Book, Chapter, Verse
1 Matt 5 18 | zitakapopita, hakuna hata nukta moja au sehemu ndogo kabisa ya
2 Matt 5 19 | yeyote atakayevunja hata amri moja ndogo kuliko zote, na kuwafundisha
3 Matt 5 41 | kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili.~
4 Matt 6 34 | inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo.~ ~~ ~
5 Matt 13 8 | zikazaa: nyingine punje mia moja, nyingine sitini na nyingine
6 Matt 13 46 | 46 Alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alienda
7 Matt 18 28 | deni lake fedha denari mia moja. Akamkamata, akamkaba koo
8 Matt 20 2 | Akapatana nao kuwalipa dinari moja kwa siku, kisha akawapeleka
9 Matt 20 6 | 6 Hata mnamo saa kumi na moja jioni, akatoka tena; akakuta
10 Matt 20 9 | walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja dinari
11 Matt 20 9 | wakapokea kila mmoja dinari moja.~
12 Matt 20 10 | wakapewa kila mmoja dinari moja.~
13 Matt 20 12 | walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu, mbona umetutendea sawa
14 Matt 20 13 | nami mshahara wa denari moja?~
15 Matt 21 24 | mimi nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, basi nami nitawaambieni
16 Matt 24 2 | nawaambieni, hakuna hata jiwe moja litakalosalia hapa juu ya
17 Matt 24 7 | 7 Taifa moja litapigana na taifa lingine;
18 Matt 24 51 | Atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa
19 Matt 25 15 | mbili na mwingine talanta moja, kisha akasafiri.~
20 Matt 25 18 | yule aliyekabidhiwa talanta moja akaenda akachimba shimo
21 Matt 25 24 | yule aliyekabidhiwa talanta moja akaja, akasema, `Bwana,
22 Matt 26 40 | kukesha pamoja nami hata saa moja?~
23 Matt 27 14 | Yesu hakumjibu hata neno moja; hata huyo mkuu wa mkoa
24 Mark 1 29 | katika sunagogi, wakaenda moja kwa moja hadi nyumbani kwa
25 Mark 1 29 | sunagogi, wakaenda moja kwa moja hadi nyumbani kwa Simoni
26 Mark 2 23 | 23 Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa
27 Mark 3 9 | wake wamtayarishie mashua moja, ili umati wa watu usije
28 Mark 3 25 | 25 Tena, ikiwa jamaa moja imegawanyika makundimakundi
29 Mark 4 8 | mzuri, zikakua na kuzaa: moja punje thelathini, moja sitini
30 Mark 4 8 | moja punje thelathini, moja sitini na nyingine mia."~
31 Mark 4 20 | wengine sitini na wengine mia moja."~
32 Mark 6 40 | makundimakundi ya watu mia moja na ya watu hamsini.~
33 Mark 7 24 | Huko aliingia katika nyumba moja na hakutaka mtu ajue; lakini
34 Mark 9 47 | wa Mungu ukiwa na jicho moja tu, kuliko kuwa na macho
35 Mark 11 11 | mjini Yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka Hekaluni,
36 Mark 11 11 | Yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka Hekaluni, akatazama
37 Mark 11 29 | akawaambia, "Nitawaulizeni swali moja; mkinijibu, na pia nitawaambieni
38 Mark 13 2 | makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalosalia juu ya lingine;
39 Mark 13 8 | 8 Taifa moja litapigana na taifa lingine;
40 Mark 14 37 | Hukuweza kukesha hata saa moja?"~
41 Mark 14 45 | alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akasema, "Mwalimu!"
42 Mark 14 45 | alimwendea Yesu moja kwa moja, akasema, "Mwalimu!" Kisha
43 Mark 14 61 | kimya; hakusema hata neno moja. Kuhani Mkuu akamwuliza
44 Mark 15 27 | yanayosema, "Aliwekwa kundi moja na waovu."~
45 Luke 1 8 | 8 Siku moja, ilipokuwa zamu yake ya
46 Luke 2 15 | wachungaji wakaambiana: "Twendeni moja kwa moja mpaka Bethlehemu
47 Luke 2 15 | wakaambiana: "Twendeni moja kwa moja mpaka Bethlehemu tukalione
48 Luke 4 5 | juu, akamwonyesha kwa mara moja falme zote za ulimwengu.
49 Luke 5 1 | 1 Siku moja Yesu alikuwa amesimama kando
50 Luke 5 3 | Yesu kuingia katika mashua moja, iliyokuwa ya Simoni, alimtaka
51 Luke 5 17 | 17 Siku moja Yesu alikuwa akifundisha.
52 Luke 6 1 | 1 Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa
53 Luke 6 12 | 12 Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali,
54 Luke 6 29 | 29 Mtu akikupiga shavu moja mgeuzie na la pili. Mtu
55 Luke 8 22 | 22 Siku moja, Yesu alipanda mashua pamoja
56 Luke 8 47 | jinsi alivyoponyeshwa mara moja.~
57 Luke 9 18 | 18 Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke
58 Luke 10 34 | akampeleka katika nyumba moja ya wageni akamuuguza.~
59 Luke 11 1 | 1 Siku moja, Yesu alikuwa mahali fulani
60 Luke 11 14 | 14 Siku moja Yesu alikuwa anamfukuza
61 Luke 12 46 | atamkatilia mbali na kumweka fungu moja na wasioamini.*fb*~
62 Luke 13 6 | akaukuta haujazaa hata tunda moja.~
63 Luke 13 10 | akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato.~
64 Luke 13 21 | kuichanganya pamoja na unga debe moja kisha unga wote ukaumuka
65 Luke 14 1 | 1 Siku moja ya Sabato, Yesu alikwenda
66 Luke 14 18 | 18 Lakini wote, kwa namna moja, wakaanza kuomba radhi.
67 Luke 15 1 | 1 Siku moja, watoza ushuru na wahalifu
68 Luke 15 8 | kumi za fedha, akipoteza moja, atafanya nini? Atawasha
69 Luke 15 29 | sijavunja amri yako hata mara moja. Umenipa nini? Hujanipa
70 Luke 16 17 | kupita, kuliko hata herufi moja ya Sheria kufutwa.~
71 Luke 19 44 | hawatakuachia hata jiwe moja juu jingine, kwa sababu
72 Luke 20 1 | 1 Siku moja, Yesu alipokuwa akiwafundisha
73 Luke 21 6 | ambapo hakuna hata jiwe moja litakalosalia juu ya lingine;
74 Luke 21 10 | akaendelea kusema: "Taifa moja litapigana na taifa lingine,
75 Luke 22 37 | Matakatifu: `Aliwekwa kundi moja na wahalifu,` ni lazima
76 Luke 22 59 | 59 Kama saa moja baadaye, mtu mwingine akasisitiza, "
77 Luke 24 13 | umbali wa kilomita kumi na moja kutoka Yerusalemu.~
78 John 3 2 | 2 Siku moja alimwendea Yesu usiku, akamwambia, "
79 John 6 22 | kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, na Yesu hakuingia
80 John 7 21 | Yesu akawajibu, "Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia.~
81 John 10 16 | yangu, na kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.~
82 John 19 23 | wakazigawa mafungu manne, fungu moja kwa kila askari. Walichukua
83 John 21 8 | walikuwa yapata mita mia moja kutoka ukingoni.~
84 John 21 11 | umejaa samaki wakubwa mia moja na hamsini na watatu. Na
85 John 21 25 | kama yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, nadhani
86 Acts 1 12 | Mizeituni ulioko karibu kilomita moja kutoka mjini.~
87 Acts 1 15 | waumini, karibu watu mia moja na ishirini. Petro alisimama
88 Acts 3 1 | 1 Siku moja, saa tisa alasiri, Petro
89 Acts 4 32 | ilikuwa moyo mmoja na roho moja. Hakuna hata mmoja aliyekuwa
90 Acts 6 9 | hao walikuwa wa sunagogi moja lililoitwa "Sunagogi la
91 Acts 7 5 | Mungu hakumpa hata sehemu moja ya nchi hii iwe mali yake;
92 Acts 9 11 | barabara inayoitwa Barabara ya Moja kwa Moja, na katika nyumba
93 Acts 9 11 | inayoitwa Barabara ya Moja kwa Moja, na katika nyumba ya Yuda
94 Acts 11 5 | 5 "Siku moja nikiwa nasali mjini Yopa,
95 Acts 12 10 | wanatembea katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha
96 Acts 12 12 | Alipotambua hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani
97 Acts 12 12 | hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Maria
98 Acts 12 21 | 21 Siku moja iliyochaguliwa, Herode akiwa
99 Acts 13 10 | kweli; hukomi hata mara moja kujaribu kuzipotosha njia
100 Acts 16 8 | walipitia Musia, wakaenda moja kwa moja mpaka Troa.~
101 Acts 16 8 | Musia, wakaenda moja kwa moja mpaka Troa.~
102 Acts 16 11 | Troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake,
103 Acts 16 11 | tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka Samothrake, na kesho
104 Acts 16 16 | 16 Siku moja, tulipokuwa tunakwenda mahali
105 Acts 16 18 | kwa siku nyingi hata siku moja Paulo alikasirika, akamgeukia
106 Acts 17 23 | ibada nikakuta madhabahu moja ambayo imeandikwa: `Kwa
107 Acts 18 9 | 9 Siku moja usiku, Bwana alimwambia
108 Acts 19 34 | Myahudi, wote kwa sauti moja walipiga kelele: "Mkuu ni
109 Acts 20 6 | tulikaa kwa muda wa juma moja.~
110 Acts 20 33 | Mimi sikutamani hata mara moja fedha, wala dhahabu, wala
111 Acts 21 1 | tulipanda meli tukaenda moja kwa moja mpaka Kosi. Kesho
112 Acts 21 1 | tulipanda meli tukaenda moja kwa moja mpaka Kosi. Kesho yake tulifika
113 Acts 21 4 | pamoja nao kwa muda wa juma moja. Waumini hao wakawa waongea
114 Acts 21 7 | ndugu zetu, tukakaa nao siku moja.~
115 Acts 23 6 | alikwisha tambua kwamba sehemu moja ya wanabaraza wale ilikuwa
116 Acts 27 6 | yule ofisa alikuta meli moja ya Aleksandria iliyokuwa
117 Acts 27 7 | unatupinga, tuliendelea mbele moja kwa moja tukapitia upande
118 Acts 27 7 | tuliendelea mbele moja kwa moja tukapitia upande wa Krete
119 Acts 27 39 | nchi ile, ila waliona ghuba moja yenye ufuko; wakaamua kutia
120 Acts 27 40 | usukani, kisha wakatweka tanga moja mbele kushika upepo, wakaelekea
121 Acts 28 11 | tena safari yetu kwa meli moja ya Aleksandria iitwayo "
122 Acts 28 13 | kufika Regio. Baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka
123 Acts 28 14 | walituomba tukae nao kwa juma moja. Hivi ndivyo tulivyopata
124 Roma 4 19 | mzee wa karibu miaka mia moja, lakini imani yake haikufifia
125 Roma 6 10 | kwa kuwa alikufa - mara moja tu - dhambi haina nguvu
126 Roma 6 13 | Wala msitoe hata sehemu moja ya miili yenu iwe chombo
127 Roma 9 3 | ya watu wangu, walio damu moja nami! Kama ingekuwa kwa
128 Roma 13 9 | zote, zimo katika amri hii moja: "Mpende jirani yako kama
129 Roma 15 6 | ili ninyi nyote, kwa nia moja na sauti moja, mumtukuze
130 Roma 15 6 | nyote, kwa nia moja na sauti moja, mumtukuze Mungu, Baba wa
131 1Cor 1 10 | kati yenu; muwe na fikira moja na nia moja.~
132 1Cor 1 10 | muwe na fikira moja na nia moja.~
133 1Cor 6 17 | aliyejiunga na Bwana huwa roho moja naye.~
134 1Cor 7 35 | kumtumikia Bwana kwa moyo na nia moja.~
135 1Cor 10 8 | walivyozini, wakaangamia siku moja watu ishirini na tatu elfu.~
136 1Cor 13 8 | Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema
137 1Cor 15 6 | zaidi ya mia tano kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado,
138 1Cor 15 39 | ya binadamu ni ya namna moja, ya wanyama ni ya namna
139 1Cor 15 52 | mbiu ya mwisho, kwa nukta moja, kufumba na kufumbua. Maana
140 2Cor 11 8 | makanisa mengine. Kwa namna moja au nyingine niliwapokonya
141 2Cor 11 25 | tatu, nilipigwa mawe mara moja; mara tatu nilivunjikiwa
142 2Cor 13 11 | mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. Naye Mungu
143 Gala 5 14 | katika kushika amri hii moja: "Mpende jirani yako kama
144 Gala 6 12 | Wanafanya hivyo kwa sababu moja tu: kusudi wao wenyewe wasije
145 Ephe 2 14 | mataifa mengine kuwa jamii moja. Kwa mwili wake yeye mwenyewe
146 Ephe 2 15 | jamii hizo mbili aumbe jamii moja mpya katika umoja naye na
147 Ephe 2 16 | aliziunganisha jamii hizo kuwa moja na kuzipatanisha na Mungu.~
148 Ephe 4 4 | tumaini mliloitiwa na Mungu ni moja.~
149 Ephe 4 5 | Kuna Bwana mmoja, imani moja na ubatizo mmoja;~
150 1The 2 18 | kuja kwenu zaidi ya mara moja, lakini Shetani alituzuia.~
151 1Tim 3 12 | kanisa lazima awe na mke moja tu, na awezaye kuongoza
152 1Tim 5 9 | awe amepata kuolewa mara moja tu,~
153 1Tim 5 21 | maagizo haya bila kuacha hata moja, wala kumpendelea mtu yeyote
154 Phil 1 10 | 10 Basi, ninalo ombi moja kwako kuhusu mwanangu Onesimo,
155 Hebr 7 4 | Baba Abrahamu alimpa sehemu moja ya kumi ya vitu vyote alivyoteka
156 Hebr 7 9 | Abrahamu alipotoa sehemu moja ya kumi, Lawi (ambaye watoto
157 Hebr 7 9 | watoto wake hupokea sehemu moja ya kumi) alitoa sehemu moja
158 Hebr 7 9 | moja ya kumi) alitoa sehemu moja ya kumi pia.~
159 Hebr 7 27 | Yeye alifanya hivyo mara moja tu wakati alipojitoa yeye
160 Hebr 9 7 | naye hufanya hivyo mara moja tu kwa mwaka. Anapoingia
161 Hebr 9 12 | aliingia Mahali Patakatifu mara moja tu, tena hakuwa amechukua
162 Hebr 9 26 | wake, yeye ametokea mara moja tu, kuondoa dhambi kwa kujitoa
163 Hebr 9 27 | vile kila mtu hufa mara moja tu, kisha husimama mbele
164 Hebr 9 28 | naye alijitoa dhabihu mara moja tu kwa ajili ya kuziondoa
165 Hebr 10 9 | akaweka dhabihu nyingine moja.~
166 Hebr 10 10 | mwili wake aliyotoa mara moja tu, ikatosha.~
167 Hebr 10 12 | Lakini Kristo alitoa dhabihu moja tu kwa ajili ya dhambi,
168 Hebr 10 14 | 14 Basi, kwa dhabihu yake moja tu, amewafanya kuwa wakamilifu
169 James 3 11| 11 Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu
170 1Pet 3 8 | na moyo mmoja, na fikira moja; mnapaswa kupendana kidugu,
171 1Pet 3 18 | dhambi zenu; alikufa mara moja tu na ikatosha, mtu mwema
172 1Pet 5 1 | niliye mzee ninalo ombi moja kwenu wazee wenzangu. Mimi
173 2Pet 3 8 | hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote
174 2Joh 1 5 | Basi, Bimkubwa, ninalo ombi moja kwako: tupendane. Ombi hili
175 Jude 1 3 | amewajalia watu wake mara moja tu kwa wakati wote.~
176 Rev 2 4 | 4 Lakini ninayo hoja moja juu yako: wewe hunipendi
177 Rev 2 20 | 20 Lakini nina hoja moja juu yako: wewe unamvumilia
178 Rev 6 6 | wa kiasi cha fedha dinari moja, na vibaba vitatu vya shayiri
179 Rev 6 6 | vitatu vya shayiri kwa dinari moja. Lakini usiharibu mafuta
180 Rev 6 8 | walipewa mamlaka juu ya robo moja ya dunia, wawaue watu kwa
181 Rev 7 4 | waliopigwa mhuri: Watu mia moja arobaini na nne elfu wa
182 Rev 8 7 | ukamwagwa juu ya nchi. Theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi
183 Rev 8 7 | nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua, na majani
184 Rev 8 8 | ukatupwa baharini. Theluthi moja ya bahari ikawa damu,~
185 Rev 8 9 | 9 theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa
186 Rev 8 9 | baharini vikafa na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.~
187 Rev 8 10 | na kutua juu ya theluthi moja ya mito na chemchemi za
188 Rev 8 11 | Uchungu.") Basi, theluthi moja ya maji yakawa machungu;
189 Rev 8 12 | tarumbeta yake. Ndipo theluthi moja ya jua, ya mwezi na ya nyota
190 Rev 8 12 | mwangaza ukapoteza theluthi moja ya mng`ao wake. Theluthi
191 Rev 8 12 | ya mng`ao wake. Theluthi moja ya mchana ikakosa mwanga,
192 Rev 8 12 | hali kadhalika na theluthi moja ya usiku.~
193 Rev 9 13 | yake. Nami nikasikia sauti moja kutoka katika pembe nne
194 Rev 9 15 | mwaka huohuo, kuua theluthi moja ya wanaadamu.~
195 Rev 9 18 | 18 Theluthi moja ya wanaadamu waliuawa kwa
196 Rev 11 3 | kwa muda huo wa siku elfu moja mia mbili na sitini wakiwa
197 Rev 11 13 | tetemeko kubwa la ardhi, sehemu moja ya kumi ya ardhi ikaharibiwa.
198 Rev 12 4 | liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa
199 Rev 12 6 | angehifadhiwa kwa muda wa siku elfu moja mia mbili na sitini.~
200 Rev 14 1 | pamoja naye walikuwa watu mia moja arobaini na nne elfu ambao
201 Rev 14 3 | huo isipokuwa hao watu mia moja arobaini na nne elfu waliokombolewa
202 Rev 16 21 | wa kama kilo hamsini kila moja, ikawanyeshea watu. Nao
203 Rev 17 12 | kutawala kwa muda wa saa moja pamoja na yule mnyama.~
204 Rev 17 13 | Shabaha ya hawa kumi ni moja, na watampa yule mnyama
205 Rev 18 8 | yake yatampata kwa siku moja: ugonjwa, huzuni na njaa.
206 Rev 18 10 | wenye nguvu! Kwa muda wa saa moja tu adhabu yako imekupata."~
207 Rev 18 17 | 17 Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!"
208 Rev 18 19 | utajiri wake. Kwa muda wa saa moja tu umepoteza kila kitu!"~
209 Rev 20 2 | akalifunga kwa muda wa miaka elfu moja.~
210 Rev 20 3 | mataifa mpaka hapo miaka elfu moja itakapotimia. Lakini baada
211 Rev 20 4 | Kristo kwa muda wa miaka elfu moja.~
212 Rev 20 5 | hawakupata uhai mpaka miaka elfu moja itimie.) Huu ndio ufufuo
213 Rev 20 6 | pamoja naye kwa miaka elfu moja.~
214 Rev 20 7 | 7 Wakati miaka elfu mia moja itakapotimia, Shetani atafunguliwa
215 Rev 21 20 | kumi krisopraso, la kumi na moja yasinto, na la kumi na mbili
216 Rev 21 21 | ulikuwa umetengenezwa kwa lulu moja. Barabara kuu ya mji ilikuwa
|