Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 22 | neno Bwana alilosema kwa njia ya nabii:~
2 Matt 2 12 | hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine.~
3 Matt 2 15 | neno alilosema Bwana kwa njia ya nabii litimie: "Nilimwita
4 Matt 2 17 | yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya nabii Yeremia:~
5 Matt 2 23 | yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: "Ataitwa Mnazare."~ ~~ ~
6 Matt 3 3 | jangwani: `Mtayarishieni Bwana njia yake, nyoosheni vijia vyake."`~
7 Matt 4 14 | lile neno lililosemwa kwa njia ya nabii Isaya:~
8 Matt 6 5 | masunagogi na katika pembe za njia ili watu wawaone. Kweli
9 Matt 7 13 | mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi
10 Matt 7 13 | kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi.~
11 Matt 7 14 | 14 Lakini njia inayoongoza kwenye uzima
12 Matt 7 14 | wachache tu wanaoweza kuigundua njia hiyo.~
13 Matt 8 28 | aliyethubutu kupita katika njia hiyo.~
14 Matt 11 10 | akutangulie na kukutayarishia njia yako.`~
15 Matt 20 30 | wawili wameketi kando ya njia, na waliposikia kwamba Yesu
16 Matt 21 19 | Akauona mtini mmoja kando ya njia, akauendea; lakini aliukuta
17 Matt 21 32 | alikuja kwenu akawaonyesha njia njema ya kuishi, nanyi hamkumwamini;
18 Matt 21 46 | Kwa hiyo wakawa wanatafuta njia ya kumtia nguvuni, lakini
19 Matt 22 16 | mwaminifu, na ~kwamba wafundisha njia ya Mungu kwa uaminifu; humwogopi
20 Mark 1 2 | akutangulie; yeye atakutayarishia njia yako.~
21 Mark 1 3 | jangwani: `Mtayarishieni Bwana njia yake, nyoosheni mapito yake."`~
22 Mark 11 18 | hayo, walianza kutafuta njia ya kumwangamiza. Lakini
23 Mark 12 14 | wafundisha ukweli kuhusu njia ya Mungu. Je, ni halali
24 Mark 14 1 | Sheria walikuwa wakitafuta njia ya kumtia Yesu nguvuni kwa
25 Luke 1 70 | 70 Aliahidi hapo kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,~
26 Luke 1 76 | utamtangulia Bwana kumtayarishia njia yake;~
27 Luke 1 79 | aongoze hatua zetu katika njia ya amani."~
28 Luke 3 4 | jangwani: `Mtayarishieni Bwana njia yake; nyosheni mapito yake.~
29 Luke 3 5 | palipopindika patanyooshwa, njia mbaya zitatengenezwa.~
30 Luke 4 13 | alipokwishamjaribu kwa kila njia, akamwacha kwa muda.~
31 Luke 7 27 | akutangulie, akutayarishie njia."`~
32 Luke 8 5 | zilianguka njiani, na wapita njia wakazikanyaga, na ndege
33 Luke 19 1 | Yeriko, akawa anapita katika njia za mji huo.~
34 Luke 20 21 | wafundisha ukweli juu ya njia ya Mungu.~
35 Luke 22 2 | Sheria wakawa wanatafuta njia ya kumwua Yesu, lakini waliwaogopa
36 John 1 3 | 3 Kwa njia yake vitu vyote viliumbwa;
37 John 1 10 | alikuwako ulimwenguni; na kwa njia yake ulimwengu uliumbwa,
38 John 1 17 | Mungu alitoa Sheria kwa njia ya Mose, lakini neema na
39 John 1 17 | neema na kweli vimekuja kwa njia ya Kristo.~
40 John 1 23 | imesikika jangwani: Nyoosheni njia ya Bwana."`~
41 John 5 19 | Wayahudi walizidi kutafuta njia ya kumwua Yesu: si kwa kuwa
42 John 10 1 | bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, huyo ni mwizi
43 John 11 4 | kumtukuza Mungu; ameugua ili kwa njia hiyo Mwana wa Mungu atukuzwe."~
44 John 14 4 | 4 Mnajua njia ya kwenda huko ninakokwenda."~
45 John 14 5 | tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?"~
46 John 14 6 | Yesu akamjibu, "Mimi ni njia, na ukweli na uzima. Hakuna
47 John 19 12 | Pilato akawa anatafuta njia ya kumwachilia, lakini Wayahudi
48 Acts 1 2 | mbinguni aliwapa maagizo kwa njia ya Roho Mtakatifu wale mitume
49 Acts 2 22 | alizofanya kati yenu kwa njia yake, kama mnavyojua.~
50 Acts 2 28 | 28 Umenionyesha njia za kuufikia uzima, kuwako
51 Acts 2 43 | maajabu mengi yalifanyika kwa njia ya mitume hata kila mtu
52 Acts 3 18 | aliyotangaza zamani kwa njia ya manabii wote, kwamba
53 Acts 3 21 | kama Mungu alivyosema kwa njia ya manabii wake watakatifu
54 Acts 3 25 | zile Mungu alizotoa kwa njia ya manabii ni kwa ajili
55 Acts 3 25 | alivyomwambia Abrahamu: `Kwa njia ya wazawa wako, jamaa zote
56 Acts 7 35 | kiongozi na mwamuzi wetu?` Kwa njia ya yule malaika aliyemtokea
57 Acts 8 26 | Jitayarishe uende kusini kupitia njia inayotoka Yerusalemu kwenda
58 Acts 8 26 | Yerusalemu kwenda Gaza." (Njia hiyo hupita jangwani.)~
59 Acts 9 2 | wanaume au wanawake wanaofuata Njia ya Bwana, awakamate na kuwaleta
60 Acts 10 36 | Njema iletayo amani kwa njia ya Yesu Kristo ambaye ni
61 Acts 13 10 | moja kujaribu kuzipotosha njia za Bwana zilizonyoka.~
62 Acts 13 38 | dhambi unahubiriwa kwenu kwa njia ya Yesu Kristo; na ya kwamba
63 Acts 13 38 | ambalo halingewezekana kwa njia ya Sheria ya Mose.~
64 Acts 13 47 | mwanga kwa mataifa, uwe njia ya wokovu kwa ulimwengu
65 Acts 15 11 | vile wao, tunaokolewa kwa njia ya neema ya Bwana Yesu."~
66 Acts 16 17 | Mungu Mkuu. Wanawatangazieni njia ya wokovu."~
67 Acts 17 31 | atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua.
68 Acts 18 25 | amefundishwa juu ya hiyo njia ya Bwana, na akiwa motomoto,
69 Acts 18 26 | kwao wakamfundisha hiyo Njia ya Mungu kwa usahihi zaidi.~
70 Acts 19 9 | vibaya hadharani juu ya Njia ya Bwana. Hapo Paulo alivunja
71 Acts 19 23 | Efeso kwa sababu ya hiyo Njia ya Bwana.~
72 Acts 21 19 | ametenda kati ya mataifa kwa njia ya utumishi wake.~
73 Acts 22 4 | kuwaua wale watu waliofuata Njia hii. Niliwatia nguvuni wanaume
74 Acts 24 14 | wetu nikiishi kufuatana na Njia ile ambayo wao wanaiita
75 Acts 24 22 | alikuwa anaifahamu hiyo Njia vizuri, aliahirisha kesi
76 Acts 28 25 | Mtakatifu kwa wazee wenu kwa njia ya nabii Isaya~
77 Roma 1 2 | watu hii Habari Njema kwa njia ya manabii wake katika Maandiko
78 Roma 1 5 | 5 Kwa njia yake, mimi nimepewa neema
79 Roma 1 8 | namshukuru Mungu wangu kwa njia ya Yesu Kristo kwa ajili
80 Roma 1 18 | wote wa binadamu ambao kwa njia zao mbaya wanaupinga ukweli
81 Roma 1 20 | alivyoumba Mungu. Kwa hiyo hawana njia yoyote ya kujitetea!~
82 Roma 2 16 | ya siri ya binadamu kwa njia ya Yesu Kristo.~
83 Roma 2 18 | 18 kwa njia ya Sheria unajua matakwa
84 Roma 3 17 | 17 njia ya amani hawaijui.~
85 Roma 3 21 | 21 Lakini sasa, njia ya Mungu ya kuwakubali watu
86 Roma 3 22 | watu kuwa waadilifu kwa njia ya imani yao kwa Yesu Kristo;
87 Roma 3 24 | hukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Yesu Kristo anayewakomboa.~
88 Roma 3 25 | kusudi, kwa damu yake, awe njia ya kuwaondolea watu dhambi
89 Roma 4 12 | bali kwa sababu wanafuata njia ileile ya imani baba yetu
90 Roma 5 5 | mioyoni mwetu upendo wake kwa njia ya Roho Mtakatifu aliyetujalia.~
91 Roma 5 11 | tunafurahi pia katika Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo
92 Roma 5 12 | 12 Kwa njia ya mtu mmoja dhambi iliingia
93 Roma 5 17 | watatawala katika uzima kwa njia ya huyo mmoja, yaani Yesu
94 Roma 5 21 | kadhalika neema inatawala kwa njia ya uadilifu, na kuleta uzima
95 Roma 5 21 | kuleta uzima wa milele kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu.~ ~ ~~ ~
96 Roma 6 11 | katika umoja na Mungu kwa njia ya Kristo Yesu.~
97 Roma 7 13 | changu. Hivyo dhambi, kwa njia ya ile amri, ilijionyesha
98 Roma 7 25 | Mungu afanyaye hayo kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo!
99 Roma 8 11 | kufa; atafanya hivyo kwa njia ya Roho wake akaaye ndani
100 Roma 8 13 | mtakufa. Lakini, kama kwa njia ya Roho mnayaua matendo
101 Roma 8 39 | upendo wa Mungu kwetu kwa njia ya Kristo Yesu Bwana wetu.~ ~~ ~
102 Roma 9 17 | Nilikufanya mfalme ili kwa njia yako, uwezo wangu ujulikane,
103 Roma 9 30 | wamekubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani,~
104 Roma 10 3 | na hivyo hawakuikubali njia hiyo ya Mungu ya kuwafanya
105 Roma 10 6 | kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa njia ya imani, yasemwa hivi: "
106 Roma 11 33 | zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! Kama yasemavyo
107 Roma 12 1 | yenye kupendeza. Hii ndiyo njia yenu halisi ya kumwabudu.~
108 Roma 16 26 | ukweli huo umefunuliwa kwa njia ya maandiko ya manabii;
109 Roma 16 27 | hekima, uwe utukufu kwa njia ya Yesu Kristo, milele na
110 1Cor 1 4 | amewatunukia ninyi neema yake kwa njia ya Kristo Yesu.~
111 1Cor 1 18 | kwetu sisi tulio katika njia ya wokovu ujumbe huo ni
112 1Cor 1 21 | hawawezi kumjua Mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. Badala
113 1Cor 1 21 | kuwaokoa wale wanaoamini kwa njia ya kile ambacho wenye hekima
114 1Cor 1 30 | Kristo awe hekima yetu; kwa njia yake sisi tunapatanishwa
115 1Cor 2 10 | Mungu aliyotufunulia kwa njia ya Roho wake. Maana Roho
116 1Cor 4 17 | katika Bwana. Atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuishi
117 1Cor 4 17 | kuishi maisha ya Kikristo; njia ninayofundisha kila mahali
118 1Cor 8 6 | Yesu Kristo, ambaye kwa njia yake vitu vyote viliumbwa,
119 1Cor 8 6 | viliumbwa, na sisi twaishi kwa njia yake.~
120 1Cor 9 22 | kuwaokoa baadhi yao kwa kila njia.~
121 1Cor 10 13 | nguvu ya kustahimili na njia ya kutoka humo salama.~
122 1Cor 10 33 | kuwapendeza wote kwa kila njia, bila kutafuta faida yangu
123 1Cor 12 31 | Nami sasa nitawaonyesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.~ ~~ ~
124 1Cor 14 21 | Bwana asema hivi: `Kwa njia ya wenye kunena lugha ngeni,
125 1Cor 15 2 | 2 Kwa njia yake mnaokolewa, ikiwa mnayazingatia
126 1Cor 15 57 | anayetupatia ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.~
127 2Cor 1 20 | Amina" yetu husemwa kwa njia ya Kristo kwa ajili ya kumtukuza
128 2Cor 3 4 | tulilo nalo kwa Mungu kwa njia ya Kristo.~
129 2Cor 5 18 | kutupatanisha sisi naye kwa njia ya Kristo, akatupa nasi
130 2Cor 5 19 | akiupatanisha ulimwengu naye kwa njia ya Kristo, bila kutia maanani
131 2Cor 7 11 | Ninyi mmethibitisha kwa kila njia kwamba hamna hatia kuhusu
132 2Cor 12 17 | mimi niliwanyonyeni kwa njia ya mjumbe yeyote niliyemtuma
133 Gala 2 16 | kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani yetu kwa Kristo,
134 Gala 2 21 | kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa njia ya Sheria, basi, Kristo
135 Gala 3 8 | mataifa kuwa waadilifu kwa njia ya imani. Hivyo Maandiko
136 Gala 3 14 | watu wa mataifa mengine kwa njia ya Kristo, na ili kwa imani,
137 Gala 3 21 | kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Sheria.~
138 Gala 3 24 | alipokuja Kristo, ili kwa njia ya imani, tukubaliwe kuwa
139 Gala 3 26 | 26 Kwa njia ya imani, ninyi nyote mmekuwa
140 Gala 4 29 | yule mtoto aliyezaliwa kwa njia ya kawaida alimdhulumu yule
141 Gala 5 4 | kukubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya Sheria, basi, mmejitenga
142 Gala 5 5 | tunakubaliwa kuwa waadilifu kwa njia ya imani.~
143 Gala 6 14 | wetu Yesu Kristo; maana kwa njia ya msalaba huo ulimwengu
144 Ephe 1 5 | kwake kama watoto wake kwa njia ya Yesu Kristo. Ndivyo alivyopenda
145 Ephe 1 9 | ameazimia kuutekeleza kwa njia ya Kristo.~
146 Ephe 2 8 | ya Mungu mmekombolewa kwa njia ya imani. Jambo hili si
147 Ephe 2 13 | mbali, mmekaribishwa kwa njia ya damu yake Kristo.~
148 Ephe 2 18 | 18 Hivyo, kwa njia yake, sisi sote, Wayahudi
149 Ephe 2 22 | muwe makao ya Mungu kwa njia ya Roho wake.~ ~ ~~ ~
150 Ephe 3 3 | 3 Mimi nilijulishwa kwa njia ya ufunuo mpango wake uliofichika. (
151 Ephe 3 5 | manabii wake watakatifu kwa njia ya Roho.~
152 Ephe 3 6 | Siri yenyewe ni hii: kwa njia ya Habari Njema watu wa
153 Ephe 3 6 | ileile aliyofanya Mungu kwa njia ya Kristo Yesu.~
154 Ephe 3 10 | 10 kusudi, sasa kwa njia ya kanisa, wakuu na wenye
155 Ephe 3 11 | milele ambalo amelifanya kwa njia ya Kristo Bwana wetu.~
156 Ephe 3 12 | kuungana na Kristo, na kwa njia ya imani katika Kristo,
157 Ephe 4 32 | alivyowasamehe ninyi kwa njia ya Kristo.~ ~ ~~ ~
158 Colo 1 14 | 14 ambaye kwa njia yake tunakombolewa, yaani
159 Colo 1 16 | 16 Maana kwa njia yake vitu vyote viliumbwa
160 Colo 1 16 | mamlaka. Vyote viliumbwa kwa njia yake na kwa ajili yake.~
161 Colo 1 20 | 20 Kwa njia yake Mungu alivipatanisha
162 Colo 3 17 | kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.~
163 1The 3 11 | wetu Yesu atutayarishie njia ya kuja kwenu.~
164 1The 5 9 | bali tuupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo,~
165 2The 2 14 | aliwaitieni jambo hili kwa njia ya Habari Njema tuliyowahubirieni;
166 1Tim 6 5 | ukweli. Wanadhani dini ni njia ya kujipatia utajiri.~
167 2Tim 1 10 | amekomesha nguvu za kifo, na kwa njia ya Habari Njema akadhihirisha
168 2Tim 2 10 | ukombozi upatikanao kwa njia ya Yesu Kristo, na ambao
169 2Tim 3 15 | hekima iletayo wokovu kwa njia ya imani kwa Kristo Yesu.~
170 Titus 3 5 | sababu ya huruma yake, kwa njia ya Roho Mtakatifu anayetujalia
171 Titus 3 6 | Mtakatifu bila kipimo kwa njia ya Yesu Kristo, Mwokozi
172 Hebr 1 1 | nyingi kwa namna nyingi kwa njia ya manabii,~
173 Hebr 1 2 | mwisho, amesema nasi kwa njia ya Mwanae. Yeye ndiye ambaye
174 Hebr 1 2 | Mwanae. Yeye ndiye ambaye kwa njia yake Mungu aliumba ulimwengu
175 Hebr 2 10 | kuwa mkamilifu kabisa kwa njia ya mateso, ili awalete watoto
176 Hebr 2 14 | Alifanya hivyo ili kwa njia ya kifo chake amwangamize
177 Hebr 3 10 | hawajapata kamwe kuzijua njia zangu.`~
178 Hebr 5 8 | Mungu, alijifunza kutii kwa njia ya mateso.~
179 Hebr 7 25 | wote wanaomwendea Mungu kwa njia yake, maana yeye anaishi
180 Hebr 9 8 | nje ingali ipo imesimama, njia ya kuingia Mahali Patakatifu
181 Hebr 10 1 | Sheria yawezaje, basi, kwa njia ya dhabihu hizo, kuwafanya
182 Hebr 10 20 | 20 Yeye ametufungulia njia mpya na yenye uzima kupitia
183 Hebr 10 20 | kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe.~
184 Hebr 12 13 | Endeleeni kutembea katika njia iliyonyoka, ili kile kilicholemaa
185 Hebr 13 15 | 15 Basi, kwa njia ya Yesu, tumtolee Mungu
186 Hebr 13 21 | na afanye ndani yetu kwa njia ya Kristo yale yanayompendeza
187 James 2 25| kuwasaidia waende zao kwa kupitia njia nyingine.~
188 James 3 3 | mwao ili watutii; na kwa njia hiyo twaweza kuwaongoza
189 James 5 20| anayemrudisha mwenye dhambi kutoka njia yake ya upotovu, ataiokoa
190 1Pet 1 21 | 21 Kwa njia yake, ninyi mnamwamini Mungu
191 1Pet 1 23 | 23 Maana kwa njia ya neno hai la Mungu, ninyi
192 1Pet 2 5 | zenye kumpendeza Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.~
193 1Pet 3 21 | dhamiri njema. Huwaokoeni kwa njia ya ufufuo wa Yesu Kristo,~
194 1Pet 4 11 | yote, Mungu atukuzwe kwa njia ya Yesu Kristo, ambaye utukufu
195 2Pet 1 15 | nitajitahidi kuwapatieni njia ya kuyakumbuka mambo haya
196 2Pet 2 1 | Bwana aliyewakomboa, na kwa njia hiyo watasababisha ghafla
197 2Pet 2 2 | watu wengi watazifuata hizo njia zao mbaya, kwa sababu yao,
198 2Pet 2 2 | yao, wengine wataipuuza Njia ya ukweli.~
199 2Pet 2 13 | karamu zenu, bali wakifurahia njia zao za udanganyifu.~
200 2Pet 2 15 | 15 Wameiacha njia iliyonyoka, wakapotoka na
201 2Pet 2 15 | wakapotoka na kuifuata njia aliyofuata Balaamu, mwana
202 2Pet 2 21 | kama wasingalijua kamwe njia hiyo ya uadilifu kuliko
203 1Joh 3 24 | katika muungano naye. Kwa njia ya Roho ambaye Mungu ametujalia,
204 1Joh 4 2 | 2 Hii ndiyo njia ya kujua kama mtu anaongozwa
205 1Joh 4 6 | hatusikilizi. Basi, kwa njia hiyo tunaweza kutambua tofauti
206 1Joh 4 9 | ulimwenguni, ili tuwe na uzima kwa njia yake.~
207 Jude 1 25 | ukuu, nguvu na mamlaka kwa njia ya Kristo Bwana wetu, tangu
208 Rev 15 3 | Ewe Mfalme wa mataifa, njia zako ni za haki na za kweli!~
209 Rev 16 12 | yake yakakauka, na hivyo njia ilitengenezwa kwa ajili
|