Book, Chapter, Verse
1 Matt 1 12 | 12 Baada ya Wayahudi kupelekwa uhamishomi
2 Matt 2 1 | alipokuwa mfalme. Punde tu baada ya kuzaliwa kwake, wataalamu
3 Matt 2 9 | 9 Baada ya kumsikiliza mfalme, hao
4 Matt 2 13 | 13 Baada ya wale wageni kuondoka,
5 Matt 2 19 | 19 Baada ya kifo cha Herode, malaika
6 Matt 2 22 | aliogopa kwenda huko. Naye baada ya kuonywa katika ndoto,
7 Matt 3 11 | mmetubu. Lakini yule anayekuja baada yangu ana uwezo kuliko mimi.
8 Matt 14 23 | 23 Baada ya kuwaaga, alipanda mlimani
9 Matt 17 1 | 1 Baada ya siku sita, Yesu aliwachukua
10 Matt 21 32 | waasherati walimwamini. Hata baada ya kuona hayo yote ninyi
11 Matt 22 27 | 27 Baada ya ndugu hao wote kufa,
12 Matt 24 29 | 29 "Mara baada ya dhiki ya siku hizo, jua
13 Matt 25 19 | 19 "Baada ya muda mrefu, yule bwana
14 Matt 26 2 | 2 "Mnajua kwamba baada ya siku mbili tutakuwa na
15 Matt 26 30 | 30 Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka,
16 Matt 26 32 | 32 Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulieni
17 Matt 27 31 | 31 Baada ya kumdhihaki, wakamvua
18 Matt 27 53 | 53 nao, baada ya kufufuka kwake, wakatoka
19 Matt 27 63 | alisema kabla ya kufa ati, `Baada ya siku tatu nitafufuka.`~
20 Matt 28 1 | 1 Baada ya Sabato, karibu na mapambazuko
21 Matt 28 12 | wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana, wakawapa
22 Mark 1 7 | Naye alihubiri akisema, "Baada yangu anakuja mwenye uwezo
23 Mark 2 1 | 1 Baada ya siku kadhaa, Yesu alirudi
24 Mark 6 20 | kumsikiliza Yohane, ingawaje baada ya kumsikiliza, alifadhaika
25 Mark 6 46 | 46 Baada ya kuwaaga watu alikwenda
26 Mark 8 31 | walimu wa Sheria. Atauawa na baada ya siku tatu atafufuka."~
27 Mark 9 2 | 2 Baada ya siku sita, Yesu aliwachukua
28 Mark 9 31 | watamuua; lakini siku ya tatu baada ya kuuawa atafufuka."~
29 Mark 10 34 | watampiga mijeledi na kumwua. Na baada ya siku tatu atafufuka."~
30 Mark 12 34 | mbali na Ufalme wa Mungu." Baada ya hayo, hakuna mtu aliyethubutu
31 Mark 13 24 | 24 "Basi, siku hizo baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa
32 Mark 15 20 | 20 Baada ya kumdhihaki, walimvua
33 Mark 16 1 | 1 Baada ya siku ya Sabato, Maria
34 Mark 16 14 | wale waliokuwa wamemwona baada ya kufufuka.~
35 Luke 1 3 | Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza kwa makini
36 Luke 2 15 | 15 Baada ya hao malaika kuondoka
37 Luke 2 43 | 43 Baada ya sikukuu, walianza safari
38 Luke 4 2 | wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa.~
39 Luke 4 20 | 20 Baada ya kusoma, akafunga kile
40 Luke 4 35 | mtu huyu!" Basi, huyo pepo baada ya kumwangusha yule mtu
41 Luke 5 3 | 3 Baada ya Yesu kuingia katika mashua
42 Luke 5 6 | 6 Baada ya kufanya hivyo, wakavua
43 Luke 5 11 | 11 Basi, baada ya kuzileta zile mashua
44 Luke 5 27 | 27 Baada ya hayo, Yesu akatoka nje,
45 Luke 5 39 | hutamani kunywa divai mpya baada ya kunywa ya zamani, kwani
46 Luke 6 10 | 10 Baada ya kuwatazama wote waliokuwa
47 Luke 6 17 | 17 Baada ya kushuka mlimani pamoja
48 Luke 7 1 | 1 Baada ya kusema yale aliyotaka
49 Luke 7 18 | hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya
50 Luke 8 1 | 1 Baada ya hayo, Yesu alipitia katika
51 Luke 8 6 | zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa
52 Luke 8 8 | na kuzaa asilimia mia." Baada ya kusema hayo, akapaaza
53 Luke 9 28 | 28 Yapata siku nane baada ya kusema hayo, Yesu aliwachukua
54 Luke 9 36 | 36 Baada ya hiyo sauti kusikika,
55 Luke 10 1 | 1 Baada ya hayo, Bwana aliwachagua
56 Luke 12 5 | kumwogopa: mwogopeni yule ambaye baada ya kuua ana uwezo wa kumtupa
57 Luke 14 29 | 29 La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa
58 Luke 15 13 | 13 Baada ya siku chache, yule mdogo
59 Luke 19 15 | mashuhuri alirudi nyumbani baada ya kufanywa mfalme, na mara
60 Luke 19 23 | ningeichukua pamoja na faida baada ya kurudi kwangu?`~
61 Luke 20 12 | tena wa tatu; huyu naye, baada ya kumwumiza, wakamfukuza.~
62 Luke 22 20 | vivyo hivyo na kikombe, baada ya chakula, akisema, "Kikombe
63 Luke 22 45 | 45 Baada ya kusali, aliwarudia wanafunzi
64 Luke 23 14 | anawapotosha watu. Sasa sikilizeni! Baada ya kuchunguza jambo hilo
65 Luke 24 40 | 40 Baada ya kusema hayo, akawaonyesha
66 John 1 15 | niliposema: `Anakuja mtu mmoja baada yangu ambaye ni mkuu kuliko
67 John 1 27 | 27 Huyo anakuja baada yangu, lakini mimi sistahili
68 John 1 30 | ndiye niliyesema juu yake: `Baada yangu anakuja mtu mmoja
69 John 2 12 | 12 Baada ya hayo, Yesu alishuka pamoja
70 John 3 22 | 22 Baada ya hayo, Yesu alifika mkoani
71 John 4 43 | 43 Baada ya siku mbili Yesu aliondoka
72 John 5 1 | 1 Baada ya hayo kulikuwa na sikukuu
73 John 5 5 | wa kwanza kuingia majini baada ya maji kutibuliwa, alipona
74 John 6 1 | 1 Baada ya hayo, Yesu alivuka ziwa
75 John 7 1 | 1 Baada ya hayo, Yesu alikuwa akitembea
76 John 7 10 | 10 Baada ya ndugu zake kwenda kwenye
77 John 8 30 | 30 Baada ya kusema hayo watu wengi
78 John 9 6 | 6 Baada ya kusema hayo, akatema
79 John 11 28 | 28 Baada ya kusema hayo, Martha alikwenda
80 John 12 36 | mpate kuwa watu wa mwanga." Baada ya kusema maneno hayo, Yesu
81 John 13 31 | 31 Baada ya Yuda kuondoka, Yesu akasema, "
82 John 16 16 | kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona!"~
83 John 16 17 | kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?`
84 John 16 19 | kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona?`~
85 John 19 38 | 38 Baada ya hayo, Yosefu, mwenyeji
86 John 20 14 | 14 Baada ya kusema hayo, aligeuka
87 John 20 26 | 26 Basi, baada ya siku nane hao wanafunzi
88 John 21 1 | 1 Baada ya hayo Yesu aliwatokea
89 John 21 14 | kuwatokea wanafunzi wake baada ya kufufuka kutoka wafu.~
90 John 21 25 | yangeandikwa yote, moja baada ya lingine, nadhani hata
91 Acts 1 3 | Kwa muda wa siku arobaini baada ya kifo chake aliwatokea
92 Acts 1 5 | alibatiza kwa maji, lakini baada ya siku chache, ninyi mtabatizwa
93 Acts 1 9 | 9 Baada ya kusema hayo, wote wakiwa
94 Acts 3 13 | kumkataa mbele ya Pilato hata baada ya Pilato kuamua kumwacha
95 Acts 5 4 | kuliuza lilikuwa mali yako, na baada ya kuliuza, bado hizo fedha
96 Acts 5 7 | 7 Baada ya muda wa saa tatu hivi,
97 Acts 5 30 | babu zetu alimfufua Yesu baada ya ninyi kumwua kwa kumtundika
98 Acts 7 4 | Kaldayo, akaenda kukaa Harani. Baada ya kifo cha baba yake, Mungu
99 Acts 7 8 | wake Isaka, siku ya nane baada ya kuzaliwa. Na Isaka, vivyo
100 Acts 7 29 | 29 Baada ya kusikia hayo Mose alikimbia,
101 Acts 7 60 | kwa sababu ya dhambi hii." Baada ya kusema hivyo, akafa.~ ~ ~~ ~
102 Acts 8 13 | 13 Hata Simoni aliamini; baada ya kubatizwa ilikuwa akiandamana
103 Acts 8 25 | 25 Baada ya Petro na Yohane kutoa
104 Acts 9 19 | 19 Na baada ya kula chakula, nguvu zake
105 Acts 9 23 | 23 Baada ya siku nyingi kupita, Wayahudi
106 Acts 10 17 | waliotumwa na Kornelio, baada ya kuigundua nyumba ya Simoni,
107 Acts 10 37 | Wayahudi kuanzia Galilaya baada ya ule ubatizo aliohubiri
108 Acts 10 41 | tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka
109 Acts 12 4 | 4 Baada ya kutiwa nguvuni, Petro
110 Acts 12 4 | alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya Pasaka.~
111 Acts 12 25 | 25 Baada ya Barnaba na Saulo kutekeleza
112 Acts 13 3 | 3 Basi, baada ya kusali na kufunga zaidi,
113 Acts 13 15 | 15 Baada ya masomo katika kitabu
114 Acts 13 22 | 22 Baada ya kumwondoa Saulo, Mungu
115 Acts 13 25 | mnayemtazamia. Huyo anakuja baada yangu na mimi sistahili
116 Acts 13 29 | 29 Na baada ya kutekeleza yote yaliyokuwa
117 Acts 14 21 | 21 Baada ya Paulo na Barnabas kuhubiri
118 Acts 14 23 | kwa ajili ya waumini, na baada ya kusali na kufunga, wakawaweka
119 Acts 14 24 | 24 Baada ya kupitia katika nchi ya
120 Acts 14 25 | 25 Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko
121 Acts 15 2 | lilisababisha ubishi mkubwa, na baada ya Paulo na Barnaba kujadiliana
122 Acts 15 7 | 7 Baada ya majadiliano marefu, Petro
123 Acts 15 16 | 16 `Baada ya mambo haya nitarudi.
124 Acts 15 30 | 30 Baada ya kuwaaga, hao wajumbe
125 Acts 15 33 | 33 Baada ya kukaa huko kwa muda fulani,
126 Acts 15 36 | 36 Baada ya siku kadhaa, Paulo alimwambia
127 Acts 15 40 | Paulo akamchagua Sila, na baada ya ndugu wa mahali hapo
128 Acts 16 10 | 10 Mara baada ya Paulo kuona ono hilo,
129 Acts 16 15 | 15 Baada ya huyo mama pamoja na jamaa
130 Acts 16 23 | 23 Baada ya kupigwa sana wakatiwa
131 Acts 16 29 | 29 Baada ya kumwita mtu alete taa,
132 Acts 16 39 | walikwenda kuwataka radhi na baada ya kuwatoa ndani waliwaomba
133 Acts 16 40 | walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.~ ~ ~~ ~
134 Acts 18 1 | 1 Baada ya hayo, Paulo aliondoka
135 Acts 18 5 | 5 Baada ya Sila na Timotheo kuwasili
136 Acts 19 4 | yule ambaye alikuwa anakuja baada yake, yaani Yesu."~
137 Acts 19 5 | 5 Baada ya kusikia hayo, walibatizwa
138 Acts 19 21 | 21 Baada ya mambo hayo, Paulo aliamua
139 Acts 19 21 | Makedonia na Akaya. Alisema, "Baada ya kufika huko, itanilazimu
140 Acts 19 41 | 41 Baada ya kusema hayo aliuvunja
141 Acts 20 6 | 6 Sisi, baada ya sikukuu ya Mikate Isiyotiwa
142 Acts 20 6 | tulipanda meli kutoka Filipi na baada ya siku tatu tukawafikia
143 Acts 20 29 | Nafahamu vizuri sana kwamba baada ya kuondoka kwangu mbwa
144 Acts 20 36 | 36 Baada ya kusema hayo, Paulo alipiga
145 Acts 21 3 | 3 Baada ya kufika mahali ambapo
146 Acts 21 10 | 10 Baada ya kukaa huko siku kadhaa,
147 Acts 21 15 | 15 Baada ya kukaa pale kwa muda,
148 Acts 21 19 | 19 Baada ya kuwasalimu, Paulo aliwapa
149 Acts 23 7 | 7 Baada ya kusema hivyo, mzozo mkali
150 Acts 23 35 | Nitasikiliza kesi yako baada ya washtaki wako kufika."
151 Acts 24 1 | 1 Baada ya siku tano, Kuhani Mkuu
152 Acts 24 17 | 17 "Baada ya kukaa mbali kwa miaka
153 Acts 24 24 | 24 Baada ya siku chache, Felisi alifika
154 Acts 24 27 | 27 Baada ya miaka miwili, Porkio
155 Acts 25 1 | 1 Siku tatu baada ya kufika mkoani, Festo
156 Acts 25 12 | 12 Basi, baada ya Festo kuzungumza na washauri
157 Acts 25 26 | yako mfalme Agripa, ili baada ya kumchunguza, niweze kuwa
158 Acts 27 21 | 21 Baada ya kukaa muda mrefu bila
159 Acts 27 35 | 35 Baada ya kusema hivyo, Paulo alichukua
160 Acts 27 38 | 38 Baada ya kila mmoja kula chakula
161 Acts 28 6 | angeanguka chini na kufa. Baada ya kungojea kwa muda mrefu
162 Acts 28 8 | Paulo alikwenda kumwona na baada ya kusali, akaweka mikono
163 Acts 28 11 | 11 Baada ya miezi mitatu tulianza
164 Acts 28 13 | tukazunguka na kufika Regio. Baada ya siku moja, upepo ulianza
165 Acts 28 13 | kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari
166 Acts 28 17 | 17 Baada ya siku tatu, Paulo aliwaita
167 Roma 4 10 | kabla ya kutahiriwa ama baada ya kutahiriwa? Kabla ya
168 Roma 4 10 | Kabla ya kutahiriwa, na si baada ya kutahiriwa.~
169 Roma 5 16 | ya mtu yule mmoja. Maana, baada ya kosa la mtu mmoja, Mungu
170 Roma 5 16 | Mungu alitoa hukumu; lakini baada ya makosa ya watu wengi,
171 Roma 15 24 | msaada wenu kwa safari hiyo baada ya kufurahia kuwa kwa muda
172 1Cor 9 27 | mimi mwenyewe nikakataliwa baada ya kuwahubiria wengine.
173 1Cor 11 25 | 25 Vivyo hivyo, baada ya kula, akatwaa kikombe
174 1Cor 14 31 | kutangaza ujumbe wa Mungu, mmoja baada ya mwingine, ili nyote mpate
175 1Cor 15 8 | 8 Baada ya wote, akanitokea hata
176 1Cor 15 24 | 24 Baada ya hayo, mwisho utafika
177 1Cor 15 24 | atamkabidhi Mungu Baba Utawala, baada ya kufutilia mbali kila
178 1Cor 16 5 | 5 Nitakuja kwenu, baada ya kupitia Makedonia - maana
179 2Cor 7 5 | 5 Hata baada ya kufika Makedonia hatukuweza
180 Gala 1 18 | 18 Ilikuwa tu baada ya miaka mitatu, ndipo nilipokwenda
181 Gala 2 1 | 1 Baada ya miaka kumi na minne,
182 Gala 2 12 | mataifa mengine. Lakini, baada ya hao watu kufika, aliacha
183 Ephe 5 26 | aliweke wakfu kwa Mungu, baada ya kulifanya safi kwa kuliosha
184 Titus 3 12| 12 Baada ya kumtuma kwako Artema
185 Hebr 1 3 | kwa neno lake lenye nguvu. Baada ya kuwapatia binadamu msamaha
186 Hebr 4 10 | aliloahidi Mungu atapumzika baada ya kazi yake kama vile pia
187 Hebr 4 10 | pia Mungu alivyopumzika baada ya yake.~
188 Hebr 7 28 | kiapo na ambayo imefika baada ya sheria imemteua Mwana
189 Hebr 10 1 | zilezile hutolewa daima, mwaka baada ya mwaka. Sheria yawezaje,
190 Hebr 10 26 | kutenda dhambi makusudi baada ya kufahamu ukweli, hakuna
191 Hebr 11 23 | kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake. Walimwona
192 2Pet 1 15 | mambo haya kila wakati, baada ya kufariki kwangu.~
193 Rev 4 1 | 1 Baada ya hayo nilitazama nikaona
194 Rev 7 1 | 1 Baada ya hayo nikawaona malaika
195 Rev 11 11 | 11 Lakini baada ya zile siku tatu na nusu
196 Rev 15 5 | 5 Baada ya hayo nikaona Hekalu limefunguliwa
197 Rev 18 1 | 1 Baada ya hayo, nilimwona malaika
198 Rev 19 1 | 1 Baada ya hayo nikasikia kitu kama
199 Rev 20 3 | moja itakapotimia. Lakini baada ya miaka hiyo ni lazima
|