Book, Chapter, Verse
1 Matt 4 21 | mbele kidogo, aliwaona ndugu wengine wawili: Yakobo na Yohane,
2 Matt 5 19 | kuliko zote, na kuwafundisha wengine wafanye hivyo, huyo atakuwa
3 Matt 5 19 | atakayezishika na kuwafundisha wengine, huyo atakuwa mkubwa katika
4 Matt 7 1 | 1 "Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa
5 Matt 7 2 | maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa;
6 Matt 7 2 | kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia
7 Matt 7 12 | 12 "Watendeeni wengine yale mnayotaka wao wawatendee
8 Matt 8 9 | mtu chini ya mamlaka ya wengine, ninao askari chini yangu.
9 Matt 9 32 | walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea Yesu mtu mmoja
10 Matt 10 25 | Beelzebuli, je hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya
11 Matt 12 45 | 45 huenda kuwachukua pepo wengine saba, wabaya kuliko yeye;
12 Matt 15 30 | vipofu, viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa,
13 Matt 16 14 | 14 Wakamjibu, "Wengine wanasema kuwa ni Yohane
14 Matt 16 14 | kuwa ni Yohane mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au
15 Matt 16 14 | mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa
16 Matt 16 28 | Kweli nawaambieni, wako wengine papahapa ambao hawatakufa
17 Matt 18 7 | vikwazo vinavyowaangusha wengine. Vikwazo hivyo ni lazima
18 Matt 19 12 | kadhaa za kutoweza kuoa: wengine ni kwa sababu wamezaliwa
19 Matt 19 12 | sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo
20 Matt 19 12 | wamefanywa hivyo na watu, na wengine wameamua kutooa kwa ajili
21 Matt 20 3 | tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana
22 Matt 20 6 | akatoka tena; akakuta watu wengine wamesimama pale sokoni.
23 Matt 20 24 | 24 Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakawakasirikia
24 Matt 21 8 | zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti
25 Matt 21 36 | akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari
26 Matt 21 41 | shamba atawapa wakulima wengine ambao watampa sehemu ya
27 Matt 22 4 | Akawatuma tena watumishi wengine, akisema, <Waambieni wale ~
28 Matt 22 6 | 6 na wengine wakawakamata wale watumishi
29 Matt 23 34 | kuwasulubisha baadhi yao, na wengine mtawapiga ~viboko katika
30 Matt 25 11 | 11 Baadaye wale wanawali wengine wakaja, wakaita: `Bwana,
31 Matt 26 35 | sitakukana kamwe." Wale wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.~
32 Matt 26 67 | usoni, wakampiga makofi. Wengine wakiwa wanampiga makofi,~
33 Matt 27 42 | 42 "Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe
34 Matt 27 49 | 49 Wengine wakasema, "Acha tuone kama
35 Matt 28 17 | Walipomwona, wakamwabudu, ingawa wengine walikuwa na mashaka.~
36 Mark 4 15 | 15 Watu wengine ni kama wale walio njiani
37 Mark 4 16 | 16 Watu wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa
38 Mark 4 18 | 18 Watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka
39 Mark 4 20 | 20 Lakini wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa
40 Mark 4 20 | wakalipokea, wakazaa matunda: wengine thelathini, wengine sitini
41 Mark 4 20 | matunda: wengine thelathini, wengine sitini na wengine mia moja."~
42 Mark 4 20 | thelathini, wengine sitini na wengine mia moja."~
43 Mark 4 24 | kilekile mnachowapimia watu wengine, ndicho mtakachopimiwa;
44 Mark 5 16 | walishuhudia tukio hilo wakaeleza wengine mambo yaliyompata huyo mtu
45 Mark 6 15 | 15 Wengine walisema, "Mtu huyu ni Eliya."
46 Mark 6 15 | walisema, "Mtu huyu ni Eliya." Wengine walisema, "Huyu ni nabii
47 Mark 7 3 | Maana Mafarisayo na Wayahudi wengine wote huzingatia mapokeo
48 Mark 8 28 | 28 Wakamjibu, "Wengine wanasema wewe ni Yohane
49 Mark 8 28 | wewe ni Yohane Mbatizaji, wengine Eliya na wengine mmojawapo
50 Mark 8 28 | Mbatizaji, wengine Eliya na wengine mmojawapo wa manabii."~
51 Mark 9 1 | Kweli nawaambieni, wako wengine papa hapa ambao hawatakufa
52 Mark 9 14 | Walipowafikia wale wanafunzi wengine, waliona umati mkubwa wa
53 Mark 9 26 | alionekana kama maiti, hata wengine walisema, "Amekufa!"~
54 Mark 10 41 | 41 Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza
55 Mark 11 8 | wakatandaza mavazi yao barabarani; wengine wakatandaza matawi ya miti
56 Mark 12 5 | tena, na huyo wakamuua. Wengine wengi waliotumwa, baadhi
57 Mark 12 9 | shamba la mizabibu kwa watu wengine.~
58 Mark 12 43 | maskini ametoa zaidi kuliko wengine wote waliotia fedha katika
59 Mark 14 57 | 57 Kisha wengine walisimama, wakatoa ushahidi
60 Mark 15 7 | amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na
61 Mark 15 31 | walimdhihaki wakisema, "Aliwaokoa wengine, lakini kujiokoa mwenyewe
62 Mark 15 41 | kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu
63 Luke 5 29 | la watoza ushuru na watu wengine walikuwa wameketi pamoja
64 Luke 5 33 | 33 Watu wengine wakamwambia Yesu, "Wafuasi
65 Luke 6 31 | 31 Watendeeni wengine kama mnavyotaka wawatendee
66 Luke 6 37 | 37 "Msiwahukumu wengine, nanyi hamtahukumiwa; msiwalaumu
67 Luke 6 37 | hamtahukumiwa; msiwalaumu wengine, nanyi hamtalaumiwa; wasameheni
68 Luke 6 37 | hamtalaumiwa; wasameheni wengine, nanyi mtasamehewa.~
69 Luke 6 38 | 38 Wapeni wengine wanavyohitaji, nanyi mtapewa.
70 Luke 6 38 | kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho ambacho Mungu atatumia
71 Luke 8 3 | mkuu wa Herode; Susana na wengine kadhaa. Hao wanawake walikuwa
72 Luke 8 10 | Ufalme wa Mungu, lakini hao wengine sivyo; ila hao huambiwa
73 Luke 9 8 | 8 Wengine walisema kwamba Eliya ametokea,
74 Luke 9 8 | kwamba Eliya ametokea, na wengine walisema kwamba mmojawapo
75 Luke 9 19 | 19 Nao wakamjibu, "Wengine wanasema kuwa wewe ni Yohane
76 Luke 9 19 | wewe ni Yohane mbatizaji, wengine wanasema wewe ni Eliya,
77 Luke 9 19 | wanasema wewe ni Eliya, hali wengine wanasema kuwa wewe ni mmoja
78 Luke 9 27 | Nawaambieni kweli, kuna wengine papa hapa ambao hawatakufa
79 Luke 10 1 | hayo, Bwana aliwachagua wengine sabini na wawili, akawatuma
80 Luke 11 16 | 16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka
81 Luke 11 26 | huenda na kuwachukua pepo wengine saba waovu zaidi kuliko
82 Luke 11 49 | baadhi yao, na kuwatesa wengine.`~
83 Luke 13 2 | zaidi kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka
84 Luke 13 4 | walikuwa wakosefu zaidi kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu?~
85 Luke 13 17 | waliona aibu lakini watu wengine wote wakajaa furaha kwa
86 Luke 13 31 | huohuo, Mafarisayo na watu wengine walimwendea Yesu wakamwambia, "
87 Luke 18 9 | kuwa wema na kuwadharau wengine.~
88 Luke 18 11 | kwa vile mimi si kama watu wengine: walafi, wadanganyifu au
89 Luke 20 16 | hao, na atawapa wakulima wengine hilo shamba la mizabibu."
90 Luke 21 4 | 4 Kwa maana, wengine wote wametoa sadaka zao
91 Luke 21 24 | 24 Wengine watauawa kwa upanga, wengine
92 Luke 21 24 | Wengine watauawa kwa upanga, wengine watachukuliwa mateka katika
93 Luke 22 24 | anayefikiriwa kuwa mkuu zaidi kuliko wengine.~
94 Luke 23 32 | 32 Waliwachukua pia watu wengine wawili, wahalifu, wauawe
95 Luke 23 35 | wakamdhihaki wakisema: "Amewaokoa wengine; sasa na ajiokoe mwenyewe,
96 Luke 24 9 | mitume wale kumi na mmoja na wengine habari za mambo hayo yote.~
97 Luke 24 10 | Yakobo, pamoja na wanawake wengine walioandamana nao.~
98 Luke 24 22 | 22 Tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. Walikwenda
99 Luke 24 24 | 24 Wengine wetu walikwenda kaburini
100 Luke 24 33 | mitume kumi na mmoja na wale wengine waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika~
101 John 4 38 | ambayo hamkuyatolea jasho, wengine walifanya kazi, lakini ninyi
102 John 7 12 | walisema, "Ni mtu mwema." Wengine walisema, "La! Anawapotosha
103 John 7 41 | 41 Wengine wakasema, "Huyu ndiye Kristo!"
104 John 7 41 | Huyu ndiye Kristo!" Lakini wengine walisema, "Je, yawezekana
105 John 9 9 | Baadhi yao wakasema, "Ndiye." Wengine wakasema, "La! Ila anafanana
106 John 9 16 | sheria ya Sabato." Lakini wengine wakasema, "Mtu mwenye dhambi
107 John 10 8 | 8 Wale wengine wote waliokuja kabla yangu
108 John 10 16 | 16 Tena ninao kondoo wengine ambao hawamo zizini humu.
109 John 10 21 | 21 Wengine wakasema, "Haya si maneno
110 John 18 34 | hayo ni maneno yako au wengine wamekwambia habari zangu?"~
111 John 19 18 | naye waliwasulubisha watu wengine wawili; mmoja upande wake
112 John 20 25 | 25 Basi, wale wanafunzi wengine wakamwambia, "Tumemwona
113 John 21 2 | Zebedayo na wanafunzi wake wengine wawili, walikuwa wote pamoja.~
114 John 21 8 | 8 Lakini wale wanafunzi wengine walikuja pwani kwa mashua
115 Acts 1 26 | katika idadi ya wale mitume wengine kumi na mmoja.~ ~ ~~ ~
116 Acts 2 9 | Waparthi, Wamedi na Waelami; wengine ni wenyeji wa Mesopotamia,
117 Acts 2 10 | Libya karibu na Kurene; wengine wetu ni wageni kutoka Roma,~
118 Acts 2 11 | walioongokea dini ya Kiyahudi; wengine wametoka Krete na Arabia.
119 Acts 2 13 | 13 Lakini wengine wakawadhihaki wakisema, "
120 Acts 4 6 | Kayafa, Yohane, Aleksanda na wengine waliokuwa wa ukoo wa Kuhani
121 Acts 5 13 | kujiunga nao. Hata hivyo, watu wengine wasiokuwa wa imani hiyo
122 Acts 5 29 | akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, "Lazima tumtii
123 Acts 6 9 | walitoka Kurene na Aleksandria; wengine walitoka Kilikia na Asia.~
124 Acts 7 6 | nchi inayotawaliwa na watu wengine, na huko watafanywa watumwa
125 Acts 7 15 | ambako yeye na babu zetu wengine walikufa.~
126 Acts 11 19 | waumini walitawanyika. Wengine walikwenda mpaka Foinike,
127 Acts 12 17 | kwa Yakobo na wale ndugu wengine, halafu akatoka akaenda
128 Acts 13 1 | Antiokia kulikuwa na watu wengine waliokuwa manabii na walimu;
129 Acts 13 16 | Wananchi wa Israeli na wengine wote mnaomcha Mungu, sikilizeni!~
130 Acts 13 26 | wa ukoo wa Abrahamu, na wengine wote mnaomcha Mungu! Ujumbe
131 Acts 14 2 | 2 Lakini Wayahudi wengine waliokataa kuwa waumini
132 Acts 14 4 | wa mji huo waligawanyika: wengine waliwaunga mkono Wayahudi,
133 Acts 14 4 | waliwaunga mkono Wayahudi, na wengine walikuwa upande wa mitume.~
134 Acts 15 1 | 1 Basi, watu wengine walifika Antiokia kutoka
135 Acts 15 5 | 5 Lakini waumini wengine waliokuwa wa kikundi cha
136 Acts 15 17 | 17 Hapo watu wengine wote, watu wa mataifa yote
137 Acts 15 24 | 24 Tumesikia kwamba watu wengine kutoka huku kwetu waliwavurugeni
138 Acts 15 35 | la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.~
139 Acts 16 25 | kumsifu Mungu, huku wafungwa wengine wakiwa wanasikiliza.~
140 Acts 17 6 | walimburuta Yasoni pamoja na ndugu wengine mpaka kwa wakuu wa mji,
141 Acts 17 17 | Alijadiliana na Wayahudi na watu wengine waliomcha Mungu katika sunagogi;
142 Acts 17 18 | 18 Wengine waliofuata falsafa ya Epikuro
143 Acts 17 18 | Stoiki walibishana naye. Wengine walisema, "Anataka kusema
144 Acts 17 18 | ya Yesu na juu ya ufufuo, wengine walisema, "Inaonekana kama
145 Acts 17 21 | Wananchi wa Athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia
146 Acts 17 28 | Ni kama washairi wenu wengine walivyosema: `Sisi ni watoto
147 Acts 17 32 | jambo la kufufuka kwa wafu, wengine wao waliangua kicheko; lakini
148 Acts 17 32 | waliangua kicheko; lakini wengine walisema, "Tunataka kukusikia
149 Acts 19 9 | 9 Lakini wengine walikuwa wakaidi, wakakataa
150 Acts 19 19 | 19 Wengine waliokuwa wameshughulikia
151 Acts 19 25 | hao wafanyakazi pamoja na wengine waliokuwa na kazi kama hiyo,
152 Acts 19 31 | 31 Maofisa wengine wa huo mkoa wa Asia, waliokuwa
153 Acts 19 32 | kila mtu alikuwa anapayuka; wengine hili na wengine lile, mpaka
154 Acts 19 32 | anapayuka; wengine hili na wengine lile, mpaka hata ule mkutano
155 Acts 21 12 | hayo, sisi na wale watu wengine waliokuwa hapo tulimsihi
156 Acts 21 16 | 16 Wengine kati ya wale wafuasi wa
157 Acts 21 34 | 34 Wengine katika lile kundi la watu
158 Acts 21 34 | wanapayuka kitu hiki na wengine kitu kingine. Kwa sababu
159 Acts 24 19 | Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine kutoka mkoa wa Asia; hao
160 Acts 26 16 | wangu. Utawathibitishia watu wengine mambo uliyoyaona leo na
161 Acts 27 1 | Paulo pamoja na wafungwa wengine chini ya ulinzi wa Yulio
162 Acts 27 44 | 44 na wengine wafuate wakijishikilia kwenye
163 Acts 28 19 | 19 Lakini Wayahudi wengine walipinga jambo hilo, nami
164 Acts 28 24 | walikubali maneno yake, lakini wengine hawakuamini.~
165 Roma 1 31 | hawana wema wala huruma kwa wengine.~
166 Roma 2 1 | rafiki, kama unawahukumu wengine, huwezi kamwe kujitetea
167 Roma 2 1 | Kwa maana, kwa kuwahukumu wengine, unajilaani wewe mwenyewe
168 Roma 2 8 | 8 Lakini wale wengine wenye ubinafsi, wenye kukataa
169 Roma 2 21 | Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe
170 Roma 2 21 | wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe
171 Roma 3 1 | ana nini zaidi kuliko watu wengine? Au kutahiriwa kuna faida
172 Roma 3 8 | ili tupate mema! Ndivyo wengine walivyotukashifu kwa kutushtaki
173 Roma 3 9 | Wayahudi ni bora zaidi kuliko wengine? Hata kidogo! Kwa maana
174 Roma 11 7 | walioteuliwa walikipata. Wengine walipumbazwa,~
175 Roma 12 8 | Mwenye kipaji cha kuwafariji wengine na afanye hivyo. Mwenye
176 Roma 16 17 | mafarakano na kuwafanya watu wengine waanguke, kinyume cha mafundisho
177 1Cor 7 12 | 12 Kwa wale wengine, (mimi binafsi, si Bwana)
178 1Cor 8 7 | ujuzi huu. Maana wako watu wengine waliokwisha zoea sanamu,
179 1Cor 9 2 | 2 Hata kama kwa watu wengine mimi si mtume, lakini walau
180 1Cor 9 5 | kama vile wafanyavyo mitume wengine, ndugu zake Bwana, na pia
181 1Cor 9 12 | 12 Ikiwa wengine wanayo haki ya kutazamia
182 1Cor 9 27 | nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine. ic~ ~~ ~
183 1Cor 10 11 | yaliyowapata wao ni kielelezo kwa wengine, na yaliandikwa ili kutuonya
184 1Cor 11 21 | baadhi yenu wana njaa, na wengine wamelewa!~
185 1Cor 11 30 | ni dhaifu na wagonjwa, na wengine kadhaa wamekufa.~
186 1Cor 14 19 | kueleweka ili niwafundishe wengine, kuliko kusema maneno elfu
187 1Cor 14 29 | waseme wawili au watatu, na wengine wayapime maneno yao.~
188 1Cor 15 19 | kusikitikiwa zaidi kuliko wengine wote duniani.~
189 1Cor 16 12 | aje kwenu pamoja na ndugu wengine, lakini hapendelei kabisa
190 2Cor 1 4 | ili nasi tupate kuwafariji wengine katika kila taabu kwa faraja
191 2Cor 2 17 | 17 Sisi si kama wengine ambao hufanya biashara na
192 2Cor 3 1 | kutoka kwenu, kama watu wengine?~
193 2Cor 8 8 | nataka tu kuonyesha jinsi wengine walivyo na bidii ya kusaidia
194 2Cor 8 13 | kuongezewa taabu kusudi wengine wapunguziwe mzigo wao; sivyo,
195 2Cor 8 23 | lakini kuhusu hawa ndugu zetu wengine, wanaokuja pamoja nao, hao
196 2Cor 10 15 | hatujivunii kazi waliyofanya wengine zaidi ya kipimo tulichopewa;
197 2Cor 10 16 | kujivunia kazi waliyofanya watu wengine mahali pengine.~
198 2Cor 13 2 | bila kutubu, na pia wale wengine, nitakapokuja, watakiona
199 Gala 1 19 | Lakini sikuwaona mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu
200 Gala 2 4 | ingawa kulikuwa na ndugu wengine wa uongo waliotaka atahiriwe.
201 Gala 2 13 | 13 Hata ndugu wengine Wayahudi walimuunga mkono
202 Gala 4 17 | 17 Hao watu wengine wanawahangaikia ninyi, lakini
203 Gala 4 18 | jema daima kuwahangaikia wengine katika mambo mema, na si
204 Ephe 2 22 | mnajengwa pamoja na wote wengine, muwe makao ya Mungu kwa
205 Ephe 4 11 | Ndiye aliyewapa watu zawadi: wengine aliwajalia wawe mitume,
206 Ephe 4 11 | aliwajalia wawe mitume, wengine manabii, wengine wawe waeneza
207 Ephe 4 11 | mitume, wengine manabii, wengine wawe waeneza Habari Njema,
208 Ephe 4 11 | wawe waeneza Habari Njema, wengine wachungaji na walimu.~
209 Ephe 4 14 | wadanganyifu, ili wawapotoshe wengine kwa hila.~
210 Ephe 4 29 | ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, ili yawaneemeshe wasikilizaji
211 1The 4 12 | na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.~
212 1The 4 13 | msipatwe na huzuni kama watu wengine wasio na matumaini.~
213 1The 5 6 | tusilale usingizi kama wengine; tunapaswa kukesha na kuwa
214 2The 3 11 | kujiingiza katika mambo ya watu wengine.~
215 1Tim 1 6 | 6 Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano
216 1Tim 1 19 | yako na dhamiri njema. Watu wengine hawakusikiliza dhamiri zao
217 1Tim 4 1 | kwamba siku za baadaye watu wengine wataitupilia mbali imani;
218 1Tim 5 13 | kujitia katika mambo ya watu wengine, huku wakisema mambo ambayo
219 1Tim 5 15 | 15 Kwa maana wajane wengine wamekwisha potoka na kumfuata
220 1Tim 5 20 | dhambi waonye hadharani, ili wengine wapate kuogopa.~
221 1Tim 5 22 | Bwana. Usishiriki dhambi za wengine; jiweke katika hali safi.~
222 1Tim 5 24 | 24 Dhambi za watu wengine huonekana waziwazi, nazo
223 1Tim 5 24 | hukumu; lakini dhambi za wengine huonekana tu baadaye.~
224 1Tim 6 10 | chanzo cha uovu wote. Watu wengine wametamani sana kupata fedha
225 1Tim 6 18 | walio tayari kuwashirikisha wengine mali zao.~
226 1Tim 6 20 | ya kile wanachokiita watu wengine: "Elimu".~
227 1Tim 6 21 | 21 Maana wengine wamejidai kuwa na hiyo elimu,
228 2Tim 2 2 | ambao wataweza kuwafundisha wengine pia.~
229 2Tim 2 18 | na wanatia imani ya watu wengine katika wasiwasi kwa kusema
230 2Tim 3 13 | na zaidi kwa kuwadanganya wengine na kudanganyika wao wenyewe.~
231 2Tim 4 21 | wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.~
232 Titus 1 9 | Ndivyo atakavyoweza kuwatia wengine moyo kwa mafundisho ya kweli
233 Titus 1 10| wakaidi, wanaowapotosha wengine kwa upumbavu wao.~
234 Hebr 4 6 | hawakuamini. Wapo, basi, wengine ambao wangejaliwa kulipata.~
235 Hebr 7 20 | kiapo cha Mungu. Wakati wale wengine walipofanywa makuhani hapakuwako
236 Hebr 7 23 | nyingine pia: hao makuhani wengine walikuwa wengi kwa sababu
237 Hebr 7 27 | kama wale makuhani wakuu wengine; hana haja ya kutoa dhabihu
238 Hebr 8 4 | kuhani, kwani wako makuhani wengine wanaotoa sadaka kufuatana
239 Hebr 10 25 | kukutana pamoja, kama vile wengine wanavyofanya. Bali tunapaswa
240 Hebr 11 36 | 36 Wengine walidhihakiwa na kupigwa
241 Hebr 11 36 | na kupigwa mijeledi, na wengine walifungwa minyororo na
242 Hebr 12 8 | msipoadhibiwa kama wana wengine, basi, ninyi si wanawe,
243 Hebr 13 2 | maana kwa kufanya hivyo watu wengine walipata kuwakaribisha malaika
244 James 3 1 | hukumu kubwa zaidi kuliko wengine.~
245 1Pet 4 10 | alichojaliwa na Mungu kwa faida ya wengine, kama vile uwakili mwema
246 2Pet 2 2 | zao mbaya, kwa sababu yao, wengine wataipuuza Njia ya ukweli.~
247 2Pet 2 5 | alimwokoa pamoja na watu wengine saba.~
248 2Pet 2 19 | 19 Huwaahidi watu wengine eti watakuwa huru, kumbe
249 2Pet 3 9 | yale aliyoahidi kama watu wengine wanavyofikiri kuwa atakawia.
250 1Joh 4 14 | Sisi tumeona na kuwaambia wengine kwamba Baba alimtuma Mwanae
251 3Joh 1 10 | safarini, na hata huwazuia watu wengine wanaotaka kuwakaribisha,
252 Jude 1 16 | daima na kuwalaumu watu wengine. Hufuata tamaa zao mbaya,
253 Jude 1 16 | hujigamba na kuwasifu watu wengine mno kusudi wafaulu katika
254 Jude 1 23 | kuwanyakua kutoka motoni; na kwa wengine muwe na huruma pamoja na
255 Rev 2 24 | 24 "Lakini ninyi wengine mlioko huko Thuatira ambao
256 Rev 9 20 | 20 Wanaadamu wengine waliobaki ambao hawakuuawa
257 Rev 12 17 | likaenda kupigana na wazawa wengine wa huyo mama, yaani wote
258 Rev 14 4 | kutoka miongoni mwa binadamu wengine, wakawa wa kwanza kutolewa
259 Rev 20 5 | 5 (Wale wengine waliokufa hawakupata uhai
|