Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 13 | itakolezwa na nini? Haifai kitu tena, ila hutupwa nje na
2 Matt 5 42 | na mtu akitaka kukukopa kitu usimnyime.~
3 Matt 5 47 | ndugu zenu tu, je, mmefanya kitu kisicho cha kawaida? Hata
4 Matt 8 9 | na mtumishi wangu, `Fanya kitu hiki!` naye hufanya."~
5 Matt 11 16 | nitakifananisha kizazi hiki na kitu gani? Ni kama vijana waliokuwa
6 Matt 13 12 | 12 Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa;
7 Matt 13 12 | kuzidishiwa; lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho
8 Matt 15 5 | mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kuwasaidia
9 Matt 15 5 | mama yake, lakini akasema: `Kitu hiki nimemtolea Mungu,`~
10 Matt 15 11 | 11 Kitu kinachomtia mtu najisi si
11 Matt 16 26 | maisha yake? Au, mtu atatoa kitu gani kiwe badala ya maisha
12 Matt 19 16 | akamwuliza, "Mwalimu, nifanye kitu gani chema ili niupate uzima
13 Matt 20 13 | wao, `Rafiki, sikukupunja kitu! Je, hukupatana nami mshahara
14 Matt 20 20 | magoti mbele yake na kumwomba kitu.~
15 Matt 22 4 | wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.> ~
16 Matt 22 16 | maana cheo cha mtu si kitu kwako. ~
17 Matt 23 16 | Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini akiapa kwa dhahabu
18 Matt 23 18 | akiapa kwa madhabahu si kitu; lakini akiapa ~kwa zawadi
19 Matt 24 2 | hapa juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa."~
20 Matt 24 17 | nyumba yake asishuke kuchukua kitu nyumbani mwake.~
21 Matt 25 29 | 29 Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa.
22 Matt 25 29 | kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho
23 Matt 25 40 | Kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo
24 Matt 26 15 | 15 akawaambia, "Mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi Yesu
25 Mark 1 34 | lakini hakuwaruhusu kusema kitu maana walikuwa wanamjua
26 Mark 4 11 | walio nje wataambiwa kila kitu kwa mifano,~
27 Mark 4 25 | 25 Aliye na kitu atapewa zaidi; asiye na
28 Mark 4 25 | atapewa zaidi; asiye na kitu, hata kile alicho nacho
29 Mark 4 34 | alikuwa akiwafafanulia kila kitu.~
30 Mark 7 3 | mapokeo ya wazee wao: hawali kitu kabla ya kunawa mikono ipasavyo.~
31 Mark 7 4 | 4 Tena hawali kitu chochote kutoka sokoni mpaka
32 Mark 7 11 | mwafundisha, `Kama mtu anacho kitu ambacho angeweza kuwasaidia
33 Mark 7 11 | yake, lakini akasema kwamba kitu hicho ni Korbani (yaani
34 Mark 7 15 | 15 Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu
35 Mark 7 18 | hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu toka
36 Mark 8 23 | akamwuliza, "Je, unaweza kuona kitu?"~
37 Mark 8 25 | kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa.~
38 Mark 8 37 | 37 Ama mtu atatoa kitu gani badala ya maisha yake?~
39 Mark 10 21 | akamwambia, "Umepungukiwa na kitu kimoja: nenda ukauze vitu
40 Mark 10 35 | Mwalimu, tunataka utufanyie kitu tutakachokuomba."~
41 Mark 11 11 | Hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. Lakini kwa vile
42 Mark 11 16 | kupitia Hekaluni akichukua kitu.~
43 Mark 11 24 | nawaambieni, mnaposali na kuomba kitu, aminini kwamba mmekipokea,
44 Mark 12 14 | yeyote. Wala cheo cha mtu si kitu kwako, lakini wafundisha
45 Mark 12 34 | aliyethubutu tena kumwuliza kitu.~
46 Mark 12 44 | aliyokuwa nayo, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi."~ ~~ ~
47 Mark 13 2 | litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitabomolewa."~
48 Mark 13 15 | nyumbani mwake kuchukua kitu.~
49 Mark 14 16 | wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa
50 Mark 16 8 | Hawakumwambia mtu yeyote kitu, kwa sababu waliogopa mno. [[[~
51 Mark 16 18 | Wakishika nyoka au wakinywa kitu chochote chenye sumu, hakitawadhuru.
52 Luke 1 18 | akamwambia huyo malaika, "Ni kitu gani kitakachonihakikishia
53 Luke 3 15 | Wote walikuwa wanatazamia kitu fulani; basi, wakaanza kujiuliza
54 Luke 5 5 | usiku kucha bila kupata kitu, lakini kwa kuwa umesema,
55 Luke 7 24 | jangwani, hivi mlitaka kuona kitu gani? Mlitaka kuona unyasi
56 Luke 7 31 | nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani?~
57 Luke 7 40 | Mfarisayo, "Simoni, ninacho kitu cha kukwambia." Naye Simoni
58 Luke 8 18 | mnavyosikia; maana aliye na kitu ataongezewa, lakini yule
59 Luke 8 18 | ataongezewa, lakini yule asiye na kitu, hata kile anachodhani kuwa
60 Luke 10 42 | 42 Kitu kimoja tu ni muhimu. Maria
61 Luke 10 42 | muhimu. Maria amechagua kitu bora zaidi ambacho hakuna
62 Luke 12 4 | mwili, wasiweze kufanya kitu kingine zaidi.~
63 Luke 13 7 | mtini huu, nami nisiambulie kitu. Ukate! Kwa nini uitumie
64 Luke 14 17 | walioalikwa, `Njoni, kila kitu ni tayari.`~
65 Luke 14 33 | wangu kama asipoachilia kila kitu alicho nacho.~
66 Luke 14 35 | 35 Haifai kitu wala kwa udongo wala kwa
67 Luke 15 14 | Alipomaliza kutumia kila kitu, kukatokea njaa kali katika
68 Luke 15 16 | ila hakuna mtu aliyempa kitu.~
69 Luke 18 22 | Unatakiwa bado kufanya kitu kimoja: uza kila ulicho
70 Luke 18 31 | Yerusalemu na huko kila kitu kilichoandikwa na manabii
71 Luke 19 8 | nimenyang`anya mtu yeyote kitu, nitamrudishia mara nne."~
72 Luke 19 26 | akawajibu: `Kila aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa.
73 Luke 19 26 | kuzidishiwa. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho
74 Luke 21 4 | ni maskini, ametoa kila kitu alichohitaji kwa kuishi."~
75 Luke 21 6 | litakalosalia juu ya lingine; kila kitu kitaharibiwa."~
76 Luke 22 13 | wakaenda, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa
77 John 1 46 | akamwuliza Filipo, "Je, kitu chema chaweza kutoka Nazareti?"
78 John 3 27 | akawaambia, "Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu.~
79 John 4 25 | Atakapokuja atatujulisha kila kitu."~
80 John 5 20 | nawaambieni, Mwana hawezi kufanya kitu peke yake; anaweza tu kufanya
81 John 5 21 | Mwana, na humwonyesha kila kitu anachokifanya yeye mwenyewe,
82 John 5 31 | 30 "Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe.
83 John 6 30 | tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?~
84 John 8 54 | mwenyewe, utukufu wangu si kitu. Baba yangu ambaye ninyi
85 John 9 25 | dhambi mimi sijui. Lakini kitu kimoja najua: Nilikuwa kipofu,
86 John 10 13 | 13 Yeye hajali kitu juu ya kondoo kwa sababu
87 John 11 49 | akawaambia, "Ninyi hamjui kitu!~
88 John 13 3 | alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa ametoka
89 John 14 26 | langu, atawafundisheni kila kitu na kuwakumbusheni yote niliyowaambieni.~
90 John 14 30 | anakuja. Kwangu mimi hawezi kitu;~
91 John 14 31 | ndiyo maana nafanya kila kitu kama Baba alivyoniamuru.
92 John 16 30 | kwamba wewe unajua kila kitu, na huna haja ya kuulizwa
93 John 17 11 | uwaweke salama ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo
94 John 17 21 | 21 Naomba ili wote wawe kitu kimoja. Baba! Naomba wawe
95 John 17 21 | ndani yako. Naomba wawe kitu kimoja kusudi ulimwengu
96 John 17 22 | ulionipa mimi, ili wawe kitu kimoja kama nasi tulivyo
97 John 17 23 | naomba wakamilishwe na kuwa kitu kimoja, ili ulimwengu upate
98 John 18 38 | Pilato akamwambia, "Ukweli ni kitu gani?" Pilato alipokwisha
99 John 21 5 | wakamjibu, "La! Hatujapata kitu."~
100 Acts 2 44 | Waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawana
101 Acts 3 5 | akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.~
102 Acts 4 14 | pamoja nao, hawakuweza kusema kitu.~
103 Acts 4 32 | hata mmoja aliyekuwa na kitu chochote akakiweka kuwa
104 Acts 4 34 | mtu yeyote aliyetindikiwa kitu, maana waliokuwa na mashamba
105 Acts 5 20 | Hekaluni na kuwaambia watu kila kitu kuhusu maisha haya mapya."~
106 Acts 7 41 | wakaitambikia na kukifanyia sherehe kitu ambacho ni kazi ya mikono
107 Acts 10 11 | mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa
108 Acts 11 5 | niliona maono; niliona kitu kama shuka kubwa likishushwa
109 Acts 13 11 | kwa kitambo." Mara kila kitu kikawa kama ukungu na giza
110 Acts 13 41 | shangaeni mpotee! Kwa maana kitu ninachofanya sasa, nyakati
111 Acts 13 41 | ninachofanya sasa, nyakati zenu, ni kitu ambacho hamtakiamini hata
112 Acts 17 25 | kupumua na anawapa kila kitu.~
113 Acts 19 27 | ya mungu Artemi kuwa si kitu cha maana. Hatimaye sifa
114 Acts 20 24 | siuthamini uhai wangu kuwa ni kitu sana kwangu. Nataka tu nikamilishe
115 Acts 21 34 | watu walikuwa wanapayuka kitu hiki na wengine kitu kingine.
116 Acts 21 34 | wanapayuka kitu hiki na wengine kitu kingine. Kwa sababu ya ghasia
117 Acts 21 37 | akisema, "Naweza kukwambia kitu?" Yule mkuu wa jeshi akamjibu, "
118 Acts 23 17 | huyu kwa mkuu wa jeshi; ana kitu cha kumwambia."~
119 Acts 27 28 | kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha
120 Acts 27 33 | mashaka na bila kula; hamjala kitu chochote.~
121 Roma 4 2 | matendo yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu.~
122 Roma 4 14 | nayo ahadi ya Mungu si kitu.~
123 Roma 7 7 | mimi nisingalijua dhambi ni kitu gani. Maana, nisingalijua
124 Roma 7 8 | Maana, bila Sheria dhambi ni kitu kilichokufa.~
125 Roma 7 17 | si mimi hasa ninayefanya kitu hicho, bali ile dhambi iliyo
126 Roma 8 18 | ya wakati huu wa sasa si kitu kamwe kama tukiyafananisha
127 Roma 8 38 | ninajua hakika kwamba hakuna kitu kiwezacho kututenganisha
128 Roma 11 35 | 35 Au, nani aliyempa yeye kitu kwanza hata aweze kulipwa
129 Roma 11 35 | hata aweze kulipwa tena kitu hicho?"~
130 Roma 12 3 | nyote: msijione kuwa ni kitu zaidi kuliko mnavyopaswa
131 Roma 14 2 | yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye
132 Roma 14 3 | 3 Mtu ambaye hula kila kitu asimdharau yule ambaye hawezi
133 Roma 14 3 | ambaye hawezi kula kila kitu; naye ambaye hula tu mboga
134 Roma 14 3 | asimhukumu anayekula kila kitu, maana Mungu amemkubali.~
135 Roma 14 14 | nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi
136 Roma 14 14 | lakini, mtu akidhani kwamba kitu fulani ni najisi, basi,
137 Roma 14 16 | 16 Basi, msikubalie kitu mnachokiona kuwa kwenu ni
138 Roma 14 16 | mnachokiona kuwa kwenu ni kitu chema kidharauliwe.~
139 Roma 15 18 | 18 Sithubutu kusema kitu kingine chochote isipokuwa
140 1Cor 1 5 | mmetajirishwa katika kila kitu. Mmejaliwa elimu yote na
141 1Cor 2 10 | Maana Roho huchunguza kila kitu hata mambo ya ndani kabisa
142 1Cor 2 15 | kubainisha ubora wa kila kitu, naye mwenyewe hahukumiwi
143 1Cor 3 21 | asijivunie watu. Maana kila kitu ni chenu.~
144 1Cor 4 3 | 3 Kwangu mimi si kitu nikihukumiwa na ninyi, au
145 1Cor 4 7 | amekupendelea wewe? Una kitu gani wewe ambacho hukupewa?
146 1Cor 5 2 | kuomboleza, na huyo aliyefanya kitu hicho aondolewe miongoni
147 1Cor 6 12 | kusema: "Kwangu mimi kila kitu ni halali." Sawa; lakini
148 1Cor 6 12 | halali." Sawa; lakini si kila kitu kinafaa. Nakubali kwamba
149 1Cor 6 12 | kinafaa. Nakubali kwamba kila kitu ni halali kwangu lakini
150 1Cor 6 12 | lakini sitaki kutawaliwa na kitu chochote.~
151 1Cor 7 19 | kutahiriwa au kutotahiriwa si kitu; kilicho muhimu ni kuzishika
152 1Cor 7 30 | wanaonunua wawe kama hawana kitu;~
153 1Cor 8 2 | Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote
154 1Cor 8 4 | twajua kwamba sanamu si kitu duniani; twajua kwamba Mungu
155 1Cor 8 8 | Tukiacha kukila hatupungukiwi kitu, tukikila hatuongezewi kitu.~
156 1Cor 8 8 | kitu, tukikila hatuongezewi kitu.~
157 1Cor 9 12 | yake, tumestahimili kila kitu ili tusiiwekee kizuizi chochote
158 1Cor 9 18 | 18 Mshahara wangu ni kitu gani, basi? Mshahara wangu
159 1Cor 9 22 | dhaifu. Nimejifanya kila kitu kwa wote ili nipate kuwaokoa
160 1Cor 10 19 | kilichotambikiwa sanamu ni kitu zaidi ya chakula? Na hizo
161 1Cor 10 19 | Na hizo sanamu, je, ni kitu kweli zaidi ya sanamu?~
162 1Cor 11 11 | mbele ya Bwana mwanamke si kitu bila mwanamume, naye mwanamume
163 1Cor 11 11 | mwanamume, naye mwanamume si kitu bila mwanamke.~
164 1Cor 11 12 | huzaliwa na mwanamke; kila kitu hutoka kwa Mungu.~
165 1Cor 11 13 | kumwomba Mungu bila kuvaa kitu kichwani?~
166 1Cor 11 22 | kuwaaibisha hao wasio na kitu? Niwaambie nini? Niwasifu?
167 1Cor 13 2 | siri zote na kujua kila kitu; naweza kuwa na imani yote
168 1Cor 13 2 | kama sina upendo mimi si kitu.~
169 1Cor 14 9 | kama ulimi wenu hausemi kitu chenye kueleweka, nani ataweza
170 1Cor 15 32 | hapa Efeso kungalinifaa kitu gani? Kama wafu hawafufuki,
171 2Cor 1 12 | 12 Sisi tunajivunia kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia
172 2Cor 6 4 | watumishi wa Mungu kwa kila kitu: kwa uvumilivu mwingi wakati
173 2Cor 6 10 | chochote, kumbe tuna kila kitu.~
174 2Cor 6 17 | mkajitenge nao, msiguse kitu najisi, nami nitawapokea.~
175 2Cor 8 7 | 7 Ninyi mna kila kitu: imani, uwezo wa kusema,
176 2Cor 8 9 | ingawa alikuwa na kila kitu, alijifanya maskini kwa
177 2Cor 9 8 | mpate daima kuwa na kila kitu mnachohitaji, na hivyo mzidi
178 2Cor 9 11 | atawatajirisha ninyi daima kwa kila kitu, ili watu wapate kumshukuru
179 2Cor 10 10 | anapoongea maneno yake ni kama si kitu."~
180 2Cor 11 9 | Makedonia waliniletea kila kitu nilichohitaji. Nilikuwa
181 2Cor 11 21 | yeyote anayethubutu kujivunia kitu - nasema kama mtu mpumbavu -
182 2Cor 12 11 | kunisifu. Maana, ingawa mimi si kitu, kwa vyovyote, mimi si mdogo
183 Gala 2 6 | hivyo au sivyo, kwangu si kitu, maana Mungu hahukumu kwa
184 Gala 2 6 | watu hawa hawakuwa na kitu cha kuongeza katika Habari
185 Gala 2 10 | 10 Wakatuomba lakini kitu kimoja: tuwakumbuke maskini;
186 Gala 3 2 | 2 Napenda kujua tu kitu kimoja kutoka kwenu: Je,
187 Gala 3 15 | anayeuweka kando au kuuongezea kitu.~
188 Gala 3 19 | ili kuonyesha uhalifu ni kitu gani, mpaka atakapokuja
189 Gala 3 28 | mwanamume na mwanamke. Nyote ni kitu kimoja katika kuungana na
190 Gala 6 3 | 3 Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo
191 Gala 6 3 | kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.~
192 Gala 6 15 | Kutahiriwa au kutotahiriwa si kitu; cha maana ni kuwa kiumbe
193 Ephe 1 10 | pamoja viumbe vyote, kila kitu mbinguni na duniani, chini
194 Ephe 1 11 | 11 Kila kitu hufanywa kufuatana na mpango
195 Ephe 2 9 | wenyewe, asije mtu akajivunia kitu.~
196 Ephe 4 28 | mikono yake, apate kuwa na kitu cha kumsaidia mtu aliye
197 Ephe 6 9 | mbinguni, kwake cheo cha mtu si kitu.~
198 Colo 1 11 | ili mweze kustahimili kila kitu kwa uvumilivu.~
199 Colo 2 15 | na wakuu; aliwafanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa
200 Colo 3 5 | Basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho ndani yenu ambacho
201 Colo 3 11 | aliye huru. Kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.~
202 Colo 3 14 | upendo huunganisha kila kitu katika umoja ulio kamili.~
203 1The 5 3 | watakapokuwa wanasema: "Kila kitu ni shwari na salama" ndipo
204 1The 5 21 | 21 Pimeni kila kitu: zingatieni kilicho chema,~
205 2The 2 4 | 4 Yeye atapinga kila kitu wanachokiona watu kuwa ni
206 2The 2 6 | 6 Lakini kuna kitu kinachomzuia sasa, nanyi
207 2The 2 6 | kinachomzuia sasa, nanyi mwakijua kitu hicho. Basi, huyo Mwovu
208 1Tim 4 4 | 4 Kila kitu alichoumba Mungu ni chema,
209 1Tim 4 5 | Mungu na sala hukifanya kitu hicho kikubalike kwa Mungu.~
210 1Tim 6 7 | 7 Maana hatukuleta kitu chochote hapa duniani, wala
211 2Tim 2 10 | na hivyo navumilia kila kitu kwa ajili ya wateule wa
212 Titus 1 15| 15 Kila kitu ni safi kwa watu walio safi;
213 Titus 3 13| uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.~
214 Phil 1 11 | wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi
215 Phil 1 18 | Kama alikuwa amekukosea kitu, au alikuwa na deni lako,
216 Hebr 2 8 | 8 ukaweka kila kitu chini ya miguu yake, avitawale."
217 Hebr 4 13 | kilichofichika mbele ya Mungu; kila kitu kimefunuliwa wazi mbele
218 Hebr 5 2 | kuwaonea huruma wale wasiojua kitu na wanaofanya makosa.~
219 Hebr 7 18 | ilikuwa hafifu na isiyofaa kitu.~
220 Hebr 8 3 | Mkuu wetu lazima pia awe na kitu cha kutolea.~
221 Hebr 8 5 | alimwambia: "Tengeneza kila kitu kufuatana na ule mfano ulioonyeshwa
222 Hebr 9 22 | kadiri ya Sheria karibu kila kitu chaweza kutakaswa kwa damu,
223 James 1 25| atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.~
224 James 1 26| ulimi wake, dini yake haifai kitu, na anajidanganya mwenyewe.~
225 James 2 16| 16 Yafaa kitu gani ninyi kuwaambia hao: "
226 James 3 8 | kuufuga ulimi. Ulimi ni kitu kiovu, hakitawaliki, na
227 James 5 12| wala kwa dunia, wala kwa kitu kingine chochote. Semeni "
228 1Pet 4 11 | 11 Anayesema kitu, maneno yake na yawe kama
229 1Pet 4 12 | kana kwamba mnapatwa na kitu kisicho cha kawaida.~
230 2Pet 3 8 | wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! Mbele ya Bwana,
231 2Pet 3 10 | itatoweka pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake.~
232 2Pet 3 11 | 11 Maadamu kila kitu kitaharibiwa namna hiyo,
233 1Joh 2 27 | wake anawafundisheni kila kitu na mafundisho yake ni ya
234 1Joh 3 20 | na kwamba yeye ajua kila kitu.~
235 3Joh 1 4 | 4 Hakuna kitu kinachonifurahisha zaidi
236 Rev 1 13 | katikati yake kulikuwa na kitu kama mtu, naye alikuwa amevaa
237 Rev 2 6 | 6 Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: wewe unayachukia
238 Rev 3 17 | ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote.` Kumbe, hujui
239 Rev 4 6 | kiti cha enzi kulikuwa na kitu kama bahari ya kioo, angavu
240 Rev 4 11 | na kwa matakwa yako kila kitu kimepewa uhai na uzima."~ ~ ~~ ~
241 Rev 6 6 | 6 Nikasikia kitu kama sauti itokayo kwa vile
242 Rev 8 8 | akapiga tarumbeta yake. Na kitu kama mlima mkubwa unaowaka
243 Rev 9 9 | vyao vilikuwa vimefunikwa kitu kama ngao ya chuma. Sauti
244 Rev 12 11 | hawakuyathamini maisha yao kuwa kitu sana, wakawa tayari kufa.~
245 Rev 13 17 | yeyote kununua au kuuza kitu isipokuwa tu mtu aliyetiwa
246 Rev 15 2 | 2 Kisha nikaona kitu kama bahari ya kioo, imechanganywa
247 Rev 17 16 | mzinzi. Watachukua kila kitu alicho nacho na kumwacha
248 Rev 18 19 | saa moja tu umepoteza kila kitu!"~
249 Rev 19 1 | Baada ya hayo nikasikia kitu kama sauti kubwa ya umati
250 Rev 19 6 | 6 Kisha nikasikia kitu kama sauti ya umati mkubwa
251 Rev 22 3 | 3 Hapana kitu chochote kilicholaaniwa
|