anatufafanulia 72 John 1 47| Mwisraeli halisi: hamna hila ndani yake."~ 73 John 4 14| Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji ya 74 John 5 39| 38 na ujumbe wake haukai ndani yenu maana hamkumwamini 75 John 5 40| Matakatifu mkidhani kwamba ndani yake mtapata uzima wa milele; 76 John 6 53| yake, hamtakuwa na uzima ndani yenu.~ 77 John 6 56| kunywa damu yangu, akaa ndani yangu, nami nakaa ndani 78 John 6 56| ndani yangu, nami nakaa ndani yake.~ 79 John 7 18| aliyemtuma, huyo ni mwaminifu, na ndani yake hamna uovu wowote.~ 80 John 8 44| ukweli, kwani ukweli haumo ndani yake. Kila asemapo uongo, 81 John 9 3 | Mungu ionekane ikifanya kazi ndani yake.~ 82 John 10 38| kutambua kwamba Baba yuko ndani yangu, nami niko ndani yake."~ 83 John 10 38| yuko ndani yangu, nami niko ndani yake."~ 84 John 11 10| atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani yake."~ 85 John 13 31| ametukuzwa, naye Mungu ametukuzwa ndani yake.~ 86 John 13 32| utukufu wa Mungu umefunuliwa ndani ya Mwana, basi, naye Mungu 87 John 13 32| ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake mwenyewe, na atafanya 88 John 14 10| huamini kwamba mimi niko ndani ya Baba, naye Baba yuko 89 John 14 10| ya Baba, naye Baba yuko ndani yangu? Maneno ninayowaambieni 90 John 14 10| mamlaka yangu; Baba aliye ndani yangu anafanya kazi yake.~ 91 John 14 11| ninaposema kwamba mimi niko ndani ya Baba naye Baba yuko ndani 92 John 14 11| ndani ya Baba naye Baba yuko ndani yangu. Ama sivyo, aminini 93 John 14 13| nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.~ 94 John 14 17| sababu anabaki nanyi na yu ndani yenu.~ 95 John 14 20| mtajua kwamba mimi niko ndani ya Baba, nanyi mko ndani 96 John 14 20| ndani ya Baba, nanyi mko ndani yangu, nami ndani yenu.~ 97 John 14 20| nanyi mko ndani yangu, nami ndani yenu.~ 98 John 15 2 | 2 Yeye huliondoa ndani yangu kila tawi lisilozaa 99 John 15 4 | 4 Kaeni ndani yangu, nami nikae ndani 100 John 15 4 | ndani yangu, nami nikae ndani yenu. Tawi haliwezi peke 101 John 15 4 | hamwezi kuzaa matunda msipokaa ndani yangu. ic~ 102 John 15 5 | nanyi ni matawi yake. Akaaye ndani yangu, nami ndani yake, 103 John 15 5 | Akaaye ndani yangu, nami ndani yake, huyo atazaa matunda 104 John 15 6 | 6 Mtu yeyote asipokaa ndani yangu hutupwa nje kama tawi 105 John 15 7 | 7 Mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa 106 John 15 7 | na maneno yangu yakikaa ndani yenu, basi, ombeni chochote 107 John 15 11| haya ili furaha yangu ikae ndani yenu, na furaha yenu ikamilike.~ 108 John 17 10| utukufu wangu umeonekana ndani yao.~ 109 John 17 21| kimoja. Baba! Naomba wawe ndani yetu kama vile wewe ulivyo 110 John 17 21| yetu kama vile wewe ulivyo ndani yangu nami ndani yako. Naomba 111 John 17 21| ulivyo ndani yangu nami ndani yako. Naomba wawe kitu kimoja 112 John 17 23| 23 mimi niwe ndani yao, nawe uwe ndani yangu; 113 John 17 23| niwe ndani yao, nawe uwe ndani yangu; naomba wakamilishwe 114 John 17 26| upendo ulio nao kwangu uwe ndani yao, nami niwe ndani yao."~ ~~ ~ 115 John 17 26| uwe ndani yao, nami niwe ndani yao."~ ~~ ~ 116 John 18 15| aliingia pamoja na Yesu ndani ya ukumbi wa Kuhani Mkuu.~ 117 John 18 16| mlango, akamwingiza Petro ndani.~ 118 John 18 28| kula Pasaka, hawakuingia ndani ya ikulu wasije wakatiwa 119 John 18 33| 33 Pilato akaingia tena ndani ya ikulu, akamwita Yesu 120 John 19 9 | 9 Basi, akaingia tena ndani ya ikulu, akamwuliza Yesu, " 121 John 19 41| hakutiwa bado mtu yeyote ndani yake.~ 122 John 20 5 | Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia 123 John 20 5 | sanda, lakini hakuingia ndani.~ 124 John 20 8 | kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaaamini.~ 125 John 20 19| walikuwa wamekutana pamoja ndani ya nyumba, na milango ilikuwa 126 John 20 26| walikuwa tena pamoja mle ndani, na Thoma alikuwa pamoja 127 Acts 1 20| mahame; mtu yeyote asiishi ndani yake.` Tena imeandikwa: ` 128 Acts 4 15| ya baraza, nao wakabaki ndani wakizungumza kwa faragha.~ 129 Acts 4 18| Kwa hiyo wakawaita tena ndani, wakawaonya wasiongee tena 130 Acts 5 7 | yaliyotukia, akaingia mle ndani.~ 131 Acts 5 18| wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu.~ 132 Acts 5 23| tulipofungua hatukumkuta mtu yeyote ndani."~ 133 Acts 9 12| aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate 134 Acts 9 25| walimchukua, wakamteremsha chini ndani ya kapu kubwa kwa kupitia 135 Acts 10 3 | malaika wa Mungu akiingia ndani na kumwambia, "Kornelio!"~ 136 Acts 10 12| 12 Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na 137 Acts 10 23| 23 Petro akawaalika ndani, akawapa mahali pa kulala 138 Acts 11 6 | 6 Nilichungulia ndani kwa makini nikaona wanyama 139 Acts 12 14| ule mlango, akakimbilia ndani na kuwaambia kwamba Petro 140 Acts 13 14| Siku ya Sabato waliingia ndani ya Sunagogi, wakakaa.~ 141 Acts 16 23| ya kupigwa sana wakatiwa ndani, na askari wa gereza akaamriwa 142 Acts 16 24| aliwaweka katika chumba cha ndani kabisa cha gereza na kuifunga 143 Acts 16 29| askari wa gereza alikimbilia ndani, akajitupa mbele ya miguu 144 Acts 16 37| wa Roma. Tena, walitutia ndani na sasa wanataka kutufungulia 145 Acts 16 39| radhi na baada ya kuwatoa ndani waliwaomba watoke katika 146 Acts 17 28| Kama alivyosema mtu mmoja: `Ndani yake yeye sisi tunaishi, 147 Acts 18 26| walipomsikia akiongea kwa uhodari ndani ya sunagogi, walimchukua 148 Acts 20 10| wasiwasi maana kuna uhai bado ndani yake."~ 149 Acts 21 13| Niko tayari siyo tu kutiwa ndani kule Yerusalemu, ila hata 150 Acts 21 34| watu wake wampeleke Paulo ndani ya ngome.~ 151 Acts 21 37| Walipokuwa wanamwingiza ndani ya ngome, Paulo alimwomba 152 Acts 22 24| watu wake wampeleke Paulo ndani ya ngome, akawaambia wamchape 153 Acts 23 10| wamtoe Paulo na kumrudisha ndani ya ngome.~ 154 Acts 23 16| mpango huo; hivyo akaenda ndani ya ngome, akamjulisha Paulo 155 Acts 23 35| Paulo awekwe chini ya ulinzi ndani ya ukumbi wa Herode.~ ~ ~~ ~ 156 Acts 25 6 | barazani, akaamuru Paulo aletwe ndani.~ 157 Acts 25 23| Festo aliamuru Paulo aletwe ndani,~ 158 Acts 27 6 | na hivyo akatupandisha ndani.~ 159 Acts 27 17| wanamaji waliuvuta mtumbwi ndani, kisha wakaizungushia meli 160 Acts 27 31| Kama wanamaji hawa hawabaki ndani ya meli, hamtaokoka."~ 161 Acts 28 10| tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.~ 162 Roma 2 29| ni yule aliye Myahudi kwa ndani, yaani yule ambaye ametahiriwa 163 Roma 7 8 | kila aina ya tamaa mbaya ndani yangu. Maana, bila Sheria 164 Roma 7 17| hicho, bali ile dhambi iliyo ndani yangu.~ 165 Roma 7 18| kwamba hamna jema lolote ndani yangu mimi, kadiri ya ubinadamu 166 Roma 7 20| bali ni ile dhambi iliyo ndani yangu.~ 167 Roma 7 22| 22 Ndani kabisa katika moyo wangu 168 Roma 8 4 | Sheria yatekelezwe kikamilifu ndani yetu sisi ambao tunaishi, 169 Roma 8 9 | ikiwa Roho wa Mungu anaishi ndani yenu. Yeyote asiye na Roho 170 Roma 8 10| Lakini kama Kristo yumo ndani yenu, ingawa miili yenu 171 Roma 8 11| Kristo kutoka wafu anaishi ndani yenu, basi huyo aliyemfufua 172 Roma 8 11| njia ya Roho wake akaaye ndani yenu.~ 173 Roma 8 23| Mungu; sisi pia tunalalamika ndani yetu, tukitazamia kufanywa 174 Roma 8 27| Naye Mungu aonaye mpaka ndani ya mioyo ya watu, anajua 175 Roma 12 2 | Mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira 176 1Cor 1 6 | ya Kristo umethibitishwa ndani yenu,~ 177 1Cor 2 10| kila kitu hata mambo ya ndani kabisa ya Mungu.~ 178 1Cor 2 11| Nani awezaye kujua mambo ya ndani ya mtu isipokuwa roho yake 179 1Cor 3 16| kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?~ 180 1Cor 6 19| la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, ambaye mlimpokea kutoka 181 1Cor 8 10| ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, 182 1Cor 15 1 | mkaipokea na kusimama imara ndani yake.~ 183 2Cor 1 5 | mateso ya Kristo yanavyozidi ndani yetu, ni kadiri hiyohiyo 184 2Cor 1 20| 20 Maana ndani yake ahadi zote za Mungu 185 2Cor 4 12| 12 Hii ina maana kwamba ndani yetu kifo kinafanya kazi, 186 2Cor 4 12| kifo kinafanya kazi, lakini ndani yenu uhai unafanya kazi.~ 187 2Cor 4 16| nje yataoza, lakini kwa ndani tunafanywa wapya siku kwa 188 2Cor 5 1 | tunajua kwamba hema hii ambayo ndani yake tunaishi sasa hapa 189 2Cor 7 5 | tulikabiliwa na taabu: nje ugomvi; ndani hofu.~ 190 2Cor 8 16| Namshukuru Mungu aliyeweka ndani ya moyo wa Tito hamu hiyo 191 2Cor 11 10| ule ukweli wa Kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza 192 2Cor 11 33| 33 Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa 193 2Cor 13 3 | wenyewe kwamba Kristo anasema ndani yangu. Kwenu Kristo si dhaifu; 194 2Cor 13 5 | kwamba Kristo Yesu yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi ninyi 195 Gala 2 20| tena, bali Kristo anaishi ndani yangu. Maisha haya ninayoishi 196 Gala 4 19| yake Kristo itakapoundwa ndani yenu.~ 197 Ephe 1 19| Uwezo huo unaofanya kazi ndani yetu, ni sawa na nguvu ile 198 Ephe 3 16| wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu,~ 199 Ephe 3 20| nguvu yake ifanyayo kazi ndani yetu, aweza kufanya mambo 200 Ephe 4 18| sababu ya upumbavu ulio ndani yao na ukaidi wao.~ 201 Colo 1 19| alipenda utimilifu wote uwe ndani yake.~ 202 Colo 1 27| yenyewe ndiyo hii: Kristo yuko ndani yenu, na jambo hilo lamaanisha 203 Colo 1 29| ya Kristo ifanyayo kazi ndani yangu.~ ~~ ~ 204 Colo 2 3 | 3 Ndani yake zimefichika hazina 205 Colo 2 7 | Mnapaswa kuwa na mizizi ndani yake, kujijenga juu yake 206 Colo 2 9 | 9 Maana, ndani yake Kristo katika ubinadamu 207 Colo 3 5 | kabisa kila kitu kilicho ndani yenu ambacho chahusika na 208 Colo 3 16| 16 Ujumbe wa Kristo ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake 209 1The 2 4 | anajua mioyo yetu mpaka ndani.~ 210 1The 2 13| Maana Mungu anafanya kazi ndani yenu ninyi mnaoamini.~ 211 2The 2 4 | hata ataingia na kuketi ndani ya Hekalu la Mungu akijidai 212 1Tim 3 9 | dhamiri njema ukweli wa ndani wa imani.~ 213 1Tim 4 14| kukitumia kile kipaji cha Kristo ndani yako ulichopewa kwa maneno 214 2Tim 1 14| Roho Mtakatifu anayeishi ndani yetu. ~ 215 Hebr 6 19| mbinguni mpaka patakatifu ndani.~ 216 Hebr 7 26| hana hatia wala dhambi ndani yake; hayumo katika kundi 217 Hebr 8 2 | Mahali Patakatifu sana, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa 218 Hebr 9 4 | limepakwa dhahabu pande zote, na ndani yake mlikuwa na chungu cha 219 Hebr 9 7 | tu kwa mwaka. Anapoingia ndani huwa amechukua damu ambayo 220 Hebr 13 21| mapenzi yake; yeye na afanye ndani yetu kwa njia ya Kristo 221 James 4 1| mbaya ambazo hupigana daima ndani yenu.~ 222 James 4 5| Roho ambaye Mungu amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa."~ 223 1Pet 1 11| Roho wa Kristo aliyekuwa ndani yao, akibashiri juu ya mateso 224 1Pet 3 4 | unapaswa kutokana na hali ya ndani ya utu wa kweli, uzuri usioharibika 225 1Pet 3 15| juu ya matumaini yaliyo ndani yenu,~ 226 1Pet 3 20| anatayarisha ile safina. Ndani ya chombo hicho ni watu 227 2Pet 3 10| pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.~ 228 1Joh 1 5 | mwanga na hamna giza lolote ndani yake.~ 229 1Joh 1 8 | wenyewe na ukweli haumo ndani yetu.~ 230 1Joh 1 10| mwongo, na neno lake halimo ndani yetu.~ ~~ ~ 231 1Joh 2 4 | mwongo, na ukweli haumo ndani yake.~ 232 1Joh 2 5 | na upendo kamili wa Mungu ndani yake. Hivi ndivyo tunavyoweza 233 1Joh 2 8 | na ukweli wake unaonekana ndani ya Kristo na ndani yenu 234 1Joh 2 8 | unaonekana ndani ya Kristo na ndani yenu pia. Maana giza linatoweka, 235 1Joh 2 10| mwanga, na hamna chochote ndani yake kiwezacho kumkwaza 236 1Joh 2 14| nguvu; neno la Mungu limo ndani yenu na mmemshinda yule 237 1Joh 2 15| upendo wa Baba hauwezi kuwamo ndani yake.~ 238 1Joh 2 24| mliousikia tangu mwanzo ukikaa ndani yenu, basi, mtaishi daima 239 1Joh 2 27| Na kama akiendelea kukaa ndani yenu, hamhitaji kufundishwa 240 1Joh 2 28| 28 Naam, watoto, kaeni ndani yake kusudi wakati atakapotokea 241 1Joh 3 9 | maana anayo hali ya kimungu ndani yake; hawezi kutenda dhambi 242 1Joh 3 15| yule hana uzima wa milele ndani yake.~ 243 1Joh 4 4 | uongo; maana Roho aliye ndani yenu ana nguvu zaidi kuliko 244 1Joh 4 4 | zaidi kuliko roho aliye ndani ya hao walio wa ulimwengu.~ 245 1Joh 4 12| upendo wake unakamilika ndani yetu.~ 246 1Joh 4 17| 17 Upendo umekamilika ndani yetu kusudi tuweze kuwa 247 1Joh 5 10| Mungu anao ushahidi huo ndani yake; lakini asiyemwamini 248 Rev 2 7 | matunda ya mti wa uzima ulioko ndani ya bustani ya Mungu.~ 249 Rev 4 8 | vilikuwa vimejaa macho, ndani na nje. Usiku na mchana, 250 Rev 5 1 | nacho kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa na mihuri 251 Rev 5 3 | hicho kitabu au kukitazama ndani.~ 252 Rev 5 4 | kukifungua, au kukitazama ndani.~ 253 Rev 11 1 | ukawahesabu watu wanaoabudu ndani ya Hekalu.~ 254 Rev 12 12 | mbingu na vyote vilivyomo ndani yenu. Lakini, ole wenu nchi 255 Rev 14 10 | maji. Mtu huyo atateseka ndani ya moto na kiberiti mbele 256 Rev 14 19 | zabibu za dunia, akazitia ndani ya chombo kikubwa cha kukamulia 257 Rev 14 20 | 20 Zabibu zikakamuliwa ndani ya hilo shinikizo lililoko 258 Rev 15 5 | limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ionyeshayo kuwapo 259 Rev 18 22 | tarumbeta hazitasikika tena ndani yako. Hakuna fundi wa namna 260 Rev 18 22 | ile atakayepatikana tena ndani yako; wala sauti ya jiwe 261 Rev 18 22 | kusagia haitasikika tena ndani yako.~ 262 Rev 18 23 | wa taa hautaonekana tena ndani yako; sauti za bwana arusi 263 Rev 18 23 | arusi hazitasikika tena ndani yako. Wafanyabiashara wako 264 Rev 19 20 | wawili, wakiwa wazimawazima, ndani ya ziwa linalowaka moto 265 Rev 20 10 | aliyekuwa anawapotosha, akatupwa ndani ya ziwa linalowaka moto 266 Rev 20 12 | yao, kama ilivyoandikwa ndani ya vitabu hivyo.~ 267 Rev 20 13 | ikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yake; kifo na kuzimu vikawatoa 268 Rev 20 13 | vikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yao. Kila mmoja akahukumiwa 269 Rev 20 14 | kifo na kuzimu vikatupwa ndani ya ziwa la moto. Ziwa hili 270 Rev 21 8 | wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka 271 Rev 21 26 | wa mataifa utaletwa humo ndani.~ 272 Rev 21 27 | Mwanakondoo ndio watakaoingia ndani.~ ~~ ~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License