Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
iwezekanavyo 4
j 1
jamaa 44
jambo 207
james 1
jamii 6
jana 6
Frequency    [«  »]
210 20
209 njia
207 19
207 jambo
200 ile
200 malaika
199 baada

Swahili New Testament

IntraText - Concordances

jambo

    Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 20 | 20 Alipokuwa bado anawaza jambo hilo, malaika wa Bwana alimtokea 2 Matt 2 15 | mpaka Herode alipokufa. Jambo hilo lilifanyika ili neno 3 Matt 9 28 | kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?" Nao wakamjibu, "Naam, 4 Matt 9 30 | Msimwambie mtu yeyote jambo hili."~ 5 Matt 9 33 | wakashangaa na kusema, "Jambo kama hili halijapata kuonekana 6 Matt 10 27 | lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinong`onezwa, 7 Matt 12 2 | wanafunzi wako wanafanya jambo ambalo si halali siku ya 8 Matt 12 15 | 15 Lakini Yesu alipojua jambo hilo, akatoka mahali pale. 9 Matt 13 35 | 35 ili jambo lililonenwa na nabii litimie: " 10 Matt 16 22 | kumkemea: "Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!"~ 11 Matt 18 19 | wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote la kuomba, Baba yangu 12 Matt 18 19 | wa mbinguni atawafanyia jambo hilo.~ 13 Matt 18 31 | watumishi wenzake walipoona jambo hilo walisikitika sana, 14 Matt 19 17 | Mbona unaniuliza kuhusu jambo jema? Kuna mmoja tu aliye 15 Matt 19 26 | akasema, "Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini 16 Matt 20 23 | kwangu si kazi yangu kupanga; jambo hilo watapewa wale waliowekewa 17 Matt 21 4 | 4 Jambo hili lilifanyika ili yale 18 Matt 21 42 | akawaambia, "Je, hamkusoma jambo hili katika Maandiko Matakatifu? ` 19 Matt 21 42 | Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana 20 Matt 24 43 | 43 Lakini kumbukeni jambo hili: kama mwenye nyumba 21 Matt 26 5 | 5 Lakini wakaamua jambo hilo lisifanyike wakati 22 Matt 26 10 | huyu mama? Yeye amenitendea jambo jema.~ 23 Matt 28 14 | kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye 24 Mark 1 44 | 44 "Usimwambie mtu yeyote jambo hili, ila nenda ukajionyeshe 25 Mark 2 12 | Hatujapata kamwe kuona jambo kama hili."~ 26 Mark 2 24 | Tazama! Kwa nini wanafanya jambo ambalo si halali kufanya 27 Mark 2 26 | iliyowekwa mbele ya Mungu. Jambo hili lilifanyika wakati 28 Mark 3 4 | halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; 29 Mark 3 4 | kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuua?" 30 Mark 5 14 | walikimbia, wakatangaza jambo hilo mjini na mashambani. 31 Mark 5 43 | akawakataza sana wasimjulishe mtu jambo hilo. Kisha akawaambia wampe 32 Mark 7 36 | akawaamuru wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, 33 Mark 8 32 | 32 Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Basi, Petro 34 Mark 9 32 | 32 Wanafunzi hawakufahamu jambo hilo. Wakaogopa kumwuliza.~ 35 Mark 10 10 | wake walimwuliza juu ya jambo hilo.~ 36 Mark 11 23 | yanafanyika, atafanyiwa jambo hilo.~ 37 Mark 12 11 | 11 Bwana ndiye aliyefanya jambo hili, nalo ni la ajabu sana 38 Mark 12 33 | anavyojipenda mwenyewe. Jambo hili ni muhimu zaidi kuliko 39 Mark 14 6 | mnamsumbua? Amenitendea jambo jema.~ 40 Luke 1 18 | gani kitakachonihakikishia jambo hilo? Mimi ni mzee, hali 41 Luke 1 37 | 37 Kwa maana hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu."~ 42 Luke 4 36 | wakawa wanaambiana, "Hili ni jambo la ajabu, maana kwa uwezo 43 Luke 6 2 | wakawauliza, "Mbona mnafanya jambo ambalo si halali siku ya 44 Luke 6 9 | halali siku ya Sabato kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; 45 Luke 6 9 | kutenda jambo jema au kutenda jambo baya; kuokoa maisha au kuyaangamiza?"~ 46 Luke 7 4 | Huyu anastahili afanyiwe jambo hilo,~ 47 Luke 9 45 | hawakuelewa maana ya usemi huo. Jambo hilo lilikuwa limefichwa 48 Luke 12 26 | Basi, kama hamwezi kufanya jambo dogo kama hilo, kwa nini 49 Luke 12 57 | hamwezi kujiamulia wenyewe jambo jema la kufanya?~ 50 Luke 14 21 | na kumwarifu bwana wake jambo hilo. Yule mwenye nyumba 51 Luke 18 34 | hawakuelewa hata kidogo jambo hilo; walikuwa wamefichwa 52 Luke 19 17 | umekuwa mwaminifu katika jambo dogo, utakuwa na madaraka 53 Luke 20 37 | hata Mose alithibitisha jambo hilo katika Maandiko Matakatifu. 54 Luke 22 23 | nani kati yao atakayefanya jambo hilo.~ 55 Luke 23 14 | sikilizeni! Baada ya kuchunguza jambo hilo mbele yenu, sikumpata 56 Luke 24 4 | bado wanashangaa juu ya jambo hilo, mara watu wawili waliovaa 57 John 5 10 | akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya 58 John 5 15 | tena, usije ukapatwa na jambo baya zaidi."~ 59 John 5 17 | 16 Kwa vile Yesu alifanya jambo hilo siku ya Sabato, Wayahudi 60 John 5 29 | 28 Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja 61 John 6 61 | walikuwa wananung`unika juu ya jambo hilo, akawauliza, "Je, jambo 62 John 6 61 | jambo hilo, akawauliza, "Je, jambo hili linawafanya muwe na 63 John 7 21 | 21 Yesu akawajibu, "Kuna jambo moja nililofanya, nanyi 64 John 9 3 | 3 Yesu akajibu, "Jambo hili halikutukia kwa sababu 65 John 9 30 | Naye akawajibu, "Hili ni jambo la kushangaza! Ninyi hamjui 66 John 11 46 | Mafarisayo wakatoa taarifa ya jambo hilo alilofanya Yesu.~ 67 John 19 24 | tuipigie kura itakuwa ya nani." Jambo hilo lilifanyika ili yatimie 68 John 19 36 | 36 Jambo hilo lilitendwa ili Maandiko 69 Acts 2 16 | 16 Ukweli ni kwamba jambo hili ni lile alilosema nabii 70 Acts 3 12 | kwa nini mnashangazwa na jambo hili? Mbona mnatukodolea 71 Acts 4 2 | watu kwamba Yesu alifufuka, jambo ambalo linaonyesha wazi 72 Acts 4 7 | wakawauliza, "Ninyi mmefanya jambo hili kwa nguvu gani na kwa 73 Acts 4 16 | umefanyika, nasi hatuwezi kukana jambo hilo.~ 74 Acts 4 17 | Lakini ili tupate kuzuia jambo hili lisienee zaidi kati 75 Acts 5 4 | uliamua moyoni mwako kufanya jambo la namna hii? Hukumdanganya 76 Acts 6 5 | 5 Jambo hilo likaipendeza jumuiya 77 Acts 7 31 | Mose alistaajabu sana kuona jambo hilo hata akasogea karibu 78 Acts 9 30 | Wale ndugu walipogundua jambo hilo walimchukua Saulo, 79 Acts 10 16 | 16 Jambo hili lilifanyika mara tatu, 80 Acts 10 37 | 37 Ninyi mnajua jambo lililotukia katika nchi 81 Acts 11 10 | 10 Jambo hilo lilifanyika mara tatu, 82 Acts 11 22 | 22 Habari ya jambo hilo ikasikika kwa lile 83 Acts 12 17 | akawaambia watoe taarifa ya jambo hilo kwa Yakobo na wale 84 Acts 13 15 | huu: "Ndugu, kama mnalo jambo la kuwaambia watu ili kuwapa 85 Acts 13 32 | kuwaleteeni Habari Njema: jambo lile Mungu alilowaahidia 86 Acts 13 38 | anasamehewa dhambi zote, jambo ambalo halingewezekana kwa 87 Acts 13 48 | mataifa mengine waliposikia jambo hilo walifurahi, wakausifu 88 Acts 14 6 | 6 Mitume walipogundua jambo hilo, walikimbilia Lustra 89 Acts 15 2 | 2 Jambo hili lilisababisha ubishi 90 Acts 15 2 | wale mitume na wazee kuhusu jambo hilo.~ 91 Acts 15 6 | mkutano maalum wa kuchunguza jambo hilo.~ 92 Acts 15 15 | 15 Jambo hili ni sawa kabisa na maneno 93 Acts 15 18 | asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.`~ 94 Acts 16 38 | waliwapasha habari mahakimu juu ya jambo hilo, nao waliposikia kwamba 95 Acts 17 19 | wakasema, "Tunataka kujua jambo hili jipya ulilokuwa unazungumzia.~ 96 Acts 17 31 | Mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo 97 Acts 17 32 | Walipomsikia Paulo anasema juu ya jambo la kufufuka kwa wafu, wengine 98 Acts 17 32 | Tunataka kukusikia tena juu ya jambo hili!"~ 99 Acts 18 6 | sina lawama yoyote juu ya jambo hilo. Na tangu sasa nitawaendea 100 Acts 18 14 | enyi Wayahudi! Kama kweli jambo hili lingekuwa juu ya uhalifu 101 Acts 19 27 | baya. Si hivyo tu, bali pia jambo hilo linaweza kuifanya nyumba 102 Acts 20 38 | 38 Jambo lililowahuzunisha zaidi 103 Acts 22 5 | wazee wanaweza kushuhudia jambo hilo. Kutoka kwao nilipokea 104 Acts 23 18 | huyu kwako kwa maana ana jambo la kukwambia."~ 105 Acts 24 3 | 3 Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na 106 Acts 26 26 | yanajulikana kwako maana jambo hili halikutendeka mafichoni.~ 107 Acts 28 6 | kwamba Paulo amepatwa na jambo lolote lisilo la kawaida, 108 Acts 28 19 | Wayahudi wengine walipinga jambo hilo, nami nikalazimika 109 Acts 28 25 | wanakwenda zao, Paulo alisema jambo hili, "Kweli ni sawa yale 110 Roma 1 17 | anavyowakubali watu kuwa waadilifu; jambo hili hufanyika kwa imani, 111 Roma 2 15 | Dhamiri zao zinashuhudia pia jambo hilo, maana fikira zao mara 112 Roma 2 18 | Mungu na unaweza kuchagua jambo jema;~ 113 Roma 2 29 | ametahiriwa moyoni. Hili ni jambo la Roho, na si jambo la 114 Roma 2 29 | ni jambo la Roho, na si jambo la maandishi ya Sheria. 115 Roma 3 3 | hawakuwa waaminifu? Je, jambo hilo litaondoa uaminifu 116 Roma 3 21 | Sheria na manabii hushuhudia jambo hili.~ 117 Roma 4 16 | 16 Kwa sababu hiyo, jambo hili lategemea imani, hivyo 118 Roma 4 24 | 24 Jambo hili linatuhusu sisi pia 119 Roma 7 6 | sababu tumekufa kuhusu lile jambo lililotufanya sisi watumwa. 120 Roma 7 18 | maana, ingawa nataka kufanya jambo jema, siwezi kulitekeleza.~ 121 Roma 7 19 | badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya 122 Roma 8 3 | 3 Mungu ametekeleza jambo lile ambalo Sheria haikuweza 123 Roma 9 1 | Mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia.~ 124 Roma 10 12 | 12 Jambo hili ni kwa wote, kwani 125 Roma 10 15 | Maandiko Matakatifu: "Ni jambo la kupendeza mno kuja kwa 126 Roma 11 24 | mzeituni bustanini, na itakuwa jambo rahisi zaidi kwao kupandikizwa 127 Roma 12 2 | mapenzi ya Mungu, kutambua jambo lililo jema, linalompendeza 128 Roma 12 8 | bidii; naye mwenye kutenda jambo la huruma na afanye hivyo 129 Roma 12 9 | unafiki wowote. Chukieni jambo lolote ovu, zingatieni jema.~ 130 Roma 12 19 | kisasi, bali mwachieni Mungu jambo hilo; maana Maandiko Matakatifu 131 1Cor 1 10 | pataneni nyote katika kila jambo msemalo; yasiweko mafarakano 132 1Cor 1 18 | cha Kristo msalabani ni jambo la kipumbavu kwa wale walio 133 1Cor 1 23 | aliyesulubiwa. Kwa Wayahudi jambo hili ni kikwazo, na kwa 134 1Cor 4 4 | Dhamiri yangu hainishtaki kwa jambo lolote, lakini hiyo haionyeshi 135 1Cor 5 3 | mhukumu huyo aliyefanya jambo hilo la aibu.~ 136 1Cor 6 7 | mmeshindwa kabisa! Je, haingekuwa jambo bora zaidi kwenu kudhulumiwa! 137 1Cor 9 11 | kiroho kati yenu, je, ni jambo kubwa tukichuma kwenu faida 138 1Cor 9 16 | ninaihubiri Habari Njema, hilo si jambo la kujivunia; hilo ni jukumu 139 1Cor 11 16 | anataka kuleta ubishi juu ya jambo hili, basi, na ajue kwamba 140 1Cor 11 22 | Niwasifu? La hasha! Si kuhusu jambo hili.~ 141 1Cor 15 31 | wetu inanifanya nitangaze jambo hili.~ 142 2Cor 1 18 | tulichowaambia ninyi si jambo la "Ndiyo" na "Siyo".~ 143 2Cor 2 9 | tayari kutii katika kila jambo.~ 144 2Cor 5 9 | 9 Lakini jambo la maana zaidi, tunataka 145 2Cor 7 7 | na mnavyotaka kunitetea. Jambo hili linanifurahisha sana.~ 146 2Cor 7 11 | kwamba hamna hatia kuhusu jambo hili.~ 147 2Cor 7 14 | sana mbele yake, na katika jambo hilo sikudanganyika. Tumewaambieni 148 2Cor 7 14 | ninyi mbele ya Tito kumekuwa jambo la ukweli mtupu.~ 149 2Cor 7 16 | ninyi kabisa katika kila jambo.~~ ~ 150 2Cor 8 5 | 5 Hilo lilikuwa jambo ambalo hatukulitazamia kabisa! 151 2Cor 8 10 | 10 Kuhusu jambo hili, basi, nawapeni shauri 152 2Cor 9 2 | nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo mbele ya watu wa Makedonia. 153 2Cor 11 6 | lugha, lakini elimu ninayo; jambo hili tumelionyesha wazi 154 2Cor 11 10 | kitakachoweza kunizuia kujivunia jambo hilo popote katika Akaya.~ 155 2Cor 11 15 | 15 Kwa hiyo si jambo la kushangaza ikiwa na hao 156 2Cor 11 17 | alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema 157 2Cor 12 8 | Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke.~ 158 Gala 2 10 | kimoja: tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi 159 Gala 2 17 | tunaonekana kuwa wenye dhambi, je, jambo hili lina maana kwamba Kristo 160 Gala 3 14 | 14 Jambo hili lilifanyika kusudi 161 Gala 3 20 | mpatanishi hahitajiwi ikiwa jambo lenyewe lamhusu mtu mmoja; 162 Gala 4 18 | 18 Kwa kweli ni jambo jema daima kuwahangaikia 163 Ephe 1 14 | aliyowaahidia watu wake, na jambo hili latuhakikishia kwamba 164 Ephe 2 8 | mmekombolewa kwa njia ya imani. Jambo hili si matokeo ya juhudi 165 Ephe 3 3 | Nimeandika kwa ufupi juu ya jambo hili,~ 166 Ephe 3 11 | 11 Mungu alifanya jambo hilo kufuatana na azimio 167 Ephe 4 15 | tutakua zidi katika kila jambo kulingana na Kristo ambaye 168 Ephe 6 1 | wenu Kikristo maana hili ni jambo jema.~ 169 Colo 1 5 | upendo wenu vinategemea jambo lile mnalotumainia ambalo 170 Colo 1 27 | Kristo yuko ndani yenu, na jambo hilo lamaanisha kwamba ninyi 171 Colo 3 13 | kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. 172 1The 2 3 | 3 Jambo tunalosisitiza kwenu si 173 1The 2 3 | tunalosisitiza kwenu si jambo linalotegemea uongo au nia 174 1The 4 6 | kumpunja mwenzake kuhusu jambo hili. Tulikwisha waambieni 175 2The 1 6 | 6 Mungu atafanya jambo la haki: atawalipa mateso 176 2The 1 7 | mnaoteseka, na sisi pia. Atafanya jambo hilo wakati Bwana atakapotokea 177 2The 2 2 | Labda inadhaniwa kwamba jambo hili limetokana na uaguzi 178 2The 2 14 | 14 Mungu aliwaitieni jambo hili kwa njia ya Habari 179 1Tim 2 3 | 3 Jambo hili ni jema na lampendeza 180 1Tim 5 4 | wazee wao, kwani hilo ni jambo la kupendeza mbele ya Mungu.~ 181 2Tim 1 14 | 14 Jambo lile bora ulilokabidhiwa 182 Titus 1 16| na wakaidi, hawafai kwa jambo lolote jema.~ ~~ ~ 183 Titus 3 5 | alituokoa si kwa sababu ya jambo lolote jema tulilotenda 184 Titus 3 8 | 8 Jambo hili ni kweli. Ninakutaka 185 Phil 1 19 | 19 Naandika jambo hili kwa mkono wangu mwenyewe: 186 Phil 1 20 | basi, ndugu yangu, nifanyie jambo hilo kwa ajili ya jina la 187 Hebr 4 5 | 5 Tena jambo hili lasemwa pia: "Hawataingia 188 Hebr 4 7 | 7 Jambo hili ni wazi, kwani Mungu 189 Hebr 5 11 | Tunayo Mengi ya kusema juu ya jambo hili, lakini ni vigumu kuwaelezeni, 190 Hebr 7 15 | 15 Tena jambo hili ni dhahiri zaidi: kuhani 191 Hebr 7 19 | Mose haikuweza kukamilisha jambo lolote. Lakini sasa, mahali 192 Hebr 8 1 | 1 Basi, jambo muhimu katika hayo tunayosema 193 Hebr 9 9 | 9 Jambo hili ni mfano wa nyakati 194 Hebr 10 31 | mikononi mwa Mungu aliye hai ni jambo la kutisha mno!~ 195 Hebr 12 11 | 11 Kuadhibiwa si jambo la kufurahisha bali la kuhuzunisha. 196 James 1 19| zangu wapenzi, kumbukeni jambo hili! Kila mtu na awe mwepesi 197 James 3 13| miongoni mwenu? Basi, aonyeshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri 198 James 4 17| mtu ambaye hafanyi lile jambo jema analojua kwamba anapaswa 199 1Pet 1 6 | 6 Furahini kuhusu jambo hilo, ijapokuwa sasa, kwa 200 1Pet 4 5 | watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye 201 1Pet 4 14 | sababu ya jina la Kristo; jambo hilo lamaanisha kwamba Roho 202 1Pet 5 12 | moyo na kushuhudia kwamba jambo hili ni neema ya Mungu kweli. 203 2Pet 1 10 | wenu mlioitiwa na Mungu uwe jambo la kudumu katika maisha 204 2Pet 1 13 | 13 Nadhani ni jambo jema kwangu, muda wote niishio 205 2Pet 1 19 | manabii watuthibitishia jambo hilo; nanyi mwafanya vema 206 2Pet 3 17 | wapenzi wangu, mmekwisha jua jambo hili. Basi, muwe na tahadhari 207 1Joh 5 16 | atampatia uzima. Nasema jambo hili kuhusu wale waliotenda


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License