Book, Chapter, Verse
1 Matt 3 16 | 16 Mara tu Yesu alipokwisha batizwa,
2 Matt 4 20 | 20 Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
3 Matt 4 22 | 22 nao mara wakaiacha mashua pamoja
4 Matt 8 3 | kusema, "Nataka! Takasika." Mara huyo mtu akapona ukoma wake.~
5 Matt 9 14 | Sisi na Mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi
6 Matt 9 33 | 33 Mara tu huyo pepo alipotolewa,
7 Matt 13 5 | na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa
8 Matt 13 20 | mtu asikiaye ujumbe huo na mara akaupokea kwa furaha.~
9 Matt 13 21 | ujumbe huo, anakata tamaa mara.~
10 Matt 14 22 | 22 Mara, Yesu akawaamuru wanafunzi
11 Matt 14 27 | 27 Mara, Yesu akasema nao, "Tulieni,
12 Matt 17 15 | kifafa, tena anateseka sana; mara nyingi yeye huanguka motoni
13 Matt 18 21 | yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?"~
14 Matt 18 21 | akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?"~
15 Matt 18 22 | 22 Yesu akamjibu, "Sisemi mara saba tu, bali sabini mara
16 Matt 18 22 | mara saba tu, bali sabini mara saba.~
17 Matt 19 29 | kwa ajili yangu, atapokea mara mia zaidi, na kupata uzima
18 Matt 21 3 | anawahitaji,` naye atawaachieni mara."~
19 Matt 23 37 | wale waliotumwa kwako. Mara ngapi nimejaribu kuwakusanya
20 Matt 24 29 | 29 "Mara baada ya dhiki ya siku hizo,
21 Matt 24 32 | mtini jifunzeni mfano huu: Mara tu matawi yake yanapoanza
22 Matt 25 16 | 16 Mara yule aliyekabidhiwa talanta
23 Matt 26 34 | jogoo hajawika, utanikana mara tatu."~
24 Matt 26 42 | 42 Akaenda tena mara ya pili akasali: "Baba yangu,
25 Matt 26 44 | akawaacha, akaenda tena kusali mara ya tatu kwa maneno yaleyale.~
26 Matt 26 47 | alipokuwa bado anasema nao, mara akaja Yuda, mmoja wa wale
27 Matt 26 53 | kumwomba Baba yangu naye mara angeniletea zaidi ya majeshi
28 Matt 26 74 | akisema, "Simjui mtu huyo!" Mara jogoo akawika.~
29 Matt 26 75 | jogoo hajawika, utanikana mara tatu." Basi, akatoka nje
30 Matt 28 9 | 9 Mara, Yesu akakutana nao, akawasalimu: "
31 Mark 1 10 | 10 Mara tu alipotoka majini, aliona
32 Mark 1 12 | 12 Mara akaongozwa na Roho kwenda
33 Mark 1 18 | 18 Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.~
34 Mark 1 20 | 20 Yesu akawaita mara, nao wakamwacha baba yao
35 Mark 1 21 | Wakafika mjini Kafarnaumu, na mara ilipofika Sabato, Yesu akaingia
36 Mark 1 23 | 23 Mara akatokea mle ndani ya sunagogi
37 Mark 1 30 | homa kali. Wakamwarifu Yesu mara alipowasili.~
38 Mark 1 42 | 42 Mara ukoma ukamwacha mtu huyo,
39 Mark 2 8 | 8 Yesu alitambua mara mawazo yao, akawaambia, "
40 Mark 2 12 | 12 Mara, watu wote wakiwa wanamtazama,
41 Mark 3 6 | 6 Mara Mafarisayo wakatoka nje,
42 Mark 4 5 | mwingi. Mbegu hizo ziliota mara kwa kuwa udongo haukuwa
43 Mark 4 15 | hulisikia hilo neno lakini mara Shetani huja na kuliondoa
44 Mark 4 16 | zilizopandwa penye mawe. Mara tu wanapolisikia hilo neno
45 Mark 4 17 | kwa sababu ya hilo neno mara wanakata tamaa.~
46 Mark 5 2 | 2 Mara tu Yesu aliposhuka mashuani,
47 Mark 5 4 | 4 Mara nyingi walimfunga kwa pingu
48 Mark 5 4 | na minyororo lakini kila mara aliweza kuikata hiyo minyororo
49 Mark 5 29 | 29 Mara chemchemi ya damu yake ikakauka,
50 Mark 5 30 | 30 Yesu alitambua mara kwamba nguvu imemtoka. Basi
51 Mark 5 42 | 42 Mara msichana akasimama, akaanza
52 Mark 6 45 | 45 Mara Yesu akawaamuru wanafunzi
53 Mark 6 50 | walipomwona waliogopa sana. Mara Yesu akasema nao, "Tulieni,
54 Mark 6 54 | 54 Walipotoka mashuani, mara watu wakamtambua Yesu.~
55 Mark 7 35 | 35 Mara masikio yake yakafunguka
56 Mark 8 10 | 10 na mara akapanda mashua pamoja na
57 Mark 9 8 | 8 Mara wanafunzi hao wakatazama
58 Mark 9 15 | 15 Mara tu ule umati wa watu ulipomwona,
59 Mark 9 18 | 18 Kila mara anapomvamia, humwangusha
60 Mark 9 20 | 20 Wakampeleka. Mara tu huyo pepo alipomwona
61 Mark 9 22 | 22 Na mara nyingi pepo huyo amemwangusha
62 Mark 10 30 | 30 atapokea mara mia zaidi wakati huu wa
63 Mark 10 52 | imani yako imekuponya." Mara huyo kipofu akaweza kuona,
64 Mark 11 3 | anamhitaji na atamrudisha hapa mara."` ic\is Bethania (Marko
65 Mark 13 28 | mtini jifunzeni mfano huu: Mara tu matawi yake yanapoanza
66 Mark 14 30 | huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu."~
67 Mark 14 30 | hajawika mara mbili, utanikana mara tatu."~
68 Mark 14 41 | 41 Alipowajia mara ya tatu aliwaambia, "Mnalala
69 Mark 14 72 | 72 Hapo jogoo akawika mara ya pili. Basi, Petro akakumbuka
70 Mark 14 72 | amemwambia: "Kabla jogoo hajawika mara mbili, utanikana mara tatu."
71 Mark 14 72 | hajawika mara mbili, utanikana mara tatu." Petro akabubujika
72 Luke 1 41 | 41 Mara tu Elisabeti aliposikia
73 Luke 1 44 | 44 Nakwambia, mara tu niliposikia sauti yako,
74 Luke 2 2 | Kuandikishwa huku kulikuwa mara ya kwanza, wakati Kirenio
75 Luke 2 13 | 13 Mara kundi kubwa la jeshi la
76 Luke 4 5 | pa juu, akamwonyesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu.
77 Luke 4 39 | ile homa, nayo ikamwacha. Mara yule mama akainuka, akawatumikia.~
78 Luke 5 13 | kusema, "Nataka, takasika!" Mara ule ukoma ukamwacha.~
79 Luke 5 18 | 18 Mara watu wakaja wamemchukua
80 Luke 5 25 | 25 Mara, huyo mtu aliyepooza akasimama
81 Luke 5 33 | Yohane mbatizaji hufunga mara nyingi na kusali; hata wafuasi
82 Luke 8 29 | alikuwa anamvamia mtu huyo mara nyingi, na ingawa watu walimweka
83 Luke 8 29 | minyororo na pingu, lakini kila mara alivivunja vifungo hivyo,
84 Luke 8 47 | na jinsi alivyoponyeshwa mara moja.~
85 Luke 8 55 | yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru wampe chakula.~ ~~ ~
86 Luke 9 34 | alipokuwa akisema hayo, mara wingu likatokea na kuwafunika;
87 Luke 9 39 | Pepo huwa anamshambulia, na mara humfanya apige kelele; humtia
88 Luke 10 7 | anastahili mshahara wake. Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile.~
89 Luke 10 7 | Msiende mara nyumba hii mara nyumba ile.~
90 Luke 12 36 | arusini, ili wamfungulie mara atakapobisha hodi.~
91 Luke 12 54 | yakitokea upande wa magharibi, mara mwasema: `Mvua itanyesha`,
92 Luke 13 13 | 13 Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena,
93 Luke 13 34 | mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetaka kuwakusanya
94 Luke 15 29 | sijavunja amri yako hata mara moja. Umenipa nini? Hujanipa
95 Luke 15 30 | yako pamoja na makahaba, mara tu alipokuja umemchinjia
96 Luke 17 4 | 4 Na kama akikukosea mara saba kwa siku, na kila mara
97 Luke 17 4 | mara saba kwa siku, na kila mara akarudi kwako akisema `Nimetubu`,
98 Luke 18 3 | ambaye alimwendea huyo hakimu mara nyingi akimwomba amtetee
99 Luke 18 12 | 12 Nafunga mara mbili kwa juma, natoa zaka
100 Luke 18 43 | 43 Na mara yule aliyekuwa kipofu akapata
101 Luke 19 8 | yeyote kitu, nitamrudishia mara nne."~
102 Luke 19 15 | baada ya kufanywa mfalme, na mara akaamuru wale watumishi
103 Luke 19 16 | faida iliyopatikana ni mara kumi ya zile fedha ulizonipa.`~
104 Luke 19 18 | faida iliyopatikana ni mara tano ya zile fedha ulizonipa.`~
105 Luke 19 24 | mkampe yule aliyepata faida mara kumi.`~
106 Luke 19 25 | ana faida ya kiasi hicho mara kumi!`~
107 Luke 22 34 | hajawika leo utakuwa umenikana mara tatu."~
108 Luke 22 61 | jogoo hajawika, utanikana mara tatu."~
109 Luke 23 22 | 22 Pilato akawaambia mara ya tatu, "Amefanya kosa
110 Luke 24 4 | wanashangaa juu ya jambo hilo, mara watu wawili waliovaa mavazi
111 Luke 24 31 | 31 Mara macho yao yakafumbuliwa,
112 John 3 4 | mwa mama yake na kuzaliwa mara ya pili!"~
113 John 5 5 | 4 maana mara kwa mara malaika alishuka
114 John 5 5 | 4 maana mara kwa mara malaika alishuka majini
115 John 5 10 | 9 Mara huyo mtu akapona, akachukua
116 John 6 21 | kumchukua Yesu katika mashua; na mara mashua ikawasili nchi kavu
117 John 11 29 | aliposikia hivyo, akainuka mara, akamwendea Yesu.~
118 John 12 6 | kwa kuwa alikuwa mwizi, mara kwa mara aliiba kutoka katika
119 John 12 6 | alikuwa mwizi, mara kwa mara aliiba kutoka katika hiyo
120 John 13 30 | kipande cha mkate, akatoka nje mara. Na ilikuwa usiku.~
121 John 13 32 | mwenyewe, na atafanya hivyo mara.~
122 John 13 38 | jogoo hajawika utanikana mara tatu!"~ ~ ~~ ~
123 John 18 2 | alipajua mahali hapo kwani mara nyingi Yesu alikutana na
124 John 18 20 | mtu daima hadharani. Kila mara nimefundisha katika masunagogi
125 John 18 27 | 27 Petro akakana tena; mara jogoo akawika.~
126 John 19 34 | alimtoboa ubavuni kwa mkuki, na mara ikatoka damu na maji.~
127 John 21 14 | 14 Hii ilikuwa mara ya tatu Yesu kuwatokea wanafunzi
128 John 21 16 | 16 Kisha akamwambia mara ya pili, "Simoni mwana wa
129 John 21 17 | 17 Akamwuliza mara ya tatu, "Simoni mwana wa
130 John 21 17 | akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: "Wanipenda?" akamwambia, "
131 Acts 1 3 | ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo
132 Acts 1 10 | angani, akiwa anakwenda zake, mara watu wawili waliokuwa wamevaa
133 Acts 4 23 | 23 Mara tu walipoachwa huru, Petro
134 Acts 5 10 | 10 Mara Safira akaanguka mbele ya
135 Acts 7 12 | zetu, waende huko Misri mara ya kwanza.~
136 Acts 9 18 | 18 Mara vitu kama magamba vikaanguka
137 Acts 9 20 | 20 Mara alianza kuhubiri katika
138 Acts 9 34 | kitanda chako." Enea akaamka mara.~
139 Acts 10 16 | 16 Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa
140 Acts 11 10 | 10 Jambo hilo lilifanyika mara tatu, na mwishowe vyote
141 Acts 11 26 | Huko Antiokia, ndiko, kwa mara ya kwanza, wafuasi waliitwa
142 Acts 12 7 | akamgusa akisema, "Amka upesi!" Mara ile minyororo ikaanguka
143 Acts 12 10 | katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha Petro
144 Acts 13 10 | kilicho cha kweli; hukomi hata mara moja kujaribu kuzipotosha
145 Acts 13 11 | mwanga wa jua kwa kitambo." Mara kila kitu kikawa kama ukungu
146 Acts 16 10 | 10 Mara baada ya Paulo kuona ono
147 Acts 16 18 | Yesu Kristo, mtoke huyu!" Mara huyo pepo akamtoka.~
148 Acts 16 26 | uliitikisa misingi ya gereza. Mara, milango yote ikafunguka
149 Acts 17 10 | Paulo na Sila waende Berea. Mara tu walipofika huko, walikwenda
150 Acts 20 33 | 33 Mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu,
151 Acts 21 32 | 32 Mara, mkuu wa jeshi akawachukua
152 Acts 22 29 | kumchunguza Paulo walitoweka mara. Hata yule mkuu wa jeshi
153 Acts 24 26 | sababu hii alimwita Paulo mara kwa mara na kuzungumza naye.~
154 Acts 24 26 | alimwita Paulo mara kwa mara na kuzungumza naye.~
155 Acts 26 11 | 11 Mara nyingi niliwafanya waadhibiwe
156 Roma 1 13 | zangu, nataka mjue kwamba mara nyingi nilikusudia kuwatembeleeni,
157 Roma 2 15 | jambo hilo, maana fikira zao mara nyingine huwashtaki, na
158 Roma 2 15 | nyingine huwashtaki, na mara nyingine huwatetea.~
159 Roma 6 10 | Hivyo, kwa kuwa alikufa - mara moja tu - dhambi haina nguvu
160 Roma 15 22 | Kwa sababu hiyo nilizuiwa mara nyingi kuja kwenu.~
161 1Cor 7 5 | kusali. Kisha rudianeni tena mara, ili Shetani asije akawajaribu
162 1Cor 15 6 | ndugu zaidi ya mia tano kwa mara moja; wengi wao wanaishi
163 1Cor 16 12 | kabisa kuja sasa ila atakuja mara itakapowezekana.~
164 2Cor 8 22 | ndugu yetu mwingine ambaye mara nyingi tumempa majaribio
165 2Cor 11 23 | zaidi, nimekaa gerezani mara nyingi zaidi, nimepigwa
166 2Cor 11 23 | nyingi zaidi, nimepigwa mara nyingi zaidi na nimekaribia
167 2Cor 11 23 | zaidi na nimekaribia kifo mara nyingi.~
168 2Cor 11 24 | 24 Mara tano nilichapwa vile viboko
169 2Cor 11 25 | 25 Nilipigwa viboko mara tatu, nilipigwa mawe mara
170 2Cor 11 25 | mara tatu, nilipigwa mawe mara moja; mara tatu nilivunjikiwa
171 2Cor 11 25 | nilipigwa mawe mara moja; mara tatu nilivunjikiwa meli
172 2Cor 11 26 | 26 Kila mara safarini nimekabiliwa na
173 2Cor 11 27 | nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa
174 2Cor 11 27 | nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa
175 2Cor 12 8 | 8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili
176 2Cor 12 14 | tayari kabisa kuja kwenu mara ya tatu, na sitawasumbua.
177 2Cor 13 1 | 1 Hii ni mara yangu ya tatu kuja kwenu. "
178 Gala 1 16 | 16 Mara tu alipoamua kunifunulia
179 Gala 4 13 | kuwahubirieni Habari Njema kwa mara ya kwanza.~
180 Ephe 4 29 | kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya kufaa
181 Colo 1 5 | Njema, ilipowafikieni kwa mara ya kwanza, mlipata kusikia
182 Colo 2 22 | na vitu vyenye kuharibika mara tu vinapotumiwa; hayo ni
183 1The 2 18 | nilijaribu kuja kwenu zaidi ya mara moja, lakini Shetani alituzuia.~
184 1Tim 5 9 | Tena awe amepata kuolewa mara moja tu,~
185 1Tim 5 23 | tumbo lako, kwani unaugua mara kwa mara.~
186 1Tim 5 23 | kwani unaugua mara kwa mara.~
187 2Tim 1 16 | sababu aliniburudisha rohoni mara nyingi, wala hakuona haya
188 2Tim 1 17 | 17 ila mara tu alipofika Roma, alianza
189 2Tim 4 16 | Wakati nilipojitetea kwa mara ya kwanza hakuna mtu aliyesimama
190 Hebr 1 1 | Mungu alisema na babu zetu mara nyingi kwa namna nyingi
191 Hebr 6 7 | huipokea mvua inayoinyeshea mara kwa mara, na kuotesha mimea
192 Hebr 6 7 | mvua inayoinyeshea mara kwa mara, na kuotesha mimea ya faida
193 Hebr 7 27 | watu. Yeye alifanya hivyo mara moja tu wakati alipojitoa
194 Hebr 9 7 | pili; naye hufanya hivyo mara moja tu kwa mwaka. Anapoingia
195 Hebr 9 12 | aliingia Mahali Patakatifu mara moja tu, tena hakuwa amechukua
196 Hebr 9 25 | humo ili ajitoe mwenyewe mara nyingi,~
197 Hebr 9 26 | Kristo angalipaswa kuteswa mara nyingi tangu kuumbwa ulimwengu.
198 Hebr 9 26 | mwisho wake, yeye ametokea mara moja tu, kuondoa dhambi
199 Hebr 9 27 | kama vile kila mtu hufa mara moja tu, kisha husimama
200 Hebr 9 28 | Kristo naye alijitoa dhabihu mara moja tu kwa ajili ya kuziondoa
201 Hebr 9 28 | dhambi za wengi. Atakapotokea mara ya pili si kwa ajili ya
202 Hebr 10 10 | dhabihu ya mwili wake aliyotoa mara moja tu, ikatosha.~
203 Hebr 10 11 | akitoa dhabibu zilezile mara nyingi, dhabibu ambazo haziwezi
204 Hebr 10 33 | 33 Mara nyingine mlitukanwa na kufedheheshwa
205 Hebr 10 33 | kufedheheshwa hadharani; mara nyingine mlikuwa radhi kuungana
206 James 1 24| mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.~
207 1Pet 3 18 | ya dhambi zenu; alikufa mara moja tu na ikatosha, mtu
208 3Joh 1 5 | wewe ni mwaminifu kila mara unapowahudumia ndugu, hata
209 Jude 1 3 | Mungu amewajalia watu wake mara moja tu kwa wakati wote.~
210 Rev 4 2 | 2 Mara nikachukuliwa na Roho. Kumbe,
211 Rev 4 9 | 9 Kila mara viumbe vinne vilipoimba
212 Rev 5 8 | 8 Mara tu alipokwisha twaa hicho
213 Rev 11 6 | kila namna duniani kila mara wapendavyo.~
214 Rev 12 4 | tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.~
215 Rev 16 2 | bakuli lake juu ya nchi. Mara madonda mabaya na ya kuumiza
216 Rev 18 6 | alivyowatendea ninyi; mlipeni mara mbili kwa yale aliyoyatenda.
217 Rev 18 6 | chake kwa kinywaji kikali mara mbili zaidi ya kile alichowapeni.~
218 Rev 22 2 | wa uzima unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka,
|