Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
waweze 7
wawili 147
wawiliwawili 2
wayahudi 218
wayakabili 1
wayaone 1
wayapatie 1
Frequency    [«  »]
223 18
223 wangu
218 mara
218 wayahudi
216 moja
215 huo
215 mkuu

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

wayahudi

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 11| zake. Huo ulikuwa wakati Wayahudi walipopelekwa uhamishoni 2 Matt 1 12| 12 Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishomi Babuloni: 3 Matt 1 17| vinne tangu Daudi mpaka Wayahudi walipochukuliwa mateka Babuloni, 4 Matt 2 2 | Yuko wapi mtoto, Mfalme wa Wayahudi, aliyezaliwa? Tumeiona nyota 5 Matt 27 11| Je, wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?" Yesu akamwambia, "Wewe 6 Matt 27 15| mkuu wa mkoa kuwafungulia Wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.~ 7 Matt 27 29| wakisema, "Shikamoo mfalme wa Wayahudi!"~ 8 Matt 27 37| Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi."~ 9 Matt 27 42| hawezi! Eti yeye ni mfalme wa Wayahudi! Basi, sasa na ashuke msalabani, 10 Matt 28 15| Habari hiyo imeenea kati ya Wayahudi mpaka leo.~ 11 Mark 7 3 | 3 Maana Mafarisayo na Wayahudi wengine wote huzingatia 12 Mark 15 2 | Je, wewe ni mfalme wa Wayahudi?" Yesu akajibu, "Wewe umesema."~ 13 Mark 15 9 | niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?"~ 14 Mark 15 12| huyu mnayemwita Mfalme wa Wayahudi?"~ 15 Mark 15 18| kumsalimu, "Shikamoo Mfalme wa Wayahudi!"~ 16 Mark 15 26| ulikuwa umeandikwa: "Mfalme wa Wayahudi."~ 17 Luke 7 3 | aliwatuma wazee fulani Wayahudi waende kumwomba aje amponye 18 Luke 23 3 | Yesu, "Wewe ni Mfalme wa Wayahudi?" Yesu akamjibu, "Wewe umesema."~ 19 Luke 23 37| kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe."~ 20 Luke 23 38| yake: "Huyu ndiye Mfalme wa Wayahudi."~ 21 Luke 23 50| mwenyeji wa kijiji kimoja cha Wayahudi kiitwacho Armathaya. Alikuwa 22 Luke 23 51| alikuwa mmoja wa Baraza kuu la Wayahudi, hakuwa amekubaliana nao 23 John 1 19| alioutoa wakati viongozi wa Wayahudi kule Yerusalemu walipowatuma 24 John 2 13| 13 Sikukuu ya Wayahudi ya Pasaka ilikuwa imekaribia; 25 John 2 18| 18 Baadhi ya Wayahudi wakamwuliza Yesu, "Utafanya 26 John 2 20| 20 Hapo Wayahudi wakasema, "Hekalu hili lilijengwa 27 John 4 9 | Unawezaje kuniomba maji?" (Wayahudi hawakuwa na ushirikiano 28 John 4 22| maana wokovu unatoka kwa Wayahudi.~ 29 John 5 1 | hayo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, naye Yesu akaenda Yerusalemu.~ 30 John 5 11| 10 Kwa hiyo baadhi ya Wayahudi wakamwambia huyo mtu aliyeponywa, " 31 John 5 16| akawaambia viongozi wa Wayahudi kwamba Yesu ndiye aliyemponya.~ 32 John 5 17| jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi walianza kumdhulumu.~ 33 John 5 19| maneno haya, viongozi wa Wayahudi walizidi kutafuta njia ya 34 John 6 4 | 4 Sikukuu ya Wayahudi iitwayo Pasaka ilikuwa imekaribia.~ 35 John 6 41| 41 Basi, Wayahudi wakaanza kunung`unika kwa 36 John 6 52| 52 Ndipo Wayahudi wakaanza kubishana kati 37 John 7 1 | Yudea kwa sababu viongozi wa Wayahudi walikuwa wanataka kumwua.~ 38 John 7 2 | 2 Sikukuu ya Vibanda ya Wayahudi ilikuwa imekaribia.~ 39 John 7 11| 11 Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye 40 John 7 13| kwa kuwaogopa viongozi wa Wayahudi.~ 41 John 7 15| 15 Basi, Wayahudi wakashangaa na kusema "Mtu 42 John 7 35| 35 Viongozi wa Wayahudi wakasema wao kwa wao, "Mtu 43 John 7 35| hatutaweza kumpata? Atakwenda kwa Wayahudi waliotawanyika kati ya Wagiriki, 44 John 8 22| 22 Basi, viongozi wa Wayahudi wakasema, "Je, atajiua? 45 John 8 31| Basi, Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, "Kama mkiyazingatia 46 John 8 48| 48 Wayahudi wakamwambia, "Je, hatukusema 47 John 8 52| 52 Basi, Wayahudi wakasema, "Sasa tunajua 48 John 8 57| 57 Basi, Wayahudi wakamwambia, "Wewe hujatimiza 49 John 9 18| 18 Viongozi wa Wayahudi hawakusadiki kwamba mtu 50 John 9 22| waliwaogopa viongozi wa Wayahudi kwani viongozi hao walikuwa 51 John 10 19| tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.~ 52 John 10 24| 24 Basi, Wayahudi wakamzunguka, wakamwuliza, " 53 John 10 31| 31 Basi, Wayahudi wakachukua mawe ili wamtupie.~ 54 John 10 33| 33 Wayahudi wakamjibu, "Hatukupigi mawe 55 John 11 8 | Muda mfupi tu umepita tangu Wayahudi walipotaka kukuua kwa mawe, 56 John 11 19| 19 Wayahudi wengi walikuwa wamefika 57 John 11 31| 31 Basi, Wayahudi waliokuwa nyumbani pamoja 58 John 11 33| alipomwona analia, na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye wanalia 59 John 11 36| 36 Basi, Wayahudi wakasema, "Tazameni jinsi 60 John 11 45| 45 Basi, Wayahudi wengi waliokuwa wamefika 61 John 11 53| tangu siku hiyo viongozi wa Wayahudi walifanya mipango ya kumwua 62 John 11 54| hakutembea tena hadharani kati ya Wayahudi, bali alitoka hapo, akaenda 63 John 11 55| 55 Sikukuu ya Wayahudi ya Pasaka ilikuwa karibu, 64 John 12 9 | 9 Wayahudi wengi walisikia kwamba Yesu 65 John 12 11| Maana kwa sababu ya Lazaro Wayahudi wengi waliwaasi viongozi 66 John 12 42| hivyo, wengi wa viongozi wa Wayahudi walimwamini Yesu. Lakini 67 John 13 33| niliyowaambia viongozi wa Wayahudi: `Niendako ninyi hamwezi 68 John 18 12| mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga~ 69 John 18 14| ndiye aliyekuwa amewashauri Wayahudi kwamba ni afadhali mtu mmoja 70 John 18 20| Hekaluni, mahali wakutanikiapo Wayahudi wote; na wala sijasema chochote 71 John 18 31| kufuatana na Sheria yenu." Wayahudi wakamjibu, "Sisi hatuna 72 John 18 33| Ati wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?"~ 73 John 18 36| wangenipigania nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini sasa ufalme wangu 74 John 18 38| sema hayo, aliwaendea tena Wayahudi nje, akawaambia, "Mimi sioni 75 John 18 39| niwafungulieni Mfalme wa Wayahudi?"~ 76 John 19 3 | kusema: "Shikamoo, Mfalme wa Wayahudi!" Wakampiga makofi.~ 77 John 19 7 | 7 Wayahudi wakamjibu, "Sisi tunayo 78 John 19 12| njia ya kumwachilia, lakini Wayahudi wakapiga kelele: "Ukimwachilia 79 John 19 14| Pasaka. Pilato akawaambia Wayahudi, "Tazameni, Mfalme wenu!"~ 80 John 19 19| Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi."~ 81 John 19 20| 20 Wayahudi wengi waliisoma ilani hiyo, 82 John 19 21| Usiandike: `Mfalme wa Wayahudi`, ila `Yeye alisema, Mimi 83 John 19 21| alisema, Mimi ni Mfalme wa Wayahudi."`~ 84 John 19 31| Sabato ilikuwa siku kubwa, Wayahudi walimwomba Pilato miguu 85 John 19 38| maana aliwaogopa viongozi wa Wayahudi). Basi, Pilato akamruhusu. 86 John 19 40| kufuatana na desturi ya Wayahudi katika kuzika.~ 87 John 19 42| kwa sababu ya shughuli za Wayahudi za maandalio ya Sabato, 88 John 20 19| waliwaogopa viongozi wa Wayahudi. Basi, Yesu akaja, akasimama 89 Acts 2 5 | huko Yerusalemu walikuwako Wayahudi, watu wamchao Mungu, waliotoka 90 Acts 2 11| 11 Wayahudi na watu walioongokea dini 91 Acts 2 14| kwa sauti kubwa: "Ndugu Wayahudi nanyi nyote mnaokaa hapa 92 Acts 4 5 | Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na walimu wa Sheria, 93 Acts 5 21| halmashauri yote ya wazee wa Wayahudi halafu wakawatuma watu gerezani 94 Acts 9 22| kwamba Yesu ndiye Kristo, Wayahudi wa huko Damasko walivurugika 95 Acts 9 23| Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi walikusanyika na kufanya 96 Acts 9 29| aliongea na kubishana na Wayahudi wasemao Kigiriki, lakini 97 Acts 10 22| mwenye kuheshimika mbele ya Wayahudi wote ametutuma. Aliambiwa 98 Acts 10 37| lililotukia katika nchi yote ya Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya 99 Acts 10 39| aliyotenda katika nchi ya Wayahudi na katika Yerusalemu. Walimuua 100 Acts 10 45| 45 Wale Wayahudi waumini waliokuja pamoja 101 Acts 11 2 | aliporudi Yerusalemu, wale Wayahudi waumini waliopendelea watu 102 Acts 11 19| wakihubiri ule ujumbe kwa Wayahudi tu.~ 103 Acts 12 3 | kitendo hiki kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea, akamkamata 104 Acts 13 43| Mkutano huo ulipomalizika, Wayahudi wengi na watu wa mataifa 105 Acts 13 45| 45 Lakini Wayahudi walipoliona hilo kundi la 106 Acts 13 50| 50 Lakini Wayahudi waliwachochea wanawake wa 107 Acts 14 1 | walikwenda katika sunagogi la Wayahudi wakaongea kwa uhodari hata 108 Acts 14 1 | wakaongea kwa uhodari hata Wayahudi wengi na Wagiriki wakawa 109 Acts 14 2 | 2 Lakini Wayahudi wengine waliokataa kuwa 110 Acts 14 4 | wengine waliwaunga mkono Wayahudi, na wengine walikuwa upande 111 Acts 14 5 | watu wa mataifa mengine na Wayahudi, wakishirikiana na wakuu 112 Acts 14 19| 19 Lakini Wayahudi kadhaa walikuja kutoka Antiokia 113 Acts 16 3 | Alifanya hivyo kwa sababu Wayahudi wote walioishi sehemu hizo 114 Acts 16 20| wakisema, "Watu hawa ni Wayahudi na wanafanya fujo katika 115 Acts 17 1 | kulikuwa na sunagogi la Wayahudi.~ 116 Acts 17 5 | 5 Lakini Wayahudi wakaona wivu; wakawakodi 117 Acts 17 10| walikwenda katika sunagogi la Wayahudi.~ 118 Acts 17 13| 13 Lakini, Wayahudi wa Thesalonika walipogundua 119 Acts 17 17| 17 Alijadiliana na Wayahudi na watu wengine waliomcha 120 Acts 18 2 | Klaudio alikuwa ameamuru Wayahudi wote waondoke Roma. Paulo 121 Acts 18 4 | sunagogi akijaribu kuwavuta Wayahudi na Wagiriki.~ 122 Acts 18 5 | kuhubiri, akawathibitishia Wayahudi kwamba Yesu ndiye Kristo.~ 123 Acts 18 12| alipokuwa mkuu wa mkoa wa Akaya, Wayahudi walimvamia Paulo kwa pamoja 124 Acts 18 14| kusema, Galio aliwaambia Wayahudi, "Sikilizeni enyi Wayahudi! 125 Acts 18 14| Wayahudi, "Sikilizeni enyi Wayahudi! Kama kweli jambo hili lingekuwa 126 Acts 18 19| sunagogi, akajadiliana na Wayahudi.~ 127 Acts 18 28| aliendelea kwa uhodari kuwashinda Wayahudi hadharani akithibitisha 128 Acts 19 10| hata wakazi wote wa Asia, Wayahudi na watu wa mataifa mengine, 129 Acts 19 13| 13 Wayahudi kadhaa wenye kupunga pepo 130 Acts 19 33| 33 Kwa vile Wayahudi walimfanya Aleksanda ajitokeze 131 Acts 20 3 | Siria, aligundua kwamba Wayahudi walikuwa wanamfanyia mpango 132 Acts 20 19| kutokana na mipango ya hila ya Wayahudi.~ 133 Acts 20 21| 21 Niliwaonya wote - Wayahudi kadhalika na watu wa mataifa, 134 Acts 21 11| Roho Mtakatifu asema hivi: `Wayahudi kule Yerusalemu watamfunga 135 Acts 21 20| kuona kwamba kuna maelfu ya Wayahudi ambao sasa wamekuwa waumini 136 Acts 21 21| kwamba umekuwa ukiwafundisha Wayahudi wanaoishi kati ya mataifa 137 Acts 21 21| kwamba wasizifuate mila za Wayahudi.~ 138 Acts 21 27| saba zilipokaribia kuisha, Wayahudi waliokuwa wametoka katika 139 Acts 22 5 | walioandikiwa wale ndugu Wayahudi waliokuwa huko Damasko. 140 Acts 22 12| aliyeheshimika sana mbele ya Wayahudi waliokuwa wanaishi Damasko.~ 141 Acts 22 24| ili wapate kujua kisa cha Wayahudi kumpigia kelele.~ 142 Acts 23 12| 12 Kulipokucha, Wayahudi walifanya kikao cha faragha. 143 Acts 23 20| 20 Yeye akasema, "Wayahudi wamepatana wakuombe umpeleke 144 Acts 23 27| 27 "Wayahudi walimkamata mtu huyu na 145 Acts 23 30| Nilipofahamishwa kwamba Wayahudi walikuwa wamefanya njama 146 Acts 24 5 | huanzisha ghasia kati ya Wayahudi kila mahali duniani na pia 147 Acts 24 9 | 9 Nao Wayahudi waliunga mkono mashtaka 148 Acts 24 12| 12 Wayahudi hawakunikuta nikijadiliana 149 Acts 24 19| 19 Lakini kulikuwa na Wayahudi wengine kutoka mkoa wa Asia; 150 Acts 24 27| alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi, Felisi alimwacha Paulo 151 Acts 25 2 | wakuu pamoja na viongozi wa Wayahudi walimpa habari kuhusu mashtaka 152 Acts 25 7 | Wakati Paulo alipofika, Wayahudi waliokuwa wametoka Yerusalemu 153 Acts 25 8 | lolote kuhusu Sheria ya Wayahudi, wala kuhusu Hekalu, wala 154 Acts 25 9 | alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi na hivyo akamwuliza Paulo, " 155 Acts 25 10| unavyojua vizuri, sikuwatendea Wayahudi ubaya wowote.~ 156 Acts 25 15| makuhani wakuu na wazee wa Wayahudi walimshtaki na kuniomba 157 Acts 25 24| mtu ambaye jumuiya yote ya Wayahudi hapa na kule Yerusalemu 158 Acts 26 2 | yale mashtaka yote ambayo Wayahudi walikuwa wamesema juu yangu.~ 159 Acts 26 3 | ni mtaalamu wa desturi za Wayahudi na migogoro yao, ninakuomba 160 Acts 26 4 | 4 "Wayahudi wanajua habari za maisha 161 Acts 26 7 | usiku. Mheshimiwa mfalme, Wayahudi wananishtaki kwa sababu 162 Acts 26 21| 21 Kwa sababu hiyo, Wayahudi walinikamata nikiwa Hekaluni, 163 Acts 26 23| unawaangazia sasa watu wote, Wayahudi na pia watu wa mataifa mengine."~ 164 Acts 28 19| 19 Lakini Wayahudi wengine walipinga jambo 165 Roma 1 16| inayowaokoa wote wanaoamini: Wayahudi kwanza, na wasio Wayahudi 166 Roma 1 16| Wayahudi kwanza, na wasio Wayahudi pia.~ 167 Roma 2 9 | atendaye uovu. Yatawapata Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa 168 Roma 2 10| amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa 169 Roma 2 24| Mungu kwa sababu yenu ninyi Wayahudi!"~ 170 Roma 3 2 | Kwanza, Mungu aliwakabidhi Wayahudi ujumbe wake.~ 171 Roma 3 9 | Tuseme nini, basi? Je, sisi Wayahudi ni bora zaidi kuliko wengine? 172 Roma 3 9 | bainisha hapo mwanzoni kwamba Wayahudi na watu wa mataifa mengine 173 Roma 3 29| Au je, Mungu nu Mungu wa Wayahudi tu, ama pia wa watu wa mataifa 174 Roma 3 30| mmoja, naye atawakubali Wayahudi kuwa waadilifu kwa imani 175 Roma 9 24| si tu kutoka miongoni mwa Wayahudi bali pia kutoka kwa watu 176 Roma 10 12| kwani hakuna tofauti kati ya Wayahudi na wasio Wayahudi; Bwana 177 Roma 10 12| kati ya Wayahudi na wasio Wayahudi; Bwana wa wote ni mmoja, 178 Roma 11 11| 11 Basi, nauliza: je, Wayahudi wamejikwaa hata wakaangamia 179 Roma 11 11| wa mataifa mengine, ili Wayahudi wapate kuwaonea wivu.~ 180 Roma 11 12| 12 Kosa la Wayahudi limesababisha baraka nyingi 181 Roma 11 21| ikiwa Mungu hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya 182 Roma 11 23| 23 Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha 183 Roma 11 24| kwa asili si penu. Lakini, Wayahudi kwa asili ni kama mzeituni 184 Roma 11 25| wenye akili sana. Ukaidi wa Wayahudi ulikuwa ni wa muda tu, mpaka 185 Roma 11 28| wanaikataa Habari Njema, Wayahudi wamekuwa adui wa Mungu, 186 Roma 11 31| huruma mliyojaliwa ninyi, Wayahudi wanamwasi Mungu sasa ili 187 Roma 15 8 | nawaambieni Kristo aliwatumikia Wayahudi apate kuonyesha uaminifu 188 Roma 15 27| wameshiriki baraka za kiroho za Wayahudi, wanapaswa nao pia kuwahudumia 189 Roma 15 27| wanapaswa nao pia kuwahudumia Wayahudi katika mahitaji yao ya kidunia.~ 190 1Cor 1 22| 22 Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki 191 1Cor 1 23| Kristo aliyesulubiwa. Kwa Wayahudi jambo hili ni kikwazo, na 192 1Cor 1 24| lakini kwa wale walioitwa, Wayahudi kwa Wagiriki, Kristo ni 193 1Cor 9 20| 20 Kwa Wayahudi nimeishi kama Myahudi ili 194 1Cor 9 20| kama Myahudi ili niwapate Wayahudi; yaani, ingawa mimi siko 195 1Cor 10 18| 18 Chukueni, kwa mfano, Wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula 196 1Cor 10 32| 32 Msiwe kikwazo kwa Wayahudi au kwa Wagiriki au kwa kanisa 197 1Cor 12 13| 13 Maana sisi, tukiwa Wayahudi au watu wa mataifa mengine, 198 2Cor 11 24| viboko thelathini na tisa vya Wayahudi.~ 199 Gala 2 7 | alivyokuwa ametumwa kuihubiri kwa Wayahudi.~ 200 Gala 2 8 | aliyemwezesha Petro kuwa mtume kwa Wayahudi, ndiye aliyeniwezesha nami 201 Gala 2 9 | mengine, na wao kati ya Wayahudi.~ 202 Gala 2 13| 13 Hata ndugu wengine Wayahudi walimuunga mkono Petro katika 203 Gala 2 14| mataifa mengine kuishi kama Wayahudi?"~ 204 Gala 2 15| Kweli, sisi kwa asili ni Wayahudi, na si watu wa mataifa mengine 205 Ephe 2 11| mnaoitwa, "wasiotahiriwa" na Wayahudi ambao hujiita, "Waliotahiriwa," ( 206 Ephe 2 14| ametuletea amani kwa kuwafanya Wayahudi na watu wa mataifa mengine 207 Ephe 2 15| Aliiondoa ile Sheria ya Wayahudi pamoja na amri zake na kanuni 208 Ephe 2 17| mbali na Mungu, na pia kwa Wayahudi ambao walikuwa karibu na 209 Ephe 2 18| kwa njia yake, sisi sote, Wayahudi na watu wa mataifa mengine, 210 Ephe 3 6 | wanapata sehemu yao pamoja na Wayahudi katika zile baraka za Mungu; 211 Colo 4 11| anawasalimuni. Miongoni mwa Wayahudi waliokwisha pokea imani, 212 1The 2 14| walivyodhulumiwa na wenzao Wayahudi,~ 213 Hebr 9 25| 25 Kuhani Mkuu wa Wayahudi huingia Mahali Patakatifu 214 Hebr 10 1 | 1 Sheria ya Wayahudi si picha kamili ya mambo 215 Hebr 13 10| wanaotumikia bado katika hema la Wayahudi, hawana haki ya kula vitu 216 Rev 2 9 | walizokufanyia wale wanaojiita Wayahudi lakini si Wayahudi wa kweli, 217 Rev 2 9 | wanaojiita Wayahudi lakini si Wayahudi wa kweli, bali ni kundi 218 Rev 3 9 | watu ambao hujisema kuwa ni Wayahudi, kumbe ni wadanganyifu.


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License